{"id":3496,"date":"2010-12-06T13:40:01","date_gmt":"2010-12-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/12\/06\/uganda-kwa-nini-kupoteza-arvs-kwa-wafanyabiashaa-ya-ngono\/"},"modified":"2010-12-06T13:40:01","modified_gmt":"2010-12-06T13:40:01","slug":"uganda-kwa-nini-kupoteza-arvs-kwa-wafanyabiashaa-ya-ngono","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/12\/06\/uganda-kwa-nini-kupoteza-arvs-kwa-wafanyabiashaa-ya-ngono\/","title":{"rendered":"UGANDA: &#8216;Kwa Nini Kupoteza ARVs kwa Wafanyabiasha&#341;a ya Ngono &#8216;"},"content":{"rendered":"<p>KAMPALA, Des 3 (IPS) &ndash; Wafanyabiasha&#341;a wa ngono, wakiwa moja ya wananchi ambao wako hata&#341;ini zaidi kuambukizwa VVU nchini Uganda, wanasema bado hawajapata haki zao za afya.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wafanyabiasha&#341;a ya ngono wanasema wameachwa katika mipango ya taifa ya kupambana na VVU na wanapata shida ya kupata madawa ya ku&#341;efusha maisha.<\/p>\n<p>&#8220;Siyo kwamba huduma hizi za VVU\/UKIMWI hazipo, ni kutokana na unyanyapaa tu unaowazunguka wafanyabiasha&#341;a ya ngono,&#8221; anasema Maclean Kamya, mfanyabiasha&#341;a ya ngono na mtetezi wa haki za binadamu katika mji mkuu, Kampala.<\/p>\n<p>&#8220;Tunapotembelea vituo vya afya, baadhi ya wafanyabiasha&#341;a ya ngono wanasema, &#8216;Lakini wewe ni mfanyabiasha&#341;a tu ya ngono na sisi tunapoteza tu ARVs zetu. Ni kwa nini tukupatie tiba  Inabidi kuwapatia watu wanaohitaji huduma.&#8217; Huo ni ubaguzi wa jumla,&#8221; alisema katika mahojiano na IPS.<\/p>\n<p>Kulingana na taa&#341;ifa ya hivi ka&#341;ibuni ya Shi&#341;ika la UKIMWI la Umoja wa Mataifa, wafanyabiasha&#341;a ya ngono wana asilimia 10 ya maambukizi mapya ya VVU mwaka 2009. Hata hivyo se&#341;ikali inatumia she&#341;ia za adhabu kubagua makundi yanayoonekana kuwa hata&#341;ishi zaidi, kama vile wafanyabiasha&#341;a ya ngono na mashoga. Wanaha&#341;akati wanasema hii inasababisha unyanyapaa na ubaguzi na unasababisha kunyima watu tiba, matunzo na msaada.<\/p>\n<p>Katika miezi michache iliyopita, bunge la Uganda limekuwa likijadili she&#341;ia kadhaa tata, miongoni mwao ikiwa ni Muswada wa Kudhibiti na Kuzuia VVU\/UKIMWI, ambao wanaha&#341;akati wa haki za binadamu wanasema inaweza kuwa kama kichocheo cha gonjwa la UKIMWI kwa wafanyabiasha&#341;a ya ngono ambao wanafanya kazi yao kwa kujificha. Biasha&#341;a ya ngono taya&#341;i ni kosa la jinai katika uta&#341;atibu wa mashitaka ya makosa ya jinai Uganda.<\/p>\n<p>Muswada huo unaweka adhabu katika kusambaza VVU; mbali ya kupunguza kueneza vi&#341;usi, wapinzani wa muswada wanasema inafanya hali kuwa ngumu zaidi kwa wakazi waliopo katika mazingi&#341;a hata&#341;ishi kupata tiba na taa&#341;ifa kuhusu afya ya kujamiiana.<\/p>\n<p>Kutokana na unyanyapaa dhidi ya biasha&#341;a ya ngono, Kamya alisema, wafanyabiasha&#341;a ya ngono ambao wanagundua hali yao ma&#341;a nyingi wanachukizwa na kuamua kunywa pombe na kutumia madawa ya kulevya badala ya kutafuta msaada.<\/p>\n<p>&#8220;Wanahisi kuwa ulimwengu umewasahau,&#8221; alisema Kamya, ambaye pia ni m&#341;atibu wa chama cha wafanyabiasha&#341;a ya ngono mjini Kampala.