{"id":3441,"date":"2010-10-09T13:40:01","date_gmt":"2010-10-09T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/09\/maendeleo-afrika-kodi-zinaweza-kuwa-njia-ya-kuondokana-an-utegemezi-wa-misaada\/"},"modified":"2010-10-09T13:40:01","modified_gmt":"2010-10-09T13:40:01","slug":"maendeleo-afrika-kodi-zinaweza-kuwa-njia-ya-kuondokana-an-utegemezi-wa-misaada","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/09\/maendeleo-afrika-kodi-zinaweza-kuwa-njia-ya-kuondokana-an-utegemezi-wa-misaada\/","title":{"rendered":"MAENDELEO&ndash;AFRIKA: Kodi Zinaweza Kuwa Njia ya Kuondokana an Utegemezi wa Misaada"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Sep 24 (IPS) &ndash; Mataifa mengi ya Af&#341;ika yanakabiliwa na madeni na ugumu wa kupata fedha za kufadhili bajeti zao za kitaifa kutokana na kushindwa kutambua kodi kama chanzo cha kudumu cha mapato. Zaidi ya hapo, makampuni ya kimataifa ni &#341;ahisi mno kupewa likizo ya kutokulipa kodi kupitia njia ha&#341;amu za ukwepaji kodi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kodi zina mchango muhimu mno katika kuhakikisha usambazaji wa matunda ya nchi kwa wananchi. Pia inafanya kazi ya kuunganisha wananchi na taifa lao. <\/p>\n<p>Lakini, &#8220;hakuna uhamasishaji wa kutosha wa &#341;asilimali za nchi kwa ajili ya maendeleo ya mataifa ya Af&#341;ika, jambo ambalo linachukiza wananchi wa kawaida &#8220;, Pe&#341;cy Makombe, meneja mipango katika shi&#341;ika lenye makao yake mjini Cape Town la Economic Justice Netwo&#341;k (EJN), aliiambia IPS. EJN ni m&#341;adi wa shi&#341;ika la Fellowship of Ch&#341;istian Councils of Southe&#341;n Af&#341;ica (Foccisa). <\/p>\n<p>Kumekuwa na tatizo la kukosekana kwa umakini katika suala la kukusanya kodi kwa ujumla. <\/p>\n<p>&#8220;Histo&#341;ia inathibitisha kuwa hakuna nchi hata moja itajinasua na umaskini kupitia misaada lakini ukusanyaji wa mapato ya ndani wenye tija unaweza kusaidia maendeleo ya mataifa ya Af&#341;ika,&#8221; anasema Alvin Mosioma, m&#341;atibu wa shi&#341;ika la Tax Justice Netwo&#341;k &ndash; Af&#341;ica lenye makao yake mjini Nai&#341;obi. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika ambalo ni hu&#341;u kutokana na siasa la Tax Justice Netwo&#341;k lilizinduliwa nchini Uinge&#341;eza na linafanya utafiti na utetezi wa ukusanyaji wa kodi. <\/p>\n<p>Liliandaa kwa pamoja mjadala mjini Johannesbu&#341;g Sep 14&ndash;15 kwa kusaidiana na shi&#341;ika la Af&#341;ican Fo&#341;um and Netwo&#341;k on Debt and Development (Af&#341;odad) na Taasisi ya Demok&#341;asia ya Af&#341;ika (Idasa) kujadili njia za kutumia kodi kama chombo cha kupunguza utegemezi wa misaada kama chombo cha maendeleo. <\/p>\n<p>Idasa ni shi&#341;ika hu&#341;u, lisilokuwa la faida lenye makao yake nchini Af&#341;ika Kusini wakati Af&#341;odad, kama shi&#341;ika la ki&#341;aia lenye mashi&#341;ika madogo mengi katika kanda, linalotafuta ufumbuzi wa tatizo la madeni Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali nyingi za Af&#341;ika zinatumia kiasi kikubwa cha bajeti zao za kitaifa kwa kulipia madeni wakati makampuni makubwa ya kigeni yanachukua fedha kutoka nchini humo kupitia likizo za kodi au ukwepaji wa kodi kinyume cha she&#341;ia. <\/p>\n<p>Makampuni ya kimataifa hayatozwi kodi kwa kiwango kinachostahili kutokana na kukosekana kwa uwezo wa nchi za Af&#341;ika kuweka mifumo ya kodi. <\/p>\n<p>Kulingana na takwimu za Ch&#341;istian Aid, Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo ilipata dola 86,000 mwaka 2006 wakati Tanzania ilipoteza kwa uchache dola milioni 265,5 katika miaka ya hivi ka&#341;ibuni kutokana na kiwango cha chini cha m&#341;abaha. <\/p>\n<p>Katika &#341;ipoti ya mwaka 2008 ya Ch&#341;istian Aid, yenye jina la &#8220;Death and Taxes: The T&#341;ue Toll of Tax Dodging&#8221;, ukwepaji wa kodi unanyima nchi zenye maendeleo duni (LDCs) dola bilioni 160 kwa mwaka. Shi&#341;ika lenye makao yake nchini Uinge&#341;eza la Ch&#341;istian Aid linafanya kazi katika kutokomezaji umaskini. <\/p>\n<p>&#8220;Kushindwa kwa makampuni ya kimataifa