{"id":3447,"date":"2010-10-18T13:40:01","date_gmt":"2010-10-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/18\/dr-congo-kutengeneza-njia-ya-kukomesha-hali-ya-ukatili\/"},"modified":"2010-10-18T13:40:01","modified_gmt":"2010-10-18T13:40:01","slug":"dr-congo-kutengeneza-njia-ya-kukomesha-hali-ya-ukatili","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/18\/dr-congo-kutengeneza-njia-ya-kukomesha-hali-ya-ukatili\/","title":{"rendered":"DR CONGO: Kutengeneza Njia ya Kukomesha Hali ya Ukatili"},"content":{"rendered":"<p>BUKAVU, DR Congo, Okt 3, 2010 (IPS) &ndash; Watetezi wa haki za binadamu wa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo wanahamasishwa na uchapishwaji wa &#341;ipoti inayoonyesha undani wa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu katika DRC. Ripoti hiyo, inayohusu matukio zaidi ya 600 katika kipindi cha miaka kumi kati ya Machi 1993 na Juni 2003, imekosolewa na se&#341;ikali kadhaa katika kanda.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Wakongo na &#341;aia wa kigeni katika taifa la DRC waliweza kukimbia vita, na walikuwa waathi&#341;ika wa mauaji, kukatwa viungo kwa watu, ubakaji, kukimbia kwa kulazimishwa, upo&#341;aji, uha&#341;ibifu wa mali au uchumi na ukiukwaji wa haki za kijamii,&#8221; inasema &#341;ipoti hiyo. <\/p>\n<p>&#8220;Mbali na mchango wake wa kihisto&#341;ia wa kuweka kumbukumbu ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na utafutaji wa ukweli wakati wa kipindi hiki, lengo la o&#341;odha hii ni kupatia Mamlaka ya Kongo mambo wanayohitaji kusaidia kuamua njia inayofaa kufikia haki kwa waathi&#341;ika wengi na kupambana na kuenea kwa ukatili kutokana na uhalifu huu.&#8221; <\/p>\n<p>Cha&#341;les&ndash;M. Mushizi, Mtaalam wa she&#341;ia wa Kongo ambaye alifanya kazi katika zoezi la kuandaa mpango huo lililoongozwa na Ofisi ya Kamishna wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, anasema chapisho lake linakwenda sanja&#341;i na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa DRC mwaka 2011, na majibu kutoka kwa mamlaka ya Kongo yatakuwa kipimo cha dhami&#341;a yao ya baadaye ya kushi&#341;iki katika kukuza haki za binadamu. <\/p>\n<p>&#8220;Hii ina maana kuwa mamlaka ya Kongo yatakubali [haja ya] kuima&#341;isha mfumo wa haki wa taifa ambao unaendelea kujielekeza kwenye dhami&#341;a ya wabunge na nguzo ya utekelezaji na ambao hauna &#341;asilimali kufanya kazi vizu&#341;i na kujibu mahitaji ya haki ya waathi&#341;ika.&#8221; <\/p>\n<p>Emmanuel Luzolo Bambi, Wazi&#341;i wa She&#341;ia na Haki za Binadamu wa Kongo, alisema, &#8220;se&#341;ikali ya Kongo itafanya kila linalowezekana kuwafikisha wahusika mahakamani na wahusika kupata fidia.&#8221; <\/p>\n<p>Miongoni mwa wanaotuhumiwa kwa uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya ubinadamu na vitendo vya mauaji ya maangamizi katika &#341;ipoti ni Rwanda, Bu&#341;undi na Uganda, nchi tatu ambazo vikosi vyao vyenye silaha vilishi&#341;iki katika vita tofauti ambavyo vilipigwa nchini DRC kati ya 1995 na 2003. <\/p>\n<p>Uganda ilikanusha &#341;ipoti hiyo katika tamko la se&#341;ikali la Sep. 30, ikisema kuwa matokeo ya &#341;ipoti hiyo yamejikita zaidi katika matamshi ya NGOs na kwamba Kampala ilipaswa kushi&#341;ikishwa kabla ya kuchapishwa kwake. <\/p>\n<p>Rwanda na Bu&#341;undi pia zimekanusha &#341;ipoti. Matamko ya mawazi&#341;i wao wa mambo ya kigeni yalisema kuwa Umoja wa Mataifa ulikuwa unahata&#341;isaha mafanikio ya mshikamano na ma&#341;idhiano katika ukanda wa Maziwa Makuu. <\/p>\n<p>Wanafunzi kadhaa wa Rwanda ambao wanavuka mpaka kila siku kuhudhu&#341;ia chuo kikuu katika jiji la Bukavu nchini DRC, walitoa maoni yao kuwa &#341;ipoti ilikuwa ina njama mbaya dhidi ya nchi yao. <\/p>\n<p>Mwanafunzi Dusabu Mu&#341;emi hajafanya jitihada kuficha hasi&#341;a yake kwa IPS. &#8220;MONUSCO na U.N. wameshindwa nchini DRC na duniani. Wanapaswa kutuacha kujenga nchi yetu badala ya kutuvu&#341;uga.