{"id":3519,"date":"2011-01-03T13:40:01","date_gmt":"2011-01-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/03\/utata-wa-maziwa-ya-mama-kwa-mama-wenye-vvu\/"},"modified":"2011-01-03T13:40:01","modified_gmt":"2011-01-03T13:40:01","slug":"utata-wa-maziwa-ya-mama-kwa-mama-wenye-vvu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/03\/utata-wa-maziwa-ya-mama-kwa-mama-wenye-vvu\/","title":{"rendered":"Utata wa Maziwa ya Mama Kwa Mama Wenye VVU"},"content":{"rendered":"<p>KAMPALA, Agosti 21, 2010 (IPS) &ndash; Mapendekezo mapya ya Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO) kuwa mama wanaonyonyesha wenye VVU wanaotumia madawa ya ku&#341;efusha maisha (ARVs) wanaweza kunyonyesha vizu&#341;i watoto wao hadi miezi kumi na mbili bila kuwaambukiza kumesababisha mkanganyiko miongoni mwa mama wenye VVU nchini Uganda kwani taa&#341;ifa kuhusu miongozo mipya zinaja&#341;ibu kuwafikia.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa muongo uliopita se&#341;a hiyo nchini Uganda imekuwa ikishau&#341;i mama wanaonyonyesha wenye VVU kunyonyesha kwa miezi mitatu tu. <\/p>\n<p>Lakini simu zilizopigwa wakati wa kipindi cha televisheni juu ya faida za kunyonyesha zilionyesha mkanganyiko miongoni mwa mama wanaonyonyesha ambao wana VVU kuhusu mapendekezo hayo mapya. Mama wengi walisema walihitaji usahihi na kuelewa ni kwa jinsi gani wanaweza kulinda zaidi watoto wao wasiambukizwe VVU. <\/p>\n<p>&#8220;Nimechanganyikiwa sasa,&#8221; alisema Ma&#341;ia Sebadukka, mama anaiyeishi na VVU, &#8220;tunapatiwa taa&#341;ifa zinazotuchanganya jinsi ya kulisha watoto wetu. Baadhi ya wafanyakazi wa afya wanasema tusiwanyonyeshe. Lakini sasa wanasema tuwanyonyeshe &#8221; aliuliza. <\/p>\n<p>&#8220;Nina VVU na mtoto wangu ana vi&#341;usi. Nianze kunyonyesha sasa &#8221; aliuliza mpigaji simu mwingine. <\/p>\n<p>Wakati wa Mkutano wa VVU mwaka 2010 mjini Vienna mwezi Julai, WHO ilipitisha mapendekezo yanayosema kuwa mama wanaweza kunyonyesha kwa usalama kama wao au watoto wao wanapatiwa ARVs wakati wa kunyonyesha wa mwaka mzima. Hii imeonyesha kuwapatia watoto wachanga nafasi nzu&#341;i ya kuwalinda na maambukizi ya VVU. <\/p>\n<p>Dk. Elizabeth Mad&#341;aa, mkuu wa kitengo cha Chakula na Lishe katika wiza&#341;a ya afya alielezea kuwa miezi sita hadi 12 ya kunyonyesha inatosha ku&#341;ejesah kinga ya awali ya mahitaji ya mtoto. Hata hivyo, mchanganyiko wa chakula haupendekezwi kwani fizi za mtoto ni &#341;ahisi kuambukizwa. <\/p>\n<p>Lakini Mad&#341;aa anakubali kuwa inaweza kuwa vigumu kushawishi baadhi ya akina mama kukubali miongozo mipya. &#8220;Watu hawako taya&#341;i kukubali miongozo mipya. Tunatakiwa kutoka na kuhamasisha vizu&#341;i sana mama wenye mimba ambao wana VVU katika mapendekezo haya kwasababu bado hawajashawishika,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Dk Lydia Munghe&#341;e&#341;a, mku&#341;ugenzi mkuu wa Shi&#341;ika la Kusaidia Watu Wenye UKIMWI (TASO) na mlezi wa Mamas Club, shi&#341;ika la mama wenye VVU anakubaliana. &#8220;Wengi wanahofia mno kuambukiza watoto wao. Wengi bado hawatambui miongozo hii hivyo inahitaji kampeni kubwa ya ufahamu na mafunzo kwa wafanyakazi wa afya, ikiwa ni pamoja na wakunga wa jadi,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Pia alisema kuwa se&#341;a mpya hazijasambazwa kwa mapana nchini Uganda kama ilivyotakiwa: &#8220;Manesi wa kawaida na wakunga wanapaswa kupatiwa mafunzo na se&#341;a nyingine mpya zinatakiwa kusambazwa kwa kiasi kikubwa.