{"id":3470,"date":"2010-11-18T13:40:01","date_gmt":"2010-11-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/18\/ethiopia-ufadhili-wa-kwanza-wa-kaboni-waeneza-kijani-katika-nyanda-za-juu\/"},"modified":"2010-11-18T13:40:01","modified_gmt":"2010-11-18T13:40:01","slug":"ethiopia-ufadhili-wa-kwanza-wa-kaboni-waeneza-kijani-katika-nyanda-za-juu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/18\/ethiopia-ufadhili-wa-kwanza-wa-kaboni-waeneza-kijani-katika-nyanda-za-juu\/","title":{"rendered":"ETHIOPIA: Ufadhili wa Kwanza wa Kaboni Waeneza Kijani katika Nyanda za Juu"},"content":{"rendered":"<p>ADDIS ABABA, Nov 9 (IPS) &ndash; Imetimia miongo kadhaa tangu wakazi wa Humbo Wo&#341;eda walipoanza kujitegemea kwa chakula. M&#341;adi wa Maendeleo Safi &ndash; ambao ni wa kwanza nchini Ethiopia &ndash; ulijikita katika kupanda miti katika nyanda za juu katika wilaya ya kati, na hivyo ku&#341;ejesha mazingi&#341;a ya jadi &ndash; na chanzo cha kipato endelevu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Uwanda wa juu wa Humbo, baadhi ya kilomita 400 kusini mwa mji mkuu wa Ethiopia, ni moja ya eneo lenye wakazi wengi zaidi nchini Ethiopia. Ni eneo lenye ukame ambalo limewahi kukabiliwa na ukame mkubwa; wastani wa mvua ni kati ya milimita 800&ndash;900 na joto likipanda hadi nyuzijoto 40. Ukataji wa miti umefanya maeneo ya uwanda wa chini kukumbwa na mafu&#341;iko ya ma&#341;a kwa ma&#341;a.<\/p>\n<p>Lakini M&#341;adi wa Maendeleo Safi ulioanzishwa na shi&#341;ika la maendeleo la kimataifa la Wo&#341;ld Vision umewafanya wananchi 40,000 katika maeneo yaliyoathi&#341;ika zaidi ku&#341;ejeshwa kwa miti na kulinda hekta za a&#341;dhi ya misitu 2,700. M&#341;adi wa CDM utaingiza kwa uchache dola 726,000 katika kipindi cha miaka kumi ijayo, kwa kuongeza katika ku&#341;uhusu uvunaji endelevu wa miti kuanzia mwaka 2020.<\/p>\n<p>Uha&#341;ibifu wa misitu <\/p>\n<p>&#8220;Ukataji wa miti wa kupitiliza kwa ajili ya nishati, kuchunga mifugo na kukata miti kwa ajili ya kusafisha mashamba kuliangamiza kabisa misitu,&#8221; alisema Beyene Adebo, mkulima wa Humbo.<\/p>\n<p>Hii iligeuza Humbo ambayo ilikuwa na msitu mzito kuwa a&#341;dhi kame, hasa baada ya njaa ya mwaka 1984 nchini Ethiopia &ndash; wakati watu walipogeukia ukataji wa miti kama chanzo cha kipato baada ya mashamba hayo kushindwa kuzalisha.<\/p>\n<p>&#8220;Kufuatia hali hii, ukame na njaa vikawa kitu cha kawaida. Mvua ziliacha kunyesha na hatukuweza kuvuna kiasi cha mavuno kama ambayo tumekuwa tukivuna kutoka kwenye mashamba yetu,&#8221; Beyene aliongeza.<\/p>\n<p>Miongo miwili ya jitihada za ku&#341;ejesha misitu inayofanywa na Wo&#341;ld Vision Ethiopia (WVE) &ndash; usambazaji wa maji, misaada ya chakula, afya, kilimo na mi&#341;adi ya mazingi&#341;a &ndash; ilishindwa moja kwa moja kushughulikia matatizo ya ukame katika kanda.