{"id":3456,"date":"2010-10-26T13:40:01","date_gmt":"2010-10-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/26\/mahindi-yanayotumia-maji-machache-yanaweza-kuongeza-usalama-wa-chakula-afika\/"},"modified":"2010-10-26T13:40:01","modified_gmt":"2010-10-26T13:40:01","slug":"mahindi-yanayotumia-maji-machache-yanaweza-kuongeza-usalama-wa-chakula-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/26\/mahindi-yanayotumia-maji-machache-yanaweza-kuongeza-usalama-wa-chakula-afika\/","title":{"rendered":"Mahindi Yanayotumia Maji Machache Yanaweza Kuongeza Usalama wa Chakula Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Okt 21 (IPS) &ndash; Wakati maja&#341;ibio ya mazao yenye vinasaba (GM) yako mbioni kuanza katika nchi tano za Af&#341;ika katikati mwa ahadi za kubo&#341;esha mazao yanayopandwa chini ya mazingi&#341;a yasiyokuwa na &#341;utuba, wakosoaji wanadai mashi&#341;ika yanauza maslahi ya wakulima wa Af&#341;ika.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Timu ya wanasayansi kutoka Ma&#341;ekani, Mexico, Kenya, Uganda, Tanzania, Af&#341;ika Kusini na Msumbiji wamegundua mahindi yanayotumia maji kidogo chini ya m&#341;adi wa Mahindi Yanayotumia Maji Machache Af&#341;ika (WEMA). Aina hiyo ya mahindi yenye mavuno mengi inasemakana kustahimili mazingi&#341;a ya Af&#341;ika na kustahimili hali mbalimbali zisizofaa kwa mazao, ikiwa ni pamoja na wadudu na magonjwa, yanayopatikana katika mashamba ya wakulima Masha&#341;iki na Kusini mwa Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Ma&#341;a tu maja&#341;ibio 12 ya WEMA yatakapoanza kufanikiwa yataanza kutumika katika mataifa matano ya Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Aina ya mahindi ya WEMA yanayostahimili ukame yalitafutiwa kwa kushi&#341;ikiana na Mfuko wa Teknolojia ya Kilimo Af&#341;ika (AATF) wenye makazi yake mjini Nai&#341;obi; Kituo cha Kimataifa cha Kubo&#341;esha Mazao ya Mahindi na Ngano (CIMMYT) nchini Mexico; kampuni kubwa ya kimataifa ya teknolojia ya mazao, Monsanto; na mashi&#341;ika ya utafiti wa kilimo ya kitaifa katika mataifa matano ya Af&#341;ika. Mpango huo ulianza mwaka 2008.<\/p>\n<p>Lakini mashi&#341;ika yanayopingana na mazao ya GM, kama vile &#8220;Gene Ethics&#8221;, yanasema kuwa teknolojia hii ya mazao haina maana kwa usalama wa chakula, lakini ina maslahi kwa wafanyabiasha&#341;a. Bob Phelps wa &#8220;Gene Ethics&#8221; nchini Aust&#341;alia alidai kuwa m&#341;adi wa WEMA unauza maslahi ya wakulima wa Af&#341;ika. Alisema kuwa m&#341;adi umekuwa ukiendeleza maslahi ya makampuni makubwa katika &#341;asilimali za umma na masoko ili kuongeza faida zaidi.<\/p>\n<p>&#8220;Hii haina maana zaidi ya mpango wa kukuza bila ya kuwa na usawa na kuleta faida kwa teknolojia ya GM na bidhaa zake juu ya njia nyingine zozote zile kufikia utulivu wa kijijini kwa jumuiya za Af&#341;ika. AATF inaona ufumbuzi wa kijenetiki katika matatizo ya ukame ya Af&#341;ika, na kupuuzia teknolojia zote na mikakati ya teknolojia,&#8221; Phelps aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Mkakati huo pia unaondoa &#8216;kustahimili ukame&#8217; kwa &#8216;kusaidia mimea kukabiliana na ukame&#8217; &ndash; dhana ambayo haiwezi kufasiliwa,&#8221; Phelps alisema.<\/p>\n<p>Lakini Af&#341;ika ina midomo zaidi kulisha pamoja na jitihada za kukuza vitega uchumi vya kilimo na mashamba madogo yenye &#341;asilimali ndogo. Baadhi ya wakulima wanapata shida ya kuendesha maisha yao wanadhani kuwa mazao ya GM yanatakiwa kupewa nafasi.<\/p>\n<p>Be&#341;ean Mukwende, mkulima wa mahindi wa Zimbabwe na makamu wa Rais wa Umoja wa Wakulima Zimbabwe, alisema kutokana na mazingi&#341;a duni ya mashamba na mavuno machache katika nchi zenye ukame kama Zimbabwe, mazao yanayostahimili ukame yanatakiwa kuzingatiwa.<\/p>\n<p>&#8220;Mbegu ni za gha&#341;ama za juu mno na ma&#341;a nyingine hazipatikani katika maeneo ya kijijini na ma&#341;a nyingi siyo aina inayofaa. Lakini kutokana na mavuno machache, mavuno makubwa na mahindi yanayostahimili ukame yataongeza uzalishaji na unaka&#341;ibishwa,&#8221; Mukwende alisema.