{"id":3385,"date":"2010-08-17T13:40:01","date_gmt":"2010-08-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/08\/17\/swaziland-ndoto-za-mavuno-mazui-zatoweka\/"},"modified":"2010-08-17T13:40:01","modified_gmt":"2010-08-17T13:40:01","slug":"swaziland-ndoto-za-mavuno-mazui-zatoweka","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/08\/17\/swaziland-ndoto-za-mavuno-mazui-zatoweka\/","title":{"rendered":"SWAZILAND: Ndoto za Mavuno Mazu&#341;i Zatoweka"},"content":{"rendered":"<p>QOMINTABA, Swaziland, Agosti 7 (IPS) &ndash; Hatimaye mvua nzu&#341;i zinanyesha, Cathe&#341;ine Mngomezulu alikuwa na mata&#341;ajio kuwa mwaka huu ungekuwa wa mavuno mengi. Halafu panya wakajitokeza.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kama ilivyo kwa watu wengi nchini Swaziland katika ukanda wa ukame wa Lavumisa, Mngomezulu na familia yake wameishi kwa msaada wa chakula kutokana na ukame mkubwa katika jumuiya yake mwaka 1992.<\/p>\n<p>Wakati mvua zilipoanza kunyesha Septemba 2009, Mngomezulu na familia yake waliingia shambani na kupanda zaidi ya hekta mbili za mahindi, maha&#341;age, ka&#341;anga, viazi na pamba.<\/p>\n<p>Mvua zinasaidia na mazao yaliendelea vizu&#341;i kutoka uchanga hadi yalipokuwa taya&#341;i kwa kuvuna mwezi Feb&#341;ua&#341;i na Machi, na kuleta uhakika wa kuwa na chakula kingi kwa ajili ya familia ya watu kumi na moja.<\/p>\n<p>Lakini Mngomezulus aliweza kupata mavuno machache mno katika nusu hekta ya mazao haya. Kinyume na mata&#341;ajio ya kilo 500 za mahindi, familia ilipata kilo 50 tu.<\/p>\n<p>Jumuiya yenye umaskini ya Lavumisa inakabiliwa na kushambuliwa na panya.<\/p>\n<p>Mngomezulu hakuweza kuhesabu hasa&#341;a kwa dola, lakini alisema alikuwa amepanda mazao ya kutosha ya kutosheleza familia yake.<\/p>\n<p>&#8220;Sina hata mahindi ya chakula kutokana na panya kula mahindi yote,&#8221; alisema Mngomezulu. &#8220;Pia walikula mbegu za pamba na kuacha nyuzi za pamba.&#8221;<\/p>\n<p>Suala linaloumiza zaidi kuhusu panya hao ni kula mbegu na kuacha pamba ikiwa haina uzito wowote wakati wa kuuza.<\/p>\n<p>Familia haijapata kabisa mazoa kutoka hekta ya pamba waliyopanda; katika mwaka ambao walidhani wangepata elangeni 1,000 (dola zipatazo 140), za kutosha kununua vyakula kwa miezi miwili.<\/p>\n<p>Mashimo mengi katika shamba la Mngomezulu ni ushahidi kuwa kuna panya wengi katika eneo hilo.<\/p>\n<p>&#8220;Sijawahi kuona panya wengi namna hii &ndash; baadhi wamechimba mashimo makubwa mno kuwahi kuyaona katika maisha yangu. Naona panya wakubwa zaidi ya kawaida na wanakula kila kitu wanachokutana nacho siyo tu mashambani lakini pia nyumbani.<\/p>\n<p>&#8220;Tuna panya katika eneo hili lakini siyo kwa idadi hii. Pia ni wa kipekee jinsi wanavyokula,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Panya hao hawaachi kitu: siyo chakula jikoni, wala majani yaliyotumika kuezekea, vyombo vya elekt&#341;oni, au nguo. Mngomezulu pia anahofia juu ya ma&#341;adhi yake, mtoto wake anayeketi kwenye kiti cha wagonjwa tu ambaye hulala katika kibanda peke yake, akihofia panya wanaweza kumshambulia. Anamwangalia ma&#341;a kadhaa kila usiku na hivyo kuwa vigumu kujilinda.<\/p>\n<p>&#8220;Panya wanakulana wao kwa wao,&#8221; alisema Sa&#341;ah Sihlongonyane, mganga wa jadi katika eneo hilo.