{"id":3465,"date":"2010-11-02T13:40:01","date_gmt":"2010-11-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/02\/changamoto-za-kubakisha-walimu-zambia\/"},"modified":"2010-11-02T13:40:01","modified_gmt":"2010-11-02T13:40:01","slug":"changamoto-za-kubakisha-walimu-zambia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/02\/changamoto-za-kubakisha-walimu-zambia\/","title":{"rendered":"Changamoto za Kubakisha Walimu Zambia"},"content":{"rendered":"<p>LUSAKA, Nov 2 (IPS) &ndash; Jitihada za Zambia za kuima&#341;isha mfumo wa elimu hazitakuwa na mafanikio makubwa kama hakuna njia ya kubakisha walimu wenye ujuzi kama Ca&#341;oline Chisenga.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ni mwalimu wa hisabati mwenye uzoefu wa miaka kumi. Hivi ka&#341;ibuni ameongeza elimu yake katika ufundishaji na kupata shahada kamili. Lakini ana jicho jingine la kuondoka nchini kutafuta malipo makubwa ng&#8217;ambo.<\/p>\n<p>Kwa wastani, mwalimu mwenye diploma anapata mshaha&#341;a wa dola 400 kwa mwezi, huku nyumba na mafao mengine yakifikisha dola 100 kwa mwezi. Kiasi hiki, walimu wanasema, ni kidogo mno kuwezesha hata familia ndogo katika hali ya mfumuko wa bei na gha&#341;ama za juu za maisha, hasa katika maeneo kama vile Lusaka na Majimbo ya Coppe&#341;belt.<\/p>\n<p>Hilo ndilo lililosababisha Chisenga kuondoka nchini baada ya miaka saba ya kufundisha katika jiji la pili kwa ukubwa la Zambia la Ndola.<\/p>\n<p>&#8220;Mshaha&#341;a wangu haujatosha, hivyo nilikwenda nchini Botswana na kupata aji&#341;a. Nilitumikia huko kwa mwaka, na wakati nilipotakiwa kusaini mkataba wa pili, nilidhani nilipata fedha nzu&#341;i na kuamua ku&#341;ejea nyumbani.&#8221;<\/p>\n<p>Chisenga anasema alipata dola 1,500 kwa mwezi nchini Botswana. Walimu wa hisabati na wa sayansi kama Chisenga ndiyo wanaoongoza katika kuondoka na kwenda kusaka aji&#341;a nzu&#341;i nje, na kuacha pengo kubwa la upungufu wa walimu katika shule za umma.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali inakabiliwa na changamoto kubwa katika kupata watu kusimamia zaidi ya wanafunzi &#341;obo milioni waliojiunga na shule za sekonda&#341;i nchini kote. Uwiano ni mwalimu mmoja kwa kila wanafunzi 60.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa hiyo walimu ambao walipatiwa mafunzo na se&#341;ikali wameamua kuondoka nchini na kwenda kufanya kazi nje ya nchi,&#8221; anasema Chisenga. &#8220;Hivi ndivyo hali ilivyo na hii imesababisha madha&#341;a mabaya katika shule, hasa shule za sekonda&#341;i. Kama jambo lolote linaweza kutokea, bado naangalia kupata nafasi nyingine kwasababu kuna fedha nzu&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Pat&#341;ick Nyambe ni Mwalimu Mkuu katika Shule ya South End mjini Lusaka, ambayo ina wanafunzi wanaoka&#341;ibia 600. Nyambe anasema walimu wake wanahitaji angalau walimu wa sayansi watano, na wengine watano kufundisha hisabati, lakini shule imeweza kupata wawili tu katika kila somo.<\/p>\n<p>&#8220;[Walimu] ni wachache. Tupo nyuma kidogo, unakuta kuwa [Zambia] bado ina vyuo vinavyotoa mafunzo ya mafunzo ya miaka miwili. Mafunzo hayo ni ya shule za msingi, lakini hao ni walimu ambao wanaangukia katika kufundisha walimu wa sayansi shuleni kutokana na mahitaji kuwa ya juu zaidi kutokana na kuondoka [kwa walimu kutoka nchini]. Wanapaswa kuwa na aina ya mafunzo ya ha&#341;aka ili waweze kutoa mafunzo kwa walimu wengi zaidi kuziba pengo.&#8221;<\/p>\n<p>Ripoti ya vyombo vya haba&#341;i ya ka&#341;ibuni ilielezea haba&#341;i ya mwalimu katika wilaya ya kijijini ambaye amehitimu da&#341;asa la saba na kufundisha katika shule ya msingi, na hivyo kuhitajika kwa wafanyakazi wengi. Kiwango cha chini cha kufaulu hisabati ni ushahidi wa jinsi gani uhaba wa walimu unaathi&#341;i ubo&#341;a wa elimu.<\/p>\n<p>Zambia kwa sasa ina vyuo vya walimu vya se&#341;ikali kumi na tano. Mafunzo ya nyongeza yanapatikana katika Chuo Kikuu cha Zambia.