{"id":3298,"date":"2010-06-02T13:40:01","date_gmt":"2010-06-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/06\/02\/afrika-mashariki-washiika-wa-kimataifa-wanasaidia-kusukuma-kampeni-ya-sheia-ya-kudhibiti-bidhaa-bandia\/"},"modified":"2010-06-02T13:40:01","modified_gmt":"2010-06-02T13:40:01","slug":"afrika-mashariki-washiika-wa-kimataifa-wanasaidia-kusukuma-kampeni-ya-sheia-ya-kudhibiti-bidhaa-bandia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/06\/02\/afrika-mashariki-washiika-wa-kimataifa-wanasaidia-kusukuma-kampeni-ya-sheia-ya-kudhibiti-bidhaa-bandia\/","title":{"rendered":"AFRIKA MASHARIKI: Washi&#341;ika wa Kimataifa Wanasaidia Kusukuma Kampeni ya She&#341;ia ya Kudhibiti Bidhaa Bandia"},"content":{"rendered":"<p>KAMPALA, Mei 21 (IPS) &ndash; Shinikizo la kimataifa nyuma ya She&#341;ia Tata ya Kupambana na Bidhaa Bandia nchini Kenya mwaka 2008 lina histo&#341;ia yake mwaka 2006 wakati Shi&#341;ika la Fo&#341;odha Ulimwenguni lilipofanya semina yake ya haki miliki (IPRs) mjini Kampala, mji mkuu wa nchi ji&#341;ani ya Uganda, iliyolenga nchi za Af&#341;ika Masha&#341;iki kushinikiza haki hizi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>She&#341;ia ya Kenya ilikuwa ya kwanza kati ya she&#341;ia kama hizo zinazotakiwa kutungwa sasa nchini Uganda, Zambia, na Malawi na katika ngazi ya kikanda katika Jumuiya ya Af&#341;ika Masha&#341;iki. Wanaha&#341;akati wa masuala ya afya wamefanya kampeni dhidi ya hatua hizi kwani zinatishia upatikanaji wa madawa halali yanayotengenezwa kwa kibali kutoka kwa makampuni yanayomiliki nembo ya biasha&#341;a ambayo kwa sasa yanawakilisha asilimia ipatayo 90 ya madawa yanayotumiwa katika nchi hizi. <\/p>\n<p>Semina ya mwaka 2006 ilifadhiliwa na makampuni ya madawa ya kimataifa ya Uinge&#341;eza GlaxoSmithKline (GSK) na Ma&#341;ekani ya P&#341;octe&#341; &#038; Gamble &ndash; na makampuni mengine. <\/p>\n<p>Kampuni ya IPR ya Spoo&#341; &#038; Fishe&#341;, iliyopo nchini Af&#341;ika Kusini na Channel Islands, ilikodishwa kutoa ushau&#341;i wa kiufundi katika semina hiyo.<\/p>\n<p>Pete&#341; Malinga, kamishina wa fo&#341;odha wa Uganda ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa Shi&#341;ika la Fo&#341;odha Ulimwenguni (WCO) katika Af&#341;ika Masha&#341;iki na Kusini, alikubaliana na IPS kuwa semina ya mwaka 2006 mjini Kampala ilishawishi kuandikwa kwa she&#341;ia ya Kenya. <\/p>\n<p>Mambo ambayo yameo&#341;odheshwa katika she&#341;ia ya mfano ya Shi&#341;ika la Fo&#341;odha Ulimwenguni yamo katika baadhi ya sehemu katika she&#341;ia ya hivi ka&#341;ibuni nchini Kenya. Lakini unapaswa kujua kuwa she&#341;ia ya mfano inatoa tu kanuni za mwongozo. Ni juu ya nchi moja moja kutekeleza she&#341;ia au hapana,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Fo&#341;odha Ulimwenguni (WCO) linajielezea kama &#8220;chombo cha se&#341;ikali mbalimbali ambacho ni hu&#341;u na kina lengo la kubo&#341;esha utawala wa fo&#341;odha&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;She&#341;ia ya mfano&#8221; ni wa&#341;aka wa WCO wenye &#8220;vifungu vya mfano vya she&#341;ia ya kitaifa ili kutekeleza kwa usawa na ufanisi hatua za fo&#341;odha katika mipaka ya nchi kwa kuzingatia makubaliano ya Maeneo ya Biasha&#341;a katika Haki Miliki&#8221;, au TRIPS.