{"id":3462,"date":"2010-11-02T13:40:01","date_gmt":"2010-11-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/02\/sudan-ubakaji-siyo-uzinzi\/"},"modified":"2010-11-02T13:40:01","modified_gmt":"2010-11-02T13:40:01","slug":"sudan-ubakaji-siyo-uzinzi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/11\/02\/sudan-ubakaji-siyo-uzinzi\/","title":{"rendered":"SUDAN: Ubakaji Siyo Uzinzi"},"content":{"rendered":"<p>KHARTOUM, Okt 26 (IPS) &ndash; Wanawake katika jimbo la Sudan la Da&#341;fu&#341; wamekuwa wakibakwa kwa ukatili mkubwa tangu kuanza kwa mgogo&#341;o mwaka 2003. Kwa sasa kampeni ya kufanya ma&#341;ekebisho ya she&#341;ia ya ubakaji inazidi kushika kasi nchini, kutokana na kukuzwa na umoja wa &#8220;Alliance 149&#8221;, umoja wa kitaifa ulioanzishwa mwishoni mwa mwaka 2009.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Chini ya Kifungu cha 149 &ndash; katika Uta&#341;atibu wa Mashitaka ya Makosa ya Jinai Sudan mwaka 1991 ambayo yanahusiana na ubakaji &ndash; kosa hilo lina fasili ya &#8220;zina&#8221;, ambayo ina maana kujamiiana kati ya mwanaume na mwanamke ambao hawajaona, bila ya &#341;idhaa yake.<\/p>\n<p>She&#341;ia inasema kuwa mwanaume anahitaji mashahidi wa kiume wanne kuthibitisha kuwa kitendo hicho kimefanyika &#8220;bila &#341;idhaa yake&#8221;. Kama anatoa taa&#341;ifa ya ubakaji na bila ya kuwa na ushahidi wa aina hiyo, atashitakiwa kwa uzinzi na adhabu yake ni kuchapwa viboko 100, kama hajaolewa, au kwa kupigwa mawe hadi kufa kama ameolewa.<\/p>\n<p>&#8220;She&#341;ia inayofanyiwa ma&#341;ekebisho itakuwa mafanikio kwa wanawake wa Sudan wote kwani uzinzi na ubakaji utatenganishwa na kosa hilo la jinai litakuwa na hukumu ya muda m&#341;efu,&#8221; alisema Am&#341;o Kamal, mwanashe&#341;ia wa kujitolea wa Shi&#341;ika la Kufuatilia Haki za Binadamu Sudan na mwanachama wa bodi ya &#8220;Alliance 149&#8221;.<\/p>\n<p>Uta&#341;atibu wa Mashitaka ya Makosa ya Jinai Sudan &#8220;unajikita katika she&#341;ia za Kiislam zijulikanazo kama sha&#341;iah, lakini ukweli kwamba &#8220;A&#341;ticle 149&#8243; haitofautishi kati ya zinaa na ubakaji ni tatizo na siyo Uislam,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Jimbo la magha&#341;ibi la Da&#341;fu&#341; linastahili mfumo tofauti. Mgogo&#341;o unaoendelea kati ya waasi wasiokuwa Waa&#341;abu, wanamgambo wa Kisudan na wanamgambo wa Kia&#341;abu wa Janjaweed imesababisha vifo vya &#341;aia wasiokuwa na hatia 300,000 na zaidi ya watu milioni mbili kukimbia makazi yao.<\/p>\n<p>&#8220;Alliance&#8221; inapendekeza kupitishwa kwa she&#341;ia za haki za binadamu za kimataifa ili kuweza kutimiza mahitaji ya waathi&#341;ika wa unyanyasaji wa kingono huko Da&#341;fu&#341;.<\/p>\n<p>Wanawake wanaoishi huko wanakabiliwa na hata&#341;i ya ubakaji na kukimbia makazi yao kila siku bila kupenda. Wengi wameyakimbia makazi yao na kuishi katika makambi ya se&#341;ikali &ndash; wakati wengine wanaendelea kuishi katika makambi kwa miaka.<\/p>\n<p>&#8220;Siyo &#341;ahisi kwa mwanamke ambaye amebakwa katika jamii, hasa wakati mtoto anazaliwa kutokana na kubakwa. Jamii haitamkubali mtoto huyo,&#8221; alisema Mahbouba Abdu&#341; Rahman Ali, wa Shi&#341;ika la Kuwezesha Wanawake.<\/p>\n<p>Mkataba wa Amani ambao ulihitimisha vita vya miaka 21 kati ya Waa&#341;abu ambao ni Waislam wa kaskazini na Wak&#341;isto weusi ambao wanaishi kusini mwaka 2005 unataka kuwepo kwa ma&#341;ekebisho ya she&#341;ia ili kwenda sawa na mikataba ya haki za binadamu ya kimataifa, kulingana na &#8220;Alliance&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Sudan haijasaini Mkataba wa Kutokomeza Aina Zote za Ubaguzi Dhidi ya Wanawake (CEDAW),&#8221; chanzo cha haba&#341;i kutoka Kitengo cha Watoto na Familia kiliiambia Te&#341;&#341;aViva. &#8220;Hii inasababisha kuwa vigumu kufanyia ma&#341;ekebisho she&#341;ia zinazohusiana na wanawake kwasababu hakuna mtu ambaye anahusika na masuala ya wanawake.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Alliance 149&#8221; imepata kuangaliwa na wabunge. Wakati ilipozindua kampeni yake, mwezi Janua&#341;i, ilivutia viongozi kutoka Wiza&#341;a ya Mambo ya Ndani, vikosi vya polisi, wabunge na wawakilishi wa vyama vya siasa.<\/p>\n<p>&#8220;Ni jambo zu&#341;i kuona vikundi vya wanawake na wawakilishi kutoka se&#341;ikali na mahakama wanafanya kazi pamoja kwa jambo hilo muhimu,&#8221; alisema Fahima Hashim, mwanachama wa bodi ya &#8220;Alliance&#8221; na mku&#341;ugenzi wa Kituo cha Wanawake cha Salmmah. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KHARTOUM, Okt 26 (IPS) &ndash; Wanawake katika jimbo la Sudan la Da&#341;fu&#341; wamekuwa wakibakwa kwa ukatili mkubwa tangu kuanza kwa mgogo&#341;o mwaka 2003. Kwa sasa kampeni ya kufanya ma&#341;ekebisho ya she&#341;ia ya ubakaji inazidi kushika kasi nchini, kutokana na kukuzwa na umoja wa &#8220;Alliance 149&#8221;, umoja wa kitaifa ulioanzishwa mwishoni mwa mwaka 2009. Chini ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":809,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3462","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3462","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/809"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3462"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3462\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3462"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3462"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3462"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}