{"id":3307,"date":"2010-06-07T13:40:01","date_gmt":"2010-06-07T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/06\/07\/malawi-wanandoa-mashoga-waachiwa-kwa-msamaha-wa-rais\/"},"modified":"2010-06-07T13:40:01","modified_gmt":"2010-06-07T13:40:01","slug":"malawi-wanandoa-mashoga-waachiwa-kwa-msamaha-wa-rais","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/06\/07\/malawi-wanandoa-mashoga-waachiwa-kwa-msamaha-wa-rais\/","title":{"rendered":"MALAWI: Wanandoa Mashoga Waachiwa kwa Msamaha wa Rais"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Mei 31 (IPS) &ndash; Miezi mitano na siku moja baada ya kukamatwa kwao, wanandoa mashoga nchini Malawi ambao walitangaza waziwazi juu ya uhusiano wao katika she&#341;ehe ya uchumba ya kimila walisamehewa na &#341;ais na kuachiwa hu&#341;u bila ya masha&#341;ti.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Stephen Monjeza na Tiwonge Chimbalanga walikutwa na hatia na kuhukumiwa kifungo jela kwa miaka 14.<\/p>\n<p>Akizungumza katika kusimikwa kwa askofu wa Katoliki Ap&#341;ili, Rais Bingu wa Mutha&#341;ika alilaani ndoa hiyo. &#8220;Mwanaume anayeolewa na mwanaume mwenzake ni uasi na jambo baya mbele za Mungu. Kuna baadhi ya mambo ambayo sisi Wamalawi hatufanyi.&#8221;<\/p>\n<p>Lakini Mei 29, Mutha&#341;ika alitangaza msamaha muda mfupi baada ya kukutana na katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki&ndash;Moon. Umoja wa Mataifa ni moja ya mashi&#341;ika mengi ambayo yaliitaka Malawi kufiki&#341;ia tena adhabu hiyo na Moon alipongeza uamuzi huo wa &#8220;kishujaa&#8221; wa Rais wa Malawi.<\/p>\n<p>Kulingana na vyombo vya haba&#341;i vya ndani, wanaume hao waliachiwa masaa kadhaa baada ya kutangazwa kuachiliwa kwake na kuelekea majumbani mwao.<\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wa ndani na kimataifa wameka&#341;ibisha msamaha huo.<\/p>\n<p>Gift T&#341;apence, mku&#341;ugenzi wa Kituo cha Maendeleo ya Watu (CEDEP), shi&#341;ika la haki za binadamu nchini humo ambalo linafanya kazi ya masuala ya ustawi wa makundi ya watu waliopo pembezoni, aliiambia IPS, &#8220;Tuna fu&#341;aha kuwa Rais wa Malawi alichukua uamuzi huu na kwamba yeye kama mkuu wa Umoja wa Af&#341;ika, amepeleka ujumbe kwa mataifa mengine ya Af&#341;ika kuwa watu wote ni sawa, bila kujali hisia zao za kimapenzi.&#8221;<\/p>\n<p>Msamaha siyo haki <\/p>\n<p>Hata hivyo msamaha haubadili kitu chochote katika uta&#341;atibu wa mashitaka ya makosa ya jinai wa Malawi: she&#341;ia za ushoga bado zinabakia kuwa kosa la jinai.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna mashoga wengine ambao wanastahili haki ya kutambuliwa,&#8221; anasema T&#341;apence. &#8220;Ni wakati muafaka kuangalia jinsi gani tunaweza kuondokana na she&#341;ia hizi.&#8221;<\/p>\n<p>Ma&#341;a tu baada ya hukumu hiyo Mei 20, wanandoa mashoga wamemwambia mwanashe&#341;ia wao kufungua kesi ya &#341;ufaa katika Mahakama Kuu kwa misingi ya katiba. Katiba ya Malawi inatoa uhu&#341;u wa hisia, maisha binafsi na kujieleza ambao ni pamoja na uhu&#341;u wa hisia za kimapenzi, kwa maoni ya mwanashe&#341;ia wa haki za binadamu Ch&#341;ispine Sibande.<\/p>\n<p>&#8220;Mashoga wanadhani hawajafanya jambo lolote baya kwani waliishi bila kukiuka haki za watu wengine,&#8221; Sibande aliiambia IPS mwezi Janua&#341;i.<\/p>\n<p>Kifungu cha 20 cha Katiba ya Malawi kinasema kuwa &#8220;ubaguzi wa aina yoyote ile kwa mtu yoyote hau&#341;uhusiwi na watu wote wana haki sawa chini ya she&#341;ia, na wanapaswa kupewa ulinzi dhidi ya kubaguliwa kwa misingi ya utaifa, &#341;angi, jinsia, lugha, dini, siasa au maoni mengine, ukabila au asili ya kijamii, ulemavu, mali, mahali pa kuzaliwa na aina nyingine&#8221;.<\/p>\n<p>Anthony Kamanga, mwanashe&#341;ia mkuu wa Malawi na wazi&#341;i wa she&#341;ia na masuala ya katiba anakanusha kuwa msamaha una lengo la kuzuia &#341;ufaa ambayo ingekuwa na lengo la kupinga baadhi ya sehemu za Uta&#341;atibu wa Mashitaka ya Makosa ya Jinai.<\/p>\n<p>&#8220;Rais alitoa msamaha. Hauhusiani na kuzuia &#341;ufaa Mahakama Kuu.&#8221;<\/p>\n<p>Kamanga pia alikanusha kuwa kuachiwa kwa wanandoa hao kunahusiana na shinikizo la wafadhili wa kimataifa. &#8220;Ninavyojua mimi washi&#341;ika wetu wameonyesha wasiwasi huo, lakini hakuna hata mmoja ameshinikiza kupunguza misaada kutokana na suala hilo,.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa sasa T&#341;apence wa CEDEP ana wasiwasi kuhusu usalama wa wanaume hao wawili: &#8220;Wako hu&#341;u, lakini sasa suala kubwa ni kuhusu usalama wao,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Wanafahamika, hivyo hawawezi kutembea kwa uhu&#341;u mitaani kwasababu wanaweza kushambuliwa kimwili. Maisha yao bado yako hata&#341;ini.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Mei 31 (IPS) &ndash; Miezi mitano na siku moja baada ya kukamatwa kwao, wanandoa mashoga nchini Malawi ambao walitangaza waziwazi juu ya uhusiano wao katika she&#341;ehe ya uchumba ya kimila walisamehewa na &#341;ais na kuachiwa hu&#341;u bila ya masha&#341;ti. Stephen Monjeza na Tiwonge Chimbalanga walikutwa na hatia na kuhukumiwa kifungo jela kwa miaka 14&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":775,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3307","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3307","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/775"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3307"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3307\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3307"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3307"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3307"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}