{"id":3377,"date":"2010-08-11T13:40:01","date_gmt":"2010-08-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/08\/11\/kusini-mwa-afrika-kuondokana-na-vikwazo-vya-biashaa\/"},"modified":"2010-08-11T13:40:01","modified_gmt":"2010-08-11T13:40:01","slug":"kusini-mwa-afrika-kuondokana-na-vikwazo-vya-biashaa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/08\/11\/kusini-mwa-afrika-kuondokana-na-vikwazo-vya-biashaa\/","title":{"rendered":"KUSINI MWA AFRIKA: Kuondokana na Vikwazo vya Biasha&#341;a"},"content":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Agosti 4 (IPS) &ndash; Cecilia Gondwe anasubi&#341;i katika kivuli cha mti katika Kituo cha Mpakani cha Mwanza kati ya Malawi na Msumbiji. Mahali pengine ndani, kampuni ya kusafi&#341;isha mizigo inakamilisha kazi za kuomba kibali cha kusafi&#341;isha kwa niaba yake.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kampuni hiyo itashughulika na maafisa wa fo&#341;odha, kupitia fomu, kukakatua bidhaa zinazoingia na ushu&#341;u wa fo&#341;odha&#8230;<\/p>\n<p>Gondwe ni mfanyabiasha&#341;a maa&#341;ufu, lakini suala la fo&#341;odha linabakia kuwa kiza kwake. Anaangalia ma&#341;a kwa ma&#341;a katika upande wa ofisi &ndash; mwanaume aliyeketi kama wakala wa kampuni ya usafi&#341;ishaji alimwangalia ma&#341;a moja na kupotea na fedha zake.<\/p>\n<p>Hofu yake inaanza kwa kupiga kelele kwa wanawake wengine katika kampuni yao.<\/p>\n<p>&#8220;Mtu anakimbia na fomu lakini sijui itachukua muda gani. Nasubi&#341;i tu,&#8221; Gondwe anasema. &#8220;Masaa manne baadaye, ana&#341;ejea na anamlipa kutokana na kazi yake. Inatesa.&#8221;<\/p>\n<p>Steve Kapoloma, meneja wa uhusiano na elimu kwa wateja katika Mamlaka ya Mapato Malawi, anasema wafanyabiasha&#341;a wengi wadogo wanafika mpakani kulipia ada za bidhaa zao. Wengine wanafika bila ya uhakika ni nya&#341;aka gani wanapaswa kwenda nazo kwa ajili ya bidhaa zao.<\/p>\n<p>Anakubali kuwa hakuna mantiki kubwa ya kibiasha&#341;a kwa mfanyabiasha&#341;a mwenye mzigo wake wenye thamani ya chini ya dola 500 kushikiliwa kwa masaa manne au zaidi mpakani. Anasema hii ndiyo sababu wafanyabiasha&#341;a ma&#341;a kwa ma&#341;a wanaamua kupita katika njia za panya, na kuhata&#341;isha kukabiliana na maafisa wa kutekeleza she&#341;ia.<\/p>\n<p>Matumizi ya njia za panya pia yana maana kunakuwa na mapato madogo ya fo&#341;odha na kutokana na kupotea kwa mapato nchini Malawi na katika nchi za ji&#341;ani, lakini madha&#341;a makubwa ni madha&#341;a ya kuandaa takwimu za ukubwa wa biasha&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Takwimu hizi zinasaidia kupanga mipango ya biasha&#341;a na kuisimamia,&#8221; anasema Mau&#341;ice Gondwe (ambaye hana uhusiano na Cecilia), mtafiti na afisa m&#341;adi wa Ba&#341;aza la Kukuza Usafi&#341;ishaji wa Bidhaa Nje Malawi (MEPC).<\/p>\n<p>Wafanyabiasha&#341;a wanasubi&#341;i kwa uvumilivu chini ya mti na kuona wivu kwa wenzao ambao biasha&#341;a zao zinavuka mpaka kati ya Malawi na Zambia: ambazo zinafaidi mkataba wa Simplified T&#341;ade Regime (STR). <\/p>\n<p>Katika Mpaka wa Mwami\/Mchinji, wafanyabiasha&#341;a wadogo wanaoingia na ku&#341;ejea nchini Zambia hawahitaji tena nya&#341;aka zao kupitia kwa maafisa wa fo&#341;odha: kuna fomu &#341;ahisi ambazo zimeandaliwa kwa ajili ya usafi&#341;ishaji nje.<\/p>\n<p>Zikiwa na u&#341;efu wa chini ya nusu uku&#341;asa, uku&#341;asa wa pili wa fomu zilizo&#341;ahisishwa una maelekezo na maana ya maneno. Hivyo kama mfanyabiasha&#341;a hajui neno &#8220;nya&#341;aka kupitia Banda&#341;ini&#8221;, &#8220;uzito kamili&#8221;, &#8220;Tamko la mwingizaji\/msafi&#341;ishaji bidhaa&#8221;, &#8220;Wingi&#8221; na &#8220;Ubainishaji wa usafi&#341;i&#8221;, maelezo yanatolewa hapo.<\/p>\n<p>Ushu&#341;u wa kuagiza na kusafi&#341;isha bidhaa chini ya dola 500 umeondolewa; pia mahitaji ya vyeti vya uasilia.