<\/p>\n<p>Ametumia usiku kadhaa chini ya mwanga wa mwezi akiangalia tabia ya panya hawa wakiwa wanatembea katika paa la nyumba. Aliiambia IPS anaona aina tatu tofauti; wale wadogo wa &#341;angi ya kahawia, wakubwa wa &#341;angi ya kijivu na wengine weupe, na aina ya kijivu wakubwa ambao wanajulikana zaidi katika eneo hilo la Swaziland.<\/p>\n<p>Sihlongonyane amekuja kuhitimisha kuwa hata maa&#341;ifa yake ya jadi hayawezi kupambana na panya hawa. Kuwa na paka katika familia ni moja ya njia ya kufukuza panya, lakini Sihlongonyane alisema hata paka kwa sasa &#8220;wamechoka panya hawa na wanawapuuza tu.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Nilija&#341;ibu kutumia sumu kuwaua na wakati nimeweza kuua wachache tu, kuku walikula panya waliokufa na wakafa hapo hapo,&#8221; alisema Sihlongonyane. &#8220;Niliacha kuua panya na sasa wanafanya wanavyotaka nyumbani mwangu.&#8221;<\/p>\n<p>Dawa inayotumika hutumika kuua wadudu katika mahindi ambayo yanahifadhiwa. Madawa hayo ni sumu sana na watu wengi katika nchi wametumia kujiua.<\/p>\n<p>Wanakijiji wanasema maafisa kutoka wiza&#341;a za kilimo na afya walikuja kukagua uha&#341;ibifu, walitikisa mabega yao, na kuacha ahadi ya kuja. Hakuna lililosikika tena kutoka wiza&#341;a ya kilimo; timu ya afya ya mazingi&#341;a kutoka Wiza&#341;a ya Afya na kuja&#341;ibu kuua panya, hawajapatikana.<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi wa kilimo wa taifa, Dk Geo&#341;ge Ndlangamandla, alisema se&#341;ikali ina nia ya kusaidia watu wa Lavumisa katika kuondokana na panya hawa, lakini hakuna bajeti ya kushughulika na wanyama hawa.<\/p>\n<p>&#8220;Tulipeleka maafisa kukagua hali na tunakubali kuwa tuna tatizo katika maeneo yaliyoathi&#341;ika. Lakini nahisi wanajumuiya wanapaswa kufiki&#341;i kusafisha mashamba yao kwasababu panya hawakai maeneo safi,&#8221; alisema Ndlangamandla. Alishau&#341;i jumuiya kutumia mitego kuua panya.<\/p>\n<p>Dk Ndlangamandla anaelezea ugonjwa wa kukohoa na wagonjwa wa TB katika suala hili, alisema Philip Mntshali (63), ambaye analima mboga mboga kwa ajili ya sababu za kibiasha&#341;a katika Mto Mkhondvo.<\/p>\n<p>&#8220;Tumeja&#341;ibu kutumia mitego lakini panya hawa ni wengi mno na hivyo haileti tofauti,&#8221; alisema Mntshali. Sasa anatumia sumu katika bustani yake kuua panya pamoja na kwamba anatambua kuwa sumu inaweza kuua ndege, ambao wanakula panya waliokufa.<\/p>\n<p>&#8220;Hakuna ambalo naweza kulifanya,&#8221; alisema Mntshali. &#8220;Se&#341;ikali haisaidii hata kwa ushau&#341;i wa kiufundi juu ya jinsi ya kushughulika na tatizo, achana na fedha.&#8221;<\/p>\n<p>Wachache katika jamii wanajua kuwa sumu ya bu&#341;e inapatikana ka&#341;ibu na Kituo cha Afya cha Matsanjeni. Kulingana na Nim&#341;od Dlamini, afisa afya ya mazingi&#341;a katika Kituo cha Afya cha Matsanjeni, watu wanaotembelea kituo cha afya wanalalamika kuhusu kuua panya.<\/p>\n<p>Dlamini alisema makasha ya sumu yanatosha kuua panya, alisema kuku wanaweza kula panya kadhaa na kupatwa na sumu.<\/p>\n<p>Kama ilivyo kwa Ndlangamandla, Dlamini anakubaliana kuwa hakujawa na kampeni kubwa kusaidia watu kukabiliana na tatito la uvamizi wa panya. Lakini tatizo linaweza kuwa se&#341;ikali imechanganyikiwa kuhusu kuzuka kwa panya hao.