{"id":3450,"date":"2010-10-22T13:40:01","date_gmt":"2010-10-22T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/22\/maji-zambia-kupotea-kwa-fedha-kuna-maana-ya-mashamba-kuendelea-kukauka\/"},"modified":"2010-10-22T13:40:01","modified_gmt":"2010-10-22T13:40:01","slug":"maji-zambia-kupotea-kwa-fedha-kuna-maana-ya-mashamba-kuendelea-kukauka","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/22\/maji-zambia-kupotea-kwa-fedha-kuna-maana-ya-mashamba-kuendelea-kukauka\/","title":{"rendered":"MAJI&ndash;ZAMBIA: Kupotea Kwa Fedha Kuna Maana ya Mashamba Kuendelea Kukauka"},"content":{"rendered":"<p>LUSAKA, Okt 5, 2010 (IPS) &ndash; Mpango wa Umwagiliaji wa M&#8217;cheleka ulitakiwa kujibu changamoto za maji na usalama wa chakula katika wilaya ya Chadiza katika Jimbo la Masha&#341;iki mwa Zambia. Lakini miaka kumi baada ya kukamilika ukuta wa bwawa, ni familia sita tu zinafaidika na maji hayo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Na kuna dalili kuwa baadhi ya matukio ya mgogo&#341;o wa maji yanatokana na utawala mbaya wa &#341;asilimali. <\/p>\n<p>Rasilimali chache za maji na kupungua kwa &#341;utuba ya udongo kumeathi&#341;i vibaya mazao ya kilimo katika kiiji cha Chadiza. <\/p>\n<p>Wakati wa kukamilika kwa ujenzi wa ukuta wa bwawa la M&#8217;cheleka mwaka 2000, Hastings Mbuzi na mamia ya wanakijiji katika eneo la Chadiza walidhani kuwa wangekuwa mataji&#341;i hivi ka&#341;ibuni. Hawatahitaji tena kusafi&#341;i umbali m&#341;efu katika maeneo mengine ya mkoa kununua chakula. <\/p>\n<p>Wanakijiji kwa sasa wanapanda mahindi, soya, ufuta, viazi vitamu na ka&#341;anga. Mpango wa umwagiliaji uliwezesha kilimo cha mwaka mzima, na kupanuka katika uzalishaji wa mboga, miwa, ndizi, maha&#341;age na mihogo. <\/p>\n<p>Lakini bwawa lilijaa maji halafu likasimama hapo, bila kutumika. Wanakijiji wanasubi&#341;i kwa hamu, wakitumaini jambo fulani litajitokeza. <\/p>\n<p>Septemba 2008, ilionekana kuwa kumekuwepo na mafanikio wakati se&#341;ikali ilipotoa kwacha za Zambia milioni 190 (kama dola 40,000) kwa ajili ya kukamilisha m&#341;adi huo. <\/p>\n<p>Fedha hizo zilitakiwa kujenga mfe&#341;eji wa u&#341;efu wa kilomita 4.5, ufungwaji wa mtandao wa bomba na kuchimba mta&#341;o wa maji ya mvua; ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo katika kuendesha, kusimamia na kuendeleza mfumo huo. <\/p>\n<p>Hii ilikwenda sanja&#341;i na ahadi ya se&#341;ikali katika Mpango wa tano wa Maendeleo (FNDP) nchini kusaidia maendeleo ya &#341;asilimali maji na usimamiaji wake. <\/p>\n<p>Lakini miaka miwili baadaye, &#341;ipoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Se&#341;ikali (OAG) inaonyesha kuwa wakati fedha zilizotolewa kupitia Ofisi ya U&#341;atibu wa Kilimo ya Wilaya Septemba 2008, na nya&#341;aka zinaonyesha kuwa fedha zote zimetumika, m&#341;adi bado haujakamilika.&#8232;&#8232; <\/p>\n<p>&#8220;Tunayoyajua tu ni kwamba fedha zilitolewa kwa maafisa wa kilimo wa wilaya kununulia vifaa vya ujenzi kwa ajili ya kujenga mife&#341;eji,&#8221; alisema Mbuzi, mmoja wa wanakijiji 300 ambao waliteuliwa kufaidika na m&#341;adi huo. <\/p>\n<p>&#8220;Hapo awali maafisa walikuwa wakituambia kuwa wange&#341;ejea kwetu. Hatukupata ufafanuzi wa wazi nini kilitokea. Mwisho wake, ni mita 500 tu za mfe&#341;ejei zilijengwa, na ni familia sita tu zinatumia umwagiliaji,&#8221; anasema.