{"id":3386,"date":"2010-08-17T13:40:01","date_gmt":"2010-08-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/08\/17\/duniani-kuupika-mpango-wa-hali-ya-hewa\/"},"modified":"2010-08-17T13:40:01","modified_gmt":"2010-08-17T13:40:01","slug":"duniani-kuupika-mpango-wa-hali-ya-hewa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/08\/17\/duniani-kuupika-mpango-wa-hali-ya-hewa\/","title":{"rendered":"DUNIANI: Kuupika Mpango wa Hali ya Hewa"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Agosti 8 (IPS) &ndash; Du&#341;u nyingine ya mazungumzo ya kuwa na mkataba wa kimataifa wa mabadiliko ya tabia nchi iliahi&#341;ishwa mjini Bonn Agosti 6, huku wanaha&#341;akati wakitoa wito wa pande zinazohusika kugundua moyo wa kukubaliana na kutoa badala ya kupokea.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Katibu Mkuu wa Mkakati wa Umoja wa Mataifa wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabia Nchi (UNFCCC) Ch&#341;istiana Figue&#341;es alisema mafanikio yamepatikana. &#8220;Kila mmoja anaelewa kuwa ni vigumu kupika mpango huu bila chungu. Se&#341;ikali zipo ka&#341;ibu zaidi kwa sasa katika kutengeneza chungu.&#8221;<\/p>\n<p>Mgogo&#341;o wa chakula hiki unaanza, kwa swali la kama ni chakula kimoja au viwili.<\/p>\n<p>Bi&#341;ika lililoshindwa la Itifaki ya Kyoto limeyeyushwa katika mfumo mpya wa &#341;asimu &ndash; kati ya sasa na Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nachi ujao (nchini Mexico mwishoni mwa mwaka 2010), waendesha mazungumzo wataona kama litaweza kubeba maji.<\/p>\n<p>&#8220;Wiki hii imezipatia se&#341;ikali fu&#341;sa ya mwisho ya kusafisha misimamo yao ya kipekee,&#8221; alisema Figue&#341;es. &#8220;Tianjin itakuwa mahali ambapo wataweka wazi msimamo wao wa pamoja utakuwa ni nini,&#8221; alisema. Waendesha mazungumzo watakutana tena Oktoba huko Tianjin, China.<\/p>\n<p>&#8220;Pande zinazohusika zinaongeza maneno ambayo zinajua hayatapokelewa vizu&#341;i au &#341;ahisi kupatiwa ufumbuzi,&#8221; alionya Mohammed Adow wa shi&#341;ika la Ch&#341;istian Aid, mwanachama wa Climate Action Netwo&#341;k (CAN) ambao unashi&#341;ikisha zaidi ya mashi&#341;ika ya maendeleo na mazingi&#341;a yasiyokuwa ya kise&#341;ikali NGOs katika nchi 85. &#8220;Tunatakiwa kuwa na moyo wa kukubaliana katika mazungumzo haya.&#8221;<\/p>\n<p>Rasimu hiyo, iliyotolewa Juni na Ma&#341;ga&#341;et Mukahanana &ndash;Sanga&#341;we, mwenyekiti wa kundi hilo wa ushi&#341;ikiano wa muda m&#341;efu (AWG&ndash;LCA), alisababisha kukosolewa kwa kiasi kikubwa na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia, kwani ilikuwa na maana tena kuwa kuondoa itifaki ya Kyoto na kuwa na makubaliano mapya ambapo suala la kukabiliana na hali ya mabadiliko katika nchi zinazoendelea na zilizoendelea kutachukuliwa kwa usawa.<\/p>\n<p>&#8220;Af&#341;ika imekuwa ikitoa sauti sana katika kutoa wito wa kubaki na Itifaki ya Kyoto, kwani inabakia kuwa mkataba wa kimataifa pekee hadi sasa ambao unafunga nchi zenye viwanda vingi kuchukua baadhi ya hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi,&#8221; Mithika Mwenda aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Mwenda ni m&#341;atibu wa Pan&ndash;Af&#341;ican Climate Justice Alliance, ambao ulikuwa mmoja wa waandaji wa jukwaa la umma la siku moja kabla ya kikao cha wakuu wa Af&#341;ika mjini Kampala katikati mwa Julai, na kuitaka se&#341;ikali kufanya kazi &#8220;kwa ajili ya haki ya mabadiliko ya tabia nchi na kutafutia ufumbuzi mabadiliko ya tabia nchi kwa ajili ya Af&#341;ika salama, kupata maendeleo na kulinda haki za msingi za binadamu.