{"id":3502,"date":"2010-12-10T13:40:01","date_gmt":"2010-12-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/12\/10\/kutafsii-mfuko-wa-kijani-wa-afika\/"},"modified":"2010-12-10T13:40:01","modified_gmt":"2010-12-10T13:40:01","slug":"kutafsii-mfuko-wa-kijani-wa-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/12\/10\/kutafsii-mfuko-wa-kijani-wa-afika\/","title":{"rendered":"Kutafsi&#341;i Mfuko wa Kijani wa Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>CANC&Uacute;N (IPS\/Te&#341;&#341;aViva), Des 8, 2010 (IPS) &ndash; Ufadhili kwa nchi zinazoendelea ili kusaidia kupunguza uzalishaji wa gesi ukaa zinazochafua anga kuzuia mabadiliko ya hali ya hewa ni moja ya kazi iliyopo mbele ya waendesha mazungumzo na wanasiasa katika Mkutano wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa mjini Canc&uacute;n.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Dk Anthony Nyong wa Benki ya Maendeleo ya Af&#341;ika anaelezea msimamo wa Af&#341;ika wa jinsi gani fedha hizo zinahitajika, kwa ajili gani, na nini cha kufanya na nani azisimamie. Sehemu ya mahojiano inafuata.<\/p>\n<p>Swali: Umewasilisha mchanganuo wa m&#341;adi kuanzisha mfuko wa ba&#341;a zima unaojulikana kama Mfuko wa Kijani Af&#341;ika, lakini hatujaona fedha zozote zile. Ni kiasi gani cha fedha zinatakiwa kupatikana kwa ajili ya mahitaji ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa Af&#341;ika <\/p>\n<p>Jibu: Msingi wa suala zima uko wazi, lakini baadhi ya watu wameamua kulifanya kuwa suala gumu.<\/p>\n<p>Disemba 2009 wakati walipopitisha Mkataba wa Copenhagen, fedha za ha&#341;aka ha&#341;aka ambazo zilikubaliwa ilikuwa kwa ajili ya mwaka 2010&ndash;2012. Mjini Copenhagen, mataifa yenye maendelela makubwa yalitoa ahadi za kisiasa kupatia mataifa yanayoendelea dola bilioni 30 kwa kipindi cha mwaka 2010 hadi 2012 kwa ajili ya kukabiliana na kuishi na mabadiliko.<\/p>\n<p>AfDB imeandaa mchanganuo wa kuwa na Mfuko wa Kijani Af&#341;ika. Huu uliungwa mkono na mataifa yote ya Af&#341;ika, kuwa Af&#341;ika inatakiwa kuwa mwangalifu katika kufadhili mabadiliko ya hali ya hewa katika ngazi ya kikanda.<\/p>\n<p>Fedha zinazopendekezwa ni pamoja na kuongeza upatikanaji wa fedha hizo wa moja kwa moja na nchi moja moja, kush&#341;ikiana kikamilifu na vipaumbele na michakato ya Af&#341;ika ikiwa ni pamoja na kuima&#341;isha mifumo ya nchi ya kusaidia utekelezaji wa mi&#341;adi.<\/p>\n<p>Mfuko umetambuliwa katika &#341;ipoti ya jopo la wataalam ambalo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alilipatia kazi ya kuangalia ufadhili wa masuala ya hali ya hewa wa muda m&#341;efu na jinsi gani tunaweza kupata dola bilioni 100 kwa mwaka ifikapo mwaka 2020 ambazo nchi zenye maendeleo zinaweza kutoa. Na tunawakilishwa na Wazi&#341;i Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi katika timu ya kuangalia njia mbadala za kupata fedha hii. Ripoti hii itawekwa mbele ya pande zinazohusika wiki hii.