{"id":3451,"date":"2010-10-22T13:40:01","date_gmt":"2010-10-22T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/22\/ufadhili-ni-mdogo-ikilinganishwa-na-mapambano-dhidi-ya-ukimwi-duniani\/"},"modified":"2010-10-22T13:40:01","modified_gmt":"2010-10-22T13:40:01","slug":"ufadhili-ni-mdogo-ikilinganishwa-na-mapambano-dhidi-ya-ukimwi-duniani","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/22\/ufadhili-ni-mdogo-ikilinganishwa-na-mapambano-dhidi-ya-ukimwi-duniani\/","title":{"rendered":"Ufadhili ni Mdogo Ikilinganishwa na Mapambano Dhidi ya UKIMWI Duniani"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Okt 6, 2010 (IPS) &ndash; Dola bilioni 11.7 zilizoahidiwa Jumanne (Oktoba 12) kufadhili Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na VVU\/UKIMWI, Kifua Kikuu na Mala&#341;ia kwa miaka mitatu ijayo una upungufu mkubwa ikilinganishwa na dola bilioni 20 zilizota&#341;ajiwa, na kutishia kuondosha mafanikio yaliyopatikana katika kupambana na magonjwa hayo &ndash; magonjwa manne ya kuambukiza ambayo yanaongoza kwa kuua watu duniani.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Upungufu wa dola bilioni 8.3 &#8220;utasababisha vifo vya mamilioni ya watu kutokana na magonjwa yanayozuilika. P&#341;og&#341;amu zenye matumaini makubwa nchini, ambazo zinaweza kuwa na maana tofauti kati ya maisha na kifo, zinaweza zisiwezekane,&#8221; alisema Dk. Jennife&#341; Cohn, mshau&#341;i wa se&#341;a wa VVU\/UKIMWI wa Madakta&#341;i Wasiokuwa na Mipaka. <\/p>\n<p>Mfuko wa Kimataifa unaofadhiliwa na umma na mashi&#341;ika binafsi unatoa fedha kwa nchi kusaidia mipango ambayo inatibu na kuzuia magonjwa matatu ambukizi. <\/p>\n<p>Mipango hii inakadi&#341;iwa kuja kuokoa maisha ya watu milioni 5. 7&ndash; matokeo ambayo Mku&#341;ugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Kimataifa Michel Kazatchkine alisema hawakuta&#341;ajia hata miaka mitatu iliyopita. Lakini kama matokeo ya ufadhili mdogo wa Jumatano, Kazatchkine ana wasiwasi kuwa mafanikio haya yangeondolewa. <\/p>\n<p>&#8220;Kiasi cha fedha ambacho kimeahidiwa leo hii, kama ingekuwa maneno ya mwisho ya wafadhili, hazitoshi kufikia hata makadi&#341;io madogo kabisa ambayo tunayo kwa miaka mitatu ijayo, na haitoshi kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Mazingi&#341;a matatu ya ufadhili kuanzia dola bilioni 13 hadi dola bilioni 20 zilipendekezwa kwa ajili ya kuongeza p&#341;og&#341;amu za mfuko huo mwaka 2011&ndash;2013, huku kila kiasi kikiendana na kasi na muda wa kufikia malengo ya afya. <\/p>\n<p>Hata kwa lengo la chini kutokufikiwa, Kazatchkine alisema kuwa nchi hazitaweza kuongeza p&#341;og&#341;amu zake kwa kasi inayotakiwa. Matokeo yake, maisha yataendelea kupotea. <\/p>\n<p>Hata sasa, &#8220;watu wanakufa kutokana na magonjwa yanayozuilika na kutibika,&#8221; alisema. &#8220;Huu ni ukweli wa mambo duniani &#8230; watu ambao hawapati huduma wanakufa na magonjwa, na hii ni kashfa.&#8221; <\/p>\n<p>Pamoja na kwamba hakuna p&#341;og&#341;amu ambazo zitapunguzwa kutokana na ufadhili mdogo, jitihada za kuongeza kazi za Mfuko zilionekana kuwa muhimu kufikia shabaha za Lengo la Maendeleo ya Milenia (MDG). <\/p>\n<p>Lengo la sita la kutokomeza VVU\/UKIMWI, Kifua Kikuu (TB) na Mala&#341;ia. Wataalam wamekadi&#341;ia kuwa moja ya tatu ya kupunguza vifo vya TB &ndash; labda ile ambayo ni sugu kwa dawa &ndash; linaweza kufikiwa ifikapo mwaka 2015 wa mwisho kufikiwa kwa MDG. Na matumizi ya vyanda&#341;ua kwa wote &ndash; kujilinda na mbu wenye mala&#341;ia &ndash; linafikiwa mapema mwaka 2012, walisema. <\/p>\n<p>Jambo linalojulikana zaidi ni mata&#341;ajio ya kukomesha vifo vinavyotokana na