{"id":3464,"date":"2010-11-02T13:40:01","date_gmt":"2010-11-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/02\/afrika-kusini-rasimu-ya-muswada-ni-mkataba-wa-ulaghai-2\/"},"modified":"2010-11-02T13:40:01","modified_gmt":"2010-11-02T13:40:01","slug":"afrika-kusini-rasimu-ya-muswada-ni-mkataba-wa-ulaghai-2","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/02\/afrika-kusini-rasimu-ya-muswada-ni-mkataba-wa-ulaghai-2\/","title":{"rendered":"AFRIKA KUSINI: Rasimu ya Muswada ni &#8216;Mkataba wa Ulaghai&#8217;"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Okt 27 (IPS) &ndash; Umoja wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia uliandamana hadi Bunge la Af&#341;ika Kusini Okt. 27 kupinga &#341;asimu mpya ya Muswada wa Kulinda Upatikanaji wa Haba&#341;i. &#8220;Huku ni kusaliti kanuni za kidemok&#341;asia tunaopigania,&#8221; mpiganaji wa ubaguzi wa &#341;angi Kade&#341; Asmal aliliambia kusanyiko la watu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Bunge la Af&#341;ika Kusini kwa sasa linafiki&#341;ia kupitisha she&#341;ia ya kufuta she&#341;ia zinazosababisha usi&#341;i wa taa&#341;ifa za se&#341;ikali wakati wa ubaguzi wa &#341;angi.<\/p>\n<p>Wakosoaji, chini ya bende&#341;a ya &#8220;Right 2 Know Campaign&#8221;, anasema muswada unaweza kuzuia upatikanaji wa taa&#341;ifa ambazo ni muhimu kuifanya se&#341;ikali kuwajibika.<\/p>\n<p>&#8220;Muswada huo ni mkataba wa kilaghai. Kutokana na kila mtu kutoka u&#341;ais hadi chini katika mamlaka za mitaa wanaweza kuzuia miswada na mawazo kama masuala ya si&#341;i,&#8221; Asmal alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Hakuna mahali popote pale duniani unaweza kuona madiwani wanafanya hivi&#8230; Huwezi kuwa na mamia ya watu kuwa na haki ya kulifanya hili, unahitaji idadi ndogo ya watu.&#8221;<\/p>\n<p>Muswada utawakuta na hatia wale ambao wanasambaza au kumiliki taa&#341;ifa zisizo&#341;uhusiwa kutolewa bila kibali kutoka kwa mamlaka husika, wawe wapuliza filimbi, waandishi wa haba&#341;i au wananchi wa kawaida &ndash; hata kama kutolewa huku kwa taa&#341;ifa kunaonekana kuzingatia maslahi ya umma.<\/p>\n<p>Hii inaweza kuwa na madha&#341;a makubwa katika uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i, kama waandishi wa haba&#341;i wanaweza kutishiwa kufungwa jela hadi miaka 25 kutokana na kuchapisha taa&#341;ifa za si&#341;i: hukumu kali kuliko inayoweza kutolewa kwa maafisa wa se&#341;ikali ambao wanatoa taa&#341;ifa kinyume cha she&#341;ia.<\/p>\n<p>Taa&#341;ifa kuhusu mikataba ya se&#341;ikali zinaweza kuwa za si&#341;i, na kuzuia uwazi katika kushughulika na makampuni makubwa ya umma.<\/p>\n<p>Uwezo mkubwa <\/p>\n<p>Ayesha Kajee, mku&#341;ugenzi wa Taasisi ya Uhu&#341;u wa Kujieleza na mwanachama wa kampeni hiyo, ni wao wanaosema kuwa muswada huo katika hali yake ya sasa una matatizo makubwa.<\/p>\n<p>&#8220;Una fasili pana mno, na zenye utata kuhusu maslahi ya umma ambao uta&#341;uhusu mkuu yoyote yule wa chombo cha umma, mahali popote nchini, katika ngazi yoyote &ndash; kitaifa, kimitaa na kimkoa &ndash; kuzifanya taa&#341;ifa kuwa si&#341;i kwa misingi kuwa ni maslahi ya kitaifa kufanya taa&#341;ifa hizo kuwa za si&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Nguvu hii kubwa, wanasema wanaha&#341;akati, inaweza kudhoofisha jitihada kubwa za kupata haki za kijamii na kiuchumi. Kampeni ya kutoa tiba kwa wengi na matunzo kwa wagonjwa wa VVU\/UKIMWI, kwa mfano, inaweza kuzuialiwa na kukosekana kwa taa&#341;ifa katika bajeti za afya za majimbo.<\/p>\n<p>&#8220;The Right 2 Know Coalition&#8221; &ndash; ambayo inasimamia matukio ya kuandamana na mikutano mjini Du&#341;ban, Johannesbu&#341;g na Cape Town katika wiki inayoelekea maandamano ya Okt. 27 &ndash; ni pamoja na mashi&#341;ika mengi ya kijamii, shi&#341;ika la utetezi wa VVU la T&#341;eatment Action Campaign, na viongozi wa kidini, ikiwa ni pamoja na Jukwaa la Waha&#341;i&#341;i la Af&#341;ika Kusini, na FXI.