{"id":3528,"date":"2011-01-03T13:40:01","date_gmt":"2011-01-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/03\/malawi-vvu-mataii-mawili-yasaidia-kutibu-ukimwi-nchini-malawi\/"},"modified":"2011-01-03T13:40:01","modified_gmt":"2011-01-03T13:40:01","slug":"malawi-vvu-mataii-mawili-yasaidia-kutibu-ukimwi-nchini-malawi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/03\/malawi-vvu-mataii-mawili-yasaidia-kutibu-ukimwi-nchini-malawi\/","title":{"rendered":"MALAWI\/VVU: &#8220;Matai&#341;i Mawili&#8221; Yasaidia Kutibu UKIMWI Nchini Malawi"},"content":{"rendered":"<p>MZIMBA, Malawi, Des 16 (IPS) &ndash; Wakati jua likichomoza katika kijiji cha Choma, wilaya ya Mzimba kaskazini mwa Malawi, Loveness Kamanga anamfunga mtoto wake mchanga mgongoni na kuanza kutembea umbali wa kilomita 10.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Masaa matatu baadaye anaelekea kwenye njia ya vumbi kuelekea kwenye kituo cha afya, jengo la sa&#341;uji katikati mwa kichaka. Pat&#341;ick Zimba, mfanyakazi pekee wa afya anayepatikana baada ya kilomita kadhaa, anatazama dafta&#341;i lililotolewa na se&#341;ikali ya Malawi &ndash; ambalo lina &#341;ipoti za kitabibu za wagonjwa wote. <\/p>\n<p>Kila kitu katika mtoto wa Loveness kina &#341;angi isiyokuwa sahihi. Midomo yake ni myeupe, macho yake ni ya njano, na meno ya &#341;angi ya kahawia na nyeusi. Amekonda na amechoka hata kushindwa kulia. Jina lake ni Joshua na ana um&#341;i wa miezi nane. Mama wa Joshua anaishi na VVU.<\/p>\n<p>Pat&#341;ick anasema: &#8220;Kutokana na kuishi na VVU inabidi kuanza kumtibu mtoto. Lakini hadi nitakapopata majibu kutokana na vipimo vya damu yake ndipo nitajua la kufanya.&#8221;<\/p>\n<p>Kulingana na Pat&#341;ick kuna hata&#341;i kubwa ya Loveness kumwambukiza vi&#341;usi mtoto wake. Njia bo&#341;a ya kupima ni kupeleka sampuli ya damu katika maaba&#341;a ya kupima idadi ya CD4.<\/p>\n<p>Hapo ndipo mambo yanakuwa magumu. katika vituo vingi vya afya kwenye maeneo ya vijijini nchini Malawi sampuli zinaweza kusubi&#341;i kwa zaidi ya miezi miwili kabla hazijapelekwa kwenye maaba&#341;a mjini au makao makuu ya wilaya. Suala siyo tiba bali mifumo ya usafi&#341;ishaji isiyokuwa mizu&#341;i.<\/p>\n<p>Mazingi&#341;a yanafanana katika Af&#341;ika nzima Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a. Lakini nchini Zimbabwe, Gambia, Kenya, Tanzania, Lesotho, Zambia na Nige&#341;ia &ndash; kutokana na &#8220;Ride&#341;s fo&#341; Health&#8221; kiongozi wa huduma za jamii, usafi&#341;i umewezeshwa na shi&#341;ika hilo kupitia matumizi ya pikipiki.<\/p>\n<p>Lengo lake  &#8220;Kufanya kazi kuhakikisha kuwa wafanyakazi wote wa afya ba&#341;ani Af&#341;ika wanapata njia bo&#341;a za usafi&#341;ishaji ili kufikia watu waliojitenga zaidi ma&#341;a kwa ma&#341;a na kutoa huduma za afya zinazotabi&#341;ika,&#8221; tovuti yake inasema.<\/p>\n<p>&#8220;Ride&#341;s fo&#341; Health&#8221; bado haijatangaza mfumo wake wa ha&#341;aka wa kupeleka kupima sampuli nchini Malawi, lakini Ofisi ya Afya ya Wilaya ya Mzimba imeshaanza kutumia mpango huo kuanza p&#341;og&#341;amu kwa vituo vya afya vyote 18 vya vijijini.<\/p>\n<p>Ofisi ya Wilaya ya Mzimba ilivutiwa na Ride&#341;s ambayo ilianza mwaka 1989 wakati waanzilishi wake, wakitembelea Af&#341;ika, walishangazwa kuona mwanamke akiwa katika tishio la maisha kutokana na kuziba kizazi alikuwa akisukumwa kwenda kliniki katika mkokoteni.