{"id":3293,"date":"2010-05-25T13:40:01","date_gmt":"2010-05-25T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/25\/malawi-msuguano-kuhusu-muswada-wa-bidhaa-bandia-hauna-umuhimu\/"},"modified":"2010-05-25T13:40:01","modified_gmt":"2010-05-25T13:40:01","slug":"malawi-msuguano-kuhusu-muswada-wa-bidhaa-bandia-hauna-umuhimu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/25\/malawi-msuguano-kuhusu-muswada-wa-bidhaa-bandia-hauna-umuhimu\/","title":{"rendered":"MALAWI: &#8220;Msuguano Kuhusu Muswada wa Bidhaa Bandia Hauna Umuhimu&#8221;"},"content":{"rendered":"<p>LILONGWE,, Mei 19 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya Malawi ina nia ya kupitishwa kwa muswada wa bidhaa bandia ifikapo Oktoba ambao pia unahusu madawa. Hatua hii inachukuliwa pamoja na hofu kwamba uhaba zaidi wa madawa utaongezeka katika nchi hiyo ambayo taya&#341;i inaandamwa na uhaba wa viufaa vya afya.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hivi ka&#341;ibuni vifaa vingi vya afya nchini humo vime&#341;ipotiwa kuwa na uhaba, ikiwa ni pamoja na madawa ya msingi kama vile aspi&#341;in, antibiotics na madawa ya kupunguza makali ya VVU\/UKIMWI. <\/p>\n<p>Utata umezunguka she&#341;ia za kudhibiti bihaa ha&#341;amu katika Af&#341;ika Masha&#341;iki, huku wapinzani wakidai kuwa madawa ya kutengenezwa kwa kibali yana hata&#341;i ya kuingizwa katika o&#341;odha ya bidhaa bandia. Wanaha&#341;akati wanasisitiza kuwa kuna tofauti kati ya madawa bandia na madawa feki, na madawa ya kutengenezwa kwa kibali, ambayo ni ya gha&#341;ama nafuu yanabeba jina halisi la kampuni linalomiliki haki miliki. <\/p>\n<p>Malawi inategemea zaidi katika madawa ya kutengenezwa kwa kibali ambayo yanaingizwa nchini kutoka India, kulingana na Aa&#341;on Sosola, kaimu msajili katika bodi ya madawa na sumu ya Malawi. Aliiambia IPS kuwa muswada huo umeshapitishwa taya&#341;i na ba&#341;aza la mawazi&#341;i la Rais Bingu wa Mutha&#341;ika na kwamba ni suala la muda tu kabla haujawa she&#341;ia kamili. <\/p>\n<p>Bunge la nchini humo linadhibitiwa na chama cha Mutha&#341;ika cha Democ&#341;atic People&#8217;s Pa&#341;ty (DPP), ambacho kinashikilia viti vingi. <\/p>\n<p>Sosola alielezea kuwa muswada huo unazungumzia adhabu ya juu zaidi ya kuingiza bidhaa bandia kuwa dola za Kima&#341;ekani 340,000 au miaka kumi jela. She&#341;ia ya sasa haizungumzii adhabu maalum ya kuingiza madawa bandia. <\/p>\n<p>&#8220;Tunataka kulinda maisha ya watu wetu kwa kuhakikisha kuwa wanapata madawa sahihi tu na wala siyo bandia. She&#341;ia mpya itahakikisha kuwa hatua kali zinachukuliwa dhidi ya wale wanaoingiza madawa bandia nchini,&#8221; alisema Sosola. <\/p>\n<p>Nchi ji&#341;ani ya Zambia pia inashinikiza kuundwa kwa she&#341;ia ya kupambana na bidhaa bandia. Akitoa maoni yake ya kupinga hatua inayochukuliwa na Malawi, Zambia na nchi za Af&#341;ika Masha&#341;iki, Sosola alisema hakuna haja ya watu kuwa na mashaka. <\/p>\n<p>&#8220;Inahusu kuhakikisha kuwa wananchi wa Malawi na watu wa Af&#341;ika wanapata madawa yenye ubo&#341;a. Hakuna haja ya msuguano kuhusu she&#341;ia mpya,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Lakini kama muswada unaosisitizwa unaleta kutokuelewana kati ya madawa yanayotengenezwa kwa kibali na madawa bandia kama ilivyo kwa muswada wa Af&#341;ika Masha&#341;iki, Wamalawi wanaweza kuelekea katika muda mgumu kutokana na nchi zao kutegemea madawa ya kutengenezwa kwa kibali, kulingana na mku&#341;ugenzi mtendaji wa Mtandao