{"id":3433,"date":"2010-09-29T13:40:01","date_gmt":"2010-09-29T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/09\/29\/afika-kusini-mafanikio-ya-mdgs-ya-afika-kusini-yakosolewa\/"},"modified":"2010-09-29T13:40:01","modified_gmt":"2010-09-29T13:40:01","slug":"afika-kusini-mafanikio-ya-mdgs-ya-afika-kusini-yakosolewa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/09\/29\/afika-kusini-mafanikio-ya-mdgs-ya-afika-kusini-yakosolewa\/","title":{"rendered":"Af&#341;ika Kusini: Mafanikio ya MDGs ya Af&#341;ika Kusini Yakosolewa"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Sep 17 (IPS) &ndash; Wakati miaka mitano imebakia kufikia ta&#341;ehe ya mwisho ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia mwaka 2015, mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yanasema Af&#341;ika Kusini imepata mafanikio katika baadhi ya malengo lakini imeshindwa katika malengo mengine.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Chanzo kikuu cha kipato cha Pal Mfunzana ni vibanda vya mabati yaliyochakaa, ambavyo haviwezi kutofautishwa na wengine wengi katika Diepsloot, makazi duni yenye umaskini uliokithi&#341;i kandokando mwa jiji la Johannesbu&#341;g. <\/p>\n<p>Anakodisha makazi hayo kwa wapangaji wawili, na kupata fedha za kutosha kila mwezi kufikisha baadhi ya chakula mezani lakini hazimtoshi kumfikisha katika kliniki ya eneo hilo kupata dawa ya kisuka&#341;i. Uvimbe kwenye magoti yake ni isha&#341;a ya hali yake isiyotibiwa, pamoja na kwamba Mfunzana alisema ma&#341;a nyingine anajipatia mwenyewe dawa kwa kutumia maji ya suka&#341;i. <\/p>\n<p>Diepsloot ilianzishwa mwaka 1995 wakati se&#341;ikali ilipohamisha watu hapa kutoka mahali pengine katika jiji. Kuhamishwa kwa watu ikiwa ni pamoja na kuingia kwa watu wengi zaidi waliohitaji makazi kumegeuza makazi hayo kuwa makazi duni yanayoibukia. <\/p>\n<p>Uwepo wake nchini humo &ndash; katika jiji taji&#341;i zaidi katika ba&#341;a la Af&#341;ika ni kiashi&#341;ia kibaya cha kuendelea kwa umaskini nchini Af&#341;ika Kusini na umbali ambao unatakiwa kufikiwa kabla ya kufanikisha Malengo ya Maendeleo ya Milenia. Malengo haya nane ya MDGs, yaliyopitishwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2000, yalikuwa na lengo la kukabiliana na umaskini, magonjwa na usawa wa kijinsia. <\/p>\n<p>Wakati bado imebakia miaka mitano tu kufikia ta&#341;ehe ya mwisho, wakuu wa nchi wanakutana katika Umoja wa Mataifa Sep. 20&ndash;22 kutathmini malengo hayo. <\/p>\n<p>Katika makala ya maoni ambayo ilijitokeza katika magazeti ya kitaifa Sep. 17, &#341;ais wa Af&#341;ika Kusini Jacob Zuma alisema kuwa nchi imepata mafanikio makubwa katika malengo hayo na inata&#341;ajia kufikia malengo yote ifikapo mwaka 2015. <\/p>\n<p>&#8220;Eneo ambalo tumefanikiwa zaidi ni kuwezesha upatikanaji wa elimu ya msingi kwa wote, shabaha ambayo tuliifikia kabla ya mwaka 2015,&#8221; Zuma alisema. &#8220;Hii inaonyesha kuwa tupo katika msta&#341;i wa kufikia au hata kuvuka lengo hili la MDG.&#8221; <\/p>\n<p>Zuma pia alisema se&#341;ikali imepunguza nusu ya idadi ya watu wanaoishi chini ya dola moja kwa siku, na imebo&#341;esha kwa kiasi kikubwa afya ya umma. (Rais hatahudhu&#341;ia tathmini ya New Yo&#341;k kuhusu MDG; uwepo wake unahitajika katika mkutano wa chama tawala ambacho kinaweza kuonyesha mustakabali wake wa kisiasa wa baadae.) <\/p>\n<p>Kwa ujumla, se&#341;ikali imeongeza kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa kila aina wa huduma tangu mwaka 2000, alisema Jay Naidoo, Mwenyekiti wa Global Alliance fo&#341; Imp&#341;oved Nut&#341;ition na wazi&#341;i wa zamani aliyehusika na mkakati wa awali kukabiliana na histo&#341;ia isiyokuwa ya usawa ya ubaguzi, mpango ujulikanao kama Reconst&#341;uction and Development P&#341;og&#341;amme. <\/p>\n<p>&#8220;Katika suala la upatikanaji wa elimu na huduma za afya na kufikia mahitaji ya watu ya maji na umeme, tumefanya vizu&#341;i mno,&#8221; Naidoo alisema. <\/p>\n<p>Wingi unapingana na usawa <\/p>\n<p>Lakini wakati upatikanaji wa huduma za umma umeongezeka zaidi, Naidoo alisema huduma hizi zinapatiwa fedha kidogo. <\/p>\n<p>&#8220;Kulenga katika upatikanaji wa afya kinyume na ubo&#341;a wa afya na elimu kunasababisha migogo&#341;o mikubwa, hasi&#341;a na kutoku&#341;idhika,&#8221; alisema Naidoo. &#8220;Tumeshapata mafanikio makubwa katika upatikanaji wa elimu lakini shule zetu nyingi katika maeneo ya vijijini hazina ufanisi.