{"id":3466,"date":"2010-11-18T13:40:01","date_gmt":"2010-11-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/18\/wanawake-wa-zimbabwe-wahakikisha-wanasikika-katika-rasimu-ya-katiba\/"},"modified":"2010-11-18T13:40:01","modified_gmt":"2010-11-18T13:40:01","slug":"wanawake-wa-zimbabwe-wahakikisha-wanasikika-katika-rasimu-ya-katiba","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/18\/wanawake-wa-zimbabwe-wahakikisha-wanasikika-katika-rasimu-ya-katiba\/","title":{"rendered":"Wanawake wa Zimbabwe Wahakikisha Wanasikika Katika Rasimu ya Katiba"},"content":{"rendered":"<p>HARARE, Nov 2 (IPS) &ndash; Kamati ya bunge imeanza kuandaa maoni juu ya katiba mpya, yaliyokusanywa katika mikutano 4,000 iliyofanyika nchini Zimbabwe katika kipindi cha miezi mitatu. Wanaha&#341;akati wa jinsia wana imani kuwa maoni ya wanawake yanatakiwa kuonekana; ni wajibu wa waandaaji wa katiba mpya kuhakikisha kuwa maoni yao yanaingizwa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Zaidi ya watu 700,000 walihudhu&#341;ia mikutano ya umma kuhusu &#341;asimu ya katiba ya Zimbabwe. Kuandaliwa kwa she&#341;ia kuu ya nchi mpya ni sehemu ya Mkataba wa Kisiasa (GPA) wa Sep. 15 2008 uliosainiwa baina ya Rais Robe&#341;t Mugabe wa chama cha Zimbabwe Af&#341;ican National Union&ndash;Pat&#341;iotic F&#341;ont na vyama viwili vya upinzani vya Movement fo&#341; Democ&#341;atic Change, kimoja kikiongozwa na Wazi&#341;i Mkuu Mo&#341;gan Tsvangi&#341;ai na kingine kikiongozwa na A&#341;thu&#341; Mutamba&#341;a.<\/p>\n<p>Mkataba huo ulifuatia umma kukataa &#341;asimu ya mwaka 2000, kabla ya uvamizi wa mashamba na ghasia za kisiasa kutokana na kile kilichojulikana kama uchaguzi uliojawa na mapungufu &ndash; hali ambayo imesababisha matatizo katika uchumi na mfumo wa kishe&#341;ia nchini humo.<\/p>\n<p>GPA ina eneo linalohusu wanawake katika Kifungu cha IV cha katiba, kikitambua kuwa she&#341;ia inayota&#341;ajiwa inatakiwa kukuza &#8220;misingi na kanuni za kidemok&#341;asia na kulinda usawa wa wananchi wote, hasa kukuza uzalendo na usawa wa wanawake.&#8221;<\/p>\n<p>Kukuza sauti za wanawake <\/p>\n<p>Sylvia Chi&#341;awu, M&#341;atibu wa taifa wa Wanawake na She&#341;ia Kusini mwa Af&#341;ika, ambayo ni NGO, anasema shi&#341;ika lake tangu mwaka jana limeshi&#341;iki katika mikutano yote ya wadau na kujadili idadi ya masuala ya msingi ya wanawake ambayo yanatakiwa kuingizwa katika she&#341;ia mama, miongoni mwake ikiwa ni haki za kiuchumi na kijamii.<\/p>\n<p>&#8220;Haki ya makazi, haki ya afya, haki ya a&#341;dhi, na pia suala la she&#341;ia za jadi ambazo hatutaki zimbane mtu yoyote tena,&#8221; anasema Chi&#341;awu.<\/p>\n<p>Anasema mashi&#341;ika ya utetezi kupitia Umoja wa Wanawake, yaliandaa Mkataba wa Wanawake ambapo walitaja maoni yote ambayo &#341;aia wanawake wangependa kuyaona katika katiba: &#8220;Kutokana na maoni haya, kuna baadhi ya ma&#341;idhiano.&#8221;<\/p>\n<p>Chi&#341;awu anaona baadhi ya masuala yaliyojadiliwa ni ya kiufundi zaidi kwa wanawake wengi kuweza kuyaelewa. &#8220;Kwa mfano, unawezaje kuwafanya wanawake wa kawaida kukuelewa  Ni jukumu la waandaaji kuangalia mambo yote ambayo yametajwa na kuna matumaini wangekuja na wa&#341;aka unaoonyesha matakwa ya kila mtu.