{"id":3340,"date":"2010-07-16T13:40:01","date_gmt":"2010-07-16T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/07\/16\/msumbiji-wanawake-wapewa-kipaumbele-kwenye-mapambano-ya-mabadiliko-ya-tabia-nchi\/"},"modified":"2010-07-16T13:40:01","modified_gmt":"2010-07-16T13:40:01","slug":"msumbiji-wanawake-wapewa-kipaumbele-kwenye-mapambano-ya-mabadiliko-ya-tabia-nchi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/07\/16\/msumbiji-wanawake-wapewa-kipaumbele-kwenye-mapambano-ya-mabadiliko-ya-tabia-nchi\/","title":{"rendered":"MSUMBIJI: Wanawake Wapewa Kipaumbele Kwenye Mapambano ya Mabadiliko ya Tabia Nchi"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Jul 7 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya Msumbiji imepitisha se&#341;a mbalimbali za kushughulikia madha&#341;a ya mabdiliko ya tabia nchi, huku wakiangalia zaidi wanawake kwani tafiti zinaonyesha kuwa wanaathi&#341;ika zaidi na janga hilo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Nchi hiyo ya kusini masha&#341;iki mwa Af&#341;ika, yenye ukanda wa pwani wa u&#341;efu wa kilomita 2,700 katika Baha&#341;i ya Hindi, imekuwa ikikabiliwa na majanga ya kimazingi&#341;a katika muongo uliopita. <\/p>\n<p>Se&#341;a za se&#341;ikali zina lengo la kupunguza idadi ya waathi&#341;ika na uha&#341;ibifu wa mali; kuendeleza utamaduni wa kuzuia majanga; na kuanzisha njia za kukabiliana na majanga. Pia ina lengo la kukuza usimamiaji wa mazingi&#341;a. Se&#341;a zinalenga katika jinsia.<\/p>\n<p>Moja ya se&#341;a hizo ni mpango wa utekelezaji wa taifa wa wiza&#341;a ya u&#341;atibu wa mazingi&#341;a (NAPA), iliyobuniwa kama sehemu ya mpango wa Umoja wa Mataifa (UN) kusaidia nchi zenye maendeleo duni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. <\/p>\n<p>Mi&#341;adi inapewa vipaumbele ambavyo vitasaidia Msumbiji kujikinga dhidi ya madha&#341;a ya kimazingi&#341;a. Mi&#341;adi hii inapendekezwa kufadhiliwa chini ya shi&#341;ika la Global Envi&#341;onment Facility lililopo chini ya Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>&#8220;Wanawake wengi, wapatao asilimia 73, wanafanya kazi katika kilimo nchini Msumbiji na hivyo wanaathi&#341;ika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi,&#8221; kulingana na William Antonio Ndlovu, afisa mipango wa shi&#341;ika lenye makao yake mjini Maputo la Diakonia Mozambique, katika mahojiano na IPS. Alisisitiza kuwa mengi yataweza kufanyika kwa wanawake.<\/p>\n<p>Diakonia Mozambique ni shi&#341;ika la maendeleo la Kik&#341;isto linalofanya kazi ya kubo&#341;esha maisha ya watu wenye shida kwa njia endelevu.<\/p>\n<p>Julio Fe&#341;nando wa Ba&#341;aza la Wak&#341;isto Msumbiji aliiambia IPS kuwa madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi yanawakilisha ongezeko la tishio kwa maisha ya mwanadamu nchini humo. &#8220;Wananchi wengi wa Msumbiji wako hata&#341;ini lakini wanawake ni zaidi. Hii ni kutokana na hatua duni za kukabiliana na hali hiyo,&#8221; alisema Fe&#341;nando.<\/p>\n<p>Ba&#341;aza la Kik&#341;isto Msumbiji ni sehemu ya mtandao wa mashi&#341;ika ya kiimani yanayofanya kazi katika masuala ya kiuchumi, miongoni mwa mengine.<\/p>\n<p>UItafiti wa shi&#341;ika lenye makao yake mjini Cape Town la Hein&#341;ich B&ouml;ll Foundation Southe&#341;n Af&#341;ica unathibitisha kuwa &#8220;wanawake na wanaume wanaathi&#341;ika tofauti na mabadiliko ya tabia nchi kutokana na majukumu yao katika jumuiya hizi,&#8221; kama Dk. Natasha Ribei&#341;o, mtafiti wa utafiti huo, alivyosema katika &#341;ipoti yenye jina la &#8220;Jinsia na Mabdiliko ya Tabia Nchi: Mfano wa Msumbiji&#8221;.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika hilo ni sehemu ya Chama cha Kijani cha Uje&#341;umani.<\/p>\n<p>Sababu ni kwamba, &#8220;wanawake wanatumia lakini hawamiliki &#341;asilimali na haki nyingine miliki. Kwa kuongeza, wanawake wanafanya kazi nyingi za uzalishaji na za kuzaa watoto, wakati wanaume wanafanya kazi za uzalishaji tu&#8221;. <\/p>\n<p>Utafiti, uliochapishwa mapema mwaka 2010, ulihitimishwa katika jimbo la Gaza lililopo kusini mwa nchi hiyo. Unalenga katika jumuiya ya Mapai Ngale, ambayo inakabiliwa na ukame, na Magondzwene, ambayo inakabiliwa na mafu&#341;iko tangu mwaka 2000.