<\/p>\n<p>Jopo hili lina mapendekezo kuwa Mfuko wa Kijani Af&#341;ika unatakiwa kupokea dola bilioni 20 kwa mwaka, lakini hilo siyo pendekezo letu. Pendekezo la Af&#341;ika ni dola bilioni 40 kwa mwaka. Mfuko huo ni mpango wa benki, ni mpango wa ba&#341;a hili, tunachukua hatua ya ombi hilo.<\/p>\n<p>Hii itasaidia kutekeleza mi&#341;adi ya kukabiliana na kuweza kuishi katika mabadiliko na maeneo mengine ya uwezeshaji kama vile kujenga uwezo na kuhamisha teknolojia, masuala yote ambayo yanajadiliwa.<\/p>\n<p>Swali: Waendesha mazungumzo wa Af&#341;ika wamenukuu kiasi kinachohitajika kwa ba&#341;a kuishi na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Unaona ni namba ipi inayoaminika zaidi <\/p>\n<p>Jibu: Unapopiga hesabu za gha&#341;ama za kukabiliana na kuishi katika mabadiliko ya hali ya hewa, watu wengi wanapiga mahesabu ya kuishi katika mabadiliko kuingiza maendeleo ya msingi. Kama huna ba&#341;aba&#341;a nzu&#341;i, huwezi kutekeleza mkakati wa kupunguza majanga. Kama huna hospitali nzu&#341;i, huwezi kukabiliana na madha&#341;a ya kiafya ya mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>Hivyo kuna mambo mengi. Baadhi wanaweka gha&#341;ama za maendeleo ya msingi chini kama sehemu ya kuishi katika mabadiliko; kwa wengine, wanaona ni bo&#341;a kuishi katika mabadiliko bila kuingiza gha&#341;ama za miundombinu.<\/p>\n<p>Mimi mwenyewe naunga mkono mfumo ambao unaelezea kwamba kuishi katika mazingi&#341;a kunahusu maendeleo ya msingi halafu nyongeza ya gha&#341;ama zinazotokana na mabadiliko ya hali ya hewa.<\/p>\n<p>Swali: Nani anapaswa kusimamia mfuko wa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa <\/p>\n<p>Jibu: Benki za maendeleo kikanda zinapaswa kusimamia fedha. Fedha hizi hazitakiwi kuwa sehemu yoyote ile moja.<\/p>\n<p>Tunataka &#341;asilimali hizi kusambazwa kuzipeleka ka&#341;ibu na watu. Kama unaziweka mahali pamoja, inakiuka lengo la kusambaza maendeleo. Nia yangu ni kwamba benki za maendeleo za kikanda kama Benki ya Maendeleo Af&#341;ika zinapaswa kusimamia fedha hizo.<\/p>\n<p>Swali: Mfuko utaegemea tu katika fedha zilizoahidiwa katika mazungumzo haya <\/p>\n<p>Jibu: Hapana, mataifa ya Af&#341;ika pia yatatoa ahadi zao kuchangia mfuko huu na Mfuko wa Maendeleo Af&#341;ika hautakataza nchi kupata fedha kutoka nje ya mtandao huu wa kikanda.<\/p>\n<p>Swali: Umeonya waendeshaji wa mazungumzo Af&#341;ika wasikubali mkataba ambao hautafanya kazi kwa Af&#341;ika, na umetoa mfano wa Mfumo wa Maendeleo Safi (CDM). Hili lilishindwaje <\/p>\n<p>Jibu: Wakati wa mchakato wa mazungumzo ya Mfumo wa Maendeleo Safi mjini Kyoto, mfumo wa kufadhili ulikuwa haujawekwa sawa kuendana na mahitaji na vipaumbele vya Af&#341;ika. Hatutaki hili ku&#341;udiwa.<\/p>\n<p>Matatizo ya CDM ni mengi, kwanza kutokana na kwamba katika ngazi ya maendeleo hauwezi kusaidia kiu&#341;ahisi mi&#341;adi ambayo ingetusaidia kupata kipato cha kaboni kutoka soko la kaboni. Hatujaona mi&#341;adi mingi ya maendeleo endelevu katika sekta ya nishati kwasababu tuna vyanzo vingi vya nishati mbadala isiyochafua anga.<\/p>\n<p>Halafu tatizo la pili ni kwamba sekta ambazo zinatoa hewa chafu kutoka ba&#341;a la Af&#341;ika hazijahusishwa kwa kiasi kikubwa, kama vile kilimo na misitu.