{"id":3472,"date":"2010-11-18T13:40:01","date_gmt":"2010-11-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/18\/zambia-mjadala-juu-ya-kodi-ya-ongezeko-la-faida-ya-madini\/"},"modified":"2010-11-18T13:40:01","modified_gmt":"2010-11-18T13:40:01","slug":"zambia-mjadala-juu-ya-kodi-ya-ongezeko-la-faida-ya-madini","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/18\/zambia-mjadala-juu-ya-kodi-ya-ongezeko-la-faida-ya-madini\/","title":{"rendered":"ZAMBIA: Mjadala Juu ya Kodi ya Ongezeko la Faida ya Madini"},"content":{"rendered":"<p>LUSAKA, Nov 10 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya Zambia imeshutumiwa kutokana na kukumbatia umaskini wakati mjadala juu ya kodi ya ongezeko la faida katika sekta ya madini ukipamba moto.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mwezi Feb&#341;ua&#341;i 2008, katikati mwa kuongezeka kwa bei ya bidhaa hiyo duniani kuanzia mwaka 2003, se&#341;ikali ilianzisha kodi ya ongezeko la faida katika madini. Shaba wakati huo iliingiza dola zipatazo 7,000 kwa tani katika Soko la Madini la London (LME).<\/p>\n<p>&#8220;Hatua hizi ni za kiushindani, zinazofaa na zenye usawa,&#8221; alisema Ng&#8217;andu Magande, wazi&#341;i wa fedha wa wakati huo.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na [kodi hii mpya], se&#341;ikali itakuwa na uwezo wa kubo&#341;esha elimu na huduma za afya na kuanzisha vitega uchumi ambavyo vitajenga aji&#341;a katika sekta nyingine za kiuchumi na kubo&#341;esha hali ya maisha kwa wananchi wa Zambia.&#8221;<\/p>\n<p>Halafu mtikisiko wa kiuchumi duniani ulianza, na bei ya shaba ilianguka sambamba na kupungua kwa mahitaji.<\/p>\n<p>Kulingana na Benki Kuu ya Zambia, mapato yaliyoingia nchini humo kutokana na shaba mwaka 2009 yalishuka hadi dola bilioni 2.9 kutoka dola bilioni 3.6 mwaka uliotangulia pamoja na kuongezeka kwa uzalishaji. Kushuka kwa mapato kulitokana moja kwa moja na bei za chini za madini hayo, ambayo ilishuka hadi kufikia dola 3,000 kwa tani katika &#341;obo ya kwanza ya mwaka 2009.<\/p>\n<p>Migodi ya shaba kama ya Luanshya (LCM) ilifungwa, na hivyo kusababisha mamia wakikosa aji&#341;a. Migodi ya shaba ya Mopani (MCM) ilitishia kuweka migodi yake ya Nkana na Mufuli&#341;a katika ukanda wa Shaba chini ya uka&#341;abati na uangalizi wa ka&#341;ibu.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali iliondoa kodi ya madini hayo mwaka mmoja tu baada ya kuanzishwa.<\/p>\n<p>Lakini tangu wakati huo, bei ya shaba ime&#341;ejea na sasa inaingiza hadi dola 8,000 kwa tani katika LME. Uzalishaji wa shaba nchini humo mwaka huu unata&#341;ajiwa kuvuka tani 720,000 zinazota&#341;ajiwa, kiwango ambacho kwa ma&#341;a ya mwisho kilionekana mwaka 1973. Hii inaiweka nchi katika nafasi ya kufikia shabaha ya kati ya tani milioni moja kwa mwaka.<\/p>\n<p>Lakini pamoja na kuongezeka kwa bei, se&#341;ikali imeamua kutumia fomula tofauti.<\/p>\n<p>&#8220;Katika wito wa kuanzisha kodi ya ya ongezeko la faida katika madini ya shaba, msimamo wa se&#341;ikali ni kwamba hii haitafanyika kutokana na kwamba kodi ya ongezeko la thamani inaendelea kutozwa. Kodi ya ongezeko la faida ni kodi ya nyongeza inayotozwa kutokana na faida inayopatikana katika madini,&#8221; Wazi&#341;i wa Fedha na Mipango ya Taifa Situmbeko Musokotwane anasema.<\/p>\n<p>Kodi ya ongezeko la faida inakokotolewa kulingaa na asilimia 15 ya nyongeza ambayo makampuni yanalipa kulingana na faida inayozidi asilimia nane ya mapato ya jumla. Hii ni nyongeza ya kodi ya kawaida inayotoza ya asilimia 30.<\/p>\n<p>F&#341;ede&#341;ick Bantubonse, meneja mkuu wa Chama cha Wenye Migodi nchini Zambia (CMZ), anasema kama kodi ya ongezeko la faida katika migodi ita&#341;ejeswa, itaifanya Zambia eneo lenye gha&#341;ama kubwa kufanya shughuli za madini katika kanda.<\/p>\n<p>Lakini Nsama Chikwankwa, mchambuzi wa masuala ya maendeleo mjini Lusaka, anasema kutoza kodi ya ongezeko la faida ni kukumbatia umaskini.<\/p>\n<p>&#8220;Msimamo wa se&#341;ikali katika kodi ya ongezeko la faida unaonyesha kukosekana kwa dhami&#341;a ya suala la kukusanya mapato ambayo yanaweza kusaidia katika kubo&#341;esha mashule, kujenga ba&#341;aba&#341;a, kubo&#341;esha afya za akina mama na mtoto, na hata kutoa fedha kusaidia kukabiliaa na changamoto za kile kinachojulikana kama mavuno mengi ya mahindi.&#8221;<\/p>\n<p>Akiwakilisha bajeti a taifa mwaka 2011 bungeni Oktoba 8, Wazi&#341;i Situmbeko hajasema takwimu halisi, lakini alisema alikuwa na fu&#341;aha ku&#341;ipoti kuwa ukusanyaji wa kodi kutoka makampuni ya madini umebo&#341;eka mwaka huu.