{"id":3313,"date":"2010-06-14T13:40:01","date_gmt":"2010-06-14T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/06\/14\/afrika-watawala-wanaogopa-sheia-ya-uhuu-wa-habai\/"},"modified":"2010-06-14T13:40:01","modified_gmt":"2010-06-14T13:40:01","slug":"afrika-watawala-wanaogopa-sheia-ya-uhuu-wa-habai","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/06\/14\/afrika-watawala-wanaogopa-sheia-ya-uhuu-wa-habai\/","title":{"rendered":"AFRIKA: Watawala Wanaogopa She&#341;ia ya Uhu&#341;u wa Haba&#341;i"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Juni 7 (IPS) &ndash; Pamoja na nchi nyingi za Af&#341;ika kuwa na katiba zinazotoa haki ya kupata haba&#341;i, ni nchi chache hadi sasa zimetunga she&#341;ia kutekeleza haki hii ya kikatiba. Tanzania ni miongoni mwa mataifa mabayo hayana she&#341;ia ya haki ya kupata haba&#341;i.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa mujibu wa iba&#341;a ya 18 ya Katiba ya Jamhu&#341;i ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na kufanyiwa ma&#341;ekebisho mwaka 2005, &#8220;Kila mtu yuko hu&#341;u kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa haba&#341;i na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhu&#341;u wa mawasilaino yake kutokuingiliwa kati&#8221;.<\/p>\n<p>Katiba inaendelea katika iba&#341;a hiyo &#8220;Kila &#341;aia anayo haki ya kupewa taa&#341;ifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.&#8221;<\/p>\n<p>Hata hivyo, pamoja na haki hii ya uhu&#341;u wa haba&#341;i kuwekwa wazi na Katiba, hadi leo se&#341;ikali yabtanzania haijaona umuhimu wa kutunga she&#341;ia ya Haki ya Haba&#341;i (FOI), jambo ambalo linawanyima wananchi haki yao ya kikatiba.<\/p>\n<p>Ha&#341;akati za kutaka kuwa na FOI nchini Tanzania zilianza miaka mingi, lakini hata hivyo zilijidhihi&#341;isha zaidi katika miaka ya 2000. Kulingana na M&#341;atibu wa M&#341;adi wa Ma&#341;ekebisho ya She&#341;ia za Vyombo vya Haba&#341;i, Joseph Shija, mwaka 2001 m&#341;adi huo ulibainisha she&#341;ia 15 ambazo zilisadikika kubana uhu&#341;u wa haba&#341;i na kujieleza nchini. She&#341;ia hizo ni zilikuwa miongoni mwa she&#341;ia 40 ambazo zilibainishwa na hayati Jaji F&#341;ancis Nyalali katika miaka ya 1990 kuwa zinakiuka haki za ki&#341;aia.<\/p>\n<p>Kampeni iliendelea kishinikiza se&#341;ikali kutambua suala la uhu&#341;u wa haba&#341;i, ambapo mwaka 2003 se&#341;ikali ilitangaza se&#341;a mpya haba&#341;i na utangazaji, ambayo kwa maneno ya Shija, ilikuwa na asilimia 80 ya maoni ya wadau juu ya maudhui na muundo wa se&#341;a hiyo.<\/p>\n<p>&#8220;Moja ya mambo katika se&#341;a ni kuelekeza se&#341;ikali kutunga she&#341;ia moja itakayohusu masuala ya haba&#341;i,&#8221; alisema Shija. Hata hivyo, she&#341;ia hiyo haijatungwa hadi mwaka huu 2010. <\/p>\n<p>Mwaka 2006 umoja wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia ya kupigania haki ya haba&#341;i uliundwa na mashi&#341;ika matatu &ndash; Taasisi ya Vyombo vya Haba&#341;i Kusini mwa Af&#341;ika, tawi la Tanzania (MISA&ndash;TAN), Ba&#341;aza la haba&#341;i Tanzania (MCT) na Chama cha Waandishi wa Haba&#341;i Wanawake Tanzania (TAMWA). Lengo la umoja huo ni kuendeleza kazi iliyoachwa na M&#341;adi wa Ku&#341;ekebisha She&#341;ia za Haba&#341;i. <\/p>\n<p>Baada ya miaka kugundua kuwa se&#341;ikali ilikuwa imeshaanda &#341;asimu ya muswada wa uhu&#341;u wa haba&#341;i ambao ulikuwa, kwa mujibu wa wadau, na lengo la kubinya zaidi uhu&#341;u wa haba&#341;i, umoja ulitunga miswada miwili &ndash; mmoja unahusu Haki ya Haba&#341;i na mwingine ni ule wa Huduma za Vyombo vya Haba&#341;i.Mwaka 2008 miswada yote miwili iliwasilishwa kwa wazi&#341;i wa haba&#341;i na utamaduni, lakini hadi sasa hakuna hata mswada mmoja umeshapelekwa bungeni.<\/p>\n<p>Hali ba&#341;ani Af&#341;ika<\/p>\n<p>Rikodi kuhusu haki ya haba&#341;i katika Af&#341;ika zinaonyesha kuwa mataifa mengi yana vifungu vya halki ya haba&#341;i na uhu&#341;u wa kujieleza katika katiba zao. Hata hivyo, utafiti wa Kamati ya Muda ya FOI mwaka 2007 ambao ulihusu pia mataifa 19 ya ba&#341;a la Af&#341;ika ikiwa ni pamoja na Angola, Benin, Botswana, Bu&#341;kina Faso, Came&#341;oon, Cape Ve&#341;de, Ghana, Kenya, Libe&#341;ia, Malawi, Mali, Msumbiji, Nige&#341;ia, Senegal, Sie&#341;&#341;a Leone, Tanzania, Uganda, Zambia na Zimbabwe, ni nchi mbili tu za Uganda na Af&#341;ika Kusini ambazo zina she&#341;ia za uhu&#341;u wa haba&#341;i.