<\/p>\n<p>Baadhi ya maudhui katika She&#341;ia ya Kupambana na Bidhaa Bandia ya Kenya na Muswada wa Kupambana na Bidhaa Bandia Uganda yanafanana na she&#341;ia ya mfano ya WCO. <\/p>\n<p>Kwa upande wake, she&#341;ia ya mfano inafasili &#8220;bidhaa zinazokiuka haki miliki kama&#8221; &#8220;bidhaa zozote zile ambazo zimetengenezwa, kuzalishwa upya, kuingizwa katika mfumo wa usambazaji au kutumiwa kwa njia nyingine kwa kuvunja she&#341;ia za haki miliki na bila &#341;idhaa ya mmiliki wa haki miliki au mtu aliyepewa mamlaka ya kufanya hivyo na mmiliki wa haki miliki&#8221;. <\/p>\n<p>She&#341;ia ya mfano ya WCO inasema kuwa Mazungumzo ya U&#341;uguay ya Makubaliano ya Jumla ya Ushu&#341;u wa Biasha&#341;a (mtangulizi wa Shi&#341;ika la Biasha&#341;a Ulimwenguni au WTO) kwa sehemu yalikuwa na lengo la &#8220;kuhakikisha kuwa hatua na ta&#341;atibu za kutekeleza haki miliki haziwi vikwazo kwa biasha&#341;a halali&#8221;.<\/p>\n<p>Uhalali wa she&#341;ia ya mfano, kulingana na wa&#341;aka huo, ni kusaidia se&#341;ikali katika utekelezaji wa vifungu vya TRIPS katika kuchukua hatua za fo&#341;odha mpakani. <\/p>\n<p>Hata hivyo, hii haijatokana na fasili ya bidhaa zinazokiuka IPR. Fasili inakinzana na Azimio la WTO la Doha ambalo linathibitisha ku&#341;uhusiwa kwa TRIPS kuchukua hatua kama vile uingizaji bidhaa sambamba kushughulikia matatizo ya afya ya umma. <\/p>\n<p>Uingizaji nchini wa bidhaa sambamba ni uingizaji wa bidhaa ambazo hazijaghushiwa bila &#341;uhusa ya mmiliki wa haki miliki. <\/p>\n<p>Kulingana na Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO), &#8220;lengo la uingizaji nchini bidhaa sambamba ni kuwezesha kuwepo kwa bei nafuu za bidhaa zinazoingia nchini ambazo hazitengenezwi na kampuni zenye nembo ya biasha&#341;a. Uingizaji bidhaa sambamba unaweza kuwa chombo muhimu cha kuwezesha upatikanaji wa madawa ya bei nafuu kwani kuna tofauti ya bei kati ya bidhaa za madawa zinazouzwa katika masoko mbalimbali&#8221;.<\/p>\n<p>Kwa hiyo, uingizaji wa bidhaa sambamba ni muhimu na halali kwa nchi maskini kuweza kukabiliana na mgogo&#341;o wa afya. <\/p>\n<p>Wanasiasa wa Af&#341;ika Masha&#341;iki wamesema hatua za kishe&#341;ia dhidi ya bidhaa bandia ni muhimu kuhakikisha ubo&#341;a wa madawa. Lakini wanaha&#341;akati wa afya wanaona matumizi ya mamlaka ya fo&#341;odha kama dalili kuwa agenda hiyo ina lengo la kusukuma utekelezaji wa IPRs badala ya viwango vya ubo&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Wahusika walioshi&#341;ikishwa ni mamlaka za fo&#341;odha na polisi ambao kazi yao ya msingi siyo kudhibiti madawa. Mashi&#341;ika ya viwango yanaachwa,&#8221; Sisule Musungu, &#341;ais wa shi&#341;ika la Qsensato lenye makao yake mjini Geneva Ialiiambia IPS katika mahojiano. <\/p>\n<p>IQsensato ni shi&#341;ika lisilotengeneza faida linalofanya tafiti ambazo hutumika kama jukwaa kwa watafiti wa nchi zinazoendelea ili kushawishi utengenezaji wa se&#341;a za kimataifa.