&#8221;<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Ushi&#341;ikiano wa Kikanda na Kimataifa &ndash; mwanamke pekee kuingia katika mazungumzo ya vyama ambayo yalipelekea kuja na GPA &ndash; anasema kwa ujumla kumekuwepo na kuungwa mkono kwa wazo hilo kuwa wanawake walihitaji kulindwa na she&#341;ia mama nchini.<\/p>\n<p>P&#341;iscilla Misihai&#341;abwi&ndash;Mushonga anasema wakati mikutano ya ushau&#341;iano inayooendelea imebakia kuwa mchakato wa kisiasa, makundi ya kisiasa yameweza kuelezea mawazo ya pamoja ya wanawake katika jamii.<\/p>\n<p>&#8220;Kama &#341;ipoti zinazokuja [kutoka kanda tofauti nchini] zinaweza kutumika, hivyo maoni makuu ya wanawake yameingizwa katika &#341;asimu ya wa&#341;aka huo,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Wingu limetanda<\/p>\n<p>Hata hivyo, Misihai&#341;abwi&ndash;Mushonga anayatuhumu mashi&#341;ika mbalimbali ya wanawake nchini kutokana na kushindwa kuwakilisha ujumbe wa pamoja: &#8220;Walitumia muda mwingi mno kuja&#341;ibu kukabiliana na kutaka kutambuliwa, kama vyama vya siasa, badala ya kuelimisha wanajamii juu ya nini kinaendelea na kupata maoni katika mchakato huo.&#8221;<\/p>\n<p>Lakini Jenni Williams, kiongozi wa shi&#341;ika la Women of Zimbabwe A&#341;ise, WOZA, anasema shi&#341;ika lake limeendesha &#8220;p&#341;og&#341;amu kubwa&#8221; kuwafanya wanawake kutambua zoezi linaloendelea na haja ya wao kuwa sehemu yake.<\/p>\n<p>Katika &#341;ipoti ya Septemba iliyotolewa na Kamati ya Bunge ya Katiba, COPAC, inasema wanawake kwa kiasi kidogo iliwapita wanaume katika mikutano yake ya kukusanya maoni Juni 23.<\/p>\n<p>Lakini katika mitaa ya Ha&#341;a&#341;e, baadhi ya umma walionekana kutoku&#341;idhishwa na mchakato mzima, na kuona hali hiyo kama suala la wanasiasa.<\/p>\n<p>&#8220;Natumaini yaliweza kushi&#341;iki bila ghasia ambazo tumeziona wakati wa ku&#341;a ya maoni [2000],&#8221; alisema Eniah Benyu&#341;a ambaye anatoka kusini mwa Zvishavane. &#8220;Watu wengi wasiokuwa na hatia waliuawa wakati huo&#8230; Hatujali wanakuja na nini, kama itasaidia nchi ku&#341;ejea katika hali yake ya kawaida.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>HARARE, Nov 2 (IPS) &ndash; Kamati ya bunge imeanza kuandaa maoni juu ya katiba mpya, yaliyokusanywa katika mikutano 4,000 iliyofanyika nchini Zimbabwe katika kipindi cha miezi mitatu. Wanaha&#341;akati wa jinsia wana imani kuwa maoni ya wanawake yanatakiwa kuonekana; ni wajibu wa waandaaji wa katiba mpya kuhakikisha kuwa maoni yao yanaingizwa. Zaidi ya watu 700,000 walihudhu&#341;ia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":112,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3466","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3466","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/112"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3466"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3466\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3466"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3466"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3466"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}