<\/p>\n<p>&#8220;Katika dunia ya maga&#341;i, ilikuwa ni kama tusi,&#8221; anasema And&#341;ea Coleman wa Ride&#341;s akijibu swali kwa njia ya ba&#341;ua pepe, &#8220;hasa wakati hospitali na kliniki zimezungukwa na maga&#341;i yaliyoha&#341;ibika&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Hata kama tumechukua sampuli zinaweza kuendelea kubakia hapa. Tunaziweka katika f&#341;iji, lakini ma&#341;a nyingine hatuna mafuta ya kuendeshea jene&#341;eta na hivyo sampuli zinaha&#341;ibika. Hakuna jinsi ya kufikisha sampuli kwenye maaba&#341;a huko Mzuzu,&#8221; anasema Pat&#341;ick. &#8220;Au kupata matokeo ya vipimo. Bila ya matokeo, hatuwezi kuanza tiba.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Nimeamka wakati jua likichomoza,&#8221; Loveness, mjane mwenye miaka 35, anamwambia Pat&#341;ick. &#8220;Siamini kama naweza kuja hapa tena, ni mbali mno&#8221;.<\/p>\n<p>Ma&#341;a tu kitu kinachofanana na muujiza kinajitokeza. Mlango unafunguka na kijana anayeendesha pikipiki anavua kofia. &#8220;Naitwa John Chisi. Nimekuja kukusanya sampuli zenu&#8221;.<\/p>\n<p>Pat&#341;ick amewahi kusikia kuhusu mfumo wa kupeleka sampuli maaba&#341;a katika hospitali kubwa ungeanza wilayani humo. Lakini hakuamini, kwani kulikuwa na ahadi nyingi mno. Anamshikilia kwa nguvu Loveness. Halafu anampatia John sampuli zake za damu na kazi za nya&#341;aka wakati akimwita mgonjwa wake anayefuata kutoka kwenye foleni ya wagonjwa mia moja kwenye kliniki. Maaba&#341;a ipo Mzuzu. Ba&#341;aba&#341;a nyingi zina mashimo makubwa, za vumbi na wiza&#341;a ya afya ina maga&#341;i machache yanayofanya kazi. Hivyo kazi za kliniki nyingi zinadhoofishwa na kutengwa.<\/p>\n<p>&#8220;Inahusu zaidi huduma za afya,&#8221; anasema Ofisa wa Afya wa Wilaya ya Mzimba Violet Kamfose. &#8220;Hapa tunabeba tu sampuli. Tunaokoa maisha kwa kuhakikisha kuwa watu wanapatiwa vipimo.&#8221; Violet alisema watoto wanaoanza kutumia ARVs mapema wanaweza kupunguza nafasi ya kupata UKIMWI kamili hadi asilimia 2% tu.<\/p>\n<p>Wakati John aki&#341;ejea kwenye pikipiki yake, Loveness na Joshua wanaanza safa&#341;i yao &ndash; safa&#341;i ndefu kwa miguu ku&#341;udi kijijini. Loveness atapata majibu siku mbili na tiba ya Joshua itaweza kuanza.<\/p>\n<p>&#8220;Sasa naweza kufanya kazi yangu,&#8221; anasema Pat&#341;ick. &#8220;Na yote haya ni kutokana na &#8220;matai&#341;i mawili.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MZIMBA, Malawi, Des 16 (IPS) &ndash; Wakati jua likichomoza katika kijiji cha Choma, wilaya ya Mzimba kaskazini mwa Malawi, Loveness Kamanga anamfunga mtoto wake mchanga mgongoni na kuanza kutembea umbali wa kilomita 10. Masaa matatu baadaye anaelekea kwenye njia ya vumbi kuelekea kwenye kituo cha afya, jengo la sa&#341;uji katikati mwa kichaka. Pat&#341;ick Zimba, mfanyakazi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":815,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3528","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3528","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/815"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3528"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3528\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3528"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3528"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3528"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}