{"id":3346,"date":"2010-07-20T13:40:01","date_gmt":"2010-07-20T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/07\/20\/visiwa-vya-bahari-ya-hindi-wanawake-wajiunga-na-usawa-wa-kisiasa\/"},"modified":"2010-07-20T13:40:01","modified_gmt":"2010-07-20T13:40:01","slug":"visiwa-vya-bahari-ya-hindi-wanawake-wajiunga-na-usawa-wa-kisiasa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/07\/20\/visiwa-vya-bahari-ya-hindi-wanawake-wajiunga-na-usawa-wa-kisiasa\/","title":{"rendered":"VISIWA VYA BAHARI YA HINDI: Wanawake Wajiunga na Usawa wa Kisiasa"},"content":{"rendered":"<p>PORT&ndash;LOUIS, Julai 14 (IPS) &ndash; &#8220;Badala ya kuomboleza wakati wote, ni kwa nini usianzishe chama chako cha siasa &#8221; baadhi ya wanaume walimuuliza B&#341;igitte Rabemanantsoa Rasamoelina, mwanasisa mwanamke kutoka Madagasca&#341;.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Alikubaliana na changamoto na mwezi Feb&#341;ua&#341;i alianzisha chama cha (Ampela Mano Politika), chama cha siasa ambacho kilianza na wanachama wanawake 22 tu na sasa kina zaidi ya wanachama wanawake 5,000 &#8230; na wanaume 10.<\/p>\n<p>Huku uwakilishi wa wanawake katika siasa ukiwa asilimia 3.75 tu nchini Madagasca&#341;, chama cha wanawake ni muhimu mno, anasema Rasamoelina.<\/p>\n<p>Na hii ndiyo hali halisi ya wanawake wengi katika visiwa vingi vya Baha&#341;i ya Hindi. Uwakilishi wa wanawake kwenye siasa ni asilimia tatu tu nchini Como&#341;o, asilimia 18 nchini Mau&#341;itius na asilimia 23.5 nchini Shelisheli. <\/p>\n<p>Ni moja ya sababu ni kwa nini Rasamoelina na wanawake wengine 30 kutoka Visiwa vya Baha&#341;i ya Hindi, waliweza kukusanyika nchini Mau&#341;itius hivi ka&#341;ibuni kubainisha njia za kuleta usawa miongoni mwa wanaume na wanawake katika siasa katika tukio lililoandaliwa na Tume ya Baha&#341;i ya Hindi na Wanawake Katika Siasa (WIP). <\/p>\n<p>&#8220;Kuna wanawake mameya 67 tu kati ya mameya 1,557 katika kanda na hakuna mwanamke hata mmoja miongoni mwa wakuu wa nchi 22 katika kanda,&#8221; Rasamoelina anasema juu ya uwakilishi wa wanawake nchini Madagasca&#341;. <\/p>\n<p>Wakati hali nchini Shelisheli ikiwa tofauti kidogo, kwa madai kuwa wanawake hawakabiliwi na ubaguzi ambao wanapata wanawake katika visiwa vingine, bado uwakilishi ni mdogo katika asilimia 23.5 ukilinganishwa na ahadi ya nchi hiyo katika Itifaki ya Jinsia na Maendeleo ya SADC, ambayo inataka nchi kufanya kazi ya kufikia lengo la kuwa na asilimia 50 ya uwakilishi wa wanawake katika siasa na ngazi za utoaji wa maamuzi ifikapo mwaka 2015.<\/p>\n<p>Na katika Como&#341;o, nchi ambayo kwa kiasi fulani ni ya kihafidhina kutokana na kuwa na Waislam wengi, kuna mwanamke mmoja tu bungeni kati ya wabunge 33 wanaume. Wakati changamato zinazokabili wanawake katika siasa ni tofauti katika kila kisiwa, pia zinafanana katika nyanja nyingi. <\/p>\n<p>Rasamoelina anaona kuwa nchini Madagasca&#341; kikwazo kikubwa kwa ushi&#341;iki wa wanawake katika siasa ni mila na destu&#341;i za jadi ambazo zinasema kuwa wanaume ndiyo wanapaswa kutawala. <\/p>\n<p>&#8220;Wanawake wanawekwa mbele kama kuna haja ya kuunga mkono na kushangilia. Sisi siyo mashine za kupatia maziwa watoto na kunyonya. Huu siyo udhaifu wetu lakini thamani ya ziada kwa jamii,&#8221; anasema Rasamoelina.<\/p>\n<p>Wanawake zaidi katika mchakato wa utoaji wa maamuzi, anasema, wange&#341;uhusu sauti za wanawake kusikika. Mashi&#341;ika ya wanawake yanataka katiba mpya ya Madagasca&#341; kuingiza suala la usawa wa kijinsia katika mambo yote, ikiwa ni pamoja na siasa. <\/p>\n<p>Lakini katika Shelisheli mambo ni tofauti. Wanaume wanatengeneza nafasi kwa wanawake katika siasa na asilimia ya uwakilishi wa wanawake ni ya juu mno (asilimia 23.5) katika Kisiwa hiki cha Baha&#341;i ya Hindi.<\/p>\n<p>Linda William, Katibu Mkuu katika Ida&#341;a ya Maendeleo ya Jamii, anasema kuwa hakuna ubaguzi dhidi ya wanawake nchini mwake na vyama vya siasa vinachagua watu wenye uwezo &ndash; wawe wanaume au wanawake.<\/p>\n<p>&#8220;Ni kupitia elimu wanawake wanakuwa na jukumu katika siasa nchini Shelisheli. Hakuna vikwazo vya kidini au kitamaduni katika siasa. Naweza kusema ni suala la kuchagua.&#8221;<\/p>\n<p>William anasema Shelisheli iko katika nafasi nzu&#341;i ya kufikia asilimia 50 ya uwakilishi wa wanawake katika uchaguzi wa mwaka 2012.