<\/p>\n<p>Inagha&#341;imu dola 10,000 kwa miaka mitatu kufundisha masomo ya Sanaa au Kiinge&#341;eza katika Chuo cha Lusaka cha Evelyn Hone &ndash; na kufundisha walimu wa sayansi katika Chuo Kikuu cha Zambia kuna gha&#341;ama kubwa zaidi. Idadi kubwa ya wanafunzi wa ualimu wanafaidika na ufadhili wa se&#341;ikali lakini hawana jukumu la kupata nafasi za kufundisha katika shule za umma baada ya kuhitimu mafunzo yao.<\/p>\n<p>Na wengi wa waliopatiwa mafunzo wana nia ya kuondoka nchini.<\/p>\n<p>Yote haya yanasababishwa na kuathi&#341;iwa na gonjwa la UKIMWI: &#341;ipoti ya Ba&#341;aza la UKIMWI la Taifa inaonyesha kuwa asilimia 40 ya Walimu nchini Zambia wanaishi na VVU. Na walimu elfu moja wanakufa na UKIMWI kila mwaka.<\/p>\n<p>Wiza&#341;a ya elimu ya Zambia katika miaka miwili iliyopita iliaji&#341;i zaidi ya walimu 20,000 nchini kote kuchukua nafasi iliyoachwa na wale walioondoka nchini kwenda kutafuta maisha bo&#341;a nje au ambao wamefa&#341;iki dunia. Chinyama ni mmoja wa wale wanoamini kuwa hata kutoa mafunzo kwa walimu zaidi haitoshi.<\/p>\n<p>Umoja wa Elimu wa Zambia ni moja ya mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali yaliyoanzishwa kusaidia mfumo wa kise&#341;a katika elimu kwa wote na malengo ya maendeleo ya milenia.<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi wake, Mi&#341;iam Chinyama, ametoa wito kwa se&#341;ikali kubo&#341;esha kwa ha&#341;aka mazingi&#341;a ya kazi kwa walimu wa Zambia.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa sasa tunaangalia uwiano wa mwalimu na mwanafunzi, na takwimu siyo nzu&#341;i. Tunahitaji kufanya kila kitu kuja&#341;ibu na kubakisha walimu wachache tulionao,&#8221; alisema, akisema kuwa malipo siyo tu suala la walimu, ambao wamekata tamaa kutokana na kukosa vifaa mada&#341;asani.<\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali inahitaji kuhakikishia wanawake mazingi&#341;a ya kiushindani ya kutoa huduma kuwezesha walimu kubakia katika mfumo. Kuna njia nyingi mno za kuwahamasisha walimu,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa mfano, se&#341;ikali ilianzisha mpango wa kutoa paneli za nishati ya jua katika maeneo ya vijijini ili wapate mambo kama umeme. Hayo ni mambo madogo lakini muhimu sana kuima&#341;ishwa, mbali ya kuangalia malipo.&#8221;<\/p>\n<p>Kutokana na hali hii Nyambe wa Shule ya South End, anakubali.<\/p>\n<p>&#8220;Mfumo wa elimu nchini Zambia, unaweka shule pale ambako hakuna vifaa muhimu kuwafanya walimu wa sayansi kufaidi kazi yao. Hivyo unakuta kuwa hii ni sehemu ya kuchanganyikiwa ambayo inapatikana huko. Wakati wakibo&#341;esha shule hizi za msingi, wanatakiwa kubo&#341;esha vifaa, maaba&#341;a za sayansi na kila kitu.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati Zambia ikijitahidi kufikia kuwa na elimu bo&#341;a ni muhimu kwamba se&#341;ikali inatekeleza kwa uzito mkubwa motisha wa walimu ili kuzuia wafanyakazi zaidi kukimbia nchi kwenda maeneo ya nje hasa kwa kuzingatia gha&#341;ama zinazotokana na mfumo wa elimu katika siku za baadaye.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUSAKA, Nov 2 (IPS) &ndash; Jitihada za Zambia za kuima&#341;isha mfumo wa elimu hazitakuwa na mafanikio makubwa kama hakuna njia ya kubakisha walimu wenye ujuzi kama Ca&#341;oline Chisenga. Ni mwalimu wa hisabati mwenye uzoefu wa miaka kumi. Hivi ka&#341;ibuni ameongeza elimu yake katika ufundishaji na kupata shahada kamili. Lakini ana jicho jingine la kuondoka nchini&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":811,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3465","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3465","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/811"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3465"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3465\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3465"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3465"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3465"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}