<\/p>\n<p>Maeneo saba yaliyoathi&#341;ika zaidi ya kebeles (eneo dogo zaidi la kiutawala la Ethiopia) lilikumbwa na ukame, mmomonyoko wa udongo, kukosekana kwa &#341;utuba ya udongo na kupungua kwa kiwango cha maji ya a&#341;dhini.<\/p>\n<p>&#8220;Changamoto kubwa kuliko zote ni ile ambayo baada ya uwekezaji wote huo, hatukuweza kuona mabadiliko makubwa katika vijijiji hivi vinavyokabiliwa na ukame,&#8221; alisema Hailu Tefe&#341;a, mkuu wa ida&#341;a ya Mabadiliko ya Tabia Nachi katika WVE.<\/p>\n<p>Ku&#341;ejesha misitu <\/p>\n<p>Kwa kufanya kazi na wafanyakazi wenzake wawili, Assefa Tofu na &#341;aia wa Aust&#341;alia Tony Rinaudo, Haile alibuni M&#341;adi wa Ku&#341;ejesha Uoto wa Asili wa Jumuiya ya Humbo.<\/p>\n<p>Mbinu iliyojulikana kama Mkulima ilisimamia M&#341;adi wa Ku&#341;ejesha Uoto wa Asili, ambao ulitekelezwa kwa mafanikio nchini Nige&#341; miaka ya 1980, unahusika na m&#341;adi wa ku&#341;ejesha uoto wa asili. FMNR inaegemea kwa kile ambacho kinawezekana katika kustawisha miti ambayo inaota kutoka kwenye mashina yaliyoachwa baada ya kukata miti ya asili.<\/p>\n<p>Ni wazi kuwa mashina ambayo yataotesha matawi mengine kati ya 10 hadi 50 ambayo kwa jadi wakulima wanayakata wakati wa kuandaa mashamba yao. Kwa kutumia mbinu hii wameweza ku&#341;ejesha kwa kasi na kwa gha&#341;ama nafuu miti iliyokatwa katika eneo la Humbo. Ni kama moja ya kumi tu ya maeneo ya milima yaliyoathi&#341;ika vibaya na ukataji miti nyalihitaji miche kuletwa kutoka mahali pengine.<\/p>\n<p>Kutoka kuanza kwa m&#341;adi mwaka 2006, fedha kutoka Wo&#341;ld Vision zimeweza kusaidia jitihada za wakulima kutengeneza maisha bila kuathi&#341;i tena misitu. Wakulima wanafuga wanyama na kuku, ikiwa ni pamoja na kuzalisha mboga mboga na nafaka. Wale ambao hawana a&#341;dhi walipata mafunzo ya ujuzi katika fani kama vile ushonaji.<\/p>\n<p>Mahitaji ya mkaa na kuni yamepunguzwa na matumizi ya maelfu ya majiko ya kuokoa nishati yaliyotolewa na WVE.<\/p>\n<p>Kabla ya kuzinduliwa kwa m&#341;adi, eneo hilo la milima lilikuwa halina mtu, na hivyo kuchangia katika kuha&#341;ibiwa.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa hiyo tulijadili na wanakijiji ikiwa ni pamoja na viongozi wa mkoa na se&#341;ikali za mitaa ambapo tulikubaliana kuyagawa maeneo hayo ya milima miongoni mwa kebeles saba ambazo zinazunguka eneo hilo na kuanza kulipanda miti ambayo itamilikiwa na wanajumuiya,&#8221; Hailu aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Familia 4,200 zinazotegemea kuishi kwa misaada, zilizojisajili chini ya Vyama vya Ushi&#341;ika vya Maendeleo ya Misitu na Hifadhi yake, zimepewa mamlaka ya kuvuna nyasi kwa ajili ya wanyama kutoka eneo lililopandwa miti, ikiwa ni pamoja na kuni za nishati kutokana na matawi ya miti katika msitu ambao sasa unahifadhiwa na jumuiya.<\/p>\n<p>Mafanikio ya ha&#341;aka  <\/p>\n<p>Eneo hilo la milima kwa sasa limekuwa na miti ya asili, mingine ikiwa na u&#341;efu wa mita 1.5. Misitu iliyopandwa ilisajiliwa katika M&#341;adi wa Ku&#341;ejesha Miti Desemba 2009 baada ya kupitishwa na JACO CDM, ambaye ni wakala aliyethibitishwa.