{"id":3505,"date":"2010-12-13T13:40:01","date_gmt":"2010-12-13T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/12\/13\/afrika-magharibi-kampeni-ya-chanjo-mpya-dhidi-ya-homa-ya-uti-wa-mgongo\/"},"modified":"2010-12-13T13:40:01","modified_gmt":"2010-12-13T13:40:01","slug":"afrika-magharibi-kampeni-ya-chanjo-mpya-dhidi-ya-homa-ya-uti-wa-mgongo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/12\/13\/afrika-magharibi-kampeni-ya-chanjo-mpya-dhidi-ya-homa-ya-uti-wa-mgongo\/","title":{"rendered":"AFRIKA MAGHARIBI: Kampeni ya Chanjo Mpya Dhidi ya Homa ya Uti wa Mgongo"},"content":{"rendered":"<p>OUAGADOUGOU na CAPE TOWN, Des 8 (IPS) &ndash; Zaidi ya watu milioni 20 watapatiwa chanjo kati ya sasa na mwishoni mwa mwaka huu nchini Bu&#341;kina Faso, Mali na Nige&#341; wakati kampeni inayotumia aina mpya ya chanjo inaendelea kuenea katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi. Ikiwa imetengenezwa nchini India, chanjo aina ya MenAf&#341;iVac inapatia mamlaka za afya silaha yenye nguvu dhidi ya ugonjwa huo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Homa ya uti wa mgongo inashambulia mishipa ya fahamu ambayo inazunguka ubungo na uti wa mgongo. Inapatikana zaidi katika ukanda unaojulikana kama &#8220;ukanda wa homa ya uti wa mgongo&#8221;, ambao unahusu Af&#341;ika nzima Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a kutoka Senegal katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi hadi Ethiopia upande wa Masha&#341;iki.<\/p>\n<p>Kati ya mwaka 1995 na 1997, janga kubwa la homa ya uti wa mgongo liliambukiza watu 250,000 katika ukanda huu, na kuua watu 25,000. Mgonjwa mmoja kati ya wagonjwa watano hadi kumi wanaopata ugonjwa huo hufa&#341;iki dunia katika muda wa masaa 24&ndash;48 baada ya dalili za mwanzo; mgonjwa mmoja kati ya wagonjwa 10 hadi 20 huathi&#341;ika kwa kiasi kikubwa mfumo wa fahamu, ikiwa ni pamoja na kupoteza uwezo wa kusikia na kuwa vigumu kujifunza.<\/p>\n<p>Kulingana na Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni, nchi 14 za ba&#341;a la Af&#341;ika zilianzisha ufuatiliaji mkali mwaka 2009 ambao uli&#341;ikodi jumla ya matukio 78,416 ya homa ya uti wa mgongo, na vifo 4,053 &ndash; idadi kubwa kuwahi kutokea tangu gonjwa hilo lilipolipuka mwaka 1996.<\/p>\n<p>Mali, Nige&#341; na Bu&#341;kina Faso zinaongoza kwa kuathi&#341;ika katika kanda, na mataifa yote matatu yanashi&#341;iki katika awamu ya sasa ya chanjo mpya. Wakati chanjo ya zamani ilitoa ulinzi kwa miaka mitatu tu, MenAf&#341;iVac inafanya kazi kwa miaka kumi na inapatiwa kwa watu wa um&#341;i wa mwaka mmoja hadi 29.<\/p>\n<p>&#8220;Ni ushindi mkubwa kuweza kuzindua ja&#341;ibio hili. Tupo katika ukanda wa homa ya uti wa mgongo na kampeni hii itatusaidia kukabiliana na gonjwa la homa ya uti wa mgongo ambalo linachangia kwa kiasi kikubwa [vifo] vya watoto wetu chini ya miaka mitano na watu wazima,&#8221; alisema He&#341;v&eacute; Pe&#341;i&#038;eg&#341;ave;s, mwakilishi wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa nchini Bu&#341;kina Faso.<\/p>\n<p>Ni ushindi ambao umeunganisha uwezo wa makampuni ya madawa ya India kuzalisha madawa ya bei nafuu.<\/p>\n<p>Kulingana na Dk P&#341;asad Kulka&#341;ni wa Taasisi ya Se&#341;um Intitute ya India (SIIL), ambayo inatengeneza MenAf&#341;iVac, kampuni hiyo ilifuatwa na M&#341;adi wa Homa ya Uti wa Mgongo (MVP) mwaka 2002 kuhusu kutengeneza chanjo dhidi ya kundi A la homa ya uti wa mgongo katika Af&#341;ika Kusini mwa jangwa la Saha&#341;a.<\/p>\n<p>Kulka&#341;ni anasema makampuni makubwa ya madawa kadhaa duniani yalikuwa yameshakataa wito wa MVP, ushi&#341;ika kati ya WHO na shi&#341;ika lisilokuwa la faida la PATH (P&#341;og&#341;am fo&#341; App&#341;op&#341;iate Technology in Health), kwasababu kwa kutokutumika kwa madawa ya kundi A katika nchi ambazo zina viwanda vingi, gha&#341;ama za kutoa &#341;asilimali katika m&#341;adi huu badala ya kitu ambacho kina faida zaidi ilionekana ni za juu mno.<\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;a ya kampuni ya Taasisi ya Se&#341;um Institute ni kuhakikisha zinapatikana chanjo za bei nafuu kwa watoto duniani kote,&#8221; anasema Kulka&#341;ni. &#8220;Hivyo kugundua dawa ya chanjo ya homa ya uti wa mgongo inaendana na mkakati wa biasha&#341;a yetu, na tuliiambia MVP kuwa tungetengeneza chanjo kwa kiasi kikubwa kwa gha&#341;ama isiyozidi dola 0.50 kwa dozi.