{"id":3531,"date":"2011-01-03T13:40:01","date_gmt":"2011-01-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/03\/chooko-nyeusi-muhimu-kwa-maendeleo-ya-kiuchumi\/"},"modified":"2011-01-03T13:40:01","modified_gmt":"2011-01-03T13:40:01","slug":"chooko-nyeusi-muhimu-kwa-maendeleo-ya-kiuchumi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/03\/chooko-nyeusi-muhimu-kwa-maendeleo-ya-kiuchumi\/","title":{"rendered":"Cho&#341;oko Nyeusi Muhimu kwa Maendeleo ya Kiuchumi"},"content":{"rendered":"<p>DAKAR, Okt 1, 2010 (IPS) &ndash; Cho&#341;oko nyeusi ni aina mpya ya chanzo cha kipato linapokuja suala la kubo&#341;esha maisha ya wanawake na familia katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi, watafiti wanasema.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wanasayansi wanaokutana mjini Daka&#341;, Senegal katika Mkutano wa Tano wa Cho&#341;oko Ulimwenguni wana imani kuwa cho&#341;oko nyeusi zina uwezekano mkubwa wa kukuza uchumi na kupunguza umaskini katika ukanda huo. <\/p>\n<p>Mkutano huo, ambao ulikamilika Oktoba 1, pia ulisikia kwamba ili kuongeza thamani ya cho&#341;oko ni muhimu kubo&#341;esha ustawi wa wakulima, wasindikaji na wauzaji wa cho&#341;oko katika mzunguko wa kuongeza thamani. <\/p>\n<p>Utafiti uliofanywa na Mi&#341;iam Otoo, mwanafunzi wa PhD katika Ida&#341;a ya Uchumi wa Kilimo katika Chuo Kikuu cha Pu&#341;due nchini Ma&#341;ekani unahusu biasha&#341;a ya mtaani ya cho&#341;oko nchini Nige&#341; na Ghana. <\/p>\n<p>Utafiti wa Otoo unalenga katika uuzaji wa aka&#341;a (keki zinazouzwa mitaani) au kossa&iuml; kama ambavyo zinajulikana. Keki za aina hii zinazalishwa kwa kiasi kikubwa na wanawake na kuuzwa katika mitaa. Takwimu zilikusanywa nchini Ghana na Nige&#341; mwaka 2009 kwa kufanya mahojiano na wanawake wajasi&#341;iamali 336. Matokeo ya utafiti huo yalionyesha kuwa uzalishaji wa aka&#341;a au kossa&iuml; ni muhimu mno kwa maendeleo ya kiuchumi kwa sababu kadhaa. <\/p>\n<p>Kwa mfano, utafiti uligundua kuwa wachuuzi wa kossa&iuml; wanaingiza ma&#341;a nne hadi 16 kipato kuliko kazi ya mshaha&#341;a wa chini nchini Nige&#341; na Ghana. <\/p>\n<p>Wajasi&#341;iamali wanawake, ambao wengi wao hawana elimu ya da&#341;asani, pia walitumia kipato chao kutokana na biasha&#341;a yao kuchangia moja kwa moja katika afya, elimu na mahitaji mengine ya kifamilia, utafiti uligundua. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, zaidi ya kilo milioni 1.2 za cho&#341;oko zinanunuliwa na wachuuzi wa kossa&iuml; kila mwaka mjini Niamey, nchini Nige&#341; pekee, na hivyo kujenga soko kubwa la cho&#341;oko la wazalishaji wa ndani. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa kuzingatia maeneo tofauti ya cho&#341;oko katika mzunguko wa kuongeza thamani ya cho&#341;oko, wachuuzi wa mitaani wanatumia kiasi kikubwa cha cho&#341;oko wakati ambapo ni sekta ambayo imetelekezwa kwa kiasi kikubwa na watafiti,&#8221; Otoo aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Alisisitiza zaidi haja ya kuongeza upatikanaji wa mikopo, fu&#341;sa ya masoko na teknolojia bo&#341;a ya usindikaji kutoka kwa wajasi&#341;iamali wa cho&#341;oko na hivyo kukidhi mahitaji ya walaji wanaozidi kuongezeka. <\/p>\n<p>&#8220;Pale ambapo mikopo inapatikana kwa wajasi&#341;iamali wa mitaani, kumekuwa na &#8220;&#341;ikodi za mafanikio&#8221; katika biasha&#341;a zao,&#8221; inabainisha &#341;ipoti. <\/p>\n<p>Pia ilisema kuwa kwa sasa kuna nchi chache mno za Af&#341;ika ambapo NGOs zimefanya jitihada kubwa ya kutoa mitaji ya awali kwa wachuuzi wa mitaani. Ripoti inapendekeza kuwa kuna haja ya se&#341;ikali kuingilia kati. <\/p>\n<p>Utafiti ulibainisha kuwa wakati usindikaji wa cho&#341;oko viwandani ni kama tu haupo Af&#341;ika Magha&#341;ibi, usindikaji unapatikana katika sekta isiyokuwa &#341;asmi &ndash; hasa sekta ya chakula mitaani. Na hii imesababisha mahitaji makubwa ya cho&#341;oko. <\/p>\n<p>Biasha&#341;a ya usindikaji ya mjasi&#341;iamali, Aissatou Diagne Deme inatoa kilo 800 za unga wa cho&#341;oko kwa mwezi na hivyo kufanya zao hilo la mikundekunde kuwa muhimu kama chanzo cha lishe na kipato. <\/p>\n<p>&#8220;Nauza unga kwa waokaji mikate na kwa watu ambao wanatumia kupikia ugali watoto wao,&#8221; Deme aliiambia IPS wakati wa zia&#341;a ya kibiasha&#341;a katikati mwa jiji la Daka&#341;. &#8220;Ninapata oda nzu&#341;i na ningependa kukuza soko kwasababu kuna ongezeko la watu wanaovutiwa na unga wa cho&#341;oko.