{"id":3288,"date":"2010-05-21T13:40:01","date_gmt":"2010-05-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/21\/namibia-wasan-wapambana-kunyanganywa-adhi-yao-katika-mbuga-ya-namibia\/"},"modified":"2010-05-21T13:40:01","modified_gmt":"2010-05-21T13:40:01","slug":"namibia-wasan-wapambana-kunyanganywa-adhi-yao-katika-mbuga-ya-namibia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/21\/namibia-wasan-wapambana-kunyanganywa-adhi-yao-katika-mbuga-ya-namibia\/","title":{"rendered":"NAMIBIA: Wasan Wapambana Kunyang&#8217;anywa A&#341;dhi Yao katika Mbuga ya  Namibia"},"content":{"rendered":"<p>BORICHA, Namibia, Mei 15 (IPS) &ndash; Mfanyakazi mstaafu Makena Makanga anamenya ta&#341;atibu tunda aina ya manketti bila kujua kuwa mti ambao tunda hilo limetoka hivi ka&#341;ibuni utakatwa pamoja na msitu mzima kupisha m&#341;adi mkubwa wa kilimo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Makanga anaishi katika moja ya vibanda vya udongo wa mfinyanzi ambavyo vinapatikana katikati mwa kile kitakachokuja kuwa M&#341;adi wa Shamba la Katondo. Eneo la Bo&#341;icha linaonekana kujaa miti aina ya manketti, na ni mazingi&#341;a ya kuvutia ya mimea na viumbe hai, na kuwa na aina mbalimbali ya mimea na njia muhimu ya kupita wanyama wanaohama; lakini shamba la hekta 10,000 limepangwa kuwa ka&#341;ibu na Mbuga ya Taifa ya Bwabwata, kilomita nne kutoka mpakani mwa Angola. <\/p>\n<p>Makanga hajui vizu&#341;i ana um&#341;i gani, lakini amekusanya chakula katika msitu huo wakati wa maisha yake yote. <\/p>\n<p>&#8220;Mahojiano na kabila la Khwe San katika maeneo yanayozunguka eneo hilo yanaonyesha kuwa wengi hutembea kilomita nyingi kuvuna chakula kutoka eneo linalozunguka Bo&#341;icha,&#8221; anasema Lucy Kemp wa M&#341;adi wa Kuzunguka Mto ambao unao&#341;odhesha &#341;asilimali zilizopo kwa kabila la Khwe San huko Bwabwata. <\/p>\n<p>Kulingana na mshau&#341;i mtaalam wa m&#341;adi wa mazingi&#341;a, No&#341;man van Zyl kutoka shi&#341;ika la Envi&#341;o Dynamics, &#8220;familia mia kadhaa&#8221; kwa uchache zinategemea msitu kwa kuendeshea maisha yao. <\/p>\n<p>Lakini kutokana na shi&#341;ika la Demete&#341; Inte&#341;national na mshi&#341;ika mwenzake wa Namibia linalotoa uwezo wa kiuchumi kwa watu weusi BEE) la Labou&#341; Investment Holdings (LIH), a&#341;dhi itasafishwa kwa ajili ya kilimo, huku ukataji miti ukiwa umepangwa kufanyika Oktoba. <\/p>\n<p>Upinzani wa kudai a&#341;dhi <\/p>\n<p>LIH ilipewa miaka 25 ya kukodisha a&#341;dhi kutoka kwa Chifu Hambukushu Mbambo kuvuka mto kwa kupewa asilimia 15 ya hisa katika m&#341;adi wa dola milioni 20 wa Mamlaka ya Jadi. Kundi la BEE linasema kuwa eneo hilo ni a&#341;dhi pekee ya wazi iliyopo, wakati Demete&#341; anasisitiza &#8220;hakuna watu wanaoishi katika a&#341;dhi hiyo&#8221;. <\/p>\n<p>Lakini kabila la Khwe &ndash; ambalo halitambui mamlaka ya Mbambo juu ya mbuga hiyo &ndash; linasema ni njama ya Hambukushu kuima&#341;isha msimamo wao juu ya a&#341;dhi hiyo. <\/p>\n<p>Taya&#341;i mipaka ya mbuga hiyo inasogezwa upande wa masha&#341;iki kwa kuvamia mifugo na maeneo ya kilimo. <\/p>\n<p>&#8220;(Mbambo) siyo kabila langu, hata haongei lugha yangu. Anataka kutoa a&#341;dhi yetu kwa watu wengine,&#8221; anasema mwanajumuiya hiyo And&#341;ew Ndala. Jitihada za kabila la Khwe kupata Mamlaka ya Jadi yao kutambuliwa imeonekana kushindwa hadi sasa. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna sababu ni kwa nini Khwe hawana mamlaka. Ni haki yao ya kikatiba, &#8221; anasema Ben Begbie&ndash;Clench, m&#341;atibu wa Wo&#341;king G&#341;oup of Indigenous Mino&#341;ities in Af&#341;ica (WIMSA), kikundi kazi ambacho kinapigania makabila ya wachache Af&#341;ika. &#8220;Badala yake mchakato umekuwa ukienda polepole kwa zaidi ya muongo, jambo ambalo ni tofauti na hatua ya ha&#341;aka ambapo M&#341;adi wa Shamba la Katondo unabo&#341;eshwa.&#8221;  Maswali kutoka kwa Kya&#341;amacan, shi&#341;ika ambalo linaongea kwa niaba ya wakazi 5,000 wa mbuga hiyo, wakati wa uwakilishaji wa jumuiya hiyo Feb&#341;ua&#341;i 4 inaonyesha kuwa Demete&#341; na LIH hadi hapo wamepuuza kabila la Khwe ambalo watu wake watahamishwa au kupoteza chanzo chao kikuu cha chakula. <\/p>\n<p>&#8220;Wakati eneo limebainishwa, ni nani katika jumuiya ambaye aliwakilisha katika kubainisha a&#341;dhi &#8221; waliuliuza wakazi. &#8220;Eneo linalopendekezwa ni lile ambalo mimea yetu mingi yenye thamani inapandwa, mimea ambayo ni mizu&#341;i kwa watu. Kama shamba linaendelezwa, ni wapi watu wetu wataishi &#8221; <\/p>\n<p>Wapinzani wanatetea m&#341;adi <\/p>\n<p>Akitakiwa kutoa maoni nchini Af&#341;ika Kusini, meneja wa Demete&#341; Clay Tabe&#341; alisema faida ya m&#341;adi kwa jamii itakuwa &#8220;mpango mzu&#341;i wa kuvuna mimea&#8221;. <\/p>\n<p>Afisa mtendaji mkuu wa LIH Cleophas Mutjavikua alidai kuwa mashi&#341;ika ya mazingi&#341;a na haki za binadamu yalikuwa nyuma ya upinzani uliotokana na m&#341;adi wa kabila la Khwe. &#8220;Wanazungumzia kuhusu kuvuna miti na kila aina ya upuuzi, lakini wakati huo huo watu wanaishi kwa misaada ya se&#341;ikali.&#8221; <\/p>\n<p>Kulingana na Mutjavikua, ni juu ya chifu Mbambo kugawana asilimia yake 15 ya hisa na kabila la Khwe. &#8220;Hatutaki kushi&#341;ikishwa katika migogo&#341;o ya kikabila.&#8221; <\/p>\n<p>Fedha ambazo zinafadhili mipango ya maendeleo &#8220;iliyotengenezwa mahususi&#8221; kwa kabila la Khwe bado haijaanza kuonekana na itakuja kuwa halisi tu baada ya m&#341;adi kuanza kutoa faida. <\/p>\n<p>&#8220;Tumeamua tusi&#341;uhusu shamba,&#8221; anasema Ndala. <\/p>\n<p>&#8220;Mapema Hambukushu na se&#341;ikali walileta shamba la wafungwa katika mbuga. Tuliahidiwa aji&#341;a nyingi, lakini hakuna lililofanyika. Kwa sasa waendelezaji wanazungumzia aji&#341;a kama uendeshaji wa mashine na made&#341;eva. Lakini wengi wetu hatuna elimu wala leseni za ude&#341;eva. Hatuamini ahadi hizi.