<\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti hiyo, mbali ya Kenya, Malawi na Nige&#341;ia ambazo zina &#341;asimu za she&#341;ia ambazo zimeshapelekwa katika mabunge ya nchi hizo, mataifa mengi yaliyosalia, yana miswada ambayo aidha yameandaliwa na se&#341;ikali au mashi&#341;ika ya ki&#341;aia lakini bado haijapelekwa Bungeni. Pia kuna mataifa mabayo hayana &#341;asimu ya miswada hiyo kabisa.<\/p>\n<p>Hofu iko wapi <\/p>\n<p>Hata katika nchi ambazo zimeshapitisha she&#341;ia ya uhu&#341;u wa haba&#341;i, bado kuna hofu ya kutekeleza she&#341;ia hiyo. Mfano mzu&#341;i ni nchni Uganda ambapo hivi ka&#341;ibuni kumekuwepo na msuguano kati ya se&#341;ikali na vyombo vya haba&#341;i na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kutokana na kile amnbacho kinaonekana ni makusudi ya wazi ya kudhoofisha she&#341;ia ya uhu&#341;u wa haba&#341;i nchini humo kwa kupendekeza kuingizwa kwa kifungu cha &#8220;uhujumu wa kiuchumi&#8221;. Kifungu hicho kinataka kuchukuliwa kwa hatua kali kwa mtu yoyote ambaye ataandika haba&#341;i ambazo &#8220;zitahujumu uchumi&#8221; wa nchi. <\/p>\n<p>Kulingana na wachambuzi wa mambo, kifungu hicho kinakuja wakati ambapo taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki linaelekea kuanza uchimbaji wa mafuta. Inaonekana mapendekezo ya se&#341;ikali yanatokana na upinzani mkubwa uliotoka kwa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia ukitaka mikataba ya uchimbaji wa mafuta kuwekwa wazi kwa umma, jambo ambalo se&#341;ikali imesisitiza kuwa itakuwa na si&#341;i.<\/p>\n<p>Faida ya kuwa na she&#341;ia<\/p>\n<p>Popote duniani inaaminika kuwa she&#341;ia ya uhu&#341;u wa haba&#341;i ni muhimu katika kuleta utawala wa uwazi, ukweli na wa kidemok&#341;asia katika nchi husika kwa ajili ya kuleta maendeleo ya ha&#341;aka.<\/p>\n<p>Kulingana na Dk. Ulla Ca&#341;lsson, Mku&#341;ugenzi wa No&#341;dicom katika Chuo Kikuu cha Gothenbu&#341;g, upatikanaji wa haba&#341;i unawapatia watu uwezo, bila kujali ni akina nani au wako wapi. Haba&#341;i zinaweza kuhamasisha, kuongeza uwazi na uwajibikaji na ni kichocheo cha ushi&#341;ikishwaji, &#341;aia wanaosaidia maendeleo ya taifa, mafunzo ya maisha yote na kuleta mabadiliko ya kijamii. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa njia hii, haba&#341;i ni muhimu kuhakikisha kuwa jamii inakuwa ya kidemok&#341;asia,&#8221; alisema Dk. Ulla katika mada yake katika Siku ya Uhu&#341;u wa Vyombo vya Haba&#341;i Duniani, Mei 3, 2010 ambayo iliandaliwa na UNESCO na kufanyika B&#341;isbane, Aut&#341;alia.<\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa yake ya WPFD 2008, Mku&#341;ugenzi Mkuu wa UNESCO, Kichi&#341;o Mtsuu&#341;a, alisema upatikanaji wa haba&#341;i unachangia katika malengo makubwa ya maendeleo kwa kuwapatia watu taa&#341;ifa ambazo zinaweza kuwasaidia kudhibiti maisha yao. <\/p>\n<p>&#8220;Uwezo huu (wanaopatiwa wananchi kupitia haba&#341;i) unachangia katika demok&#341;asia shgi&#341;ikishi kwa kuwapatia wananchi uwezo wa wa kushi&#341;iki katika mijadala ya umma na kuifanya se&#341;ikali na wengine kuwajibika,&#8221; alisema Mtsuu&#341;a. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Juni 7 (IPS) &ndash; Pamoja na nchi nyingi za Af&#341;ika kuwa na katiba zinazotoa haki ya kupata haba&#341;i, ni nchi chache hadi sasa zimetunga she&#341;ia kutekeleza haki hii ya kikatiba. Tanzania ni miongoni mwa mataifa mabayo hayana she&#341;ia ya haki ya kupata haba&#341;i. Kwa mujibu wa iba&#341;a ya 18 ya Katiba ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":536,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3313","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3313","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/536"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3313"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3313\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3313"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3313"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3313"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}