&#8221; <\/p>\n<p>Kukosekana kwa huduma za kliniki kwa mama wajawazito, ARVs na taa&#341;ifa pia zinaathi&#341;i utekelezaji wa miongozo mipya. <\/p>\n<p>Wakati kwenda kliniki ni muhimu kwa mama wanaonyonyesha kuzuia maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto (PMTCT), asilimai 58 ya watoto wanaozaliwa nchini Uganda bado wanajifungulia majumbani, kulingana na Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya Nchini Uganda (UDHS) mwaka 2006. Pia kuna tofauti kati ya maeneo ya mjini na vijijini huku kiasi kikubwa cha watoto wanaozaliwa katika hospitali ikiwa asilimai 79 mijini ikilinganishwa na asilimia 36 vijijini na hivyo kuacha mkanganyiko wa jinsi gani wanawake wa vjijini wanaweza kuhamasishwa kuhusu miongozo hiyo. <\/p>\n<p>Upatikanaji wa huduma za afya pia ni changamoto kwa asilimai 86 ya wanawake wakisema kuwa wanakabiliwa na angalau tatizo moja kubwa la kupata huduma. Asilimia sitini na tano ya wanawake wanasema wana matatizo ya kifedha wakati asilimia 55 wanaona umbali kwenda katika kituo cha afya ni tatizo kubwa. <\/p>\n<p>Flo&#341;ence Mukhaye Buluba, ofisa mipango wa Jumuiya ya Kimaatifa ya Wanawake Wanaoishi na VVU na UKIMWI Af&#341;ika Masha&#341;iki aliongeza kuwa unyanyapaa pia ulikatisha tamaa wanawake kupata ushau&#341;i wa kliniki juu ya kunyonyesha watoto wao kufuatia shinikizo kutoka kwa mashemeji na waume zao. <\/p>\n<p>Nchini Uganda maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto yamechangia maambukizi mapya 20,500 ya VVU, kulingana na &#341;ipoti ya Tume ya UKIMWI ya Uganda mwaka 2009. Bila ya kupatiwa tiba, watoto wapatao 15 hadi 30 wanaozaliwa na wanawake wenye VVU wataambukizwa VVU wakati wa mimba au kujifungua. Wengine asilimia tano hadi 20 wataambukizwa upya kupitia kunyonyesha, inasema &#341;ipoti ya Gonjwa la UKIMWI ya UNAIDS mwaka 2009. <\/p>\n<p>Wiza&#341;a ya Afya ilisema wanafanya kazi kuhusu suala hili. &#8220;Tumepanga kufanya kampeni kubwa ya umma. Mipango ipo kuhakikisha kwamba wanawake wanapata taa&#341;ifa na kuelewa miongozo hii mipya,&#8221; alisema Samalie Namukosa Bananuka, Mkuu wa Lishe, ida&#341;a ya PMTCT katika wiza&#341;a ya afya. <\/p>\n<p>Miongozo mipya ya WHO inataka mamlaka za kitaifa katika kila nchi kuamua ni aina gani ya ulishaji watoto unafaa kukuzwa na kuungwa mkono na huduma zao za uzazi na watoto. Uganda bado haijachukua msimamo wa kise&#341;ikali kwa kujikita katika uwezo wake wa kupeleka huduma ya PMTCT kwa wote na kuhamasisha wanawake nchini kote kuhusu mapendekezo hayo mapya. <\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali itatakiwa kufanya mikutano mwezi ujao kujadili utekelezaji wa miongozi hiyo mipya. Kama sisi (Uganda) hatutapata njia za utekelezaji, hatutapitisha bali tutaendelea na se&#341;a zetu za sasa. Hilo ndilo jambo ambalo hatujajadili bado,&#8221; M&#341;atibu wa Taifa wa PMTCT, Dk. Godf&#341;ey Esi&#341;u aliiambia. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA, Agosti 21, 2010 (IPS) &ndash; Mapendekezo mapya ya Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO) kuwa mama wanaonyonyesha wenye VVU wanaotumia madawa ya ku&#341;efusha maisha (ARVs) wanaweza kunyonyesha vizu&#341;i watoto wao hadi miezi kumi na mbili bila kuwaambukiza kumesababisha mkanganyiko miongoni mwa mama wenye VVU nchini Uganda kwani taa&#341;ifa kuhusu miongozo mipya zinaja&#341;ibu kuwafikia. Kwa muongo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":714,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3519","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3519","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/714"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3519"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3519\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3519"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3519"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3519"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}