&#8232;&#8232; <\/p>\n<p>Idadi kadhaa ya wakulima ambao m&#341;adi umewafikia wanavuna faida. Kulingana na mtandao wa kupambana na umaskini nchini Zambia unaojulikana kama Civil Society fo&#341; Pove&#341;ty Reduction (CSPR), familia sita zimeweza kupanda mahindi ya wakati wa kiangazi na kabichi, na wastani wa kipato chao cha kaya cha dola 625 kimeongezeka ka&#341;ibu ma&#341;a mbili ikilinganishwa na cha wakulima wengine katika wilaya ambao wanakosa maji. <\/p>\n<p>Mbuzi anasema familia zenye bahati zingeweza kufanya kazi nzu&#341;i kama m&#341;adi wa umwagiliaji ungekamilika. &#8220;Familia sita zinatumia muda mwingi katika m&#341;adi kwasababu haujakamilika na mambo mengi hayapo. Kwa mfano, wanahitajni kuwepo hapo wakati wote ili kufanya wanyama wawe mbali kwani eneo hilo limezungushiwa wigo. <\/p>\n<p>&#8220;Ikipitia &#341;ipoti ya Mkaguzi Mkuu wa se&#341;ikali, CSPR inasema M&#8217;cheleka ni moja tu ya mi&#341;adi 10 ya umwagiliaji ambayo haijakamilika kutokana na kutokuzingatiwa kwa ta&#341;atibu za matumizi. Mpango mwingine kama huo ni Bwawa la Nkhanya, ambapo Mkaguzi Mkuu alikuta kwamba hakuna kazi imefanyika pamoja na kutolewa kwa dola 100,000 mwezi Julai 2009 na Mfuko wa Uwekezaji Vijijini (RIF). <\/p>\n<p>Mbuzi ana wasiwasi kuwa m&#341;adi hautakamilika. Ripoti ya OAG inathibitisha kuwa mfuko huo uko taya&#341;i kwa ajili ya kutathminiwa na bunge; hadi hilo linafanyika katika kipindi cha miaka miwili ijayo, jambo ambalo kwa hakika ni kwamba hakuna fedha zaidi zitatengwa. <\/p>\n<p>Sauti kadhaa za wakulima wa Chadiza na CSPR wamejiunga na wengine katika kutoa wito kwa jukwaa ikiwa ni pamoja na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na ida&#341;a za se&#341;ikali kuhakikisha kuwa kunakuwepo na uwajibikaji katika matumizi, na kutoa wito wa jukwaa ikiwa ni pamoja na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na se&#341;ikali na ida&#341;a zake. <\/p>\n<p>M&#341;adi wa Umwagiliaji wa M&#8217;cheleka umesimama kama mna&#341;a unaosikitisha kutokana na kushindwa kufanya kazi. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUSAKA, Okt 5, 2010 (IPS) &ndash; Mpango wa Umwagiliaji wa M&#8217;cheleka ulitakiwa kujibu changamoto za maji na usalama wa chakula katika wilaya ya Chadiza katika Jimbo la Masha&#341;iki mwa Zambia. Lakini miaka kumi baada ya kukamilika ukuta wa bwawa, ni familia sita tu zinafaidika na maji hayo. Na kuna dalili kuwa baadhi ya matukio ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":696,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3450","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3450","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/696"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3450"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3450\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3450"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3450"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3450"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}