&#8221; <\/p>\n<p>Madha&#341;a ya kimazingi&#341;a <\/p>\n<p>Wakati huo huo, mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na wataalam wa mazingi&#341;a wamechanganyikiwa juu kwa nini kilimo kikubwa kinafiki&#341;iwa katika mbuga hiyo. <\/p>\n<p>&#8220;Ku&#341;uhusu makabila ya wachache kupokonywa a&#341;dhi yao na kupewa makampuni ya kigeni ambayo yanataka kuanza kilimo katika mbuga ya taifa kunaweka histo&#341;ia mbaya mno ya kise&#341;a,&#8221; anatoa maoni mtafiti hu&#341;u wa mazingi&#341;a John Mendelsohn, ambaye anatuhumu mamlaka kutokana na kutokuona mbali. &#8220;Nchini Botswana, maendeleo kama haya yangeonekana kuwa upuuzi.&#8221; <\/p>\n<p>Madai ya Demete&#341; kuwa: &#8220;M&#341;adi wa hekta 10,000 hautaha&#341;ibu sifa za msitu au maana ya eneo hilo,&#8221; inaonekana kuchekwa mbele ya hitimisho la &#341;ipoti ya kuchukua a&#341;dhi. <\/p>\n<p>&#8220;M&#341;adi utaathi&#341;i sifa ya mfumo wa mazingi&#341;a na viumbe hai ya kale. Madha&#341;a yanayoweza kuonekana katika kupoteza a&#341;dhi ya zamani na wanyama wa hifadhi na kuongezeka kwa shughuli za binadamu katika mazingi&#341;a ambayo hayajatumika sana,&#8221; wanaandika washau&#341;i wataalam. <\/p>\n<p>&#8220;Yote haya yatamalizwa kabisa,&#8221; alisema F&#341;ied&#341;ich Alpe&#341;s wa shi&#341;ika la hifadhi la IRDNC &ndash; &#8220;Integ&#341;ated Ru&#341;al Development and Natu&#341;e Conse&#341;vation&#8221; &ndash; ambalo linatetea chanzo cha maisha ya wakazi wa mbugani, huku akionekana akitikisa kichwa katika di&#341;isha la ga&#341;i katika kilomita za a&#341;dhi yenye miti ya thamani. &#8220;Waendelezaji hata hawajaacha ba&#341;aba&#341;a ya lami kusaidia eneo wanaloliha&#341;ibu.&#8221; <\/p>\n<p>Madha&#341;a mengine yanayoweza kujitokeza ni uchafuzi wa mto Okavango, kuangamiza wanyama po&#341;i, mbuga ya Kavango&ndash;Zambezi na kupoteza thamani ya asili ya mazao ya asili ya kabila la Khwe. <\/p>\n<p>Kya&#341;amacan imefungua madai ya kupinga pamoja na Wiza&#341;a ya Mazingi&#341;a na Utalii kutaka kibali cha kuendeleza hekta 7,700 kuzunguka Bo&#341;icha kuwa &#8220;shamba la hifadhi la jamii &#8221; ambalo lina madha&#341;a kidogo na litapanda mimea ya chakula ya jadi na madawa. <\/p>\n<p>*Makala ya kwanza kati ya makala mbili zinazotathmini masuala yanayozunguka M&#341;adi wa Shamba la Katondo. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BORICHA, Namibia, Mei 15 (IPS) &ndash; Mfanyakazi mstaafu Makena Makanga anamenya ta&#341;atibu tunda aina ya manketti bila kujua kuwa mti ambao tunda hilo limetoka hivi ka&#341;ibuni utakatwa pamoja na msitu mzima kupisha m&#341;adi mkubwa wa kilimo. Makanga anaishi katika moja ya vibanda vya udongo wa mfinyanzi ambavyo vinapatikana katikati mwa kile kitakachokuja kuwa M&#341;adi wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":599,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3288","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3288","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/599"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3288"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3288\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3288"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3288"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3288"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}