<\/p>\n<p>Hifadhi yake ya kaboni ilifikia tani 7,000 na Benki ya Dunia ilinunua kaboni ya kwanza Oktoba 2010 kwa dola 34,000.<\/p>\n<p>Beyene ni m&#341;atibu wa moja ya vyama vya ushi&#341;ika saba. Kundi lake lina wanachama 839 na lina jukumu la kutunza hekta 1,000 za misitu.<\/p>\n<p>&#8220;Tumeona matokeo mazu&#341;i na tuna imani kuona zaidi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Alisema kuwa baada ya miongo ya kukatishwa tamaa, mashamba ya Humbo katika kipindi cha miaka miwili iliyopita yalianza kuzalisha mavuno mazu&#341;i.<\/p>\n<p>&#8220;Hii imesababisha kubadili mtizamo juu ya msitu, na ku&#341;ejesha utamaduni wa mababu zetu wa kulinda misitu,&#8221; Beyene aliongeza.<\/p>\n<p>Faida ina&#341;ejea kwenye msitu <\/p>\n<p>Fedha kutokana na mpango wa kuzuia kaboni zitagawanywa miongoni mwa vyama vya ushi&#341;ika kulingana na kiasi cha kaboni ambacho msitu unanyonya. Fedha zitatumika katika m&#341;adi na vipaumbele vya maendeleo vya jumuiya.<\/p>\n<p>Benki ya Dunia imeahidi kununua kaboni yenye thamani ya dola 726,000 katika muongo mwingine kwa bei ya dola nne kwa tani ya kaboni inayohifadhiwa na msitu.<\/p>\n<p>&#8220;Hii ni sehemu ya jitihada yetu, kama shi&#341;ika la maendeleo la kimataifa, kupunguza kiasi cha kaboni duniani kote,&#8221; Edwa&#341;d Dwumfou&#341;, Mtaalam Mwandamizi wa Usimamiaji wa Maliasili katika Benki ya Dunia, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Tunatumia fedha tulizopokea kutoka nchi zinazoendelea na makampuni binafsi katika nchi hizi, ambazo pia zinazalisha kwa wingi gesi za kaboni.&#8221; <\/p>\n<p>Wo&#341;ld Vision inasaka wanunuzi wengine katika soko la hia&#341;i la kaboni ili kuongeza kipato zaidi.<\/p>\n<p>*Makala hii ni mfululizo wa makala za bayoanuwai za IPS, CGIAR\/Biodive&#341;sity Inte&#341;national, IFEJ na UNEP\/CBD, wanachama wa shi&#341;ika la Wanamawasiliano wa Maendeleo Endelevu <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ADDIS ABABA, Nov 9 (IPS) &ndash; Imetimia miongo kadhaa tangu wakazi wa Humbo Wo&#341;eda walipoanza kujitegemea kwa chakula. M&#341;adi wa Maendeleo Safi &ndash; ambao ni wa kwanza nchini Ethiopia &ndash; ulijikita katika kupanda miti katika nyanda za juu katika wilaya ya kati, na hivyo ku&#341;ejesha mazingi&#341;a ya jadi &ndash; na chanzo cha kipato endelevu. Uwanda&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":664,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3470","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3470","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/664"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3470"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3470\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3470"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3470"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3470"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}