{"id":3287,"date":"2010-05-21T13:40:01","date_gmt":"2010-05-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/21\/angola-wakulima-wadogo-wa-angola-wakaibisha-uwekezaji-wataka-kuangaliwe-kwa-uangalifu\/"},"modified":"2010-05-21T13:40:01","modified_gmt":"2010-05-21T13:40:01","slug":"angola-wakulima-wadogo-wa-angola-wakaibisha-uwekezaji-wataka-kuangaliwe-kwa-uangalifu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/21\/angola-wakulima-wadogo-wa-angola-wakaibisha-uwekezaji-wataka-kuangaliwe-kwa-uangalifu\/","title":{"rendered":"ANGOLA: Wakulima Wadogo wa Angola Waka&#341;ibisha Uwekezaji, Wataka Kuangaliwe kwa Uangalifu"},"content":{"rendered":"<p>LUANDA, Mei 15 (IPS) &ndash; Fiki&#341;ia madogo kuondokana na matatizo makubwa &ndash; huo ulikuwa ujumbe kwa se&#341;ikali za Af&#341;ika zinazotakiwa kufanya kazi zaidi kuongeza usalama wa chakula na kupunguza njaa katika ba&#341;a hilo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Jacques Diouf, Mku&#341;ugenzi Mkuu wa Shi&#341;ika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), aliwaambia wajumbe katika mkutano wa kanda ya Af&#341;ika mjini Luanda katika wiki ya kwanza ya Mei kuwa kulikuwa na haja ya kulenga katika &#8220;wazalishaji wadogo&#8221; na &#8220;kilimo cha familia&#8221;.<\/p>\n<p>Ujumbe wake ulika&#341;ibishwa na wajumbe kutoka mashi&#341;ika mbalimbali ya ki&#341;aia ba&#341;ani Af&#341;ika, vyama vya ushi&#341;ika vya wakulima na wanakampeni wa masuala ya vijijini waliokusanyika mjini Luanda katika mkutano sambamba na huo kuitaka FAO na watunga se&#341;a wa se&#341;ikali kusaidia wakulima wadogo.<\/p>\n<p>Mwaka 2009, se&#341;ikali ya Angola inayotegemea mafuta kwa kiasi kikubwa, iliathi&#341;ika kwa kiasi kikubwa na kuanguka kwa bei za mafuta kutokana na mtikisiko wa kiuchumi duniani, ilianzisha mpango kabambe wa kutoa msaada kubo&#341;esha fu&#341;sa za kilimo na kubo&#341;esha huduma nje ya miji mikubwa.<\/p>\n<p>Dhana ilikuwa kuchochea uchumi usiokuwa wa mafuta kwa kugeuza sekta ya kilimo ku&#341;ejea katika faida yake kabla ya uhu&#341;u wakati Angola ilipokuwa mzalishaji mkuu na muuzaji wa kahawa anayeongoza duniani.<\/p>\n<p>Lengo jingine la msingi kwa se&#341;ikali ni kujenga aji&#341;a vijijini na kujenga uendelevu wa muda m&#341;efu wa viwanda, wakati huo huo ikipunguza pia utegemezi wa kuagiza chakula kutoka nje na kuongeza usalama wa chakula.<\/p>\n<p>Dola bilioni moja za uwekezaji, zilizotangazwa kwa mbwembwe kubwa katika vyombo vya haba&#341;i vya se&#341;ikali ya Angola, pia zililenga katika kuka&#341;abati ba&#341;aba&#341;a kuongeza uwezekano wa kufikisha mazao ya mashambani katika masoko, kuanzisha teknolojia mpya za umwagiliaji na kukuza mbinu za kilimo kama vile uzalishaji wa mazao na hifadhi.<\/p>\n<p>Miezi kumi na mbili baadae, hata kama bajeti &#341;asmi katika kilimo bado ni ndogo chini ya asilimia mbili ya bajeti ya taifa hilo inayofikia dola bilioni 36 (kinyume na mapendekezo ya FAO ya asilimia 10), Angola inaonekana kuwa katika njia sahihi.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Uchumi Manuel Nunes J&uacute;nio&#341; ali&#341;ipoti Ap&#341;ili kuwa sekta ya kilimo ilikua kwa asilimia 29 wakati wa mwaka 2009. Ripoti ya Angola ya Machi 2010 kutoka GIEWS (Global Info&#341;mation and Ea&#341;ly Wa&#341;ning System), ilibainisha mavuno ya mahindi ya tani milioni 1.2, ongezeko kutoka asilimia 87 kutoka takwimu za mwaka 2008, na kuzalisha ziada kubwa kuwahi kutokea kwa miongo miwili.<\/p>\n<p>Lakini Se&#341;gio Calundungo, ambaye anaongoza NGO ya Action fo&#341; Ru&#341;al Development and Envi&#341;onment nchini Angola (inayojulikana kwa kifupi chake kwa lugha ya Ki&#341;eno kama ADRA) anasema takwimu za ongezeko za se&#341;ikali hazisemi hadithi nzima. Alionya kuwa uwekezaji mkubwa umekuwa katika miundombinu na mipango mikubwa ya sekta za umma na se&#341;ikali, na wala siyo mipango inayofaidisha wakulima wadogo.