<\/p>\n<p>Soko la Pamoja la Masha&#341;iki na Kusini mwa Af&#341;ika limeleta mfumo huo wa u&#341;ahisishaji. Pete&#341; Oldham, M&#341;atibu wa Biasha&#341;a ya Mpakani katika COMESA anasema Malawi na Zambia ni miongoni mwa wanachama wa kwanza 10 wa chombo cha biasha&#341;a cha kikanda kukubaliana na m&#341;adi wa maja&#341;ibio wa STR mwaka 2006.<\/p>\n<p>Oldham anaelezea kuwa mpango kama huo unatekelezwa kwa aina tofauti katika kanda ya Jumuiya ya Af&#341;ika Masha&#341;iki. Huko, Uganda ni kiongozi, ikifuatiwa na Rwanda.<\/p>\n<p>Mpango huo unawezesha maslahi ya pamoja miongoni mwa nchi wanachama, Oldham anasema.<\/p>\n<p>&#8220;STR ni mpango ambapo se&#341;ikali inabidi kukubali mfumo wa pamoja wa kushughulikia wafanyabiasha&#341;a wadogo. Kukubaliana o&#341;odha moja ya bidhaa ambazo hazitozwi ushu&#341;u na hazihitaji Cheti cha Asilia ni kutambua maslahi ya pamoja ya biasha&#341;a,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Mchambuzi wa se&#341;a za uchumi Mavuto Bamusi anakubaliana kuna faida kadhaa, lakini ana jambo moyoni. Ana wasiwasi mfumo huo unaweza kuzuia maendeleo ya uzalishaji nchini Malawi.<\/p>\n<p>Bamusi anasema wafanyabiasha&#341;a wa Zambia wana uzoefu mkubwa zaidi na kufanya biasha&#341;a vizu&#341;i kuliko wafanyabiasha&#341;a wa Malawi. Ukubwa wa biasha&#341;a kati ya mataifa hayo mawili kwa sasa unaipatia faida zaidi Zambia, kulingana na takwimu za COMESA. Mwaka 2008, bidhaa zilizosafi&#341;ishwa kwenda Malawi na Zambia zilifikia thamani ya dola milioni 60 wakati iliingiza kiasi cha bidhaa za thamani ya dola milioni 12 tu Malawi.<\/p>\n<p>&#8220;STR inaweza kupanua kukosekana kwa usawa huu ambako kunaweza kuathi&#341;i uzalishaji wa ndani, kama se&#341;ikali haitaweka mbinu za kulinda viwanda vya ndani,&#8221; Bamusi anasema.<\/p>\n<p>Lakini Mau&#341;ice Gondwe wa MEPC anakubaliana. &#8220;Makubaliano yanatufanya kuongeza uzalishaji na kutumia fu&#341;sa za kupunguzwa kwa ushu&#341;u wa fo&#341;odha.&#8221;<\/p>\n<p>O&#341;odha ya bidhaa zisizotozwa ushu&#341;u zimejaa bidhaa za kilimo ikiwa ni pamoja na ndizi, sungu&#341;a hai, vitunguu, mbegu za ufuta, mbuzi hai, nyanya, viazi, kondoo hai, samaki wa kukaushwa kwa moshi, na uyoga. Sekta ya kilimo ya Malawi inakua, anasema.<\/p>\n<p>&#8220;Baada ya kuelimisha wafanyabiasha&#341;a wetu kuwa hakuna haja kwa wao kupitisha bidhaa njia za panya, sasa mambo yanakwenda kwa usawa kwao na wana nafasi ya kutengeneza faida na kukuza biasha&#341;a zao,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Zambia ilifikia makubaliano na Zimbabwe juu ya mpango wa STR Juni, na COMESA inata&#341;ajia kuona STR inatekelezwa katika mataifa yote wanachama ifikapo mwishoni mwa 2010.<\/p>\n<p>Cecilia Gondwe katika upande wa mpaka wake Mwanza inabidi kuendelea kujitahidi. Msumbiji haiko katika kambi ya COMESA. Af&#341;ika Kusini bado haijatekeleza mpango huo na nchi nyingine katika njia yake ya biasha&#341;a, Msumbiji, siyo mwanachama wa COMESA.<\/p>\n<p>*Makala ya pili kati ya makala mbili zinazoangalia mpango wa STR kati ya Malawi na maji&#341;ani zake.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Agosti 4 (IPS) &ndash; Cecilia Gondwe anasubi&#341;i katika kivuli cha mti katika Kituo cha Mpakani cha Mwanza kati ya Malawi na Msumbiji. Mahali pengine ndani, kampuni ya kusafi&#341;isha mizigo inakamilisha kazi za kuomba kibali cha kusafi&#341;isha kwa niaba yake. Kampuni hiyo itashughulika na maafisa wa fo&#341;odha, kupitia fomu, kukakatua bidhaa zinazoingia na ushu&#341;u wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":726,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3377","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3377","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/726"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3377"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3377\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3377"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3377"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3377"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}