{"id":3455,"date":"2010-10-26T13:40:01","date_gmt":"2010-10-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/26\/mpango-wa-seikali-ya-rwanda-kuhamishia-fedha-elimu-ya-msingi-wapingwa\/"},"modified":"2010-10-26T13:40:01","modified_gmt":"2010-10-26T13:40:01","slug":"mpango-wa-seikali-ya-rwanda-kuhamishia-fedha-elimu-ya-msingi-wapingwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/26\/mpango-wa-seikali-ya-rwanda-kuhamishia-fedha-elimu-ya-msingi-wapingwa\/","title":{"rendered":"Mpango wa Se&#341;ikali ya Rwanda Kuhamishia Fedha Elimu ya Msingi Wapingwa"},"content":{"rendered":"<p>KIGALI, Okt 20 (IPS) &ndash; Katika ja&#341;ibio la kufikia lengo la maendeleo ya milenia la elimu ya msingi kwa wote ifikapo mwaka 2015, se&#341;ikali ya Rwanda imeamua kuhamisha kiasi kikubwa cha fedha kutoka katika bajeti yake ya elimu ya juu kwenda kwenye sekta ya elimu ya msingi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Matokeo yake, maelfu ya wanafunzi ambao hutegemea kupatiwa fedha kutoka se&#341;ikalini wana wasiwasi kuwa watashindwa kusoma kama fedha zao na ufadhili wa kwenda chuoni unaozingatia sifa zao &ndash; ambao unawapatia ada, malazi na fedha za kujikimu &ndash; zitaondolewa.<\/p>\n<p>Ced&#341;ic Kavamahanga, mwanafunzi wa uhandisi katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia mjini Kigali, anasema wengi wa wanafunzi wenzake wanaweza kuacha shule.<\/p>\n<p>&#8220;Hali ya maisha [na upatikanaji wa elimu ya juu] ya idadi kubwa ya wanafunzi kutoka familia maskini yanategemea zaidi kiasi cha fedha kinachotolewa na se&#341;ikali,&#8221; anaelezea.<\/p>\n<p>Laini se&#341;ikali ya Rwanda imeweka bayana kuwa ina imani kuwa shabaha mpya ya kulenga katika kubo&#341;esha upatikanaji na kubo&#341;esha kiwango cha ubo&#341;a cha elimu ya msingi ni sababu za msingi za kutoa fedha katika sekta ya elimu ya juu.<\/p>\n<p>&#8220;Uamuzi wa kuondoa mafao ya wanafunzi wa chuo kikuu ulichukuliwa baada ya kuona kuwa kuna ngazi nyingine za mfumo wa elimu nchini, ambazo bado zipo nyuma,&#8221; anasema wazi&#341;i wa elimu Cha&#341;les Mu&#341;igande.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i anaahidi kwamba mpango wa kuwapatia fedha wanafunzi wa elimu ya juu utakomeshwa polepole. Alisema, kwa wakati huu, se&#341;ikali itaendelea kusaidia wanafunzi kifedha, lakini kwa muda mfupi, halafu wanafunzi watatakiwa hatimaye kulipia gha&#341;ama zao zote za elimu ya chuo kikuu.<\/p>\n<p>Mwaka 2009, Wiza&#341;a ya elimu ya Rwanda ilitumia dola milioni 11.4 kwa ajili ya kuwapatia fedha wanafunzi wapatao 27,000 wa vyuo vikuu vya umma na taasisi nyingine za elimu ya juu.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali inasema kuwa kiasi hiki cha fedha ni kikubwa mno na inapendekeza kuwa afadhali kitumike katika kuhakikisha kuwa kila &#341;aia mwenye um&#341;i wa hadi miaka tisa anapata elimu ya awali bu&#341;e &ndash; miaka sita katika elimu ya msingi na miaka mitatu katika elimu ya sekonda&#341;i.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Mu&#341;igande anaahidi, kutokuwaacha wanafunzi wa chuo kikuu kuangukia pembezoni mwa njia. Anasema wanafunzi watakaoshindwa kuhitimu mafunzo yao kutokana na kukosa fedha se&#341;ikalini, kwa kiasi wataangaliwa katika ma&#341;ekebisho ya bajeti ya elimu. Lakini hadi sasa, hakuna mpango maalum ambao umewekwa kutatua suala hili.<\/p>\n<p>Hatimaye se&#341;ikali ina matumaini kuwa vyuo vya umma na binafsi vitaanza kutoa fedha kwa ajili ya wanafunzi wao kutokana na fedha zinazopatikana kwa kufanya tafiti kwa taasisi hizo. Wengine wataomba mikopo na kuilipa baada ya mafunzo.<\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali inasisitiza kuleta mageuzi katika taasisi za elimu ya juu na kuwa vyuo vikuu vinavyojitegemea vyenye uwezo wa kuzalisha vipato vyao kutokana na tafiti,&#8221; anabainisha Mu&#341;igande.