{"id":3373,"date":"2010-08-04T13:40:01","date_gmt":"2010-08-04T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/08\/04\/kenya-kuendeleza-wanawake-wengi-wa-afika-kuwa-wanasayansi-ya-utafiti\/"},"modified":"2010-08-04T13:40:01","modified_gmt":"2010-08-04T13:40:01","slug":"kenya-kuendeleza-wanawake-wengi-wa-afika-kuwa-wanasayansi-ya-utafiti","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/08\/04\/kenya-kuendeleza-wanawake-wengi-wa-afika-kuwa-wanasayansi-ya-utafiti\/","title":{"rendered":"KENYA: Kuendeleza Wanawake Wengi wa Af&#341;ika Kuwa Wanasayansi ya Utafiti"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Agosti 2 (IPS) &ndash; Katika kijiji kidogo ka&#341;ibu na mji wa Kisumu nchini Kenya, mtafiti wa sayansi Ma&#341;y Anyango Oyunga anatumia muda wake mwingi kuelimisha wanawake kuhusu mambo ambayo wamefanya kupanda viazi vitamu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini ujumbe wa Oyunga kwa wakulima wanawake wa kijiji cha Kisian ni mpya, hata kama umejikita katika matokeo ya utafiti wa kisayansi yaliyochapishwa mwaka 2009 katika Ja&#341;ida la Chakula, Kilimo, Lishe na Maendeleo la Af&#341;ika. Utafiti ambao uligundua kuwa Viazi Vitamu vyevye Rangi ya Chungwa (OFSP) vilikuwa na kiasi kikubwa cha vitamini A, unawezekana ulikuwa kwenye ulingo wa kisayansi kwa muda lakini hadi hivi ka&#341;ibuni wanawake wa Kisian hawakujua kitu kuhusu utafiti huo.<\/p>\n<p>Kwa Oyunga utekelezaji wake wa matokeo ya utafiti ni muhimu kama ilivyo kufanya utafiti: &#8220;Kufanya utafiti ni hatua moja muhimu mno. Lakini kuufanya utafiti kuwa halisi kwa kutumia matokeo kama chombo cha kubo&#341;esha maisha ya watu ndiyo kitu kinachofanya ukamilike.&#8221;<\/p>\n<p>Na jinsi ya kufanya hivi ni moja ya ujuzi alioupata baada ya kushinda ufadhili wa mpango wa Wanawake wa Af&#341;ika Katika Utafiti wa Kilimo na Maendeleo (AWARD). Mpango huo unawaleta pamoja wanawake wa Kiaf&#341;ika ambao ni watafiti wa kilimo katika kuangalia sifa za kuwa na akili kutoka fani 20 tofauti za sayansi ya kilimo. <\/p>\n<p>&#8220;Wanasayansi wako mta&#341;i wa mbele katika kupunguza mgogo&#341;o wa chakula ba&#341;ani Af&#341;ika. Lakini kwa ha&#341;aka sana tunatakiwa kushughulikia suala la pengo la jinsia katika jumuiya yetu ya kisayansi. Tunahitaji wanawake wengi zaidi kufanya masomo ya sayansi ya kilimo. Kwasababu wanawake ndiyo su&#341;a ya kilimo cha Af&#341;ika,&#8221; alisema Dk Akinwumi Adesina, makamu wa &#341;ais wa Alliance fo&#341; G&#341;een Revolution in Af&#341;ica.<\/p>\n<p>Oyunga ni mmoja wa watafiti wa sayansi ya kilimo wanawake 180 ambao wamepatiwa ufadhili chini ya mpango wa AWARD, na ambao taya&#341;i wanatumia kile walichojifunza. <\/p>\n<p>Katika kijiji cha Kisian inaonekana kama laana kama mwanamke anakosa eneo la viazi vitamu shambani mwake. Viazi vinathamaniwa mno katika eneo hili la dunia. Vinapandwa mwaka mzima na ma&#341;a nyingine vinaongeza nafasi katika mlo.<\/p>\n<p>Oyunga, ambaye anafanya kazi katika Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Kenya (KARI), anafanya kazi nyingi kuwasiliana matokeo ya utafiti wake kwa wanawake ambao ni wakulima wadogo hapa. Aina hii ya viazi vitamu ina lishe ambayo ni muhimu hasa kwa watoto wachanga, anawaambia. <\/p>\n<p>Matokeo haya ya utafiti yanaweza kuokoa baadhi ya watoto milioni 43 chini ya um&#341;i wa miaka mitano katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a ambao wako hata&#341;ini kuwa na Upungufu wa Vitamini A (VAD). Kulingana na Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni, VAD inachangia matukio mengi ya upofu kwa watoto na kuongeza hata&#341;i ya ma&#341;adhi, na hata kusababisha kifo, kutokana na maambukizi hayo ya kawaida ya utotoni na su&#341;ua. Kwa mama wajawazito VAD inasababisha kutokuona wakati wa usiku na inaweza kuongeza hata&#341;i ya vifo vya uzazi.<\/p>\n<p>Kupitia mpango wa Viazi Vitamu kwa Usalama na Afya Af&#341;ika, Oyunga amepata ufadhili kusaidia kutangaza OFSP katika mkoa. Katika m&#341;adi wa maja&#341;ibio Magha&#341;ibi mwa Kenya, wanawake wote wajawazito wanaohudhu&#341;ia kliniki katika vituo vya afya ya umma wanapatiwa vocha ambazo zina&#341;uhusu kwenda kwa mkulima wa mbegu za viazi katika mkoa na kupata mbegu 120 za OFSP.