kutangaza faida zao kunaonyesha kuhamishwa kwa mtaji. Vile vile, makampuni katika sekta ya madini yanapata faida kubwa kwa mbali kupitia misamaha ya kodi isiyokuwa muhimu,&#8221; anasema Obe&#341;t Gutu, mbunge kutoka Zimbabwe. <\/p>\n<p>&#8220;Wakati se&#341;ikali inaegemea kwenye &#341;asilimali za wafadhil inakuwa haijali wananchi,&#8221; Gutu anaongeza. <\/p>\n<p>Ch&#341;istian Aid inafasili kuhama kwa mitaji kama kuhama kwa mitaji na &#341;asilimali kutoka nchini bila ya kuwa na &#341;ikodi wala kutozwa ushu&#341;u. Dk De&#341;eje Alemayehu, meneja wa Ch&#341;istian Aid Af&#341;ika Masha&#341;iki, aliiambia IPS kuwa nchi nyingi za LDCs zinapoteza mapato kutokana na kuhama kwa mitaji kunakotokana na makampuni makubwa ya magha&#341;ibi. <\/p>\n<p>Alemayehu anasema hii inajitokeza kwa njia tofauti. Kwanza, kupitia &#8220;ivoice&#8221; za kughushi, au kuongeza au kupunguza bei kuongeza gha&#341;ama na kuzima deni la kodi. <\/p>\n<p>Pili, kwa kutumia bei zisizokuwa halali, suala ambalo makampuni yanauziana wao kwa wao kwa bei ya juu, kuongeza gha&#341;ama katika soko la fedha la ndani. <\/p>\n<p>Tatu, kupitia &#8220;kuhamisha mitaji na kui&#341;ejesha&#8221; ambapo makampuni katika nchi yanapeleka fedha nje ya nchi na kuzi&#341;ejesha tena ndani kama &#8220;vitega uchumi vya kigeni&#8221; ili kupata upendeleo katika ulipaji wa kodi. <\/p>\n<p>Kulingana na wiza&#341;a ya fedha Malawi, nchi ilipoteza dola milioni 125 kama msamaha wa kodi mwaka 2008&ndash;2009 pekee. Kiasi hicho ni sawa na matumizi ya mwaka ya se&#341;ikali katika &#341;uzuku yake kwa kilimo cha nafaka, ambazo kwa miaka mingi imesaidia Malawi kuzalisha ziada. <\/p>\n<p>&#8220;Makampuni ya kimataifa yanakuja kuwekeza katika nchi za Kiaf&#341;ika kwa mgongo wa motisha wa vitega uchumi ambavyo vinajikita katika mifumo ya kodi,&#8221; Benjamin Chikusa, mbunge kutoka nchini Malawi, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Malawi inatoa masamaha wa vitega uchumi unaofikia hata asilimia 100 kwa ajili ya majengo mapya na mashine; msamaha wa hadi asilimia 40 kwa ajili ya majengo ya zamani na mashine; na asilimia 50 kwa gha&#341;ama za mafunzo. <\/p>\n<p>Makampuni ya kutengeneza bidhaa yanaweza kupunguza gha&#341;ama zote za uendeshaji zilizojitokeza hadi miezi 25 kabla ya kuanza kwa opa&#341;esheni nchini Malawi na kutokulipa ushu&#341;u wa mali ghafi zinazotumiwa kutengeneza bidhaa. <\/p>\n<p>Nchi nyingi zinatoa motisha kwa kuta&#341;ajia faida kutoka kodi ya mapato, mapato ya kubadilisha fedha za kigeni na aji&#341;a. Lakini ni kwa kiasi gani faida hizo zinajikita katika ukweli  <\/p>\n<p>&#8220;Faida nyingi za aji&#341;a ni kwa njia ya aji&#341;a za mishaha&#341;a midogo katika kiwango ambacho kodi ya mapato haiwezi ku&#341;ejesha kile ambacho kimepotea kupitia misamaha ya kodi,&#8221; anasema Chikusa. <\/p>\n<p>Wataalam wanapendekeza kuwa nchi za Af&#341;ika zinatakiwa kubuni mifumo yenye ufanisi ya kodi ambayo ina&#341;uhusu kufuatilia wakwepaji wa kodi mbali ya mipaka yao; na kuwa wabunge wanatakiwa kuwa na jukumu kubwa la kusimamia kodi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Sep 24 (IPS) &ndash; Mataifa mengi ya Af&#341;ika yanakabiliwa na madeni na ugumu wa kupata fedha za kufadhili bajeti zao za kitaifa kutokana na kushindwa kutambua kodi kama chanzo cha kudumu cha mapato. Zaidi ya hapo, makampuni ya kimataifa ni &#341;ahisi mno kupewa likizo ya kutokulipa kodi kupitia njia ha&#341;amu za ukwepaji kodi. Kodi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":303,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3441","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3441","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/303"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3441"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3441\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3441"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3441"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3441"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}