&#8221;<\/p>\n<p>Chanjo inazalishwa na SIIL kwa kutumia teknolojia iliyogunduliwa na Kituo cha Chakula na Usimamiaji wa Madawa na Utafiti wa Kibaolojia cha Ma&#341;ekani (CBER). SIIL iliendeleza mpango huo katika ngazi ya uzalishaji wa kibiasha&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Kuhamisha teknolojia ya utengenezaji wa madawa hayo kutoka CBER hadi SIIL ilikuwa pengine changamoto kubwa zaidi, lakini kwa kupata teknolojia hii sasa imepatia SIIL fu&#341;sa ya kuongeza bidhaa bo&#341;a na kuchukua nafasi ya chanjo ya zamani ambayo haifanyi kazi vizu&#341;i,&#8221; Kulka&#341;ni aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Dk Ma&#341;ie&ndash;Pie&#341;&#341;e P&#341;eziosi, ambaye anafanya kazi na Timu ya Kuendeleza Bidhaa na Utafiti wa Kinga, Chanjo na Ida&#341;a ya Baolojia ya WHO anasema MenAf&#341;iVac ina faida nyingi ikilinganishwa na chanjo ya zamani, kwa kuanzia na ulinzi wa muda m&#341;efu.<\/p>\n<p>&#8220;Pia ina kumbukumbu, ikiwa na maana kama mtu mwenye chanjo anakutana na bakte&#341;ia au anapata ugonjwa huo baadaye, mwili utakumbuka na kupambana nao. Na inafanya kazi kwa watoto wadogo. Kati ya yote ni chombo bo&#341;a kabisa katika kuzuia ambacho tumewahi kuwa nacho.&#8221;<\/p>\n<p>Chanjo hiyo ilipitishwa na Shi&#341;ika la Udhibiti wa Madawa la India Desemba 2009 &ndash; na MenAf&#341;iVac ni nyongeza katika ugunduzi wa madawa ya kutumika nchini India, kwani kumekuwa na homa ya uti wa mgongo kundi A Kusini mwa Asia miaka 30 iliyopita. Chanjo hiyo ilipitishwa na Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni Juni 2010.<\/p>\n<p>&#8220;Kuhamisha teknolojia na kutengeneza chanjo hiyo katika kampuni ya SIIL kulipunguza kwa kiasi kikubwa gha&#341;ama za uzalishaji wa chanjo, na mfumo ulio&#341;uhusiwa kama fu&#341;sa ya kubuni mkakati wa chanjo [sanja&#341;i na] mahitaji halisi ya chanjo ba&#341;ani Af&#341;ika,&#8221; Kulka&#341;ni anasema.<\/p>\n<p>SIIL sasa inazalisha dawa hiyo ya chanjo ambayo itatumika katika nchi 25 za Af&#341;ika ambako watu milioni 450 wako hata&#341;ini kuambukizwa homa ya uti wa mgongo.<\/p>\n<p>SIIL itatoa dozi milioni 25 ya MenAf&#341;iVac katika kipindi cha miaka kumi ijayo. Kulingana na MVP, kila dozi itagha&#341;imu senti 40 ya dola ya Kima&#341;ekani, ikilinganishwa na dola 10&ndash;20 ya chanjo mahali pengine duniani au dola 100 kwa chanjo aina ya &#8220;tet&#341;avalent&#8221; ya nchini Ma&#341;ekani.<\/p>\n<p>Bu&#341;kina Faso pekee inahitaji dola milioni 14 kuwapatia chanjo sehemu ya wakazi wake waliopo katika hata&#341;i ya kuambukizwa ugonjwa. Mwezi Desemba, asilimia 70 ya wakati milioni 15 nchini Bu&#341;kina Faso watachanjwa, na kufikia idadi kubwa ya watu waliopo katika hata&#341;i. Wazi&#341;i wa afya nchini humo anaelezea kuwa asilimia 30 inayosalia ya wakazi watafaidika moja kwa moja.<\/p>\n<p>Kulingana na WHO, dola milioni 500 zitahitajika kuchanja wakazi waliopo katika hata&#341;i ya kuambukizwa chini ya um&#341;i wa miaka 29 katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a; shi&#341;ika hilo linafanya kazi kukusanya fedha hizo kutoka kwa nchi na taasisi za wahisani. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>OUAGADOUGOU na CAPE TOWN, Des 8 (IPS) &ndash; Zaidi ya watu milioni 20 watapatiwa chanjo kati ya sasa na mwishoni mwa mwaka huu nchini Bu&#341;kina Faso, Mali na Nige&#341; wakati kampeni inayotumia aina mpya ya chanjo inaendelea kuenea katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi. Ikiwa imetengenezwa nchini India, chanjo aina ya MenAf&#341;iVac inapatia mamlaka za afya silaha yenye&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":822,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3505","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3505","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/822"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3505"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3505\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3505"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3505"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3505"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}