wa Usawa wa Afya (MHEN), Ma&#341;tha Kwataine. <\/p>\n<p>MHEN ni umoja wa mashi&#341;ika na watu mmoja mmoja ambao wanafanya kazi ya kukuza usawa katika mfumo wa afya nchini Malawi. <\/p>\n<p>&#8220;Tunadhani kuwa muswada unaopendekezwa siyo mzu&#341;i kwa nchi kama Malawi. Kwa uhakika, ni hata&#341;i mno kwetu sisi,&#8221; Kwataine aliiambia IPS. <\/p>\n<p>MHEN ameja&#341;ibu kupata nakala ya muswada lakini hakuweza, kulingana na Kwataine. Shi&#341;ika hilo linaweza kuzindua kampeni dhidi ya muswada huo lakini linaweza tu kufanya hivyo baada ya kuusoma, alisema. <\/p>\n<p>Sosola aliiambia IPS kuwa muswada huo kwa sasa unakamilishwa. &#8220;Bado haujawa wa&#341;aka wa umma,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Kwataine litaendelea kushinikiza se&#341;ikali kupata muswada huo. &#8220;She&#341;ia mpya itaathi&#341;i watu wengi nchini kote na tunahitaji kuitathmini kabla haijapitishwa,&#8221; alisisitiza. <\/p>\n<p>Kama she&#341;ia inayopendekezwa inafanana na ile ya Af&#341;ika Masha&#341;iki, itakuwa na faida kwa makampuni ya madawa ya kimataifa ambayo yanamiliki haki miliki ya madawa mengi, alionya. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa sasa, makampuni ya madawa ya kimataifa hayatengenezi fedha nyingi kutoka nchini Malawi kutokana na tunatumia madawa ya kutengenezwa kwa kibali kwa magonjwa makubwa kama vile kifua kikuu, VVU na UKIMWI na mala&#341;ia. Tunahitaji kuwa na lengo la kufanya watu wa nchini mwetu kuwa na afya kwa kutumia madawa nafuu kuliko yale ambayo yanamilikiwa na makampuni ya asili,&#8221; Kwataine aliongeza. <\/p>\n<p>Wasiwasi kuhusu muswada unaungana na &#8220;kampeni ya kukomesha uhaba&#8221; ambayo mashi&#341;ika ya ki&#341;aia nchini Malawi yanashi&#341;iki, pamoja na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia katika nchi kama Kenya, Uganda na Zambia. &#8220;Kampeni ya kukomesha uhaba&#8221; ina lengo la kuhakikisha watu wanapata madawa muhimu. <\/p>\n<p>Kampeni inalenga upatikanaji wa madawa yanayotumika kutibu magonjwa yanayoshambulia zaidi wananchi kama vile mala&#341;ia, kuha&#341;a, VVU, shinikizo la damu, TB, kisuka&#341;i na pneumonia. <\/p>\n<p>G&#341;ace Kalilombe, 62, nesi mtaafu kutoka Ntcheu, wilaya katikati mwa Malawi, aliiambia IPS kuwa analotaka tu kutoka kwa se&#341;ikali ni upatikanaji wa madawa muhimu wakati wote. Alisema haijalishi kama madawa yanatengenezwa kwa kibali au yanatengenezwa na makampuni yenye haki miliki. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LILONGWE,, Mei 19 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya Malawi ina nia ya kupitishwa kwa muswada wa bidhaa bandia ifikapo Oktoba ambao pia unahusu madawa. Hatua hii inachukuliwa pamoja na hofu kwamba uhaba zaidi wa madawa utaongezeka katika nchi hiyo ambayo taya&#341;i inaandamwa na uhaba wa viufaa vya afya. Hivi ka&#341;ibuni vifaa vingi vya afya nchini humo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":667,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3293","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3293","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/667"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3293"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3293\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3293"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3293"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3293"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}