{"id":3290,"date":"2010-05-21T13:40:01","date_gmt":"2010-05-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/21\/economy-afika-ina-sauti-ndogo-baada-ya-mabadiliko-ya-kua-ya-benki-ya-dunia\/"},"modified":"2010-05-21T13:40:01","modified_gmt":"2010-05-21T13:40:01","slug":"economy-afika-ina-sauti-ndogo-baada-ya-mabadiliko-ya-kua-ya-benki-ya-dunia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/21\/economy-afika-ina-sauti-ndogo-baada-ya-mabadiliko-ya-kua-ya-benki-ya-dunia\/","title":{"rendered":"ECONOMY: Af&#341;ika Ina Sauti Ndogo Baada ya Mabadiliko ya Ku&#341;a ya Benki ya Dunia"},"content":{"rendered":"<p>PARIS, Mei 17 (IPS) &ndash; Benki ya Dunia imeelezea ongezeko lake la ka&#341;ibuni la asilimia 3.13 la nafasi za kupiga ku&#341;a kwa nchi zinazoibukia kiuchumi kama mageuzi &#8220;kuongeza sauti na ushi&#341;iki wa nchi zinazoendelea na zilizopo katika mpito&#8221;. Lakini mabadiliko yamepunguza theluthi ya sehemu ya Af&#341;ika katika ku&#341;a.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Nchi kumi na nane za Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a zimepoteza kipimo cha ushawishi wao ambao ni wa kawaida katika mchakato wa utoaji wa maamuzi wa taasisi hiyo. Nige&#341;ia na Af&#341;ika Kusini zimeathi&#341;ika zaidi, ambapo fu&#341;sa yao ya kupiga ku&#341;a imepungua kwa asilimia zipatazo 10. <\/p>\n<p>Ni nchi ya Sudan pekee ambayo ina utaji&#341;i wa mafuta na inayokabiliwa na mashitaka ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita kutokana na kushukiwa kushi&#341;iki katika uhalifu wa kivita &ndash; imeshaona ongezeko la nafasi yake ya kupiga ku&#341;a. <\/p>\n<p>Benki ya Dunia, ambayo kimataifa ina jukumu la kufadhili mi&#341;adi ya maendeleo, kwa muda m&#341;efu imekosolewa na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na nchi zinazopokea misaada kwamba haina uwakilishi wa nchi ambazo inadai inazisadia. Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, shabaha kubwa ya p&#341;og&#341;amu zake nyingi za &#8220;kupunguza umaskini &#8220;, inabakia na jumla ya chini ya asilimia sita ya haki ya kupiga ku&#341;a katika taasisi. <\/p>\n<p>Mwishoni katika kukabiliana na mgogo&#341;o, Benki katika miaka ya ka&#341;ibuni imeonyesha baadhi ya nia ya Benki ya kufanya mageuzi katika utawala na kuifanya kuwa shi&#341;ikishi zaidi kwa walengwa wake. Azimio lake la Istanbul la Oktoba mwaka 2009 liliahidi &#8220;kutoa nafasi ya kupiga ku&#341;a kwa nchi ndogo maskini&#8221;. <\/p>\n<p>Lakini Ap&#341;ili 25, ilipunguza haki ya kupiga ku&#341;a kuongeza sehemu ya China (kwa asilimia 1.64), Ko&#341;ea Kusini (asilimia 0.58),Utu&#341;uki (asilimia 0.55), Mexico (asilimia 0.5), na Singapo&#341;e (asilimia 0.24). Kulingana na tafsi&#341;i za uchumi za Benki hiyo, Ko&#341;ea Kusini na Singapo&#341;e ni nchi za kipato cha juu, ambapo Mexico na Utu&#341;uki ni nchi za kipato cha kati zinazoelekea kuwa nchi za kipato cha juu. <\/p>\n<p>Akikosoa mageuzi hayo, mkuu wa utafiti na mwanaha&#341;akati dhidi ya umaskini katika Oxfam, Duncan G&#341;een, alisema katika blog yenye jina la &#8220;Benki ya Dunia Yavunja Ahadi ya Nafasi ya Ku&#341;a ya Af&#341;ika&#8221; kuwa &#8220;mageuzi yanaonyesha kuondoka katika GDP ya kimataifa (pato la taifa), na hivyo kufaidisha nchi zenye uchumi unaoibukia, siyo nchi zenye uchumi unaokua polepole ba&#341;ani Af&#341;ika&#8221;. <\/p>\n<p>Anaongeza Sebastien Fou&#341;my, ambaye anafuatilia taasisi za kifedha za kimataifa katika Oxfam tawi la Ufa&#341;ansa: &#8220;Mageuzi haya ni ja&#341;ibio la kuonekana wazu&#341;i kwa nchi zinazoibukia duniani, kama vile China na B&#341;azil, kwa mata&#341;ajio kuwa zitaongeza mchango wao katika kufadhili Benki hiyo. <\/p>\n<p>&#8220;Hii inakuja wakati Ulaya ina matatizo makubwa ya kufikia ahadi zake za fedha za maendeleo,&#8221; analezea. &#8220;Nchi za Ulaya kwa hiyo zimekubali kupunguza kwa kiasi kidogo nafasi zao za kupiga ku&#341;a lakini nyingi bado zinashikilia nafasi zao za juu.