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na bei ya juu ya shaba ya sasa na uzalishaji wake, nata&#341;ajia malipo makubwa ya kodi kutoka kwa makampuni ya madini.&#8221;<\/p>\n<p>Lakini Matthias Mpande, ambaye anafundisha katika Taasisi ya Madini katika Chuo Kikuu cha Zambia anakosoa kodi ya ongezeko la faida.<\/p>\n<p>&#8220;Migodi inatengeneza faida kubwa, lakini inaficha mapato katika mkusanyiko wa matokeo ya kifedha, na ni vigumu kwa Mamlaka ya Mapato ya Zambia (ZRA) kukokotoa kodi halisi,&#8221; alisema Mpande, ambaye aliwahi kuwa Wazi&#341;i wa Madini katika se&#341;ikali ya &#341;ais wa zamani F&#341;ede&#341;ick Chiluba.<\/p>\n<p>&#8220;Tunashinikiza kuanzishwa upya kwa kodi ya ongezeko la faida kwasababu ni &#341;ahisi kukusanya &ndash; kwa kuzingatia bei za madini za kimataifa &ndash; kuliko kodi ya ongezeko la thamani.&#8221;<\/p>\n<p>Anasema mchango wa sekta ya madini katika hazina ya Zambia bado ni mdogo mno wakati hakuna kodi ya hia&#341;i inayofaa kwa madini.<\/p>\n<p>Mbunge Chishimba Kambwili, wa jimbo la Roan anayemiliki Kampuni ya Kichina ya Non&ndash;Fe&#341;&#341;ous Metals Mining Company (NFCA) amesema Se&#341;ikali ina uwezo wa kukusanya dola milioni 400 kwa mwaka kupitia kodi ya ongezeko la faida kama itaanzishwa.<\/p>\n<p>Ripoti ya mwaka jana iliyotolewa na mashi&#341;ika yasiyo ya kise&#341;ikali imesema biasha&#341;a iliyosawa itawezesha kuleta maendeleo kwa nchi nyingi za Kiaf&#341;ika ambazo zinapendelea mfumo wa biasha&#341;a sawia unaowezesha maendeleo, ni muhimu kwa she&#341;ia nyingi zinazotumika katika nchi za Kiaf&#341;ika ambazo zinapendelea kodi ya m&#341;abaha ambayo inajumuishwa na mikataba ya madini inayojulikana nchini Zambia kama mikataba ya maendeleo.<\/p>\n<p>Katika &#341;ipoti iliyopewa jina la &#8220;B&#341;eaking the Cu&#341;se: How T&#341;anspa&#341;ent Taxation and Fai&#341; Taxes can Tu&#341;n Af&#341;ica&#8217;s Mine&#341;al Wealth into Development,&#8221; ikiwa na maana ya (Kuondoa laana: Jinsi uwazi na usawa katika kodi vinavyoweza kuleta maendeleo makubwa Af&#341;ika) iliyotolewa na mtandao wa Tax Justice Netwo&#341;k fo&#341; Af&#341;ica (TJN&ndash;A), ActionAid, Southe&#341;n Af&#341;ica Resou&#341;ce Watch, Thi&#341;d Wo&#341;ld Netwo&#341;k Af&#341;ica na Ch&#341;istian Aid, kazi za uhasibu zenye mashaka zinazofanywa na makampuni ya kimataifa ambayo yanaficha thamani halisi ya utekelezaji wao pamoja na usi&#341;i na she&#341;ia mbaya zinazotungwa na mabunge ya Af&#341;ika zinazinyima mapato nchi taji&#341;i wa &#341;asilimali Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Chama cha Wafanyabiasha&#341;a na Wenye Viwanda Zambia (ZACCI) pia kinaunga mkono kodi ya ongezeko la faida katika sekta ya madini, lakini kinasema kodi hiyo inapaswa kujikita zaidi katika faida na wala siyo mapato.<\/p>\n<p>Hanson Sindowe ambaye ni &#341;ais wa ZACCI, anasema gha&#341;ama zinaweza kuchakachuliwa ili kuonyesha faida ndogo wakati mapato hayawezi kuchakachuliwa namna hiyo.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa hiyo ZACCI inaunga mkono kodi ya ongezeko la faida kuhakikisha kuwa nchi inafaidika kikamilifu kutokana na &#341;asilimali zake, se&#341;ikali inahitaji kiwango cha kutosha cha mapato ili kuweza kuendesha na pia kuwekeza katika sekta za jamii nchini,&#8221; anasema. <\/p>\n<p>Sindowe anasema mapitio ya mapato katika bajeti ya nchi yanaonyesha kwamba kwa sasa kodi ya mapato kwa njia ya lipa kulingana na unavyopata (PAYE) na kodi ya makampuni ni wachangiaji wakuu wa mapato ya se&#341;ikali, na hivyo kuweka mzigo mkubwa kwa tabaka dogo la wafanyakazi na makampuni machache.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUSAKA, Nov 10 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya Zambia imeshutumiwa kutokana na kukumbatia umaskini wakati mjadala juu ya kodi ya ongezeko la faida katika sekta ya madini ukipamba moto. Mwezi Feb&#341;ua&#341;i 2008, katikati mwa kuongezeka kwa bei ya bidhaa hiyo duniani kuanzia mwaka 2003, se&#341;ikali ilianzisha kodi ya ongezeko la faida katika madini. Shaba wakati huo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":594,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3472","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3472","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/594"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3472"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3472\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3472"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3472"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3472"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}