{"id":3449,"date":"2010-10-22T13:40:01","date_gmt":"2010-10-22T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/22\/maendeleo-mustakabali-wa-mamilioni-yategemea-ahadi-ya-mfuko-wa-kimataifa\/"},"modified":"2010-10-22T13:40:01","modified_gmt":"2010-10-22T13:40:01","slug":"maendeleo-mustakabali-wa-mamilioni-yategemea-ahadi-ya-mfuko-wa-kimataifa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/22\/maendeleo-mustakabali-wa-mamilioni-yategemea-ahadi-ya-mfuko-wa-kimataifa\/","title":{"rendered":"MAENDELEO: Mustakabali wa Mamilioni Yategemea Ahadi ya Mfuko wa Kimataifa"},"content":{"rendered":"<p>MBABANE, Okt 4, 2010 (IPS) &ndash; Sibongile Mavimbela amekuwa akiishi na VVu kwa miaka 12 iliyopita; amekuwa katika matumizi ya madawa ya ku&#341;efusha maisha kwa miaka saba iliyopita. Lakini mama wa watoto wawili anahofia kuwa usambazaji wa ARVs bu&#341;e unaweza kusitishwa katika siku chche zijazo kama michango inayotolewa na Mfuko wa Kimataifa Kuhusu VVU\/UKIMWI, TB na Mala&#341;ia utakuwa na upungufu kati ya dola bilioni 20 zinazohitajika kufikia habaha za maendeleo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mama wa watoto wawili ni mmoja wa watu milioni 2.5 katika mataifa 144 ambao wamepata madawa ya ku&#341;efusha maisha kutoka kwa Mfuko wa Kimataifa kwa miaka nane. Lakini mustakabali wa Mfuko haueleweki, kwani wahisani wa se&#341;ikalini na sekta binafasi watakapokutana mjini New Yo&#341;k Oktoba 4 na 5 kutangaza michango yao kwa mwaka 2011 hadi 2013. <\/p>\n<p>Mfuko unasema unahitaji kwa uchache dola bilioni 13 &ndash; kiasi cha fedha ambacho kitaudumia p&#341;og&#341;amu ambazo taya&#341;i zimeshaanza, huku msaada wa baadaye ukiwa kizani. Ili kusaidia p&#341;og&#341;amu zilizopo ikiwa ni pamoja na zile mpya ambazo zitasaidia klufikiwa kwa Lengo la Maendeleo ya Milenaia kutahitaji dola bilioni 20. <\/p>\n<p>Uje&#341;umani, taiufa la tatu kwa kutoa mchango mkubwa baada ya Ma&#341;ekani na Ufa&#341;ansa, imepanga kupunguza bajeti yake ya misaada kwa theluthi mbili. Italia ina uwezekano wa kuacha kabisa kuchangia mfuko huo ambao umewezesha mamilioni ya watu wanaoishi na VVu kupata bu&#341;e ARVs. <\/p>\n<p>&#8220;Mataifa mengine yametangaza kuongeza kiasi kidogo,&#8221; alsiema Ayme&#341;ic Peguillan, mkuu wa ujumbe wa Swaizland wa shi&#341;ika la kitabibu la M&eacute;d&eacute;cins Sans F&#341;onti&#038;eg&#341;ave;&#341;es (MSF). &#8220;Katika siku a nyuma, nchi zinazopokea msaada zilitakiwa kupunguza bajeti zao kwa asilimia 10.&#8221; <\/p>\n<p>Ana wasiwasi kuwa kuwa nchi zitaambiwa kupunguza matumizi mapema mwaka huu. <\/p>\n<p>Ufalme wa Swaziland una mamabukzi ya VVU\/UKIMWI ya juu zaidi duniani &ndash; katika silimia 26 ya wakazi milioni 1.1 wanaishi na VVU\/UKIMWI. Kulingana na MSF, wagonjwa wapya 14,000 wa TB wamegunduliwa kila mwaka &ndash; na hadi asilimia 80 ya watu hawa pia wanaishi na VVU. Wastani wa um&#341;i wa kuishi umeshuka hadi chini ya miaka 32 na theluthi mbili ya wakazi wanaishi chini ya msta&#341;i wa umaskini. <\/p>\n<p>Ombi la Swaziland la kupatiwa dola milioni 140 kutoka Du&#341;u ya 10 ya Mfuko wa Kimataifa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kuombwa na nchi hiyo. <\/p>\n<p>Mavimbela na wanaha&#341;akati wengine wa VVU\/UKIMWI walipeleka pingamizi kwa Ma&#341;ekani na Balozi za Umoja wa Ulaya kuzitaka nchi taji&#341;i kuahidi kuongeza fedha katika Mfuko wa Kimataifa na kufikia dola bilioni 20 zinazohitajika katika kipindi cha miaka mitatu ijayo. <\/p>\n<p>&#8220;Pia tunataka se&#341;ikjlai ya Swaziland kuungana na se&#341;ikali nyingine wakati wa Mkutao wa Tatu wa Hia&#341;i wa Kuongeza Ahadi utakaofanyika mjini New Yo&#341;k,&#8221; alisema Mavimbela. <\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wa Swaziland, wakiongozwa na MSF, Swaziland Positive Living, Mtandao wa Watu Wanaoishi na VVU\/UKIMWI Swaziland, Wanawake Pamoja na Jumuiya ya Kimataifa ya Wanawake Wanmaoishi na VVU\/UKIMWI, wanataka kuwa nchi taji&#341;i zinapaswa kufikia ahadi zake za mwaka 2005 kuchangia asilimia 0.7 ya pato lao la taifa katika misaada ya