{"id":3421,"date":"2010-09-29T13:40:01","date_gmt":"2010-09-29T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/09\/29\/afrika-kusini-madi-wa-kijani-wajenga-kipato-na-usalama-wa-chakula\/"},"modified":"2010-09-29T13:40:01","modified_gmt":"2010-09-29T13:40:01","slug":"afrika-kusini-madi-wa-kijani-wajenga-kipato-na-usalama-wa-chakula","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/09\/29\/afrika-kusini-madi-wa-kijani-wajenga-kipato-na-usalama-wa-chakula\/","title":{"rendered":"AFRIKA KUSINI: M&#341;adi wa Kijani Wajenga Kipato na Usalama wa Chakula"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Sep 10, 2010 (IPS) &ndash; F&#341;ances Mandla anaonekana waziwazi amejawa na fu&#341;aha. Pamoja na mwenzake, Nounifo&#341;m Nqevu, anasimama m&#341;efu na anayetabasamu mbele ya kitalu kipana cha mboga mboga aina ya spinachi. Mavuno yatakuwa tiketi yao ya kuingia kwenye maisha bo&#341;a. Maisha yatakayokwenda na uwepo wa fedha za kutosha kununulia chakula, nguo na ada za shule.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mandla, 61, na Nqevu, 63, ni sehemu ya m&#341;adi wa kijani maeno ya mjini, ambao ulizinduliwa Ap&#341;ili katika jumuiya yao ya Samo&#341;a Machel, sehemu ya mji wa makazi duni wa Philippi, kilomita zipatazo 30 nje ya jiji la Cape Town. <\/p>\n<p>M&#341;adi huo unaendeshwa na shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali (NGO) la G&#341;een Communities na unataka kuinua watu kijamii kupitia mazingi&#341;a ya kijani endelevu katika makazi ya nyumba za kipato cha chini. <\/p>\n<p>Pamoja na kwamba unaweza kuchukua kwa uchache mwaka kwa m&#341;adi huo kufikia mata&#341;ajio yake ya kiuchumi, Mandla, bibi na mtoaji huduma kwa watoto watatu, anasema taya&#341;i ameshapata faida kutokana na kuwa mwanachama wa m&#341;adi huo: &#8220;Maisha yangu ni mepesi kuliko hapo kabla. Nimegundua jinsi gani ya kutunza bustani na sasa nina bustani yangu mweyewe ya chakula nyuma ya nyumba yangu. Familia yangu inakula mboga mboga zaidi sasa, siyo tu nafaka.&#8221; <\/p>\n<p>Mwanamke huyo, ambaye mbali na kuendesha bustani pia anatengeneza fedha kwa kushona, kazi za kutengeneza shanga na usindikaji, anasema kuwa tangu kuanza kwa m&#341;adi wana fedha zaidi mifukoni mwao mwishoni mwa kila mwezi. &#8220;Kwa ma&#341;a ya kwanza, naweza kununua umeme. Kabla ya hapo, sijaweza kufanya hivyo,&#8221; anabainisha Nqevu. <\/p>\n<p>Chini ya kaulimbiu &#8216;mazingi&#341;a yenye afya &ndash; jumuiya yenye afya&#8217;, G&#341;een Communities imebuni mi&#341;adi ambayo NGO hiyo inadai ina faida kubwa kwa mazingi&#341;a na jumuiya, ikiwa ni pamoja na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, kupendekezesha eneo husika, kubo&#341;esha afya za watu, kutoa chakula na kubo&#341;esha fu&#341;sa za kipato kwa wakazi. <\/p>\n<p>&#8220;Tuna imani kuwa maendeleo ya kijamii na mazingi&#341;a ya kuishi vinakwenda sambamba ili kuleta mafanikio. Jitihada za kijamii haziwi endelevu bila kutegemea mazingi&#341;a,&#8221; anasema mwanzilishi wa G&#341;een Communities Beth McKella&#341;&ndash;Bassett. &#8220;Kama vyote vinachanganywa pamoja, tunaona faida za ma&#341;a moja kwa ustawi wa watu, usalama na uhalifu [kupungua].