{"id":3422,"date":"2010-09-29T13:40:01","date_gmt":"2010-09-29T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/09\/29\/afika-mahindi-ya-rangi-ya-chungwa-yanaweza-kuokoa-macho-ya-mamilioni-ya-watoto-wa-afika\/"},"modified":"2010-09-29T13:40:01","modified_gmt":"2010-09-29T13:40:01","slug":"afika-mahindi-ya-rangi-ya-chungwa-yanaweza-kuokoa-macho-ya-mamilioni-ya-watoto-wa-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/09\/29\/afika-mahindi-ya-rangi-ya-chungwa-yanaweza-kuokoa-macho-ya-mamilioni-ya-watoto-wa-afika\/","title":{"rendered":"Af&#341;ika: Mahindi ya Rangi ya &#8216;Chungwa&#8217; Yanaweza Kuokoa Macho ya Mamilioni ya Watoto wa Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Sep 12, 2010 (IPS) &ndash; Mahindi ya &#341;angi ya chungwa, aina ya zao la nafaka linalojulikana na wengi, yanaweza kubo&#341;esha maisha ya mamilioni ya watu wenye upungufu wa vitamini mwilini kwa kuongeza vitamini A katika mlo wao, kulingana na utafiti mpya uliotolewa wiki hii.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Upungufu wa vitamini A umeenea mno miongoni mwa wakazi maskini, na kusababisha hadi watoto 500,000 kwa mwaka wakiingia katika upofu na kuongezeka kwa hata&#341;i ya magonjwa na vifo. Vyanzo vya vitamini A kama vile nyama, mayai, mboga za majani, na matunda jamii ya machungwa vinauzwa kwa gha&#341;ama kubwa mno kwa wakazi maskini, hasa katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a. <\/p>\n<p>Lakini miongoni mwa mambo mengine, mahindi ni chanzo kikuu cha kila siku cha lishe katika kanda. Watu wanakula ugali wa mahindi meupe kwa kiasi kikubwa, na ma&#341;a nyingine wakila hata nusu kilo kwa siku. <\/p>\n<p>Wakivutiwa na upendeleo huu wa jadi, watafiti wanasema mahindi ya &#341;angi ya chungwa yana vitamini A zaidi kwa mwili wa mwanadamu. <\/p>\n<p>Utafiti wa hivi ka&#341;ibuni uliofanywa na Dk Wendy White wa Chuo Kikuu cha Iowa Ida&#341;a ya Sayansi ya Chakula na Lishe ya Binadamu uligundua chanzo kipya cha vitamini A. <\/p>\n<p>Ha&#341;vestPlus, ambayo ilifadhili utafiti huo, ni mpango wa Consultative G&#341;oup on Inte&#341;national Ag&#341;icultu&#341;al Resea&#341;ch (CGIAR), umoja wa Benki ya Dunia wa vituo 15 vya utafiti duniani kote ambao unalenga katika kukuza uzalishaji wa kilimo duniani kote, hasa katika nchi zinazoendelea. <\/p>\n<p>Katika utafiti huo, wanawake sita wenye afya walipatiwa aina tofauti ya ugali wa mahindi, ambapo mmoja ulikuwa wa mahindi ya &#341;angi ya chungwa. Utafiti ulionesha kuwa mafuta kutoka mahindi ya &#341;angi ya chungwa yaligeuzwa kuwa vitamini A ka&#341;ibu ma&#341;a mbili ya kiwango kilichokuwa kikifahamika kwa mahindi hapo kabla. Matokeo ya utafiti yalichapishwa katika ja&#341;ida la &#8220;Ame&#341;ican Jou&#341;nal of Clinical Nut&#341;ition&#8221; mapema wiki hii. <\/p>\n<p>&#8220;Utafiti huu umetoa majibu ya utendaji wa kibaolojia,&#8221; alisema White. &#8220;Wazalishaji wa mbegu walifanikiwa kwa kiasi katika kupandikiza mafuta hayo katika mahindi, lakini swali lilikuwa, &#8216;Je yatapatikana ili kukubaliwa na kutumiwa na watu &#8216;&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Hivyo tunaloonyesha ni kuwa mafuta hayo aina ya &#8220;beta&ndash;ca&#341;otene&#8221; ni upatikanaji wa kibaolojia kuweza kubadilishwa kuwa vitamini A mwilini, na kwa wingi zaidi kuliko ilivyota&#341;ajiwa hapo kabla,&#8221; White aliendelea. <\/p>\n<p>Mwaka 2012, Ha&#341;vestPlus inata&#341;ajia kuingiza aina hiyo ya mahindi nchini Zambia, ambako upungufu wa vitamini A unaathi&#341;i zaidi ya asilimia 53 ya watoto. Wanakadi&#341;ia kuwa zao hilo jipya linaweza kuchangia asilimia 30 ya vitamini A kila siku kwa watoto wa kuanzia miaka miwili hadi sita na asilimia 40 ya wanawake wenye um&#341;i wa kuzaa watoto. <\/p>\n<p>Kulingana na Dk. White, Ha&#341;vestPlus taya&#341;i inaandaa p&#341;og&#341;amu ya maja&#341;ibio nchini Zambia kuwapatia watoto mahindi ya &#341;angi ya chungwa yenye wingi wa vitamini A. <\/p>\n<p>Pamoja na kwamba aina hiyo ya mahindi inaandaliwa kwa hali ya hewa ya kaskazini kwa sasa, Dk. Kevin Pixley na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Zambia (ZARI) sasa wanaandaa mazingi&#341;a ya kuweza kumea kiu&#341;ahisi katika mazingi&#341;a ya Zambia. <\/p>\n<p>Ma&#341;a yatakapoendelezwa kikamilifu, mahindi yatatakiwa kupandwa katika &#8220;kanda ambapo yatastawi kiu&#341;ahisi&#8221; badala ya mipakani mwa nchi, alielezea Bonnie McClaffe&#341;ty, Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo na Mawasiliano cha Ha&#341;vestPlus, katika mahojiano kwa njia ya ba&#341;ua pepe na IPS. <\/p>\n<p>Pamoja na kwamba mahindi hayo yataanza kutumiwa nchini Zambia, anata&#341;ajia aina ya mahindi inayozalishwa itaenea zaidi kwa faida ya nchi nyingine katika ba&#341;a. <\/p>\n<p>Wakati kunaweza kuwepo kwa faida kadhaa za afya katika kuingiza mahindi ya &#341;angi ya chungwa nchini Zambia, histo&#341;ia imeonyesha kuwa kuanzisha mazao mapya ma&#341;a zote siyo kazi &#341;ahisi. <\/p>\n<p>Ja&#341;ibio kama hilo la kuondokana na upungufu wa vitamini A lilifanyika mwaka 2000 kwa kuendeleza mpunga wa &#8216;dhahabu&#8217; uliogunduliwa na watafiti nchini Uswis. M&#341;adi wa thamani ya dola milioni 100 ulisaidiwa na taasisi nne tofauti za umma. <\/p>\n<p>Baada ya matumaini makubwa ya uwezekano wa kupunguza upungufu wa vitamini mwilini ba&#341;ani Asia, upandaji wa mpunga wa dhahabu ulikwamishwa kutokana na wasiwasi wa kupanda mazao yenye vinasaba. Mwaka huu kuna nchi moja tu, Ufilipino, imeshaanza kulima aina hiyo mpya ya mpunga. Mwaka 1987, utafiti wa maha&#341;age ya soya wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo kwa Maendeleo Af&#341;ika (IITA) nchini Nige&#341;ia ulionyesha mgomo wa walaji kula maha&#341;age ya aina hiyo katika ngazi ya kaya uliongezeka kutokana na kukosekana kwa taa&#341;ifa juu ya usindikaji sahihi na mbinu za kupika maha&#341;age hayo. <\/p>\n<p>&#8220;Mawasiliano na walaji ni muhimu katika kujenga mahitaji endelevu ya mahindi yenye vitamini A,&#8221; kulingana na Ha&#341;vestPlus, ambayo ilisema kuna mikakati miwili mikubwa ya kueneza kilimo na ulaji wake. <\/p>\n<p>&#8220;Mkakati wa kimsukumo unaendeshwa na usambazaji na unalenga katika usambazaji wa mbegu za mahindi hayo. Mkakati wa uvutiaji unahusu mahitaji. Kwa kujenga mahitaji ya kutosha, mzunguko wa uzalishaji na ulaji wa mahindi ya &#341;angi ya chungwa utakuwepo.&#8221; <\/p>\n<p>Utafiti wa walaji nchini Zambia umeonyesha kuwa soko la sasa limejaa mahindi meupe, mahindi yanayopendwa zaidi kwa ajili ya ugali unaojulikana zaidi kama nshima. Mahindi ya &#341;angi ya chungwa yamekataliwa kutokana na kuhusishwa na ukame na chakula cha msaada. <\/p>\n<p>&#8220;Kama mitizamo hii hasi itaendelea kuhusu mahindi ya &#341;angi ya chungwa,&#8221; kulingana na Ha&#341;vestPlus, &#8220;kuna sababu ya kuwa na wasiwasi kuwa mahindi hayo yatapata kikwazo zaidi katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a kuweza kuleta mabadiliko katika upatikanaji wa vitamini miongoni mwa wananchi walengwa.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini matokeo ya utafiti wa Ha&#341;vestPlus yanaonyesha kuwa mahindi ya &#341;angi ya chungwa yana maana tofauti nchini Zambia. &#8220;Mahindi ya &#341;angi ya chungwa yanaonekana kuwa na thamani ya nyongeza na yanatofautishwa na mahindi ya njano ambayo hayakupendwa sana,&#8221; alielezea McClaffe&#341;ty. &#8220;Kwa kuongeza, kampeni ya lishe ingekuwa na thamani katika mahindi ya &#341;angi ya chungwa ambayo hatimaye itaongeza kupendwa na wakulima.&#8221; <\/p>\n<p>Katika kuingia ndani zaidi ya matokeo hayo ya utafiti, Ha&#341;vestPlus inata&#341;ajia kukuza umiliki katika ngazi ya jamii na kitaifa ya zao hilo kuanzia mwanzo. <\/p>\n<p>&#8220;Kama mfumo unaohitaji fani mbalimbali ya hatua za afya ya kilimo, Ha&#341;vestPlus inawekeza katika utafiti na maendeleo ya aina hii na haiwafanyi wakulima au sekta ya kilimo ya taifa kubeba gha&#341;ama,&#8221; alisema McClaffe&#341;ty. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Sep 12, 2010 (IPS) &ndash; Mahindi ya &#341;angi ya chungwa, aina ya zao la nafaka linalojulikana na wengi, yanaweza kubo&#341;esha maisha ya mamilioni ya watu wenye upungufu wa vitamini mwilini kwa kuongeza vitamini A katika mlo wao, kulingana na utafiti mpya uliotolewa wiki hii. Upungufu wa vitamini A umeenea mno miongoni mwa wakazi maskini,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":799,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3422","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3422","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/799"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3422"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3422\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3422"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3422"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3422"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}