<\/p>\n<p>&#8216;Siyo halali na ni kosa la jinai&#8217;<\/p>\n<p>Kwa wafanyabiasha&#341;a ya ngono, siyo tu kwamba upatikanaji wa madawa unanyima haki yao lakini pia kujitahidi kupata haki yao ya kukusanyika, kubadilishana uzoefu na kubuni njia za kujilinda na vu&#341;ugu, ukiukwaji wa haki za binadamu na VVU\/UKIMWI.<\/p>\n<p>Hivi ka&#341;ibuni se&#341;ikali ya Uganda ilizuia kufanya mkutano wa kikanda wa kukuza haki za afya za wafanyabiasha&#341;a ya ngono na kuwawezesha kiuchumi. Mkutano huo, ulioandaliwa na shi&#341;ika la wanawake la Af&#341;ika la Akina Mama wa Af&#341;ika (AMWA), limevutia wafanyabiasha&#341;a ya ngono kutoka katika mataifa yote ya Jumuiya ya Af&#341;ika Masha&#341;iki (EAC) na ulipangwa kufanyika katika hoteli ya Kampala.<\/p>\n<p>Katika ba&#341;ua yenye maneno makali kwa hoteli, Wazi&#341;i wa Nchi wa Maadili na Uadilifu, James Nsaba Butu&#341;o, alionya kuwa kufanya mkutano wa wafanyabiasha&#341;a ya ngono ni ha&#341;amu nchini Uganda.<\/p>\n<p>Butu&#341;o baadaye aliiambia IPS kuwa hakuna jinsi wa&#341;sha ya makahaba ingeweza ku&#341;uhusiwa kufanyika katika a&#341;dhi ya Uganda. Alitetea hatua zake za kutumia She&#341;ia ya Uta&#341;atibu wa Mashitaka ya Makosa ya Jinai na katiba ya Uganda ya mwaka 1995 kuhalalisha hatua yake.<\/p>\n<p>&#8220;Tuna msimamo wetu kama taifa ambao unaungwa mkono na she&#341;ia zetu. Hivyo kudai kuwa hata kama shughuli zao ni ha&#341;amu zinatakiwa kutambuliwa na kuungwa mkono ni uhalifu wa kweli. Wanatakiwa kukamatwa na kukumbushwa juu ya hili,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Kunyimwa haki <\/p>\n<p>Kamya alisema Butu&#341;o hakuelewa ajenda ya mkutano ambayo ilitakiwa kulenga katika ujuzi wa kiuongozi, kujenga kujiamini na maa&#341;ifa ya ujasi&#341;iamali. Pia kuangalia haki ya afya kama VVU\/UKIMWI, afya ya uzazi na kujamiiana na uwezeshaji wa kiuchumi.<\/p>\n<p>&#8220;Binafsi nilijisikia hali mbaya. Kwa hiyo nilipatwa na aibu, kubughudhiwa na kuje&#341;uhiwa. Tulikuwa tunaja&#341;ibu kuleta masuala ambayo yanatuathi&#341;i na kufiki&#341;i se&#341;ikali ingejitokeza na kutuunga mkono katika jitihada zetu za kutuwezesha kiuchumi na masuala ya afya ya uzazi. Lakini tulikosea,&#8221; Kamya alisema.<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi Mkuu wa AMwA Solome Kimbugwe alisema hatua za se&#341;ikali zilikuwa za kibaguzi na ukiukwaji wa haki za wanawake kwani masuala ya kujadiliwa siku hiyo yalikuwa muhimu kwa afya ya wanawake na VVU.<\/p>\n<p>&#8220;Tulikuwa na kikwazo kikubwa katika afya ya kujamiiana na uzazi na ustawi wa jamii kwasababu tunaangalia mno takwimu za VVU. Pia tunakuwa macho na ukweli kwamba wafanyabiasha&#341;a ya ngono wengi wamekuwa wakifa&#341;iki dunia kutokana na janga la VVU na kwamba wananyimwa hata haki za msingi ambazo sote sisi tunazikiuka; kama vile taa&#341;ifa, elimu na afya. Wengi wao pia wako mbali na upatikanaji wa bu&#341;e wa ARV kutokana na kusema kuwa hao ndio wafanyabiasha&#341;a ya ngono tu,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Wafanyabiasha&#341;a ya ngono walisema hatua za wazi&#341;i pia zilikiuka Kifungu cha 29 cha katiba ya Uganda, ambacho kinatoa uhu&#341;u wa kukusanyika, kutoa maoni na kutokubaguliwa. Pia wamesema hatua hizo zilikuwa zikiwanyima kupata haba&#341;i za jinsi gani ya kuzuia na kutibu VVU\/UKIMWI miongoni mwao.