&#8221;<\/p>\n<p>Hata&#341;i ya kuendelea kuwa na msimamo mkali katika mikakati ya kukabiliana na mabadiliko kwa ajili ya kupunguza uzalishaji wa hewa chafu ambazo zinasababisha kuongezeka kwa joto duniani kunatishia nchi zote; na pangine ni muhimu hatua ikachukuliwa kwa ha&#341;aka zaidi katika ba&#341;a la Af&#341;ika kwa kupata matokeo ya Mpango wa Hatua wa Bali, na kuwezesha hatua ya ha&#341;aka ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>Jambo la ahadi, waendesha mazungumzo mjini Bonn walihisi kuwa Mexico itaweza kutoka na ahadi za wazi kuhusu utekelezaji wa Mpango wa Hatua wa Bali.<\/p>\n<p>&#8220;Hii ina maana nchi zitakubaliana kuwajibika kwa kuchukua hatua, kwa mfano, kusimamia na kutumia fedha za hali ya hewa, kukuza uhamishaji wa teknolojia na uwezo wa kufanya hili na kushughulika na kukabiliana na hali hiyo, hasa katika nchi maskini zaidi na zile ambazo zinaathi&#341;ika zaidi,&#8221; alisema Figue&#341;es.<\/p>\n<p>Lakini ili kupata msaada wa haki kutoka eneo hili, Af&#341;ika inahitaji kuungana, kuwa na mkakati wa mazungumzo wenye hoja na ufanisi.<\/p>\n<p>Waendesha mazungumzo wa Af&#341;ika wameshindwa kuendeleza umoja katika mabadiliko ya tabia nchi yaliyopita. Mwenda alisema se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini imekuwa ikifanya kazi dhidi ya maslahi ya nchi nyingine za Af&#341;ika.<\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na kwamba kipaumbele cha Af&#341;ika Kusini kimekuwa kukabiliana na hali hiyo, kutokana na kuathi&#341;ika kiu&#341;ahisi na kukosa uwezo katika nchi nyingi, Af&#341;ika Kusini siku zote imekuwa ikijiweka msta&#341;i wa mbele na kushi&#341;ikiana na nchi nyingi za nje ya Af&#341;ika kufanya suala la kukabiliana na hali hiyo kwa kuishi na mabadiliko kuwa kipaumbele,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Pengine ni suala la mantiki, hasa kutokana na nafasi ya Af&#341;ika Kusini kama mzalishaji mkuu wa kumi na mbili wa hewa ya ca&#341;bon dioxide duniani, wakati mataifa mengine ya Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a kwa pamoja yanachangia asilimia nne tu ya uzalishaji wa gesi hizo.<\/p>\n<p>&#8220;Af&#341;ika Kusini inategemea mno katika makaa ya mawe na inahitaji nishati kuwezesha uchumi wake kukua,&#8221; anasema Jean&ndash;Ch&#341;istophe Hoste, mtaalam wa utafiti katika Taasisi ya Egmont nchini Ubelgiji.<\/p>\n<p>Kuwa &#341;ahisi kukabiliwa na madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi kunatofautiana kati ya kanda moja na nyingine au kutoka nchi moja na nyingine, anasema Belynda Pet&#341;ie, afisa mtendaji mkuu wa OneWo&#341;ld G&#341;oup. OneWo&#341;ld na kampuni ya utafiti ya ushau&#341;i wa kitaalam ambao miongoni mwa mambo mengine unatekeleza mpango wa miaka mitano wa kujua njia bo&#341;a zaidi za kulinda vipato vinavyotishiwa na mabadiliko ya tabia nchi Kusini mwa Af&#341;ika.<\/p>\n<p>&#8220;Baadhi ya kanda au nchi taya&#341;i zinakabiliwa na uhaba wa maji kuliko nyingine, na hivyo kuhitaji kupewa kipaumbele zaidi katika mi&#341;adi ya kukabiliana na hali hiyo kuima&#341;isha hifadhi ya maji na kusimamia miundombinu ya mafu&#341;iko, kwa mfano,&#8221; anasema Pet&#341;ie.<\/p>\n<p>Makadi&#341;io ya madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi ni uha&#341;ibifu mkubwa wa uzalishaji wa kilimo katika ba&#341;a zima ambalo watu wake wanategemea kupanda chakula ili waweze kuishi. Af&#341;ika Kusini haiwezi kujikinga na hali hii, lakini uchumi wake unaotegemea vyanzo vingi vya mapato hauwezi kutishiwa zaidi na mgogo&#341;o wa kilimo ikilinganishwa na Bu&#341;kina Faso au Ethiopia.