{"id":3491,"date":"2010-12-06T13:40:01","date_gmt":"2010-12-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/12\/06\/kusini-mwa-afrika-kuwa-macho-na-ugonjwa-mbaya-wa-mifugo\/"},"modified":"2010-12-06T13:40:01","modified_gmt":"2010-12-06T13:40:01","slug":"kusini-mwa-afrika-kuwa-macho-na-ugonjwa-mbaya-wa-mifugo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/12\/06\/kusini-mwa-afrika-kuwa-macho-na-ugonjwa-mbaya-wa-mifugo\/","title":{"rendered":"KUSINI MWA AFRIKA: Kuwa Macho na Ugonjwa Mbaya wa Mifugo"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Nov 30 (IPS) &ndash; Msemaji wa Se&#341;ikali Dk Mohamed Baka&#341;i anasema Tanzania ina ugonjwa wa vi&#341;usi ambao umeathi&#341;i vibaya sehemu ya kaskazini mwa nchi, zaidi katika eneo la A&#341;usha, tangu kuanza kwa mwaka huu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Baka&#341;i anasema chanjo kwa wanyama dhidi ya PPR (peste des petits &#341;uminants) kama ugonjwa huo unavyojulikana, na udhibiti mkali wa usafi&#341;ishaji wa mifugo &ndash; hasa wakati wa siku za masoko &ndash; umekuwa na matatizo.<\/p>\n<p>&#8220;Ugonjwa huo ambao unajulikana pia kama &#8220;Small Ruminants Plague&#8221;, uli&#341;ipotiwa kwa ma&#341;a ya kwanza katika wilaya ya Ngo&#341;ongo&#341;o katika mkoa wa A&#341;usha Janua&#341;i na Feb&#341;ua&#341;i mwaka jana, ambapo wakati huo wanyama wapatao 376 walikufa,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Mbuzi milioni moja na nusu na kondoo wameshapatiwa chanjo, kwa lengo la kuchanja wanyama milioni nne ifikapo mwisho wa kampeni.<\/p>\n<p>Ugonjwa huo siyo tishio kwa wanyama, lakini unaweza kufutilia mbali wanyama wote wakati unapozuka. PPR unaenea kiu&#341;ahisi kwa maambukizi kutoka kwa mnyama kwenda kwa mnyama, hivyo sehemu muhimu ya mkakati ni kuzuia maambukizi ya ugonjwa kwa kuhakikisha wanyama wenye ugonjwa hawachangamani na wale ambao ni wazima wakati wa kuchunga au kuwapatia maji.<\/p>\n<p>Akizungumza kutoka A&#341;usha, Dk wa mifugo wa miaka mingi Moses Ole Neselle, ambaye anafanya kazi na shi&#341;ika la Hifadhi na Maendeleo ya Simanji&#341;o katika mkoa wa Manya&#341;a kaskazini mwa Tanzania, alisema kupima kwa usahihi na kutambua kuwepo kwa PPR kumecheleweshwa &ndash; na hivyo kudhoofisha ufahamu wa wafugaji na kuzuia ugonjwa.<\/p>\n<p>&#8220;Ugonjwa umekuwepo nchini Tanzania kwa muda m&#341;efu lakini hatujawa na nia ya kutosha kukubali uwepo wake kwa sababu za kiuchumi.&#8221;<\/p>\n<p>Neselle alisema ugonjwa huo ulianza Loliondo mwaka 2009, baada ya wafugaji kutoka mkoa wa Tu&#341;kana nchini Kenya kuhamia katika eneo hilo kufuatia ukame mkali wa muda m&#341;efu katika nchi ji&#341;ani.<\/p>\n<p>&#8220;Kutoka Loliondo ulienea hadi Simanji&#341;o, Handeni na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Kilimanja&#341;o kabla haujadhibitiwa kwa kutumia chanjo,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Anachukulia onyo la Shi&#341;ika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa kuwa ugonjwa unaweza kuenea katika ukanda wa Kusini mwa Af&#341;ika kwa uzito mkubwa. Databezi ya taa&#341;ifa za wanyama ya Shi&#341;ika la Afya ya Wanyama Duniani katika tovuti yake inasema wanyama 800 wana ugonjwa &ndash; zaidi ya wanyama 200 wameshakufa huko Loliondo mwezi Feb&#341;ua&#341;i 2009, huku kukiwa na vifo 139 kutoka 539 vilivyo&#341;ipotiwa katika kijiji cha ka&#341;ibu cha Soitisambu.<\/p>\n<p>Kama ugonjwa utaenea Kusini kutoka Tanzania, utatishia zaidi ya kondoo milioni 50 na mbuzi katika kanda ambayo haijawahi kukumbumbwa na ugonjwa hapo kabla.