maendeleo. <\/p>\n<p>Wakai mkuu wa ujumbe wa EU nchini Swaziland Hans Duynhouwe&#341; alisema alikuwa akiunga mkono wasiwasi wa wanaha&#341;akati, pia alibainisha kuwa nchi za Kusini mwa Af&#341;ika &ndash; ikiwa ni pamoja na Swaziland &ndash; zimeshindwa kutumia kikamilifu misaada wanayopata. <\/p>\n<p>&#8220;Nata,mani nchi za Kusini mwa Af&#341;ika zingeweza kutumia vizu&#341;i misaada iliyotengwa kwa ajili ya Mfuko wa Kimataifa ili fedha nyingi zaidi ziwepo,&#8221; alisema Duynhouwe&#341;. <\/p>\n<p>Siphiwe Hlophe, mku&#341;ugenzi wa Swaziland Positive Living (SWAPOL), alikubaliana kuwa kupata fedha kutoka kwa shi&#341;ika linalopatiwa fedha na Mfuko, Ba&#341;aza la Taifa la Kupambana na VVU\/UKIMWI (NERCHA), kunakwenda polepole mno. Alsiema NGOs zinazofanya kazi katika eneo la UIMWI na kuzuia TB, tiba na kutoa matunzo yalikabiliwa na uhaba wa &#341;asilmali kufikia watu walioathi&#341;ika, wakati fedha zilikuwa chini ya NERCHA. <\/p>\n<p>&#8220;Sisi [SWAPOL] tulipokea fedha Juni ambazo tulipaswa kuzipata Janua&#341;i,&#8221; alisema Hlophe. <\/p>\n<p>hata wakati nchi ikiandaa ombi lake la Du&#341;u ya 10, la dola zipatazo milioni 33 kiasi cha fedha za zamani bado hakijatumiwa. <\/p>\n<p>NERCHA, Hlophe anasema, ni kiunganishi muhimu cha msaada wa Mfuko huo nchini Swaziland. NGOs imependekeza kuwa umoja wa ku&#341;atibu NGOs au Coo&#341;dinating Assembly of Non&ndash;Gove&#341;nmental O&#341;ganisations (CANGO) uwe mpokeaji wa pili wa msaada huu. <\/p>\n<p>De&#341;&#341;ick von Wissel, mku&#341;ugenzi wa NERCHA, alikubaliana kuwa kuna fedha mabazo hazijatumika lakini alisema hii ilitokana na baadhi ya mi&#341;adi kwenda ta&#341;atibu kuliko mingine. <\/p>\n<p>&#8220;Katika Du&#341;u ya pili tulitumia asilimia 97 ya msaada, ambazo zilitumika zote mwaka 2008. Laini baadhi ya mi&#341;adi kama vile ujenzi wa majiko kwa ajili ya yatima na watoto wanaoishi kwenye mazingi&#341;a magumu na kukodisha wataalam wa afya &ndash; kunachukua muda.&#8221; <\/p>\n<p>Alisema baadhi ya fedha pia zimetengwa katika kuima&#341;isha mfumo wa afya ambazo pia zinachukua muda. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna NGOs amnbazo zinadai zinaweza kutiumia fedha kwa ajili ya mi&#341;adi mbalimbali ya VVU\/UKIMWI, lakini ni jambo moja kufanya kwa mdomo na jambo jingine kutekeleza,&#8221; alisema von Wissel. <\/p>\n<p>Anaunga mkono wito wa CANGO kuwa mpokeaji wa pili wa Mfuko wa Kimataifa, lakini alionya kuwa shi&#341;ika hilo linatakiwa kuhakikisha kuwa lina wafanyakazi wa kutosha na vifaa kufikia vigezo vya mfuko. <\/p>\n<p>&#8220;Hii ni kazi ngumu,&#8221; alisema von Wissel. <\/p>\n<p>Ana matumaini hata hivyo kwamba Swaziland itapokea msaada uliopendekezwa paoja na mabadiliko katika hali ya kifedha duniani. <\/p>\n<p>&#8220;Tunatakiwa kuendelea kuweka shinikizo kwa nchi taji&#341;i ambazo kwa sasa zinatumia mtikiksoko wa kiuchumi duniani kama hoja ya kupunguza michanbgo yaoa katika Mfuko,&#8221; alisema Peguillan. <\/p>\n<p>Maisha ya Mavimbela na mamilioni ya watu wengine wenye UKIMWI yananing&#8217;inia. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MBABANE, Okt 4, 2010 (IPS) &ndash; Sibongile Mavimbela amekuwa akiishi na VVu kwa miaka 12 iliyopita; amekuwa katika matumizi ya madawa ya ku&#341;efusha maisha kwa miaka saba iliyopita. Lakini mama wa watoto wawili anahofia kuwa usambazaji wa ARVs bu&#341;e unaweza kusitishwa katika siku chche zijazo kama michango inayotolewa na Mfuko wa Kimataifa Kuhusu VVU\/UKIMWI, TB&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":522,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3449","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3449","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/522"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3449"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3449\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3449"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3449"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3449"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}