{"id":3493,"date":"2010-12-06T13:40:01","date_gmt":"2010-12-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/12\/06\/afrika-tishio-la-kimbunga-halisi-ukimwi-na-mgogoo-mpya-wa-chakula\/"},"modified":"2010-12-06T13:40:01","modified_gmt":"2010-12-06T13:40:01","slug":"afrika-tishio-la-kimbunga-halisi-ukimwi-na-mgogoo-mpya-wa-chakula","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/12\/06\/afrika-tishio-la-kimbunga-halisi-ukimwi-na-mgogoo-mpya-wa-chakula\/","title":{"rendered":"AFRIKA: Tishio la Kimbunga Halisi &ndash; UKIMWI na Mgogo&#341;o Mpya wa Chakula"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Des 1 (IPS) &ndash; Mwezi Novemba, Shi&#341;ika la Chakula na Kilimo ni moja ya sauti nyingi zinazotoa tahadha&#341;i kuwa bei ya chakula zimeongezeka kwa viwango ambavyo vilionekana kwa ma&#341;a ya mwisho katika mgogo&#341;o wa mwaka 2007&ndash;2008. Nchi nyingi ambazo zimeathi&#341;ika zaidi na ku&#341;ejea katika tatizo ni Af&#341;ika, ambapo uhaba wa chakula unazidishwa na UKIMWI.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Tupo katika hali ambapo kwa ujumla wake bei ya chakula imeongezeka sana&#8230; lakini wakati uchumi wa dunia uki&#341;ejea katika hali yake ya kawaida, tungeweza kuona bei za vitu pia zikipanda,&#8221; alisema Scott D&#341;imie, mtafiti katika IFPRI, Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti na Se&#341;a za Chakula.<\/p>\n<p>Kulingana na Shi&#341;ika la Mpango wa Chakula, asilimia 22 ya nchi 30 zilizopo kwenye hata&#341;i kubwa ya kuhitaji msaada wa chakula nje ni Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, ambapo nchi nyingi zinakabiliwa na UKIMWI.<\/p>\n<p>&#8220;Wakati bei za chakula zinafanya chakula chenye lishe kutokufikia watu wengi wanaoishi na VVU na UKIMWI, inakuwa mgogo&#341;o wa ha&#341;aka,&#8221; aliongeza D&#341;imie.<\/p>\n<p>Gonjwa la UKIMWI linakabili watu mmoja mmoja, kaya na jumuiya zenye mazingi&#341;a mbalimbali ya kiuchumi, kijamii, kimazingi&#341;a na kiafya ambayo yanatishia kipato cha maisha yao. Kwa miaka kumi, Mtandao wa Kikanda wa UKIMWI wa IFPRI, Kipato na Usalama wa Chakula (RENEWAL) umekuwa ukitafiti atha&#341;i kwa watu wanaoishi na VVU na UKIMWI katika Af&#341;ika Masha&#341;iki na Kusini mwa Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Sam Bota, m&#341;atibu wa RENEWAL nchini Malawi, anasema madha&#341;a ya kwanza ya UKIMWI ni kupotea moja kwa moja kwa nguvukazi. &#8220;Ripoti ya sensa ya taifa (nchini Malawi) inaonyesha wazi kuwa asilimia kubwa ya wakulima wanatumia muda m&#341;efu wakitunza ndugu wagonjwa. Na baada ya kifo, wanapoteza muda mwingi mno &ndash; ma&#341;a nyingi siku 20 za mazishi &ndash; wote huo ni kupoteza muda wa kuzalisha.&#8221;<\/p>\n<p>Katika ukanda mzima, mabadiliko ya tabia nchi yanaathi&#341;i kaya ambazo taya&#341;i zina matatizo kutokana na kukosekana kwa uhakika na muda wa kunyesha mvua, ambapo ma&#341;a nyingine inapunguza mavuno au kuwashinikiza wakulima kugeukia mazao mapya na ambayo hayajazoeleka. <\/p>\n<p>UKIMWI pia unaua watu muhimu ambao wangekuwa sehemu ya kupunguza matatizo haya, kukabiliana na uhaba wa nguvukazi, na kukabiliana na mazingi&#341;a magumu. Tafiti nchini Malawi na nchi za ji&#341;ani nchini Zambia imeonyesha jinsi gani huduma za ugani katika kilimo zimeathi&#341;i VVU; na kuathi&#341;i usalama wa chakula.<\/p>\n<p>Nchini Malawi, kuna asilimia 46 ya nafasi za kazi za ugani kutokana na wafanyakazi wa ugani kuugua ma&#341;adhi au vifo vinavyotokana na UKIMWI. Kupoteza watu hawa wenye maa&#341;ifa kuna madha&#341;a makubwa kwa uzalishaji wa kilimo, anasema Bota.<\/p>\n<p>Wanakaya wanaoangukia katika kukosekana kwa usalama wa chakula na kipato wanahata&#341;isha kuingia katika mzunguko wa hata&#341;i.<\/p>\n<p>&#8220;Kuongezeka kwa kasi kwa uhaba wa chakula kunaweza kusababisha kuhama kwa watu kutafuta chakula na aji&#341;a,&#8221; mku&#341;ugenzi wa RENEWAL Stua&#341;t Gillespie aliandika wakati wa mgogo&#341;o wa chakula 2008. &#8220;Kuhama ni alama ya kuenea kwa VVU, kwa watu wanaohama, na kwa watu wazima ambao wanaweza kubakia nyumbani.&#8221;<\/p>\n<p>Watoto wanaweza kuondolewa shuleni kwenda kufanya kazi &ndash; wanakuwa hata&#341;ini kuambukizwa VVU katika ulimwengu wa aji&#341;a, na kukosa elimu ambayo ingepunguza nafasi zao za kuambukizwa UKIMWI. Uhaba wa chakula pia unawezekana kuhusishwa na ngono isiyokuwa salama kwa wanawake maskini.<\/p>\n<p>Hatua zilizopendekezwa zinataka kwenda zaidi ya ufumbuzi wa mgogo&#341;o wa chakula wa muda mfupi kwa mfano, kuwa na uhusiano wenye maana kati ya kilimo na sekta za afya.<\/p>\n<p>&#8220;Tuna watu ambao hawana njia za kutumia &#341;asilimali kuzalisha chakula,&#8221; anasema Robe&#341;t Ochai wa Uganda&#8217;s AIDS Suppo&#341;t O&#341;ganisation. &#8220;Watu hawa hawatakiwi kuachwa wakiteseka. Tunatakiwa kupata a&#341;dhi na mikopo ya kifedha kwa ajili yao ili kuleta mabadiliko ya maisha yao.<\/p>\n<p>Pia tunahitaji mabadiliko ya se&#341;a ambayo yata&#341;uhusu watu kupata a&#341;dhi, ili kuwe na hatua zitakazochukuliwa na se&#341;ikali, washi&#341;ika wa maendeleo na watu mmoja mmoja.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Des 1 (IPS) &ndash; Mwezi Novemba, Shi&#341;ika la Chakula na Kilimo ni moja ya sauti nyingi zinazotoa tahadha&#341;i kuwa bei ya chakula zimeongezeka kwa viwango ambavyo vilionekana kwa ma&#341;a ya mwisho katika mgogo&#341;o wa mwaka 2007&ndash;2008. Nchi nyingi ambazo zimeathi&#341;ika zaidi na ku&#341;ejea katika tatizo ni Af&#341;ika, ambapo uhaba wa chakula unazidishwa na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":818,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3493","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3493","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/818"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3493"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3493\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3493"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3493"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3493"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}