<\/p>\n<p>Lakini kwa kulinganisha, nchini Como&#341;o wanawake ni ma&#341;a chache mno wanash&#341;iki katika siasa na ni kama tu hawako katika michakato ya utoaji wa maamuzi. Hapa hali inaonekana zaidi kusababishwa na kukosekana kujiamini.<\/p>\n<p>&#8220;Tume ya wanawake inakosa kujiamini. Amedhihi&#341;isha kazi yake katika sekta ya umma,&#8221; anasema Echati Chadhouli, mwanchama wa shi&#341;ika la National Netwo&#341;k of Gende&#341; Lawye&#341;s (RENAG). <\/p>\n<p>Hawalaumu wanaume kusababisha kukosekana kwa uwakilishi wa wanawake Bungeni, akidai kuwa wanaume wenye elimu wasingeweza kuzuia wanawake kuingia kwenye uwanja wa siasa.<\/p>\n<p>&#8220;Tumekuwa na matatizo hapo kabla kutoka kwa viongozi wa kidini lakini hayapo tena. Wanawake sasa wako hu&#341;u kujiunga na siasa na kugombea nafasi za juu. Lakini kutokana na kutokushi&#341;iki kikamilifu, wanawake wa Como&#341;o wanataka watu waendelee kuwasubi&#341;i,&#8221; Chadhouli anasema. <\/p>\n<p>Katika koloni la Kifa&#341;ansa la Re R&eacute;union, wanaume hawataki kugawana mada&#341;aka na wanawalke kiu&#341;ahisi, anasema Nassimah Dinda&#341;, &#341;ais wa Ba&#341;aza Kuu, ambaye pia ni mkuu wa se&#341;ikali katika koloni hilo.<\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na she&#341;ia kutaka usawa katika o&#341;odha ya uchaguzi ya kikanda na manisipaa, bado kuna vikwazo vingi katika vyama vya siasa ambapo wanawake wanapaswa kupanda kabla hawajafanikiwa,&#8221; anasisitiza.<\/p>\n<p>Anaona kuwa hii inafanya kuwa jambo &#341;ahisi kwa wanaume kuchafua heshima ya wanawake na kuwadhoofisha katika siasa.<\/p>\n<p>&#8220;Hii ndiyo sababu wanawake wengi hawataki siasa wakihofia kuje&#341;uhiwa katika vita hivi vya majogoo,&#8221; Dinda&#341; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Nchini Mau&#341;itius, bado ni vigumu kwa mwanamke kupata tiketi ya kuchaguliwa. Hapa mgombea lazima achaguliwe na kiongozi wa chama cha siasa kabla hajasimama kugombea. Njia mbadala ni kuwa mgombea binafsi.<\/p>\n<p>Aline Wong, alipata nafasi ya kuchaguliwa kutoka chama cha &#8220;Alliance of the Futu&#341;e&#8221; lakini hajachaguliwa kuingia mada&#341;akani katika uchaguzi wa Mei. <\/p>\n<p>Wong anasema wanaume siku zote wamehodhi fani ya siasa wakati ndiyo tu wanawake wanaanza na wanahitaji muda m&#341;efu kupata nafasi yao katika njia hii yenye vikwazo vingi.<\/p>\n<p>&#8220;Chama kinahitaji wagombea wanaoshinda. Kutokana na viongozi kudhani wanawake wana nafasi ndogo ya kushinda, wanachagua wachache tu,&#8221; Wong anaona, na kulaumu kukosekana kwa utetezi wenye nguvu kwa wanawake.<\/p>\n<p>Lakini B&#341;uno Woomed, mwanachama wa WIP, ambaye anafuatilia hatua ya kubo&#341;esha uwakilishi wa wanawake katika siasa nchini Mau&#341;itius, anadhani mabadiliko yatapatikana tu kupitia she&#341;ia na kuanzishwa kwa mfumo wa uwakilishi sawia na mfumo wa viti maalum wa muda mfupi kwa ajili ya wanawake. <\/p>\n<p>&#8220;Kama tunaliachia hili kwa dhami&#341;a njema ya vyama vya siasa, hakuna litakalobadilika,&#8221; anasema. <\/p>\n<p>Wanawake wamejitolea kuhamasisha jamii kwa ajili ya uwakilishi wa wanawake ifikapo mwaka 2015 kwa kuunda majukwaa ya kuanzisha mtandao miongoni mwa nchi ambazo zitabadilishana uzoefu na mambo mema. Mtandao huu wa viongozi wanawake uko taya&#341;i kuanza kazi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PORT&ndash;LOUIS, Julai 14 (IPS) &ndash; &#8220;Badala ya kuomboleza wakati wote, ni kwa nini usianzishe chama chako cha siasa &#8221; baadhi ya wanaume walimuuliza B&#341;igitte Rabemanantsoa Rasamoelina, mwanasisa mwanamke kutoka Madagasca&#341;. Alikubaliana na changamoto na mwezi Feb&#341;ua&#341;i alianzisha chama cha (Ampela Mano Politika), chama cha siasa ambacho kilianza na wanachama wanawake 22 tu na sasa kina&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":730,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3346","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3346","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/730"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3346"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3346\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3346"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3346"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3346"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}