<\/p>\n<p>Madai ya uchumi wenye nguvu zaidi katika Af&#341;ika yanajikita katika yale ya nchi zinazoibukia kiuchumi kama vile India na China, ambao wanasita kukubali vikwazo vingine vyovyote vya kupunguza utoaji wa gesi chafu kwani wanaendeleza viwanda vyao.<\/p>\n<p>Pet&#341;ie anasema kuwa nchi nyingi za Af&#341;ika zinakosa ujuzi na maa&#341;ifa kupeleka maoni yao katika UNFCCC, na kuacha wachache ambao wanafanya hivyo kuongoza. Lakini matokeo ya hali hiyo, mahitaji tofauti ya Af&#341;ika hayawasilishwi kikamilifu na kukosekana kwa umoja kunajitokeza katika mazungumzo halisi.<\/p>\n<p>Kwa njia ya mfano, anatoa ta&#341;ehe ya mwisho ya Agosti kuomba fedha kutoka Mfuko wa Nchi zenye Maendeleo Duni wa UNFCCC, (ambao upo kuima&#341;isha ushi&#341;iki wa sek&#341;eta&#341;ieti za kitaifa za mabadiliko ya tabia nchi katika michakato ya Umoja wa Mataifa, kujenga uwezo kukusanya na kutafsi&#341;i takwimu za hali ya hewa na maji, kutoa mafunzo ya ujuzi wa kuendesha mazungumzo, kusaidia uelewa wa wananchi, na kuandaa na kutekeleza mipango ya kitaifa ya kukabiliana na hali hiyo).<\/p>\n<p>Mataifa mengi ya Af&#341;ika ambayo yanaweza kuathi&#341;ika zaidi yanaweza kupatiwa fedha, lakini Pet&#341;ie anata&#341;ajia wachache watashi&#341;iki.<\/p>\n<p>&#8220;Matokeo yake, katika kufadhili mabadiliko ya tabia nchi kwa mfano, ni kwamba nchi zinalalamikia mifumo na mipangilio ya kitaasisi kuwa na uki&#341;itimba na hivyo kuzuia upatikaji wa fedha. Lakini walalamikaji hawa hawajatumia nafasi zilizopo wazi kupeleka michakato ya mi&#341;adi ambayo itasaidia kuwafanya hawa kukubali na kusahihisha matatizo.&#8221;<\/p>\n<p>Hoste anasema nchi za Af&#341;ika hazitaweza kufikiwa &ndash; na kuwa na msimamo mmoja katika mazungumzo ya kimataifa ya mabadiliko ya tabia nchi ikiwa kuna tofauti kubwa ya kiuchumi na maendeleo kati yao.<\/p>\n<p>&#8220;Nchi za Af&#341;ika zinaweza kuwa na msimamo mmoja kabla ya Copenhagen. Lakini msimamo huu wa pamoja ulianguka ma&#341;a tu baada ya kutakiwa kuwa na ma&#341;idhiano ya kiuchumi.&#8221;<\/p>\n<p>Mithika Mwenda wa PACJA ana matumaini zaidi. &#8220;Washika dau wa Af&#341;ika kwa kiasi kikubwa wanathamini msimamo wa pamoja, na sina mashaka kuwa ba&#341;a litafika Mexico likiwa na ukanda uliojipanga zaidi kuliko hapo kabla.&#8221;<\/p>\n<p>Anahisi kuwa ushujaa ni muhimu. &#8220;Vyombo vya haba&#341;i na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia wanapaswa kufanya kazi zaidi kufuatilia se&#341;ikali na kutoa shinikizo kuhakikisha kuwa mafanikio ya muda mfupi hayawafanyi kuachana na njia ya kwenda pamoja.&#8221;<\/p>\n<p>*Isaiah Esipisu amechangia katika makala haya kutoka Nai&#341;obi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Agosti 8 (IPS) &ndash; Du&#341;u nyingine ya mazungumzo ya kuwa na mkataba wa kimataifa wa mabadiliko ya tabia nchi iliahi&#341;ishwa mjini Bonn Agosti 6, huku wanaha&#341;akati wakitoa wito wa pande zinazohusika kugundua moyo wa kukubaliana na kutoa badala ya kupokea. Katibu Mkuu wa Mkakati wa Umoja wa Mataifa wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":789,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3386","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3386","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/789"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3386"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3386\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3386"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3386"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3386"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}