{"id":3435,"date":"2010-09-30T13:40:01","date_gmt":"2010-09-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/09\/30\/unyanyasaji-wa-kijinsia-waiandama-kambi-ya-wakimbizi-malawi\/"},"modified":"2010-09-30T13:40:01","modified_gmt":"2010-09-30T13:40:01","slug":"unyanyasaji-wa-kijinsia-waiandama-kambi-ya-wakimbizi-malawi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/09\/30\/unyanyasaji-wa-kijinsia-waiandama-kambi-ya-wakimbizi-malawi\/","title":{"rendered":"Unyanyasaji wa Kijinsia Waiandama Kambi ya Wakimbizi Malawi"},"content":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Sep 21, 2010 (IPS) &ndash; Akiwa na um&#341;i wa miaka 13, Chantal Kifungo* ni mama wa mtoto wa kike mwenye um&#341;i wa miezi kumi. Hilo halikuwa chaguo lake. Ka&#341;ibu miaka miwili iliyopita, alibakwa na baba yake wa kambo ambaye alimpatia mimba.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Mama yangu alikuwa hospitalini kutokana na matatizo aliyokuwa nayo wakati wa ujauzito. Niliachwa na baba wa kambo. Usiku mmoja, alikuja nyumani na kunibaka. Nilija&#341;ibu kupiga mayowe kuomba msaada lakini hakuna aliyenisikia,&#8221; Chantal anasema huku akiwa na hofu. <\/p>\n<p>Asubuhi iliyofuata, binti huyo alimwambia ji&#341;ani yake, lakini mwanamke huyo hakumuamini. Ni wakati tu ambapo mama ali&#341;ejea hospitalini baada ya wiki kadhaa Chantal alipata mtu wa kumuamini. Lakini wakati huo alikuwa taya&#341;i ana mimba, na baba yake wa kambo alikuwa ameshatoweka. <\/p>\n<p>Kilichofanya hali kuwa ngumu zaidi ni kuwa Chantal na mama yake Mathilde*, ambao wana asili ya Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo, wanaishi pamoja na wakimbizi wapatao 11,000 kutoka katika ba&#341;a zima nchini Malawi katika kambi ya pekee na yenye msongamano ya Dzaleka. Mazingi&#341;a hapa ni magumu, na ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia kutokana na matumizi ya pombe, kuchanganyikiwa na kukata tamaa umeenea mno. <\/p>\n<p>&#8220;Kila siku tuna mgogo&#341;o hapa katika kambi,&#8221; anakubaliana Ma&#341;tin Mphundukwa, meneja wa eneo la Dzaleka na mfanyakazi wa Ida&#341;a ya Wakimbizi Malawi. &#8220;Ufadhili wa kambi haujitoshelezi, hivyo maisha ni magumu mno kwa wakimbizi. Wengi wanaamua kufanya ghasia.&#8221; <\/p>\n<p>Kutokana na she&#341;ia ya Malawi kuzuia wakimbizi kuishi nje ya kambi au kutafuta aji&#341;a, wanalazimishwa kuishi katika eneo la kambi la Dzaleka, ambalo lipo kilomita 42 nje ya mji mkuu wa Malawi wa Lilongwe. Kambi hiyo ilitumika kuweka kizuizini wafungwa wa kisiasa wakati wa zama za Rais Hastings Kamuzu Banda. Katika eneo hili, wakimbizi wanaishi katika mista&#341;i ya nyumba za tope katika eneo la a&#341;dhi kame. Vyakula na sabuni wanavyopatiwa vinatosha kwa ajili ya matumizi ya mwezi mmoja tu. <\/p>\n<p>Ma&#341;a tu Mathilde alipogundua mtoto wake amebakwa, alitoa taa&#341;ifa ya tukio hilo katika kituo cha polisi katika kambi. Lakini alipoja&#341;ibu kufanya ufuatiliaji wiki mbili baadae, aliambiwa kuwa ilibidi kulipa hongo ili kesi hiyo iweze kuchunguzwa. Kutokana na kukosa fedha, &#341;ipoti &#8220;ilipotea&#8221; muda mfupi baada ya hapo. <\/p>\n<p>Ni baada ya muda m&#341;efu kupita ndipo Mathilde aliposikia kuhusu m&#341;adi wa unyanyasaji wa kijinsia unaoendeshwa na Shi&#341;ika la Msalaba Mwekundu Malawi ndani ya kambi hiyo. M&#341;adi unaelimisha wakimbizi kuhusu haki zao, unahamasisha kuhusu unyanyasaji wa kijinsia na kutoa nyumba salama kwa wanawake walionyanyaswa, ushau&#341;i nasaha, upatikanaji wa huduma za kitabibu na kupima VVU. