{"id":3478,"date":"2010-11-25T13:40:01","date_gmt":"2010-11-25T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/25\/ethiopia-wamekuwa-wakulima-wa-miti\/"},"modified":"2010-11-25T13:40:01","modified_gmt":"2010-11-25T13:40:01","slug":"ethiopia-wamekuwa-wakulima-wa-miti","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/25\/ethiopia-wamekuwa-wakulima-wa-miti\/","title":{"rendered":"ETHIOPIA: Wamekuwa Wakulima wa Miti"},"content":{"rendered":"<p>KAFA, Ethiopia, Nov 19 (IPS) &ndash; Wametumia sehemu kubwa ya maisha yao kuangamiza msitu, lakini Kochito Gab&#341;e na wenzake sasa ni walinzi wa &#341;asilimali inayojulikana na UNESCO kama eneo la u&#341;ithi duniani katika nyanda za juu za Ethiopia. Baada ya kupungua hadi kufikia nusu ya ukubwa wake wa asili, Msitu wa Kafa kwa sasa ni mfano wa kuigwa wa maendeleo endelevu nchini.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ukiwa msitu wa asili ya kahawa ya msituni ya a&#341;abika, Kafa ni msitu mzito mno, wenye miti aina ya mianzi na a&#341;dhi oevu uliopo umbali wa kilomita zipatazo 475 kusini magha&#341;ibi mwa mji mkuu, Addis Ababa.<\/p>\n<p>Mvua za mwaka hapa ni zaidi ya milimita 2,400 na eneo linamwagiliwa na mito mitatu maa&#341;ufu, Gojeb, Dinchia na Woshi. Zaidi ya aina 100 za mimea ime&#341;ikodiwa hapa, na msitu umejaa wanyama wa msituni. Tumbi&#341;i na nyani wanaonekana ba&#341;aba&#341;ani, na watu wenyeji wanasema wanyama hawa wanaweza kuha&#341;ibu shamba usiku mmoja tu.<\/p>\n<p>Ukataji wa miti unaleta ndoto mpya <\/p>\n<p>Miongo ya ukataji wa miti unaofanywa na wakulima wadogop ikiwa ni pamoja na mashamba yanayomilikiwa binafsi uliangamiza asilimia 43 ya msitu wa mvua wa Kafa.<\/p>\n<p>&#8220;Wakulima katika eneo hili wanatumia kilimo cha kudumu na cha kuhama na hivyo kufanya hifadhi ya misitu suala la changamoto kubwa,&#8221; alisema Te&#341;efe Weldegab&#341;iel, mtaalam wa a&#341;dhi, maendeleo ya maji na hifadhi katika Ofisi ya Kiimo ya Kafa. <\/p>\n<p>Usafishaji wa a&#341;dhi mpya kwa ajili ya kilimo, ukataji wa miti kwa ajili ya mkaa, nishati ya kuni na mbao; na kupanuka kwa kilimo cha biasha&#341;a kumetishia msitu wa Kafa kama ilivyo kwa maeneo mengine ya Ethiopia, na kuacha eneo kubwa likiwa halina misitu na kame lisiloweza kusaidia wakulima.<\/p>\n<p>Lakini kwa kutembelea shamba la Kochito mwenye um&#341;i wa miaka 50 leo hii ni hatua ya di&#341;a tofauti katika siku za usoni. Unajisukuma katika majani ma&#341;efu kutembea katikati mwa mista&#341;i ya kahawa, pa&#341;achichi na migomba.<\/p>\n<p>Kochito ni mkuu wa kikundi cha Usimamiaji wa Msitu kwa Njia Shi&#341;ikishi, ambacho kinasimamia hekta 1,200 za msitu. Kuna PFMs 60 huko Kafa. Wanachama wake wanavuna asali, viungo na kahawa ya msituni katika msitu uliohifadhiwa na kupanda kahawa, tangawizi, pilipili manga na matunda kwa mfumo wa kilimo cha msituni katika mashamba yao yanayopakana na msitu.<\/p>\n<p>&#8220;Ni mwaka jana tu, nilivuna kilo 150 za asali, kilo 200 za kahawa na viungo kutoka msitu mnene, wakati huo huo nikizalisha matunda, kahawa na mazao mengine kutoka shambani mwangu &#8221; Kochito alisema.<\/p>\n<p>Wakati wanapanda nafaka, wanyama po&#341;i wangeweza kuha&#341;ibu ma&#341;a kwa ma&#341;a mazao yote na kuacha familia bila kitu; lakini mazao yao mapya sasa hayashambuliwi na wanyama.<\/p>\n<p>Somo limeshika mizizi<\/p>\n<p>Kochito alianza na kilimo cha msituni na uvunaji endelevu wa &#341;asilimali zisizokuwa za misitu kutokana na Fa&#341;m Af&#341;ica, shi&#341;ika la misaada la Uinge&#341;eza ambalo lilifanya kazi huko Kafa kati ya mwaka 1998 na 2004.<\/p>\n<p>Jumuiya ilishika somo kutoka Fa&#341;moch, kama ambavyo wenyeji wanaita shi&#341;ika hilo.<\/p>\n<p>&#8220;Msitu ni chanzo cha maisha kwa wengi wetu. Lakini hatukutambua kuwa tulikuwa tukiangamiza msitu vibaya. Tulilenga katika mahitaji yetu tu na kupanua mashamba yetu hadi Fa&#341;moch ilipotuelimisha,&#8221; Kochito aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Usajili wenye mafanikio wa zaidi ya hekta 750,000 za Hifadhi ya UNESCO Juni 2010 itasaidia kuima&#341;isha matumizi endelevu ya msitu.