{"id":3440,"date":"2010-10-09T13:40:01","date_gmt":"2010-10-09T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/09\/haki-afrika-wawekezaji-wanapaswa-kusaidia-demokasia-zimbabwe\/"},"modified":"2010-10-09T13:40:01","modified_gmt":"2010-10-09T13:40:01","slug":"haki-afrika-wawekezaji-wanapaswa-kusaidia-demokasia-zimbabwe","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/10\/09\/haki-afrika-wawekezaji-wanapaswa-kusaidia-demokasia-zimbabwe\/","title":{"rendered":"HAKI&ndash;AFRIKA: &#8220;Wawekezaji Wanapaswa Kusaidia Demok&#341;asia Zimbabwe&#8221;"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Sep 23, 2010 (IPS) &ndash; Wakati wawekezaji wanahitaji kuwa na uhakika kuhusu haki ya kumiliki a&#341;dhi na kulinda vitega uchumi kabla ya kuwekeza katika uchumi duni wa Zimbabwe, hali ya demok&#341;asia katika nchi hiyo ya Kusini mwa Af&#341;ika inafaa kuangaliwa.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Haya yalikuwa moja ya maoni ya wafanyabiasha&#341;a na wanadiplomasia wanaoshi&#341;iki katika mkutano wa kilele wa hivi ka&#341;ibuni kuhusu mustakabali wa baadaye wa Zimbabwe. <\/p>\n<p>Ukiukwaji wa haki za binadamu na upo&#341;aji wa a&#341;dhi umeandama demok&#341;asia nchini Zimbabwe na uchumi wake wakati wa muongo uliopita na matokeo yake Rais Robe&#341;t Mugabe na chama chake cha ZANU&ndash;PF walikataa mchakato wa kidemok&#341;asia. <\/p>\n<p>Katikati mwa mauaji makubwa, kuwekwa kizuizini, kuteswa na kukimbia kwa wingi kwa wakazi, dola ya Zimbabwe ilianguka, maduka yalibaki bila bidhaa na nchi kuwa moja ya nchi zenye mfumuko wa bei kuwahi kutokea duniani. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya kugawana mada&#341;aka kati ya ZANU&ndash;PF na chama cha Movement fo&#341; Democ&#341;atic Change (MDC) ili&#341;ejesha utulivu kidogo wa kisiasa na kusababisha kutumika kwa dola ya Kima&#341;ekani katika uchumi wa nchi. Tangu wakati huo nchi imeonyesha baadhi ya dalili za ku&#341;ejea nyuma katika hali yake, kidemok&#341;asia na kiuchumi. <\/p>\n<p>Wazi&#341;i Mkuu na kiongozi wa MDC Mo&#341;gan Tsvangi&#341;ai alitaka kuhakikishia wawekezaji uhakika wa mitaji yao katika lugha ya mvuto mkubwa kwenye mkutano ambao nchi yake haijatekeleza ahadi hizo. <\/p>\n<p>&#8220;Tunachagua maendeleo badala ya ghasia, utengano, kupo&#341;omoka na kuoza. Zimbabwe inasonga mbele kutoka giza la ukichaa na kujiangamiza na kuingia katika mwanzo mpya,&#8221; alisema katika mkutano, uliofanyika Sep 16 mjini Johannesbu&#341;g, Af&#341;ika Kusini, na kuandaliwa na ja&#341;ida la biasha&#341;a la kimatifa la &#8220;The Economist&#8221;. <\/p>\n<p>Mha&#341;i&#341;i Adam Robe&#341;ts wa ja&#341;ida la &#8220;The Economist&#8221; alisema kuwa dalili ya maslahi mapya katika nchi yanaweza kuonekana lakini kwamba itabakia kutokuwa na uhakika kama kufufuka upya huko kutakuwa endelevu. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa ma&#341;a ya kwanza kwa kipindi ki&#341;efu tuna wawekezaji ambao wanaangalia kwa uzito kama huu ni wakati wa uwekezaji nchini Zimbabwe na una wananchi wa Zimbabwe nje ya nchi wanaolalamika kama huu ni wakati wa ku&#341;ejea,&#8221; Robe&#341;ts alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Lakini maja&#341;ibu makubwa na mengi bado hayajapita, na huko nje, wawekezaji, wafadhili na wengine wanahitaji kupatiwa uhakika zaidi,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Mfanyabiasha&#341;a wa Zimbabwe mwenye makao yake mjini Johannesbu&#341;g Ch&#341;is Go&#341;omonzi aliiambia IPS kuwa, &#8220;ni wakati wa Zimbabwe wa kujenga fu&#341;sa na mazingi&#341;a kwa makampuni ya biasha&#341;a. Hii inahusu kuwa na she&#341;ia zinazofaa kulinda vitega uchumi.