<\/p>\n<p>Kulingana na Musungu, polisi na fo&#341;odha &#8220;siyo &#341;ahisi kutumiwa (kutumikia agenda ya IPRs) kwasababu kama unakwenda kwenye mashi&#341;ika yanayodhibiti madawa, yanatambua masuala mazito ni yapi na huwezi tu kuwaambia nini la kufanya. Lakini kama unakwenda kwa fo&#341;odha, ma&#341;a unapowapatia she&#341;ia, kazi yao inakuwa kuitekeleza tu. <\/p>\n<p>&#8220;Hawajali kuhusu madha&#341;a ya kile unachokifanya, wakati watu wa afya watajua wanakabiliana na nani kwasababu wanajua tofauti kati na bidhaa zinazotengenezwa kwa kibali na bidhaa feki na jinsi ya kukabiliana na hali hiyo. <\/p>\n<p>&#8220;Kama una wasiwasi na masuala ya ubo&#341;a wa madawa, watu unaowafuata ni mashi&#341;ika ya kudhibiti madawa, wiza&#341;a za afya na WHO.&#8221;<\/p>\n<p>Malinga alithibitisha kuwa WCO inafanya kazi na wamiliki wa IP kupambana na biasha&#341;a ya mpakani dhidi ya bidhaa bandia. Hata hivyo alikanusha kuwa taasisi hiyo imekuwa ikitumiwa na makampuni ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na makampuni ya madawa, kushinikiza utekelezaji wa agenda ya IPRs chini ya kivuli cha kupambana na bidhaa bandia.<\/p>\n<p>&#8220;Watu ambao wanasema hivyo, watapenda kutumia madawa feki au bandia kwa familia zao  Na wanasema tunaja&#341;ibu kutumia hii kupambana na madawa yanayotengenezwa kwa kibali na TRIPS  Sidhani kama hili ni sahihi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Washi&#341;iki wa semina walikubaliana kupongeza ushi&#341;ikiano wao na mashi&#341;ika ya kimataifa kama vile Chama cha Biasha&#341;a cha Kimataifa (ICC), ambacho kinaendesha agenda ya kimataifa ya utekelezaji wa IPRs kupitia Hatua ya Utekelezaji wa Biasha&#341;a Kukomesha Bidhaa Bandia na za Kughushi (BASCAP), iliyozinduliwa mwaka 2004. BASCAP pia inafanya kazi ya kuendeleza mfumo wa she&#341;ia ya mfano ya WCO.<\/p>\n<p>*Taa&#341;ifa za nyomgeza zimetolewa na Ch&#341;isti van de&#341; Westhuizen <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA, Mei 21 (IPS) &ndash; Shinikizo la kimataifa nyuma ya She&#341;ia Tata ya Kupambana na Bidhaa Bandia nchini Kenya mwaka 2008 lina histo&#341;ia yake mwaka 2006 wakati Shi&#341;ika la Fo&#341;odha Ulimwenguni lilipofanya semina yake ya haki miliki (IPRs) mjini Kampala, mji mkuu wa nchi ji&#341;ani ya Uganda, iliyolenga nchi za Af&#341;ika Masha&#341;iki kushinikiza haki hizi&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":526,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3298","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3298","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/526"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3298"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3298\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3298"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3298"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3298"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}