mala&#341;ia &ndash; moja wa magonjwa yanayoua watu wengi zaidi duniani &ndash; katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Kama litafikiwa, utokomezaji huu utahusu moja ya mafanikio makubwa zaidi ya afya katika maisha yetu. <\/p>\n<p>Lakini, kutokana na Mfuko wa Kimataifa kuwa mfadhili mkuu zaidi wa kimataifa dhidi ya magojwa haya matatu, maafisa wa afya na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali yana wasiwasi kuwa kupungua kwa &#341;asilimali kwa miaka mitatu ijayo kuna uwezekano wa kuangamiza kabisa mafanikio. <\/p>\n<p>Kazatchkine alisema kuwa kama hakuna ahadi zaidi zitakazotolewa, kutachukuliwa maamuzi magumu huko mbeleni &ndash; ambayo yataathi&#341;i afya na maisha ya mamilioni ya watu. <\/p>\n<p>Kwa mfano, Ca&#341;ol Nawina Nyi&#341;enda alisema, inabidi nchi kuchagua kati ya kutafuta &#341;asilimali kwa ajili ya mpango wa TB au VVU\/UKIMWI. Lakini magonjwa haya yanahusiana zaidi &ndash; TB ni namba moja kwa kusababisha vifo kwa watu wanaoishi na VVU\/UKIMWI. <\/p>\n<p>Nyi&#341;enda, m&#341;atibu wa taifa wa Mpango wa Jamii wa Kifua Kikuu, VVU\/UKIMWI na Mala&#341;ia nchini Zambia, aliiambia IPS kuwa pengo la ufadhili litakuwa na madha&#341;a halisi kwa watu. <\/p>\n<p>Kwa kila watu wawili wanaopata tiba ya VVU\/UKIMWI, watu wapya watano wanaambukizwa. Hali ilivyo sasa, Mfuko wa Kimataifa utaweza kuendelea kutoa &#341;asilimali kutibu watu wawili wa kwanza. &#8220;Lakini ni nini kitatokea kwa wagonjwa wapya walioambukizwa &#8221; Nyi&#341;enda aliuliza. Bila ya kuwa na &#341;asilimali zinazostahili, &#8220;Mfuko wa Kimataifa hautaweza kusimamia maambukizi mapya.&#8221; <\/p>\n<p>Hii itakuwa na madha&#341;a makubwa mno, anahofia. Mafanikio mengi yaliyopatikana katika kukabiliana na VVU\/UKIMWI yanaweza kuhusishwa na kupungua kwa unyanyapaa unaozunguka ugonjwa huo, na kupunguza kwa kiasi kikubwa kiasi cha watu wanaosita kwenda kupima na kupata tiba. <\/p>\n<p>Lakini kama watu hawapati tiba, aliiambia IPS, &#8220;Ita&#341;ejesha unyanyapaa tena.&#8221; <\/p>\n<p>Ma&#341;a nyingine watu wanatumia mwaka mmoja hadi miwili katika o&#341;odha ya kusubi&#341;i kupata tiba, alielezea. Kama hali hii ikiendelea au wakikosa tiba kabisa, wengine katika jumuiya zao watakata tamaa. &#8220;Halafu wanafiki&#341;ia, &#8216;Ni nini maana ya kwenda kupima &#8216;&#8221; Nyi&#341;enda alisema. &#8220;Hivyo kama hawana tiba, nini kitatokea  Watakufa mapema.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Pengo linatia mashaka,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Tupende tusipende, watu wataendelea kufa&#341;iki dunia.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Okt 6, 2010 (IPS) &ndash; Dola bilioni 11.7 zilizoahidiwa Jumanne (Oktoba 12) kufadhili Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na VVU\/UKIMWI, Kifua Kikuu na Mala&#341;ia kwa miaka mitatu ijayo una upungufu mkubwa ikilinganishwa na dola bilioni 20 zilizota&#341;ajiwa, na kutishia kuondosha mafanikio yaliyopatikana katika kupambana na magonjwa hayo &ndash; magonjwa manne ya kuambukiza&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":807,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3451","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3451","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/807"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3451"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3451\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3451"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3451"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3451"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}