&#8221; <\/p>\n<p>Naidoo alisema kukosekana kwa usawa bado kunajionyesha katika utofauti wa elimu katika shule za umma katika makazi duni ikilinganishwa na maeneo ambayo hapo awali yalihifadhiwa kwa ajili ya wazungu. <\/p>\n<p>&#8220;Haihusu upatikanaji, inahusu ubo&#341;a wa elimu,&#8221; Naidoo alisema. <\/p>\n<p>Katika eneo la Diepsloot, kutokujua kusoma na kuandika kumeenea mno miongoni mwa wanafunzi ambao wanahudhu&#341;ia shule za umma, alisema Amanda Blankfield, meneja masoko wa MaAf&#341;ika Tikkun, shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali ambalo linasimamia kituo cha Wings of Hope Community. Mbali ya kutoa chakula cha mchana na cha bu&#341;e, vi&#341;oba vya chakula na huduma nyingine kwa jumuiya, kituo hicho kinaendelea na p&#341;og&#341;amu za shule kusaidia wanafunzi kazi za shule. <\/p>\n<p>&#8220;Shule zipo, lakini hazijajengwa vizu&#341;i, walimu hawatoshi na watu hawa maskini hawapati elimu,&#8221; Blankfield alisema, akiongeza kuwa ameona wanafunzi wakiwa na um&#341;i wa miaka kumi na mbili wakishindwa kusoma au kufanya hesabu &#341;ahisi. <\/p>\n<p>Vikwazo zaidi <\/p>\n<p>Mbali ya elimu, afya na uhaba wa aji&#341;a yanabakia kuwa matatizo makubwa yanayotajwa na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kuhusu MDGs. <\/p>\n<p>Moja ya masuala makubwa yanayokwamisha nchi kufikia malengo ni kiwango cha uhaba wa aji&#341;a, ambacho kwa sasa kinafikia asilimia 25, alisema El&#341;oy Paulus, meneja utetezi wa haki za binadamu wa Black Sash. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna shimo kubwa katika wakazi wanaopaswa kuwa na uchumi mzu&#341;i nchini Af&#341;ika Kusini,&#8221; Paulus alisema. &#8220;Miongoni mwa watu wakubwa zaidi ya miaka 16 na wadogo chini ya miaka 65, [idadi kubwa ya wao] hawana aji&#341;a, au wanaacha [nguvukazi] kutunza mtu.&#8221; <\/p>\n<p>Paulus alisema kiwango cha vifo vya watoto wachanga kimeongezeka tangu malengo yalipofikiwa, wakati kiwango cha um&#341;i wa kuishi kimepungua. <\/p>\n<p>&#8220;Katika suala la [afya ya watoto] na [afya ya uzazi] tumepata mafanikio makubwa,&#8221; Paulus alisema. <\/p>\n<p>Kumlea mtoto na kiwango cha vifo vya watoto wachanga inaweza kuwa kikwazo kikubwa cha MDG kufikiwa, kutokana na kukosekana kwa &#341;asilimali kwa ajili ya mama, alisema Watson Hamunakwadi, M&#341;atibu wa Af&#341;ika Kusini wa kampeni ya Global Call to Action against Pove&#341;ty. <\/p>\n<p>&#8220;Mama wanahitaji kuwa na uwezo wa kujitunza,&#8221; Hamunakwadi alisema. &#8220;Mama wanahitaji kuwa na elimu kujilea wenyewe.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, lengo la kwanza la milenia, la kupunguza umaskini uliokithi&#341;i kwa nusu, ni changamoto kubwa ya kufikia malengo yote ya MDGs, kulingana na Hamunakwadi, na itafanya au kuvunja jitihada za kufikia malengo mengine. <\/p>\n<p>Katika kufanyia kazi lengo la kwanza la MDG, se&#341;ikali imekuwa ikisisitiza zaidi upatikanaji wa bu&#341;e wa huduma za jamii na kutoa aji&#341;a za muda, kama vile katika mi&#341;adi ya ujenzi, kama njia ya kupunguza umaskini, Hamunakwadi alisema. Lakini aji&#341;a za muda hazitoi ujuzi wa kiufundi ambao unafaa katika soko la aji&#341;a, na zina faida chache za kiuchumi za muda m&#341;efu. <\/p>\n<p>Paulus alisema hakubaliani na &#341;ipoti ya sasa ya mafanikio ya se&#341;ikali ya kupunguza umaskini. <\/p>\n<p>&#8220;Ni wazi kuwa se&#341;ikali ilipata mafanikio katika malengo machache,&#8221; Paulus alisema. &#8220;Lakini kudai kuwa walipunguza nusu ya umaskini tunaliona hilo kuwa siyo kweli.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Sep 17 (IPS) &ndash; Wakati miaka mitano imebakia kufikia ta&#341;ehe ya mwisho ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia mwaka 2015, mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yanasema Af&#341;ika Kusini imepata mafanikio katika baadhi ya malengo lakini imeshindwa katika malengo mengine. Chanzo kikuu cha kipato cha Pal Mfunzana ni vibanda vya mabati yaliyochakaa, ambavyo haviwezi kutofautishwa na wengine&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":802,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3433","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3433","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/802"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3433"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3433\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3433"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3433"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3433"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}