<\/p>\n<p>Tatizo la tatu ni kwamba gha&#341;ama za kufanya biasha&#341;a ba&#341;ani Af&#341;ika bado ziko juu. Hii imesababisha kiasi kidogo cha ushi&#341;iki katika mfumo huu ba&#341;ani Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Swali: Una uhakika gani kuwa nchi zilizoendelea zitatoa fedha, hasa kwa kuzingatia hali ya sasa ya mgogo&#341;o wa kiuchumi ba&#341;ani Ulaya <\/p>\n<p>Jibu: Kuna migogo&#341;o na kuna ahadi. Kuna mambo ambayo unapaswa kuyafanya wakati una mgogo&#341;o. Na ahadi za mabadiliko ya hali ya hewa ni moja ya mambo hayo.<\/p>\n<p>Tunata&#341;ajia nchi hizi kutekeleza ahadi zao kuhakikisha kuwa kuna ufumbuzi wa kidunia wa mabadiliko ya hali ya hewa. Tunatumia muda mwingi mno kuzungumzia kuhusu fedha, lakini njia bo&#341;a zaidi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ni kuyazuia. Kama hautapunguza uzalishaji wa hewa chafu hakuna kiasi chochote cha fedha ambacho kitasaidia.<\/p>\n<p>Kwa hiyo mataifa yaliyoendelea yana mambo mawili ya kufanya. Kwanza, kupunguza uzalishaji wa hewa chafu hadi viwango vinavyokubalika kisayansi, na pili, kutoa &#341;asilimali kwa nchi ambazo zinaathi&#341;ika na ili kuchukua hatua.<\/p>\n<p>Swali: Nini jukumu la Kituo Kipya cha Se&#341;a za Mabadiliko ya Hali ya Hewa kilichoanzishwa na Umoja wa Af&#341;ika, Benki ya Maendeleo ya Af&#341;ika na Tume ya Uchumi Af&#341;ika <\/p>\n<p>Jibu:\tKituo hicho kitatoa mwongozo wa se&#341;a za maendeleo kuhakikisha kuwa nchi zinapatiwa uwezo wa kutosha kushughulikia changamoto na atha&#341;i za mabadiliko ya hali ya hewa.<\/p>\n<p>Jibu: Kuna masuala mawili ambayo tunapaswa kuyashughulikia ili kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, mi&#341;adi na se&#341;a. Moja ya sababu kwa nini nishati mbadala zisizochafua mazingi&#341;a hazitekelezwi vema ba&#341;ani Af&#341;ika ni kutokana na kukosa se&#341;a. Kituo cha Se&#341;a kitahakikisha kuwa mataifa ya Af&#341;ika yana se&#341;a na kuleta mageuzi ya kishe&#341;ia kuhakikisha mipango ya mabadiliko ya hali ya hwa inafanikiwa. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CANC&Uacute;N (IPS\/Te&#341;&#341;aViva), Des 8, 2010 (IPS) &ndash; Ufadhili kwa nchi zinazoendelea ili kusaidia kupunguza uzalishaji wa gesi ukaa zinazochafua anga kuzuia mabadiliko ya hali ya hewa ni moja ya kazi iliyopo mbele ya waendesha mazungumzo na wanasiasa katika Mkutano wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa mjini Canc&uacute;n. Dk Anthony Nyong wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":0,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3502","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3502","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3502"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3502\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3502"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3502"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3502"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}