<\/p>\n<p>M&#341;adi wa UNESCO unaangalia jinsi usimamiaji wa mistu wa pamoja unavyounganisha mali asili na viumbe hai.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na msitu wetu kutambuliwa duniani ni hamasa kwetu,&#8221; Kochito alisema.<\/p>\n<p>Eneo lililosajiliwa limegawanyika katika kanda tatu &ndash; Kanda Muhimu, ambayo ni msitu usioha&#341;ibiwa ambao siku zote umefaidika na hatua za kuhifadhiwa na jumuiya kama maeneo ya kutambikia; Kanda ya Mpaka, ambayo wakazi wanaendesha kila aina ya kilimo bila kuathi&#341;i msitu uliosalia; na Kanda ya Mpito, ambayo ni a&#341;dhi iliyokwisha ha&#341;ibiwa na kulimwa na wakulima kwa kupanda nafaka na wakulima wa biasha&#341;a kama vile kahawa na mashamba ya chai.<\/p>\n<p>Mustakabali wenye nguvu wa baadaye <\/p>\n<p>Maafisa wa Kafa wana matumaini kuwa kutambuliwa kwa msitu kutawezesha mazao katika eneo hilo, hasa kahawa, kupata bei ya juu kama yatatambuliwa kama mazao endelevu ya msituni.<\/p>\n<p>Watu kama Kochito ni watekelezaji wakuu wa kanuni za Binadamu na Mazingi&#341;a, kuhifadhi misitu na kupanda miti katika maeneo yaliyoha&#341;ibiwa. Umoja wa Hifadhi ya Asili na Viumbe Hai (NABU) wenye makao yake mjini Be&#341;lin, ambao uko msta&#341;i wa mbele katika kutumia hifadhi inayozingatia viumbe hai na mazingi&#341;a, umeahidi kusaidia wakazi wa eneo hilo.<\/p>\n<p>&#8220;Sasa tumeingiza Eu&#341;o milioni 3.1 kutoka Wiza&#341;a ya Mazingi&#341;a na Usalama wa Nyuklia ya Uje&#341;umani kutekeleza idadi kadhaa ya mi&#341;adi katika eneo hili,&#8221; alisema m&#341;atibu wa m&#341;adi wa NABU wa m&#341;adi wa Kafa Mesfin Tekle.<\/p>\n<p>Ufadhili utafadhili usimamiaji endelevu wa kahawa, misitu yenye ukubwa wa eka&#341;i 10,000, na kusambaza majiko 10,000 ikiwa ni pamoja na ufuatiliaji wa mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>Lakini bado kuna changamoto ambazo zinahata&#341;isha misitu ya Kafa; ukataji wa misitu bado unaendelea na unafanywa na watu mmoja mmoja na zaidi wakulima wa biasha&#341;a waliopatiwa leseni na se&#341;ikali, Te&#341;efe wa wiza&#341;a ya kilimo aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Tunataka UNESCO kutusaidia mbali ya kusajili eneo hili kama Eneo la Hifadhi ya Misitu na Viumbe Hai. Sasa tunaandaa nya&#341;aka za kina juu ya aina ya msaada tunataka na tunataka kupanga kufanya hivyo,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Utawala wa ndani umebuni mpango wa kupanda miti, ujenzi wa ba&#341;aba&#341;a, miundombinu ya elimu na afya ikiwa ni pamoja na hifadhi ya mashamba kupitia hifadhi ya udongo, kilimo cha msituni, ufugaji wa nyuki na kuongeza thamani katika Kanda ya Mpito.<\/p>\n<p>*Taa&#341;ifa hii ni sehemu ya makala ya bayoanuwai yanayotolewa na Inte&#341; P&#341;ess Se&#341;vice (IPS), CGIAR\/Shi&#341;ika la Bayoanuwai Duniani, Shi&#341;ikisho la Waandishi wa Mazingi&#341;a la Kimataifa (IFEJ), na Shi&#341;ika la Umoja wa Mataifa la Mazingi&#341;a \/Mkataba wa Wingi wa Viumbe Hai (UNEP\/CBD) &ndash; wote wakiwa wanachama wa COM+, Umoja wa Wanamawasiliano wa Maendeleo Endelevu (www.complusalliance.o&#341;g). <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAFA, Ethiopia, Nov 19 (IPS) &ndash; Wametumia sehemu kubwa ya maisha yao kuangamiza msitu, lakini Kochito Gab&#341;e na wenzake sasa ni walinzi wa &#341;asilimali inayojulikana na UNESCO kama eneo la u&#341;ithi duniani katika nyanda za juu za Ethiopia. Baada ya kupungua hadi kufikia nusu ya ukubwa wake wa asili, Msitu wa Kafa kwa sasa ni&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":664,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3478","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3478","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/664"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3478"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3478\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3478"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3478"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3478"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}