{"id":3492,"date":"2010-12-06T13:40:01","date_gmt":"2010-12-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/12\/06\/unyanyasaji-wa-kijinsia-maafisa-wa-polisi-wa-zimbabwe-wanajisahau\/"},"modified":"2010-12-06T13:40:01","modified_gmt":"2010-12-06T13:40:01","slug":"unyanyasaji-wa-kijinsia-maafisa-wa-polisi-wa-zimbabwe-wanajisahau","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/12\/06\/unyanyasaji-wa-kijinsia-maafisa-wa-polisi-wa-zimbabwe-wanajisahau\/","title":{"rendered":"Unyanyasaji wa Kijinsia: &#8216;Maafisa wa Polisi wa Zimbabwe Wanajisahau&#8217;"},"content":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Nov 30 (IPS) &ndash; Tasha Ncube* hana maneno ya kusema kuhusu polisi. Mapema mwezi uliopita, mama wa um&#341;i wa miaka 31 mwenye watoto wawili alipigwa ma&#341;a kadhaa na mume wake kuhusu kile anachosema kuwa ubishi wa kawaida. Hii ilikuwa ma&#341;a ya kwanza katika ndoa yake ambayo imedumu kwa miaka bila kuonekana jambo kama hilo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Nilianza kuhisi ameshaanza kuwa na mtu kwani nilisikia haba&#341;i kama hizo kabla kuhusu wanaume wenye &#8216;nyumba ndogo&#8217; ambaye anaanza kuwa mkali ghafla,&#8221; Ncube alisema. Nyumba ndogo inatumika kumaanisha mpenzi wa nyongeza katika nchi ya Zimbabwe.<\/p>\n<p>&#8220;Nilipomkabili alianza kuwa kichaa na kuanza kunipiga. Nilitoa taa&#341;ifa kwa polisi.&#8221;<\/p>\n<p>Lakini Ncube hakupata majibu aliyoyataka. &#8220;Walisema ninatakiwa kwenda nyumbani na kuwaomba ndugu watupatanishe kwani walikuwa wakipata &#341;ipoti nyingi za wanawake ambao wanafuta mashitaka baada ya waume zao kuomba msamaha. Nilishikwa na hasi&#341;a kali na kushindwa kujua niseme nini&#8230;&#8221;<\/p>\n<p>Kama ilivyo kwa wanawake wengine, ali&#341;ejea nyumbani na kuendelea na maisha na mume wake aliyemnyanyasa.<\/p>\n<p>Maofisa wanatafsi&#341;i she&#341;ia <\/p>\n<p>Tukio la Ncube ni mfano halisi wa kile wanaha&#341;akati wa jinsia wanachokiita pengo kubwa kati ya utekelezaji na tafsi&#341;i ya she&#341;ia ambazo zina lengo la kulinda wanawake wasinyanyaswe.<\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wa jinsia na wiza&#341;a ya jinsia walifanya kazi ya kuigwa mfano katika miaka kadhaa ya kushinikiza she&#341;ia ya GBV kupitishwa na Bunge. She&#341;ia ya Unyanyasaji wa Majumbani hatimaye ilipitishwa na Bunge mwaka 2007 katikati mwa shangwe kubwa.<\/p>\n<p>Lakini I&#341;ene Zwelibanzi, mwanaha&#341;akati ambaye ametumia usiku kadhaa katika kizimba cha polisi baada ya shi&#341;ika la wanawake la Women of Zimbabwe A&#341;ise (WOZA) kuandaa maandamano katika mitaa ya Bulawayo anasema mitizamo ya polisi dhidi ya wanawake bado haijabadilika.<\/p>\n<p>&#8220;Baadhi ya maofisa wa polisi wa kiume wanasahau kuwa wanapokuwa kazini ni wataalam lakini bado wanafanya mambo yao kama watu wasiokuwa na elimu mitaani na wanadha&#341;au wanawake ambao wanahitaji ulinzi wao,&#8221; Zwelibanzi alilalamika.<\/p>\n<p>&#8220;Hii haisaidii mapambano tunayoyaongoza ya haki zetu kwani sasa pia tunapambana kubadilisha mitizamo ya polisi wenyewe,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Polisi: &#8216;Tunachukulia suala hilo kwa uzito&#8217;<\/p>\n<p>Polisi wa Jamhu&#341;i ya Zimbabwe wanashikilia kuwa wamefanya kazi kubwa kuhamasisha watu wake katika kushugulikia kesi za unyanyasaji wa kijinsia na jinsi ya kushughulikia &#341;ipoti za wanawake waliopigwa.<\/p>\n<p>She&#341;ia ya Unyanyasaji Majumbani inasema kuwa unyanyasaji wa majumbani unaadhibiwa kwa kifunga cha hadi miaka 10. Hii ni sababu baadhi ya maofisa polisi hawachukulii &#341;ipoti kwa uzito wake, wakidai baadhi ya wake wasingependa kuona waume zao wakifungwa kwa muda m&#341;efu huo.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingine tunapata wake waki&#341;ipoti waume zao wakiwapiga, lakini baada ya kufungwa, mke huja dakika tu na kusema ameshamsamehe na anataka madai dhidi yake yaondolewe,&#8221; alisema ofisa polisi ambaye alizungumza kwa masha&#341;ti ya kutokutajwa.