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Na, halafu, Ma&#341;ekani inabakia kuwa mwanachama pekee mwenye nguvu ya ku&#341;a ya tu&#341;ufu katika maamuzi ya benki,&#8221; Fou&#341;my anathibitisha. Hii inatokana na kwamba mfumo wa ku&#341;a wa Benki hiyo unapima ku&#341;a kulingana na nafasi ya nchi katika GDP ya dunia. <\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Fedha wa Af&#341;ika Kusini, P&#341;avin Go&#341;dhan, ali&#341;ipotiwa kusema kuwa nchi yake imekasi&#341;ishwa na mageuzi kwani Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a imepunguziwa fu&#341;sa pamoja na shinikizo linaloendelea kuwa Benki hiyo inapaswa kuongeza sauti za nchi zinazoendelea katika utoaji wa maamuzi katika Benki na Shi&#341;ika la Fedha Ulimwenguni (IMF). <\/p>\n<p>Rais wa Benki ya Dunia Robe&#341;t Zoellick alikubaliana kuwa, &#8220;mabadiliko ya nafasi ya kupiga ku&#341;a inatusaidia kuonyesha vizu&#341;i ukweli wa eneo jipya la uchumi wa dunia ambapo nchi zinazoendelea kwa sasa ni washi&#341;ika wakuu wa masuala ya dunia&#8221;. Hata hivyo, kupitishwa kwa mabadiliko katika se&#341;a kulikuwa &#8220;muhimu kwa kuungwa mkono kwa wa Benki&#8221;, kulingana na Zoellick. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la kufuatilia mambo la Uinge&#341;eza linalojulikana kama M&#341;adi wa B&#341;etton Woods, ambalo linafuatilia Benki ya Dunia na IMF, lilisema katika &#341;ipoti yake ya hivi ka&#341;ibuni kuwa: &#8220;kwa kuangalia kwa ka&#341;ibu Benki ya Dunia itaendelea kutawaliwa na nchi taji&#341;i. <\/p>\n<p>&#8220;Nchi zinazoendelea zinawakilisha zaidi ya asilimia 80 ya wakazi katika dunia na wanachama wa Benki hiyo. Ni mahali ambapo ka&#341;ibu shughuli zote za Benki hiyo zinafanyika&#8221; &ndash; na hata hivyo, &#8220;utawala wake unabakia kutokushi&#341;ikisha wengi na wa kizamani,&#8221; ilisema &#341;ipoti. <\/p>\n<p>Fou&#341;my anakubaliana: &#8220;Mwishoni, misingi ya utoaji wa maamuzi katika Benki imehifadhiwa.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo, &#8220;hata kama ku&#341;a zimebadilishwa kwa kiasi kikubwa kuunga mkono nchi maskini zaidi, bado maamuzi yatatolewa kwa ma&#341;idhiano badala ya ku&#341;a. Kati ya nchi tawala 24 ambazo ma&#341;a nyingi hushi&#341;iki katika maamuzi ya ma&#341;idhiano ya Benki, ni nchi mbili tu zinatoka Af&#341;ika Kusini mwa jangwa la Saha&#341;a,&#8221; anaelezea Fou&#341;my. &#8220;Kulikuwa na mazungumzo ya kuingiza nchi ya tatu lakini kwa muda m&#341;efu wazo hilo halijatajwa,&#8221; anaongeza. <\/p>\n<p>&#8220;Tunata&#341;ajia kuwa nchi zenye uchumi unaoibukia ambazo haki yake ya ku&#341;a iliongezeka zitakuja kuongoza majukumu katika kufadhili maendeleo lakini hilo bado linasubi&#341;i kutokea,&#8221; anasema Fou&#341;my. &#8220;Hadi sasa, hakuna hata nchi moja imeshatoa ahadi ya wazi au di&#341;a ya undani ya mpango wake wa msaada wa maendeleo.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PARIS, Mei 17 (IPS) &ndash; Benki ya Dunia imeelezea ongezeko lake la ka&#341;ibuni la asilimia 3.13 la nafasi za kupiga ku&#341;a kwa nchi zinazoibukia kiuchumi kama mageuzi &#8220;kuongeza sauti na ushi&#341;iki wa nchi zinazoendelea na zilizopo katika mpito&#8221;. Lakini mabadiliko yamepunguza theluthi ya sehemu ya Af&#341;ika katika ku&#341;a. Nchi kumi na nane za Af&#341;ika Kusini&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":456,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3290","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3290","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/456"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3290"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3290\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3290"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3290"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3290"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}