<\/p>\n<p>Ana imani kuwa jukumu la kwanza la se&#341;ikali yake ni kuhakikisha kuwa kila mtu anapata elimu ya awali, wakati elimu ya juu pia ni muhimu, lakini siyo ya lazima.<\/p>\n<p>Tangu Rwanda ilipoanzisha mfumo wa elimu ya msingi kwa wote mwaka 2003, idadi ya wanafunzi waliojiunga na shule imeongezeka nchini kote. Lakini miundombinu mibovu, kukosekana kwa vifaa na uhaba wa walimu wenye ujuzi kumehata&#341;isha mafanikio yaliyofikiwa.<\/p>\n<p>&#8220;Rwanda imeahidi kufikia elimu ya msingi kwa wote kwa kusonga mbele hatua kwa hatua, na hadi sasa, elimu ya msingi ya bu&#341;e nchini humo inaanza kuwa halisia,&#8221; anaelezea wazi&#341;i mkuu wa Rwanda Be&#341;na&#341;d Makuza.<\/p>\n<p>&#8220;Kuanzia sasa kwenda mbele, asilimia 25 ya bajeti yote [ya dola milioni 92.1] ya sekta ya elimu, ambayo ilikuwa ikitumika kama malipo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, itaingizwa katika kufadhili elimu ya awali kwa wote &#8220;, anaongeza.<\/p>\n<p>Makuza ana imani kuwa kuondoa mafao kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma ni njia bo&#341;a zaidi ya kuziba mapengo katika sekta ya elimu ya msingi. Siyo tu kwamba fedha hizo zitaelekezwa kwenye elimu ya msingi lakini pia kutumika kubo&#341;esha miaka mitatu ya mwanzo ya elimu ya sekonda&#341;i.<\/p>\n<p>Hadi itakapofika mwaka 2012, asilimia 40 ya watoto nchini humo watakuwa wanapata elimu ya msingi na sekonda&#341;i bu&#341;e, na idadi hii itakuwa zaidi ya kufikia ta&#341;ehe ya mwisho ya malengo ya maendeleo ya milenia (MDGs), inaahidi se&#341;ikali.<\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na &#341;asilimali zetu chache, tumetenga zaidi ya asilimia 25 ya bajeti yetu ya mwaka katika elimu, na kusaidia kufikia asilimia 98 ya uandikishwaji wa wanafunzi shule ya msingi, kabla ya mwaka 2015,&#8221; Rais Paul Kagame alitangaza wakati wa Mkutano wa Kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu MDG, ambao ulifanyika mjini New Yo&#341;k mwezi Septemba.<\/p>\n<p>Hii itakuwa ubo&#341;eshaji mkubwa kutoka asilimia kumi na moja ya watoto wanaohudhu&#341;ia shule ya msingi nchini Rwanda mwaka 2007.<\/p>\n<p>Lakini wataalam wa elimu wa nchini humo wana wasiwasi kuwa kuondoa bajeti kutoka elimu ya juu kutakuwa na maana kwamba katika kipindi ki&#341;efu, Rwanda haitaweza kujenga kundi la wasomi ambao wanaweza kusaidia kukuza uchumi maskini wa taifa hilo la Af&#341;ika ya kati.<\/p>\n<p>Pia wana imani kuwa itadhoofisha jukumu kubwa la Rwanda katika utekelezaji wa mpango wa &#8216;Elimu kwa Wote&#8217; wa Shi&#341;ika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco) ambao unalenga katika kufikia mahitaji ya elimu kwa wote &ndash; watoto, vijana na watu wazima &ndash; ifikapo mwaka 2015.<\/p>\n<p>&#8220;Itakuwa muhimu kuangalia kwa umakini hali ya mabadiliko ya ufadhili wa elimu kuzuia Rwanda kuishia kubakia nyuma linapokuja suala la ushindani wa kielimu na kiuchumi,&#8221; anaonya mhadhi&#341;i mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Tifa Rwanda mjini Buta&#341;e. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KIGALI, Okt 20 (IPS) &ndash; Katika ja&#341;ibio la kufikia lengo la maendeleo ya milenia la elimu ya msingi kwa wote ifikapo mwaka 2015, se&#341;ikali ya Rwanda imeamua kuhamisha kiasi kikubwa cha fedha kutoka katika bajeti yake ya elimu ya juu kwenda kwenye sekta ya elimu ya msingi. Matokeo yake, maelfu ya wanafunzi ambao hutegemea kupatiwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":252,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3455","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3455","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/252"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3455"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3455\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3455"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3455"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3455"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}