&#8221; <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Rwanda, ambayo ilitishia kuondoa aska&#341;i wake wote katika ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan kama &#341;ipoti hiyo ingechapishwa, waliona chapisho hilo kama hata&#341;i. Kulingana na wazi&#341;i wa mambo ya kigeni wa nchini humo, Louise Mushikiwabo katika vyombo vya haba&#341;i, &#341;ipoti hiyo ni &#8220;kushindwa kimaadili na kisomi, na tusi kwa histo&#341;ia.&#8221; <\/p>\n<p>Rwanda, ambayo ilikabiliwa na mauaji ya halaiki mwaka 1994, ilikataa kukubali kuwa jeshi lake linaweza kutuhumiwa kwa kufanya vitendo vya mauaji ya halaiki masha&#341;iki mwa DRC miaka michache baadaye. Njia ya kuandaa &#341;ipoti hiyo, kwa maafisa wa haki za binadamu ilitokana na mikutano ya zaidi ya mashahidi 1,200 kutoka nchini kote, na kuondokana na matukio ambayo hayakulinganishwa na angalau vyanzo viwili hu&#341;u, haiwezi kukanushwa kiu&#341;ahisi. <\/p>\n<p>Alan Stam, p&#341;ofesa wa sayansi katika Chuo Kikuu cha Michigan nchini Ma&#341;ekani, ambaye amefanya utafiti mkubwa kuhusu vita vya wenyewe kwa wenyewe Rwanda na madha&#341;a yake katika ukanda wa Maziwa Makuu, anadhani &#341;ipoti itabadili jinsi se&#341;ikali ya Paul Kagame inaangaliwa. <\/p>\n<p>&#8220;Hii ni jitihada kubwa zaidi na iliyopangiliwa ya kuweka katika kumbukumbu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanyika katika Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo na kuhusishwa na watu wenye uhusiano na RPF [Rwandan Pat&#341;iotic F&#341;ont].&#8221; <\/p>\n<p>Matukio yaliyowekwa kwenye kumbukumbu na M&#341;adi wa Maandalizi yanajulikana zaidi, lakini &#341;ipoti inawakilisha njia ya kimpangilio ya kufungulia mashitaka wahusika wa ukiukwaji wa haki za binadamu. <\/p>\n<p>Stam anasema kuwa Rais Kagame amekuwa akipongezwa kimataifa kutokana na jukumu lake la kukomesha mauaji ya halaiki mwaka 1994 na ku&#341;ejesha utulivu nchini Rwanda tangu RPF ilipochukua mada&#341;aka mwaka 1994; na kutokana na kupata mafanikio katika Malengo ya Maendeleo ya Milenia. Kwa maoni ya Stam, Kagame na RPF walishinda vita badala ya kukomesha mauaji ya halaiki. <\/p>\n<p>Lakini makundi ya haki za binadamu yameshutumu utawala wake kutokana na kukandamiza vyombo hu&#341;u vya haba&#341;i na wapinzani wake wa kisiasa hivi ka&#341;ibuni katika uchaguzi wa Agosti. <\/p>\n<p>&#8220;Histo&#341;ia inaweza kuangalia nyuma katika jambo hili kama nafasi ya kuingilia ya jumuiya ya kimataifa kuhusu mtizamo wa se&#341;ikali ya Kagame.&#8221; <\/p>\n<p>Ma&#341;tin Nesi&#341;ky, msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki&ndash;moon, alisema &#341;ipoti ni zoezi la msingi la kusaidia kuvunja mzunguko wa ukiukwaji wa haki za binadamu. <\/p>\n<p>&#8220;Ni kazi ya DRC kuangalia maeneo haya. Umoja wa Mataifa na &#341;ipoti hii unaja&#341;ibu kusaidia kwa mchakato ambao haujafanikiwa hadi sasa&#8230; Suala zima ni kusaidia wao kuvunja mzunguko huu.&#8221; <\/p>\n<p>*Taa&#341;ifa za nyongeza kutoka kwa Ap&#341;ille Musca&#341;a katika Umoja wa Mataifa. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BUKAVU, DR Congo, Okt 3, 2010 (IPS) &ndash; Watetezi wa haki za binadamu wa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo wanahamasishwa na uchapishwaji wa &#341;ipoti inayoonyesha undani wa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu katika DRC. Ripoti hiyo, inayohusu matukio zaidi ya 600 katika kipindi cha miaka kumi kati ya Machi 1993 na Juni 2003, imekosolewa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":806,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3447","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3447","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/806"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3447"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3447\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3447"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3447"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3447"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}