<\/p>\n<p>Aliongeza: &#8220;Wakulima hawana fedha za kununulia mbegu na kupunguzwa kwa bei na siku zote wanaangalia kuwa na mavuno makubwa, kustahimili ukame, kustahimili wadudu waha&#341;ibifu na magonjwa ya mbegu.&#8221;<\/p>\n<p>Afisa Mawasiliano wa M&#341;adi wa AATF, G&#341;ace Wacho&#341;o, aliiambia IPS kuwa m&#341;adi wa WEMA unatumia teknolojia ya mbegu ya hali ya juu kwa kuangalia Mahindi Yanayostahimili Ukame ya CIMMYT Af&#341;ika. M&#341;adi utahusisha mahindi yanayostahimili ukame katika aina mpya ya mahindi yaliyobo&#341;eshwa.<\/p>\n<p>AATF ilisema wakati wa ukame wa kawaida, aina mpya ya mahindi inata&#341;ajiwa kuongeza mavuno kwa asilimia 24 hadi 35 ikilinganishwa na aina ya sasa bila aina hii ya kustahimili ukame. Kama m&#341;adi utafanikiwa, ongezeko la mavuno litakuwa na maana ongezeko la tani milioni mbili za mahindi yatakayovunwa katika miaka ya ukame.<\/p>\n<p>&#8220;Hii ina maana kuwa watu milioni 14 hadi 21 katika nchi tano tunazolenga watakuwa na mahindi zaidi ya kula na kuuza,&#8221; Wacho&#341;o aliambia IPS kutoka Nai&#341;obi, Kenya.<\/p>\n<p>Kwa kuongeza, AAFT anasema, aina mpya ya mazao ina faida za kibinadamu, kimazingi&#341;a na kiafya kutokana na kupunguza mahitaji na matumizi ya madawa ya kuulia wadudu. Mazao hayo pia yana wingi wa madini na vitamini kwa afya bo&#341;a.<\/p>\n<p>Lakini ahadi ya teknolojia ya mazao kubo&#341;esha usalama wa chakula haijaondoa wasiwasi kuhusu usalama wa mazao ya GM. Wameshafungua kesi dhidi ya vyakula vya GM.<\/p>\n<p>&#8220;Gene Ethics&#8221; ina imani kuwa mpango wa WEMA unalenga katika mavuno mengi kwa kutegemea katika mazao ya GM katika kuongeza gha&#341;ama na pembejeo chache, kama vile mbolea aina ya mafuta, madawa ya kuulia wadudu na nishati ya kuendeshea mashine za kilimo. Shi&#341;ika hilo linasema kilimo cha mazao ya pamoja, mseto na mifumo ya usimamiaji ambao utasaidia mahitaji ya muda m&#341;efu ya jumuiya za vijijini kwa ajili ya mazingi&#341;a endelevu, lishe na mlo kamili unapaswa kuzingatiwa kuwa ufumbuzi unaowezekana.<\/p>\n<p>AAFT imesema wakulima wadogo watatakiwa kulipia mbegu kwasababu Monsanto ilikuwa ikitoa mchango wa mbegu zinazotengenezwa kwa teknolojia ya mimea, na utaalam wa kubo&#341;esha aina ya mahindi inayostahimili ukame kwa ajili ya mazingi&#341;a ya Af&#341;ika. Hata hivyo, hawatatozwa m&#341;abaha.<\/p>\n<p>Aina hiyo ya mahindi itapewa kibali bila kutozwa ushu&#341;u kupitia mpango wa AATF wa maendeleo, upimaji, na hatimaye kutumia kwa kupitia katika chaneli za mbegu mbalimbali.<\/p>\n<p>Lakini Phelps hajashawishika. Alisema hakuna kitu cha bu&#341;e katika muda m&#341;efu na wakulima wa Af&#341;ika watalipa mwaka baada ya mwaka mbegu za GM ambazo hawawezi kuzihifadhi kwa ajili ya kuzipanda tena.<\/p>\n<p>&#8220;Awali Monsanto inatoa bu&#341;e mbegu zake za GM, kama ilivyofanya kwa Ame&#341;ika Kusini ilipotoa mbegu za soya na mahindi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Monsanto na AATF wanataka kukamata wakulima wa Af&#341;ika na se&#341;ikali ambazo zitanunua bidhaa za GM baadae kwa bei za juu wakati njia nyingine mbadala zitakapokosekana, mfano mbegu zinazohifadhiwa na wakulima.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Okt 21 (IPS) &ndash; Wakati maja&#341;ibio ya mazao yenye vinasaba (GM) yako mbioni kuanza katika nchi tano za Af&#341;ika katikati mwa ahadi za kubo&#341;esha mazao yanayopandwa chini ya mazingi&#341;a yasiyokuwa na &#341;utuba, wakosoaji wanadai mashi&#341;ika yanauza maslahi ya wakulima wa Af&#341;ika. Timu ya wanasayansi kutoka Ma&#341;ekani, Mexico, Kenya, Uganda, Tanzania, Af&#341;ika Kusini na Msumbiji&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":540,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3456","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3456","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/540"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3456"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3456\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3456"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3456"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3456"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}