<\/p>\n<p>&#8220;Siyo kwamba hatuchukulii &#341;ipoti hizi kwa uzito, lakini ma&#341;a nyingine inasaidia migogo&#341;o hii kutokufikia vituo vya polisi kama ndoa inabidi zilindwe,&#8221; ofisa alitoa maoni.<\/p>\n<p>&#8220;Nadhani kwa jumla ni suala la mahusiano ya jinsia &ndash; jinsi gani wanaume wenye hisia kali wanavyokuwa wanaposikia uzoefu wa unyanyasaji wa majumbani wa wanawake hasa wanawake wasiowajua,&#8221; anasema Amanda Atwood wa kubatana.net, jukwaa la wanaha&#341;akati wa Zimbabwe katika mtandao.<\/p>\n<p>&#8220;Jinsi gani wanawake wanapenda kujadili masuala ya unyanyasaji wa majumbani na wageni, hasa wanaume &#8221; Atwood alisema.<\/p>\n<p>Wakati huo huo, kulingana na utafiti uliofanywa mwaka huu na shi&#341;ika la &#8220;Zimbabwe Women Resou&#341;ce Cent&#341;e and Netwo&#341;k&#8221;, unyanyasaji wa majumbani ulikuwa zaidi ya asilimia 60 ya kesi za mauaji katika Mahakama Kuu ya Ha&#341;a&#341;e, na hivyo kuonyesha ukubwa wa tatizo.<\/p>\n<p>Kukuza suala la GBV<\/p>\n<p>Kumekuwepo na msukumo wa kulifanya suala hilo kuonekana na kupewa nafasi katika mchakato wa kuunda katiba huku utetezi ukijikita katika gha&#341;ama kubwa za GBV kwa taifa. Zaidi suala la gha&#341;ama za kitabibu, kupata haki, usafi&#341;i, ada ya shule, kupoteza masaa ya kazi, kutibu magonjwa ya zinaa, VVU na kupoteza kipato cha kaya kumetolewa kama mfano.<\/p>\n<p>Jitihada za kushughulikia GBV katika ngazi ya jumuiya limekanushwa kama njia isiyokuwa ya ufanisi na wanawake kama Ncube ambaye anasema kutoshi&#341;ikisha watekelezaji wa she&#341;ia kuna maana kuwa mipango hiyo inapuuzwa na wanaume.<\/p>\n<p>Kama sehemu ya Mkakati ya Kukabiliana na Unyanyasaji wa Kijinsia na Utekelezaji wa Mpango wa Utekelezaji, wiza&#341;a ya afya, pamoja na Shi&#341;ika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), wamekuwa wakifanya mafunzo ya washau&#341;i katika jumuiya.<\/p>\n<p>Rejoice Timi&#341;e, mku&#341;ugenzi mtendaji wa shi&#341;ika la &#8220;Disabled Women Suppo&#341;t O&#341;ganisation&#8221;, anasema wanawake wanaoishi na ulemavu hawajaachwa na unyanyasaji. Timi&#341;e alitoa wito wa haja ya kundi hilo ambalo limeshaathi&#341;ika ma&#341;a kwa ma&#341;a la wanawake kuangaliwa katika Siku 16 za Uanaha&#341;akati Dhidi ya Unyanyasaji wa Kijinsia.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna uhaba wa aji&#341;a wa hali ya juu na utegemezi wa kiuchumi na hili limeacha wanawake wenye ulemavu kunyanyaswa zaidi,&#8221; Timi&#341;e aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Ncube bado anaumia na unyanyasaji wa aina mbili &ndash; mikononi mwa mume wake na kukataliwa na polisi. &#8220;Ni wazi nahisi vibaya sana kwa kumpeleka mume wangu polisi. Siyo kwasababu nilimpeleka lakini kwasababu polisi walikataa mashitaka yangu,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>*Majina yamefichwa. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Nov 30 (IPS) &ndash; Tasha Ncube* hana maneno ya kusema kuhusu polisi. Mapema mwezi uliopita, mama wa um&#341;i wa miaka 31 mwenye watoto wawili alipigwa ma&#341;a kadhaa na mume wake kuhusu kile anachosema kuwa ubishi wa kawaida. Hii ilikuwa ma&#341;a ya kwanza katika ndoa yake ambayo imedumu kwa miaka bila kuonekana jambo kama hilo&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":322,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3492","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3492","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/322"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3492"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3492\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3492"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3492"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3492"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}