&#8221; <\/p>\n<p>Kampuni ya Deme, Kumba Ente&#341;p&#341;ises, ni hadithi ya mafanikio katika kuongeza thamani ya cho&#341;oko, ambayo inaitwa Niebe, katika nchi nyingi zinazoongea Kifa&#341;ansa Af&#341;ika Magha&#341;ibi. <\/p>\n<p>Deme anaaji&#341;i wanawake 52 na alianza biasha&#341;a akiwa nyumbani kwake mwaka 1994 kwa mtaji wa dola 12,000. Sasa anaangalia soko la kusafi&#341;isha nje unga wa Niebe lakini anachozalisha kwa sasa ni kwa ajili ya mahitaji ya ndani. Taya&#341;i Deme anazalisha unga wa mtama ambao anausafi&#341;isha kwenda Ulaya na anaendesha majadiliano na wakala wake kuanza kusafi&#341;isha unga wa cho&#341;oko pia. <\/p>\n<p>Kulingana na Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo cha Kit&#341;opiki (IITA), zaidi ya tani milioni nne za cho&#341;oko zinatumiwa duniani kote kila mwaka. Katika Af&#341;ika pekee, asilimia 70 ya kiwango hiki kinaliwa. Cho&#341;oko, ambazo zinapuuzwa kwa miaka mingi na kusababisha uzalishaji mdogo na uhaba wa masoko, zime&#341;ejea kama &#8216;zao la ajabu&#8217; kwasababu ya kiasi chacke kikubwa cha p&#341;otini, uwezo wake wa kukua katika mazingi&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi na umuhimu wake kwa chakula cha mifugo Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Taasisi ya Teknolojia ya Chakula ya Daka&#341;, ikifanya kazi kwa kushi&#341;ikiana na se&#341;ikali ya Senegal inaandaa mkate ili kupunguza uhaba wa p&#341;otini kwa watoto wa shule. Mkate huo utatengenezwa kwa ngano, cho&#341;oko na ka&#341;anga. <\/p>\n<p>Lakini pamoja na fu&#341;sa mpya zinazotokana na mvuto mpya wa cho&#341;oko, uzalishaji wa cho&#341;oko ni mdogo kwa matumizi ya kibiasha&#341;a. Sababu kubwa ni gha&#341;ama ya uzalishaji na uwezekano wa cho&#341;oko kukumbwa na magonjwa na wadudu waha&#341;ibifu. Kulingana na Tathmini ya IITA R4D ya mwezi Septemba 2010, wadudu waha&#341;ibifu, wanashambulia mimea ya cho&#341;oko katika mzunguko wa maisha yake; pia mimea hiyo inashambuliwa na bakte&#341;ia, fungasi, na vi&#341;usi ambavyo husababisha magonjwa. <\/p>\n<p>&#8220;Kiasi cha cho&#341;oko zinazozalishwa kwa sasa kinatosha kwa ajili ya matumizi,&#8221; Ch&#341;istian Fatokun, mzalishaji wa mbegu za cho&#341;oko katika IITA, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Bussie Maziya&ndash;Dixon, mtaalam wa matumizi ya zao hilo katika IITA anaunga mkono. &#8220;Katika suala la kutumia unga wa cho&#341;oko, tumefanya kazi ndogo mno, kutokana na kwamba hatuna cho&#341;oko za kutosha za kuweza kuzalisha ziada kwa ajili ya kuwa na matumizi mengi. Wakati zinapopatikana, hazitoshi kutengeneza bidhaa za jadi ambazo watu wamezizoea.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa sasa, Maziya&ndash;Dixon alisema, unga wa cho&#341;oko unatumika katika chakula cha kuongeza vitamini ambapo unachanganywa na unga wa nafaka kama vile mtama, shayi&#341;i na mahindi kubo&#341;esha lishe kwa watoto. Utafiti unasaidia kuima&#341;isha jukumu la cho&#341;oko nyeusi kwa kutatua matatizo ya uzalishaji na kuhifadhi. <\/p>\n<p>Mwanasaikolojia ya mimea katika Chuo Kikuu cha Pu&#341;due, Dk. La&#341;&#341;y Mu&#341;dock aliiambia IPS kuwa kuna uwezekano wa kupanda aina mbalimbali za cho&#341;oko ambazo zingeweza kutoa unga mzu&#341;i na hivyo kuchangia katika lishe na maumbile ya watu. &#8220;Pengine baadhi ya aina ya cho&#341;oko itakuwa bo&#341;a zaidi kwa unga kuliko nyingine na hii ingekuwa fu&#341;sa kwa watengenezaji wa mbegu za cho&#341;oko,&#8221; Mu&#341;dock alisema. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAKAR, Okt 1, 2010 (IPS) &ndash; Cho&#341;oko nyeusi ni aina mpya ya chanzo cha kipato linapokuja suala la kubo&#341;esha maisha ya wanawake na familia katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi, watafiti wanasema. Wanasayansi wanaokutana mjini Daka&#341;, Senegal katika Mkutano wa Tano wa Cho&#341;oko Ulimwenguni wana imani kuwa cho&#341;oko nyeusi zina uwezekano mkubwa wa kukuza uchumi na kupunguza umaskini&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":698,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3531","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3531","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/698"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3531"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3531\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3531"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3531"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3531"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}