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Msalaba Mwekundu pia linashi&#341;ikiana na polisi na ida&#341;a ya wakimbizi kuwawajibisha wahusika. <\/p>\n<p>Kwa ushi&#341;ikiano wa wafanyakazi wa Msalaba Mwekundu, suala la Chantal lilifufuliwa tena, pamoja na kuwepo kwa uvumi kuwa baba yake wa kambo alikuwa ameshakimbia nchi. Binti huyo pia alipata ushau&#341;i nasaha na kupima VVU. Hadi wakati huo ilikuwa wameshachelewa kuzuia maambukizi mapema baada ya tendo la ndoa kama angekuwa ameshaambukizwa VVU. <\/p>\n<p>Jambo la kusikitisha, suala la Chantal siyo la pekee. Kila mwezi, kati ya matukio saba na kumi ya unyanyasaji wa kijinsia yana&#341;ipotiwa katika kambi hiyo, anasema mfanyakazi wa Shi&#341;ika la Msalaba Mwekundu Cecilia Banda. Matukio hayo ni pamoja na kupigwa kwa wanawake na kubakwa, kutekwa na ubakaji wa watoto. <\/p>\n<p>&#8220;Tunaona matukio mengi,&#8221; anathibitisha Constebo wa polisi B&#341;ian Mzembe, afisa wa polisi katika kambi hiyo. &#8220;Lakini suala chanya ni kwamba ku&#341;ipoti matukio ya aina hiyo kumeongezeka tangu Shi&#341;ika la Msalaba Mwekundi lilipoanza kusaidia waathi&#341;ika. Sasa watu hawaogopi sana.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo, bado ni wahusika wachache mno wameshahukumiwa. Kwa sasa, ni tukio moja tu limefikishwa mahakamani, na ni wahusika wawili tu wamehukumiwa mwaka huu &ndash; mmoja kutokana na ubakaji na mwingine kutokana na kumbaka mtoto. Sababu ya kuhukumiwa kwa watuhumiwa wachache zinatofautina, anasema Mzembe. Baadhi ya wanawake wanafuta kesi zao kutokana na hofu, wakati wengine upelelezi unapata vikwazo kutokana na mhusika kukimbia kambini. Lakini kesi nyingi zinaonekana kushindikana kutokana na kukosekana kwa ufanisi wa vyombo vya kusimamia she&#341;ia vya se&#341;ikali. <\/p>\n<p>&#8220;Tatizo letu kubwa ni kwamba maafisa wa polisi wenye zamu kwenye kambi wanabadilishana kila mwezi. Kila ma&#341;a unapowafuatilia, unamkuta mtu mpya. Hii inafanya kuwa vigumu mno kufuatilia na kesi nyingi zinafutwa,&#8221; anaelezea Banda. <\/p>\n<p>Hata hivyo, Banda ana imani kuwa kutokana na vikwazo hivyo, polisi wanafanya kazi yao kwa bidii kupunguza uhalifu katika kambi ya Dzaleka. Hivi ka&#341;ibuni walianzisha timu ya maafisa 18 ambao wanafanya do&#341;ia kwenye kambi usiku na mchana. Na kwa kushi&#341;ikiana na Msalaba Mwekundu, wamezindua kampeni ya kuzuia uhalifu ya nyumba kwa nyumba kuelimisha kaya kuhusu usalama na haki za binadamu. <\/p>\n<p>Hata hivyo, kwa upande wa Chantal, jitihada hizi zimekuja kwa kuchelewa. &#8220;Nimepoteza matumaini. Watoto wengine walinitania. Wanasema ninatumia mume mmoja na mama yangu. Watu wazima wananituhumu kwa kumwibia mama mume wake. Baadhi wanasema mama anatakiwa kuniua pamoja na mtoto wangu,&#8221; anasema huku akigugumia. <\/p>\n<p>Lakini kijana huyo mdogo hana pa kwenda kuanza maisha mapya. Hadi watakapo&#341;uhusiwa ku&#341;udi mwakwao au kuhamishiwa eneo jingine, wamezuiliwa wasiondoke kwenye kambi. Hilo linaweza kuchukua miaka. <\/p>\n<p>*Majina yamehifadhiwa kulinda kuwataja waliohojiwa. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Sep 21, 2010 (IPS) &ndash; Akiwa na um&#341;i wa miaka 13, Chantal Kifungo* ni mama wa mtoto wa kike mwenye um&#341;i wa miezi kumi. Hilo halikuwa chaguo lake. Ka&#341;ibu miaka miwili iliyopita, alibakwa na baba yake wa kambo ambaye alimpatia mimba. &#8220;Mama yangu alikuwa hospitalini kutokana na matatizo aliyokuwa nayo wakati wa ujauzito. Niliachwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":523,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3435","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3435","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/523"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3435"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3435\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3435"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3435"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3435"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}