&#8221; <\/p>\n<p>Ni aina gani ya mi&#341;adi ambayo inafaa kuzinduliwa katika eneo la Samo&#341;a Machel ni juu ya wanajumuiya. NGO iliandaa mikutano kadhaa mwanzoni mwa mwaka ambapo wakazi walijadili nini mahitaji yao makubwa na ni mipango gani wangependa kuitekeleza. <\/p>\n<p>&#8220;Mambo mawili makubwa watu walisema walitaka kipato na usalama wa chakula,&#8221; McKella&#341;&ndash;Bassett anakumbuka matokeo ya mikutano hiyo, akiongeza kuwa &#8220;unapaswa kuuliza jumuiya ni nini wanataka, ama sivyo hata wazo zu&#341;i linashindwa.&#8221; <\/p>\n<p>Muda mfupi baada ya hapo, G&#341;een Communities na kundi la wakazi 35 ilianza m&#341;adi wa kilimo mjini. Wanapanda kila aina ya mboga mboga, kama vile spinachi, saladi, vitunguu maji na viazi suka&#341;i. Mavuno yatauzwa katika migahawa mjini Cape Town ambayo inapenda kulipia bei nzu&#341;i kwa mazao yenye ubo&#341;a wa juu. <\/p>\n<p>&#8220;Kama vitalu vya mboga vinasimamiwa vizu&#341;i, vitatutengenezea kati ya &#341;and 200,000 (dola 26,500) na &#341;and 300,000 (dola 41,500) kama faida kwa mwaka,&#8221; anata&#341;ajia McKella&#341;&ndash;Bassett. Baadhi ya mapato yataingizwa katika mpango wetu, wakati mengine yatagawanywa kwa usawa kati ya wanachama wa m&#341;adi huo. <\/p>\n<p>G&#341;een Communities iko mbioni kuanzisha duka la usindikaji na usimamiaji wa taka ngumu huko Samo&#341;a Machel, ambapo wakazi wanaweza kuuziana vioo, plastiki na ka&#341;atasi kwa ajili ya vifaa vya kawaida vya nyumbani na nguo. Kwa kuongeza, NGO itaendesha kozi mbili za wiki sita sita za usimamiaji wa taka kwa jumla ya watu 60. <\/p>\n<p>Ujuzi utakaotokana na kozi hizo utageuzwa kuwa aji&#341;a katika Mtambo wa Taka, kampuni kubwa zaidi ya kusimamia taka katika jimbo la Cape Magha&#341;ibi nchini Af&#341;ika Kusini, ambao umeahidi kuaji&#341;i kila mtu ambaye atamaliza kozi kwa mafanikio. &#8220;Tuna imani hii itasaidia kuanza na kujenga aji&#341;a katika jumuiya,&#8221; anasema McKella&#341;&ndash;Bassett. <\/p>\n<p>Ili kulifanya eneo hilo kuwa la kijani na kuongeza ubo&#341;a wa maisha ya wakazi, NGO hiyo pia imekua ikipanda miti ya asili na mimea mingine katika maeneo yote ya shule za sekonda&#341;i, msingi na vituo vya maendeleo ya watoto wadogo katika Samo&#341;a Machel. Hata hivyo, wanafunzi wanajifunza jinsi ya kupanda Spekboom, mti wenye jina la Kiaf&#341;ikana ambao unajulikana kwa kuhifadhi kaboni kwa wingi. <\/p>\n<p>NGO hiyo pia inasaidia wanajumuiya kuanzisha viwanja vya michezo, bustani za kumpumzikia na bustani za chakula ikiwa ni pamoja na kuozesha mbolea za mboji. <\/p>\n<p>Ili kufanya m&#341;adi wa mji wa kijani kuwa endelevu, G&#341;een Communities inafanya kazi ka&#341;ibu kwa kushi&#341;ikiana na ida&#341;a mbalimbali za manisipaa, ikiwa ni pamoja na ida&#341;a ya maendeleo ya jamii, maendeleo ya kiuchumi, nyumba na bustani za jiji. <\/p>\n<p>Cindy Jacobs, meneja m&#341;adi wa maisha endelevu na ida&#341;a ya &#341;asilimali za kulifanya jiji la Cape Town kuwa la kijani, anasema ushi&#341;ikiano huu unafanya iwe muhimu kuufanya m&#341;adi endelevu: &#8220;Inahusu kufanya mambo kwa njia tofauti, kuhusu kufanya kazi pamoja badala ya kutengana.