<\/p>\n<p>&#8220;Sasa hatuwezi kuwa na mazungumzo; hatuwezi kuwa shi&#341;ikishi. Kwa sasa watakwenda kujificha kwasababu ya hofu. Huwezi kukubali kukamatwa na kusubi&#341;i katika jela yoyote ile nchini. Mchakato wa kupata haki ni m&#341;efu na unachukua muda m&#341;efu.<\/p>\n<p>&#8220;Suala muhimu zaidi, mazungumzo ya aina hiyo yana&#341;uhusu wafanyabiasha&#341;a ya ngono kujua kuwa ni washi&#341;iki wenye uwezo katika safa&#341;i yao, katika masuala yanayohusu afya ya kujamiiana, masuala yanayohusu uchaguzi na masuala ya kusimamia janga la VVU. Matokeo makubwa ya takwimu za UNAIDS ni ya wazi kabisa,&#8221; Kimbugwe alisema.<\/p>\n<p>M&#341;atibu Mkazi wa UNAIDS Musa Bungudu alielezea wasiwasi wake. &#8220;Haki ya mtu kupata taa&#341;ifa, tiba na huduma nyingine isiathi&#341;iwe kwa kitu chochote. Ni lazima wote tushi&#341;ikishwe. Kwa kuwanyima wafanyabiasha&#341;a ya ngono kile wanachotaka kufanya, hatuwi shi&#341;ikishi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Akijibu matamshi ya Butu&#341;o kuwa she&#341;ia ya sasa ya ukahaba haina nguvu ya kutosha na kwamba se&#341;ikali ingependa &#8220;kutunga she&#341;ia mpya ambayo itakuwa na majibu kulingana na wakati tulio nao,&#8221; Bungudu alitahadha&#341;isha kuwa hatua kama hiyo ingehitaji kuendana na haki za binadamu za kimataifa ambazo se&#341;ikali imesaini.<\/p>\n<p>&#8220;Kila kitu ambacho se&#341;ikai inataka kufanya, kinatakiwa kuendana na destu&#341;i na jumuiya ya kimataifa. Na ahadi zozote zile za haki za binadamu ambazo zimesainiwa nchini Uganda, ni muhimu kuwa zinaheshimiwa,&#8221; Bungudu alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Ni muhimu kuangalia jinsi gani baadhi ya se&#341;a za utawala zinaweza kusaidia kufanya hali kuwa mbaya zaidi. Uganda ina watu milioni 1.2 wanaoishi na VVU. Hadi Desemba 2009, kuna maambukizi mapya 124,000. Asilimia kumi ya hawa ni wafanyabiasha&#341;a ya ngono.<\/p>\n<p>&#8220;Nadhani tunahitaji kuwa waangalifu kwa kiasi kikubwa katika kufanya kitu ambacho kinaweza kufanya takwimu hizi kuwa juu,&#8221; Bungudu alisitiza. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA, Des 3 (IPS) &ndash; Wafanyabiasha&#341;a wa ngono, wakiwa moja ya wananchi ambao wako hata&#341;ini zaidi kuambukizwa VVU nchini Uganda, wanasema bado hawajapata haki zao za afya. Wafanyabiasha&#341;a ya ngono wanasema wameachwa katika mipango ya taifa ya kupambana na VVU na wanapata shida ya kupata madawa ya ku&#341;efusha maisha. &#8220;Siyo kwamba huduma hizi za VVU\/UKIMWI&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":383,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3496","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3496","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/383"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3496"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3496\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3496"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3496"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3496"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}