&#8221; <\/p>\n<p>Balozi wa Uje&#341;umani nchini Zimbabwe Alb&#341;echt Conze alikubali kuwa kuna mafanikio yamefikiwa lakini alisema &#8220;kwenda mbele kwa milimita moja&#8221; na mafanikio ya kweli yanawezekana ma&#341;a tu katiba mpya inayohakikisha umilikaji wa a&#341;dhi kwa watu binafsi itakapokubaliwa. <\/p>\n<p>Wawakilishi wa wakulima wa Kizungu wa kilimo cha biasha&#341;a walionya kuwa migogo&#341;o ya kishe&#341;ia na kudai fidia kutokana na kuchukuliwa kwa a&#341;dhi yao hakutaachwa tu kupita. <\/p>\n<p>&#8220;Jambo muhimu zaidi la kushughulikiwa ni masuala ya haki ya kumiliki a&#341;dhi kwa mtu binafsi. Ukweli kwamba wakulima ambao wamepoteza a&#341;dhi yao hawajalipwa fidia unapaswa kuwa onyo kwa wawekezaji wa baadae,&#8221; John Wo&#341;sley&ndash;Wo&#341;swick kutoka shi&#341;ika la utetezi la wakulima la &#8220;Justice fo&#341; Ag&#341;icultu&#341;e&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Wasiwasi pia umeelekezwa kwa mipango ya se&#341;ikali ya &#8220;uzawa&#8221; &ndash; kwa kuhamishia makampuni mengi kwa wamiliki weusi nchini Zimbabwe &ndash; jambo ambalo linaonekana kama ja&#341;ibio la Mugabe la kutaifisha biasha&#341;a kwa ajili ya kuwapatia washi&#341;ika wake. <\/p>\n<p>Tsvangi&#341;ai alisema kuwa hatua za uzawa zina&#341;ekebishwa ili kuzingatia madai ya wawekezaji. <\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa mipango ya uchumi na kukuza vitega uchumi wa Zimbabwe Tapiwa Mashakada alisema se&#341;ikali ilikuwa ikifanya kazi ya kupunguza uki&#341;itimba ambao umesababisha hali ngumu ya kufanya biasha&#341;a na kuwa na she&#341;ia zinazofaa kulinda vitega uchumi. <\/p>\n<p>&#8220;Tunafanyia kazi muswada wa uwekezaji ili tuwe na wajibu na uwezo wa kuwahakikishia wawekezaji,&#8221; Mashakada aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Lakini mfanyabiasha&#341;a wa nchini Zimbabwe Tawanda Nyambi&#341;ai aliiambia IPS kuwa wawekezaji wa kigeni wanapaswa kutumia biasha&#341;a zao kusaidia kuleta demok&#341;asia nchini Zimbabwe. &#8220;Suala la kuzingatia lilitakiwa kuwa haki za binadamu, ziwe za kisiasa, kijamii au kiuchumi,&#8221; alisema Nyambi&#341;ai. <\/p>\n<p>&#8220;Wanatakiwa kujiuliza kama wanawekeza kwa ajili ya Robe&#341;t Mugabe au Zimbabwe. Uwekezaji unatakiwa kuwa mkakati ambao unahamasisha demok&#341;asia,&#8221; alisema Nyambi&#341;ai. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Sep 23, 2010 (IPS) &ndash; Wakati wawekezaji wanahitaji kuwa na uhakika kuhusu haki ya kumiliki a&#341;dhi na kulinda vitega uchumi kabla ya kuwekeza katika uchumi duni wa Zimbabwe, hali ya demok&#341;asia katika nchi hiyo ya Kusini mwa Af&#341;ika inafaa kuangaliwa. Haya yalikuwa moja ya maoni ya wafanyabiasha&#341;a na wanadiplomasia wanaoshi&#341;iki katika mkutano wa kilele&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":516,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3440","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3440","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/516"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3440"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3440\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3440"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3440"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3440"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}