<\/p>\n<p>Ilikutwa kwamba ukame, upepo mkali na uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a umesababisha wanawake na wanaume kutumia muda mwingi wa kufanya kazi za kilimo kupata mazao yale yale au ya chini zaidi kuliko miaka ya nyuma.<\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti, jumuiya zinalazimishwa kubadili njia zao za maisha huku wanawake wakizidi kufanya shughuli za uzalishaji kwani ukame uliuodumu kwa miaka nane sasa unawafanya wanaume kwenda kutafuta aji&#341;a mahali pengine. Wanawake sasa wanafanya kazi katika kutengeneza na kuuza pombe na uvuvi pia.<\/p>\n<p>Hii imetokana na kuongezeka kwa mzigo wa wanawake ambao bado wanatunza watoto, wanafanya kazi za nyumbani na kutunza waathi&#341;ika wa VVU na UKIMWI na kifua kikuu. Wanaume hata hivyo hawafanyi kazi ya kuzaa.<\/p>\n<p>Kuhama kwa wanaume kumeongeza ushi&#341;iki wa wanawake katika mifumo ya utoaji wa maamuzi kwani wanaingizwa katika mifumo kuziba pengo la wanaume waliohama.<\/p>\n<p>Kukabiliana na hali ya mabadiliko pia kunahusu kutafuta vyanzo mbadala vya chakula na kulima mboga mboga za msimu wa ukame, kama vile mboga na nyanya, mwaka mzima. <\/p>\n<p>Utafiti unapendekeza kuwa, kutokana na jukumu la msingi la wanawake katika jumuiya, wanaonekana siku zote kama kundi la kipaumbele katika shughuli yoyote ile iliyobuniwa kupunguza madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi. Kipaumbele zaidi kinapaswa kutolewa kwa uwakilishi wa wanawake katika mifumo ya utoaji wa maamuzi na katika kuwajengea uwezo kwenye kilimo kwani wanawake ni wengi katika sekta.<\/p>\n<p>Ripoti ya shi&#341;ika la CARE Inte&#341;national kuhusu mabadiliko ya tabia nchi pia inahitimisho linalofanana na hilo mwaka 2006 ambayo ilisema mabadiliko ya tabia nchi yanaathi&#341;i zaidi wanawake katika nchi kama Zimbabwe, Malawi, Swaziland na Zambia. &#8220;Kama mameneja wakuu wa &#341;asilimali, madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi yana uwezekano wa kuonekana zaidi kwa wanawake,&#8221; &#341;ipoti ya CARE ilihitimisha.<\/p>\n<p>Kulingana na Mkakati wa Kupunguza Umaskini (PRSP) uliobuniwa na se&#341;ikali ya Msumbiji mwaka 2006, nchi haina uwezekano wa kufikia malengo ya maendeleo ya milenia (MDGs) kutokana na madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi. Hali hii inazidi kuwa mbaya zaidi kutokana na umaskini uliokithi&#341;i ambao taya&#341;i upo nchini Msumbiji.<\/p>\n<p>Nchi pia imeja&#341;ibu kuunganisha matatizo ya mabadiliko ya tabia nchi na mpango wa Agenda 2025, ambao ni mpango wa maendeleo ambao se&#341;ikali ya Msumbiji inata&#341;ajia kuukamilisha mwaka 2025.<\/p>\n<p>Pia ilibuni mkakati wa jinsia katika sekta ya kilimo. Mkakati una lengo la kujenga usawa katika upatikanaji wa &#341;asilimali na fu&#341;sa kati ya wanaume na wanawake. Kwa kuongeza unataka utekelezwaji wa mipango ya kuwa na mazao mseto na upatikanaji wa teknolojia za kisasa, ikiwa ni pamoja na usindikaji wa mazao, ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>Utafiti wa B&ouml;ll ulipongeza NAPA na mkakati wa kilimo kama vyombo muhimu lakini unasema kuwa inabidi mikakati hiyo itekelezwe. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Jul 7 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya Msumbiji imepitisha se&#341;a mbalimbali za kushughulikia madha&#341;a ya mabdiliko ya tabia nchi, huku wakiangalia zaidi wanawake kwani tafiti zinaonyesha kuwa wanaathi&#341;ika zaidi na janga hilo. Nchi hiyo ya kusini masha&#341;iki mwa Af&#341;ika, yenye ukanda wa pwani wa u&#341;efu wa kilomita 2,700 katika Baha&#341;i ya Hindi, imekuwa ikikabiliwa na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":303,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3340","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3340","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/303"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3340"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3340\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3340"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3340"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3340"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}