<\/p>\n<p>&#8220;Kama mpango huo utakuwa na mafanikio, tutatekeleza katika Af&#341;ika nzima Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a,&#8221; alisema Oyunga. &#8220;Kama utafiti utatekelezwa hasa kusaidia maskini vijijini, unahisi kama umejenga da&#341;aja ambalo watu wanatumia kuvuka dunia ya umaskini na kuingia kwenye maendeleo ya kiuchumi. Una&#341;idhisha mno,&#8221; Oyunga anaongeza.<\/p>\n<p>Ripoti iliyotolewa Juni 2010 na shi&#341;ika la ActionAid Inte&#341;national unaonyesha kuwa wakulima wadogo, ambao wengi wao ni wanawake, wanazalisha asilimia 90 ya chakula ba&#341;ani Af&#341;ika na kuzalisha kama nusu ya chakula duniani. Hata hivyo ni ma&#341;a chache wanasayansi wanawake wanashi&#341;iki katika utafiti wa kilimo au nafsi za uongozi katika shamba.<\/p>\n<p>Vickie Wilde, mku&#341;ugenzi wa Jinsia katika taasisi ya Consultative G&#341;oup on Inte&#341;national Ag&#341;icultu&#341;al Resea&#341;ch na mwanzilishi wa AWARD anakubaliana kuwa ni wakati wa mabadiliko sasa.<\/p>\n<p>&#8220;Kuwekeza kwa wanawake katika Af&#341;ika ni uwekezaji mzu&#341;i &#8230; Lakini uwekezaji katika wanasayansi wanawake wa Af&#341;ika ni mzu&#341;i zaidi,&#8221; alisema Wilde.<\/p>\n<p>AWARD ilianzishwa mwaka 2008 kuima&#341;isha utafiti na maa&#341;ifa ya uongozi kwa wanawake wa Af&#341;ika katika sayansi ya siasa. Unapatia watafiti wanawake wengi kutoka ba&#341;a la Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, ikiwa ni pamoja na Af&#341;ika Magha&#341;ibi, ufadhili wa miaka miwili katika kupata mafunzo ya vitendo.<\/p>\n<p>Kwa kukaa na walimu wa vitendo wenye uzoefu mkubwa, wanafunzi wanapata maa&#341;ifa mbalimbali kama kuandika katika maja&#341;ida ya kisayansi, kuandaa michakato mizu&#341;i ya mi&#341;adi kupata ufadhili wa kutekeleza mtokeo yao ya utafiti, na kufanya kazi na jumuiya maskini wakati wa utekelezaji. <\/p>\n<p>&#8220;Mkakati wa kukomesha umaskini ba&#341;ani Af&#341;ika umejikita katika kuwapatia uwezo wanawake, ambao wana jukumu kubwa la kuzalisha chakula,&#8221; alisema Dk Eph&#341;aim Mukisi&#341;a, mku&#341;ugenzi wa KARI.<\/p>\n<p>Aishatu Bashi&#341; A&#341;do, Muislamu kutoka kabila la Fulani kaskazini mwa Nige&#341;ia ni mwanafunzi mwingine ambaye amevunja vikwazo vya jadi kwa kujiunga na wanaume kuendesha upandikizaji wa ng&#8217;ombe kwa njia ya mkono. Ni mwanamke pekee katika kanda yake anayefanya kile ambacho kijadi kimekuwa kazi ya wanaume.<\/p>\n<p>Na inaonekana kana kwamba hali ya wanawake katika ba&#341;a inabadilika ta&#341;atibu. Kulingana na utafiti wa mwaka 2008 uliofanyika kwa miaka nane katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a na AWARD kwa kushi&#341;ikiana na Ag&#341;icultu&#341;al Science and Technology Indicato&#341;s, idadi kubwa ya wanawake wa Af&#341;ika wasomi walioaji&#341;iwa katika sayansi ya kilimo iliongezeka kwa asilimia nane wakati wa utafiti, wakati idadi ya wanaume wa Af&#341;ika iliongezeka kwa asilimia mbili kwa mwaka. <\/p>\n<p>Pamoja na kwamba pengo linapungua, utafiti umegundua kuwa wanawake bado ni wachache chini ya &#341;obo moja ya wanasayansi wa Af&#341;ika wanaofanya utafiti katika kilimo, na kwamba chini ya asilimia 14 ya nafasi za uongozi zinashikiliwa na wanawake. <\/p>\n<p>&#8220;Wanawake ma&#341;a nyingi wameshi&#341;iki katika jukumu kubwa la kuzalisha chakula, lakini pia kuhakikisha kuwa kinafikishwa mezani. Hivyo wanajua nini ni kizu&#341;i kwa jamii,&#8221; alisema Mukisi&#341;a akielezea ni kwa nini idadi ya wanawake katika utafiti wa kilimo inahitaji kuongezeka. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Agosti 2 (IPS) &ndash; Katika kijiji kidogo ka&#341;ibu na mji wa Kisumu nchini Kenya, mtafiti wa sayansi Ma&#341;y Anyango Oyunga anatumia muda wake mwingi kuelimisha wanawake kuhusu mambo ambayo wamefanya kupanda viazi vitamu. Lakini ujumbe wa Oyunga kwa wakulima wanawake wa kijiji cha Kisian ni mpya, hata kama umejikita katika matokeo ya utafiti wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":5,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3373","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3373","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/5"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3373"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3373\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3373"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3373"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3373"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}