<\/p>\n<p>&#8220;Nimekuwa katika wiza&#341;a hii kwa miaka 30 na sijawahi kuona panya aina hii,&#8221; alisema Ndlangamandla. &#8220;Inabidi kufanya utafiti kwanza lakini kwa bahati mbaya hatuna fedha.&#8221;<\/p>\n<p>P&#341;ofesa A&#341;a Monadjem, kutoka Ida&#341;a ya Baolojia katika Chuo Kikuu cha Swaziland (UNISWA) anakubaliana kuwa kuna haja ya kufanyika kwa utafiti wa kuongezeka kwa panya. Hata hivyo, Monadjem alisema panya wanajitokeza wakati ambapo kuna jambo siyo la kawaida.<\/p>\n<p>&#8220;Katika Af&#341;ika, hali hii inahusishwa na mvua nzu&#341;i, miezi sita au kumi na mbili kabla ya kuzuka kwa panya, jambo ambalo linasababisha kuongezeka kwa chakula kwa ajili ya viumbe hawa,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Alisema ma&#341;a nyigi watu wanaongeza chumvi ya kuzuka kwa panya wa aina hii.<\/p>\n<p>&#8220;Kama hawatafuatiwa na tafiti zilizoandaliwa vizu&#341;i, taa&#341;ifa hizo inabidi kuchukuliwa kwa tahadha&#341;i,&#8221; alionya p&#341;ofesa.<\/p>\n<p>Lakini kwa kuangalia kiasi cha mazao, nguo na vifaa vingine vilivyoliwa na panya katika Lavumisa, hakuna kuongeza chumvi. Mashimo mengi na mashamba yanaonyesha picha halisi kuwa kuna panya wengi kuliko kawaida.<\/p>\n<p>Dk Themba Mahlaba, pia kutoka Uniswa, anakubaliana na Monadlem kuwa mvua nzu&#341;i zimesababisha chakula kingi na hivyo kuvutia panya katika eneo hilo.<\/p>\n<p>&#8220;Panya pia huzaliana kwa kasi kubwa na hii ndiyo sababu ni kwa nini sasa wanakula kila kitu kwasababu wanashindania chakula,&#8221; alisema Mahlaba.<\/p>\n<p>Alisema nchi inapaswa kuchunguza ni wakulima wangapi wamepata hasa ili se&#341;ikali na wadau wengine kuja na mkakati wa kuwasaidia.<\/p>\n<p>&#8220;Tunahitaji kuwa na mfumo wa ufuatiliaji wa kushughulikia majanga kama haya,&#8221; alisema Mahlaba. Pia alishau&#341;i jamii dhidi ya matumizi ya madawa ya kuulia wanyama hao wakisema kuwa wanaweza kuishia kuua viumbe wengine na hivyo kuha&#341;ibu mazingi&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Watu wanatakiwa kupatiwa mafunzo ya jinsi ya kutengeneza mitego ili waweze kuua panya wengi iwezekanavyo,&#8221; alisema Mahlaba.<\/p>\n<p>Wakati huo huo Mngomezulu na jumuya yake wanahifadhi vitu vya thamani katika masanduku ya chuma na kusubi&#341;i mwaka mwingine kwa kutegemea msaada wa chakula. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>QOMINTABA, Swaziland, Agosti 7 (IPS) &ndash; Hatimaye mvua nzu&#341;i zinanyesha, Cathe&#341;ine Mngomezulu alikuwa na mata&#341;ajio kuwa mwaka huu ungekuwa wa mavuno mengi. Halafu panya wakajitokeza. Kama ilivyo kwa watu wengi nchini Swaziland katika ukanda wa ukame wa Lavumisa, Mngomezulu na familia yake wameishi kwa msaada wa chakula kutokana na ukame mkubwa katika jumuiya yake mwaka&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":519,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3385","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3385","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/519"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3385"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3385\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3385"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3385"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3385"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}