<\/p>\n<p>Mwanaha&#341;akati wa Jumuiya ya Cape Town Yus&#341;a Adams anahofia kuwa muswada huo utadhoofisha jitihada za nyumba na utoaji wa huduma nzu&#341;i kwa taa&#341;ifa muhimu.<\/p>\n<p>&#8220;Vyombo vya haba&#341;i vinanipatia taa&#341;ifa zinazojitokeza, ni watu ambao wananifanya kuwa macho na nini kinajitokeza. Kama sisomi nitakuwa sina taa&#341;ifa za kutosha.&#8221;<\/p>\n<p>Mwanaha&#341;akati Nkwame Cedile, ambaye alishi&#341;iki katika kuandaa matukio hayo anakubaliana. &#8220;Muswada huu utaathi&#341;i kila kitu, kuanzia madiwani hadi &#341;ais wenu, kutoka hospitali hadi kwenye maaba&#341;a. Itasababisha kiza katika utoaji wa taa&#341;ifa za se&#341;ikali,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Na hata&#341;i zaidi, kwangu mimi, ni kwamba itakuja kuwa vigumu kwa uwazi na uwajibikaji ni misingi ya demok&#341;asia.&#8221;<\/p>\n<p>Majibu ya se&#341;ikali <\/p>\n<p>Akijitokeza mbele ya kamati ya bunge kupitia muswada huo Okt. 22, Wazi&#341;i wa Usalama, Siyabonga Cwele, alisisitiza kuwa wananchi wana sababu ya kupata taa&#341;ifa kupitia She&#341;ia ya Kukuza Upatikanaji wa Taa&#341;ifa, PAIA.<\/p>\n<p>&#8220;Hatupingani na muswada huo&#8230; kupata taa&#341;ifa,&#8221; Cwele alisema, &#8220;Tumesema hivyo tena na tena. Hii ndiyo sababu kuna kifungu cha muswada huo ambacho kinahusu masuala muhimu zaidi kwa suala la upatikanaji wa taa&#341;ifa, na pia tumetoa mapendekezo ili kuendana na PAIA.&#8221;<\/p>\n<p>Taa&#341;ifa iliyotolewa na wiza&#341;a ilipendekeza kuwa dhana ya &#8220;maslahi ya umma&#8221; iondoewe katika muswada, na kwamba fasili ya &#8220;taa&#341;ifa za kibiasha&#341;a&#8221; ichukuliwe kutoka katika She&#341;ia ya Kukuza Upatikanaji wa Taa&#341;ifa. Kajee wa FXI haja&#341;idhishwa na wazi&#341;i wa ulinzi.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa sasa se&#341;ikali inabidi kuthibitisha ni kwa nini taa&#341;ifa ziwe si&#341;i. Kama muswada huu unatakiwa kuwa she&#341;ia, wajibu unahamia kwa wananchi kuonyesha ni kwa nini jambo fulani siyo si&#341;i,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Hilo ni suala lisilokuwa la haki kwani se&#341;ikali ina &#341;asilimali kubwa, na ina nguvu kubwa katika mwananchi wa kawaida.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa Nic Dawes, mha&#341;i&#341;i wa gazeti la kila wiki la Mail &#038; Gua&#341;idan, muswada unakumbusha zama za ubaguzi.<\/p>\n<p>&#8220;Tunakumbuka inakuwaje kuishi katika jamii ya usi&#341;i. Tunakumbuka kuwa huwezi kuwa na uhu&#341;u wa kweli na kuishi katika uhu&#341;u huo bila uhu&#341;u wa kujua,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna wale ambao wanasema kwetu kuwa, tukubalini, mna uhu&#341;u wa kutumaini. Tunasema kuwa huo siyo uhu&#341;u tuliopigania, kwa kweli siyo uhu&#341;u.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Okt 27 (IPS) &ndash; Umoja wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia uliandamana hadi Bunge la Af&#341;ika Kusini Okt. 27 kupinga &#341;asimu mpya ya Muswada wa Kulinda Upatikanaji wa Haba&#341;i. &#8220;Huku ni kusaliti kanuni za kidemok&#341;asia tunaopigania,&#8221; mpiganaji wa ubaguzi wa &#341;angi Kade&#341; Asmal aliliambia kusanyiko la watu. Bunge la Af&#341;ika Kusini kwa sasa linafiki&#341;ia kupitisha&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":810,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3464","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3464","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/810"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3464"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3464\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3464"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3464"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3464"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}