<\/p>\n<p>&#8220;Tumechukua hatua zote kukabiliana na kuenea kwa ugonjwa,&#8221; alisema Neselle, &#8220;lakini wafugaji wanahama mno na ma&#341;a nyingine kuhama kwao hakuwezi kudhibitiwa na hivyo wanabeba ugonjwa kwenda nchi nyingine. Mwaka jana nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika zilijadili ugonjwa kwa kina, ikiwa ni pamoja na hatua zipi zinafaa kuchukuliwa kuudhibiti.&#8221;<\/p>\n<p>Nchini Malawi, taifa linalopakana na Tanzania upande wa kusini, Afisa Mkuu wa Afya ya Mifugo na Maendeleo Levison Allidu yupo makini lakini sasa ana wasiwasi.<\/p>\n<p>&#8220;Tuliposikia kuzuka kwa ugonjwa tulipeleka maafisa wetu wilaya ya Kyela kusini mwa Tanzania ambayo inapakana na Malawi na walituhakikishia kuwa hakukuwa na wasiwasi kwasababu ugonjwa huo haujaonekana upande wa kusini mwa nchi,&#8221; Allidu alisema.<\/p>\n<p>Lakini uzoefu wa hivi ka&#341;ibuni wa mafua ya ngu&#341;uwe unaweza kufafanua sababu za kuogopa. Afisa mifugo Jacob Mwasinga anasema mafua ya ngu&#341;uwe yaliyogundulika nchini Tanzania miezi mitatu baadaye yaliingia Malawi kupitia uingizaji wa ngu&#341;uwe au nyama yake kinyume cha she&#341;ia. Ma&#341;a nyingi watu wanavuka mpaka kwa kutumia njia za panya.<\/p>\n<p>&#8220;Hakuna madha&#341;a ya mafua ya ngu&#341;uwe kwa watu ambao wanakula nyama ya wanyama walioambukizwa&#8230; mbali ya ukweli kwamba wanakuwa wabebaji wa ugonjwa na wanaweza kuambukiza kiu&#341;ahisi kama wanaingia katika banda la ngu&#341;uwe au wakigusana na ngu&#341;uwe,&#8221; anasema Mwasinga.<\/p>\n<p>Hili ndilo lililojitokeza kwa Inkhosana Nkhambule, katika wilaya ya Mzimba. Nkhambule alikuwa na wasiwasi siku moja kukuta ngu&#341;uwe 15 kati ya 50 walikuwa wanatembea kwa shida.<\/p>\n<p>&#8220;Sikushangazwa sana; Nilidhani walipigana. Lakini asubuhi moja, niligundua ngu&#341;uwe 15 wamekufa.&#8221;<\/p>\n<p>Siku iliyofuata, 20 zaidi walikufa. Nkhambule &ndash; ambaye alikuwa amefuga ngu&#341;uwe zadi ya miaka 30 na kuwategemea kwa kipato &ndash; alikwenda kwa afisa mifugo huko Mzuzu.<\/p>\n<p>&#8220;Waliniambia kuwa ni mafua ya ngu&#341;uwe na kwamba ugonjwa huo hauna tiba mbali ya kuzuia kutembea ovyo kwa ngu&#341;uwe jambo ambalo ni gumu katika mazingi&#341;a ya vijijini ambako tunaishi, kwasababu hatuna kitu cha kulisha ngu&#341;uwe.&#8221;<\/p>\n<p>Siku tatu baada ya kutambua ngu&#341;uwe wa kwanza waliokuwa na ugonjwa,Ngu&#341;uwe wa Nkhambule walikuwa wameshafutika. Mwasinga anasema tukio lake siyo la pekee.<\/p>\n<p>&#8220;Katika wilaya za Ka&#341;onga na Chitipa ambazo zinapakana na Tanzania ngu&#341;uwe wapatao 6,000 walikufa. Hakuna chanjo, lakini tunakataza usafi&#341;ishaji wa ngu&#341;uwe au nyama yake,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini hatujafanikiwa kwasababu ugonjwa kwa sasa upo nasi katika wilaya ya Mzimba, kilomita sipatazo 225 kutoka Ka&#341;onga.&#8221;<\/p>\n<p>*Collins Mtika wa Mzuzu, Malawi alichangia katika makala haya.<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Nov 30 (IPS) &ndash; Msemaji wa Se&#341;ikali Dk Mohamed Baka&#341;i anasema Tanzania ina ugonjwa wa vi&#341;usi ambao umeathi&#341;i vibaya sehemu ya kaskazini mwa nchi, zaidi katika eneo la A&#341;usha, tangu kuanza kwa mwaka huu. Baka&#341;i anasema chanjo kwa wanyama dhidi ya PPR (peste des petits &#341;uminants) kama ugonjwa huo unavyojulikana, na udhibiti&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":817,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3491","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3491","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/817"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3491"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3491\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3491"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3491"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3491"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}