&#8221; <\/p>\n<p>Ida&#341;a ya Jacobs kwa kiasi kikubwa inasaidia m&#341;adi wa Samo&#341;a Machel elimu ya mazingi&#341;a kwa watoto wa shule na vikundi katika jamii. &#8220;Kwa kuwafundisha wakazi kuhusu mazingi&#341;a na viumbe hai, maji, taka na nishati, tunajenga msingi. Wanaelewa umuhimu wa masuala ya mazingi&#341;a na wanapenda kushi&#341;ikishwa,&#8221; anaelezea Jacobs. <\/p>\n<p>Mtafiti Me&#341;cy B&#341;own&ndash;Luthango kutoka Kituo cha Miji Af&#341;ika, mpango wa utafiti mijini katika Chuo Kikuu cha Cape Town, ana imani kuwa ushi&#341;ikiano wa ka&#341;ibu na manisipaa, NGOs na wanajumuiya ni mwelekeo mpya muhimu wa kuifanya miji kuwa ya kijani na kutekeleza mi&#341;adi ya kunyanyua maisha ya wakazi. <\/p>\n<p>Ushau&#341;iano na jamii ni moja ya maeneo ya msingi ya kujenga uendelevu, anakumbuka: &#8220;Kuanza kutekeleza mi&#341;adi ya kuifanya miji iwe ya kijani kunachukua muda m&#341;efu mno na uwekezaji mkubwa. Jamii za kipato cha chini haziwezi kutekeleza wenyewe, lakini ni hakika wana vifaa vingi na ujuzi ambao wanaweza kuchangia.&#8221; <\/p>\n<p>Lengo hasa ni kuwa na jamii inayoendesha mi&#341;adi yake yenyewe ya kuifanya miji kuwa ya kijani, kwa msaada kutoka kwa NGOs na manisipaa. <\/p>\n<p>Miaka michache ijayo itaonyesha kama m&#341;adi wa Samo&#341;a Machel utaweza kuleta uendelevu, mabadiliko ya muda m&#341;efu katika jamii. Hii kwa kiasi kikubwa itategemeana na uwezo wa timu wa kujenga mpango bo&#341;a wa uzalishaji na mahitaji ya mboga mboga. <\/p>\n<p>Katika siku za nyuma, mi&#341;adi kadhaa ya kilimo cha mjini yenye nia njema ilishindwa, kwa kiasi kikubwa kutokana na kwamba wakulima wana masoko katika eneo la kati kuuza mazao yao kutoka shambani kwa faida. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Sep 10, 2010 (IPS) &ndash; F&#341;ances Mandla anaonekana waziwazi amejawa na fu&#341;aha. Pamoja na mwenzake, Nounifo&#341;m Nqevu, anasimama m&#341;efu na anayetabasamu mbele ya kitalu kipana cha mboga mboga aina ya spinachi. Mavuno yatakuwa tiketi yao ya kuingia kwenye maisha bo&#341;a. Maisha yatakayokwenda na uwepo wa fedha za kutosha kununulia chakula, nguo na ada&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":523,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3421","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3421","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/523"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3421"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3421\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3421"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3421"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3421"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}