<\/p>\n<p>&#8220;Ni vigumnu kujua jinsi gani takwimu hizi zinakokotolewa. Na hata kulikuwa na asilimia 29 za ukuaji, zimetoka katika msingi wa chini mno,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Wasiwasi wetu ni kwamba kiasi kikubwa cha fedha zimekwenda upande mmoja, mi&#341;adi mikubwa ya miundombinu ambayo inaleta faida kubwa kwa idadi ndogo ya watu, lakini ni vigumu kuwa endelevu.<\/p>\n<p>&#8220;Kama kweli tunataka kushughulikia tatizo la usalama wa chakula na kupunguza umaskini vijijini, tunataka kusaidia wakulima wadogo moja kwa moja, kwasababu ndiyo wao wanaozalisha zaidi ya theluthi mbili ya mazao ya kilimo nchini.&#8221;<\/p>\n<p>Filomena Delgado, wazi&#341;i wa maendeleo vijijini, alikuwa anapinga dhana kuwa zilikuwa zikiwafikia wananchi wa Angola katika eneo dogo la kiuchumi.<\/p>\n<p>&#8220;Katika eneo la kijamii tunawekeza kwenye mashule, upatikanaji wa maji ya kunywa, maji kwa ajili ya wanyama,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Tunaanza kufanya kazi kwa kutumia mbinu mpya za umwagiliaji, ili tuweze kupunguza utegemezi wa mvua na kuwa na mazao ya ma&#341;a kwa ma&#341;a, na tunatoa misaada kwa ajili ya mafunzo ya vijijini.<\/p>\n<p>&#8220;Na katika maeneo ya kiuchumi tunafanya kazi kwa nguvu kuongeza uwezo wa wazalishaji wadogo, na kilimo cha familia, hususan katika maeneo ya ujasi&#341;iamali na biasha&#341;a.&#8221;<\/p>\n<p>Delgado alizungumza kwa kujiamini juu ya dola milioni 350 za mpango wa mikopo midogo (zinazoendeshwa kwa kushi&#341;ikiana na benki za biasha&#341;a) ambayo itawapatia wakulima wadogo na wa kati upatikanaji bo&#341;a wa mbegu, mbolea na vifaa.<\/p>\n<p>Ukiwa umependekezwa kwa ma&#341;a ya kwanza mwaka 2009, mpango huo hatimaye umeanzishwa tena na wakulima na vyama vya ushi&#341;ika ka&#341;ibuni wataanza kupata mikopo ya kati ya dola 150 na 200 kwa &#341;iba ya asilimia tano.<\/p>\n<p>Calundungo alisema: &#8220;kanuni ya kutoa fedha ni nzu&#341;i. Ni jambo zu&#341;i kuwa wakulima wadogo wanaweza kupata mikopo, na ni kiasi kikubwa cha fedha &ndash; lakini tunahitaji kuhakikisha kuwa mchakato unaongozwa kwa njia bo&#341;a na kwamba tunajifunza kutokana na makosa ya zamani wakati mipango ya mikopo inapovunjika.&#8221;<\/p>\n<p>Yeye pia alitoa wito wa usahihi juu ya ni nani atapata fedha hizo na jinsi gani matatizo ya umbali kwenda benki, na kukosekana kwa vitambulisho kwa kiasi na nya&#341;aka za usajili wa a&#341;dhi kutatatuliwa.<\/p>\n<p>&#8220;Angola iko katika nafasi nzu&#341;i kuliko nchi nyingi kutokana na kuwa na fedha za kutumia,&#8221; alisema Calundongo, &#8220;ni lazima tuhakikishe kuwa fedha hizi zinatumika kwa watu ambao wanazihitaji, siyo tu kwa ajili ya kuzitumia.&#8221;<\/p>\n<p>Undani wa shetani <\/p>\n<p>Rica&#341;dina Machado ni mku&#341;ugenzi wa Msaada wa Vyama vya Ushi&#341;ika katika Chama cha Taifa cha Umoja wa Wafanyakazi wa Vijijini Angola, ambao unafanya kazi kwa kushi&#341;ikiana na se&#341;ikali lakini unafadhiliwa na mashi&#341;ika binafsi.<\/p>\n<p>Alisema mfumo wa mikopo midogo nchini Angola utachukua muda kusimama kwa miguu yake, lakini ni njia bo&#341;a zaidi ya kusaidia wakulima wadogo kupata bidhaa kama vile mbegu na mbolea.<\/p>\n<p>Mpango wa se&#341;ikali unafuatia mipango mingine ya mikopo midogo inayoongozwa na Benki ya Dunia na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali ya kimataifa yanayofanya kazi ya kuja&#341;ibu kupunguza umaskini wa vijijini nchini Angola unaofikia asilimia 94.<\/p>\n<p>Machado alikubali bei za juu za bidhaa kutoka nje kama vile mbolea &ndash; kutoka dola 45 kwa mfuko wa kilo 50 &ndash; ina maana hata kukiwa na mifumo ya kutoa mikopo, wazalishaji wadogo walipata shida kupata bidhaa hizo walizozihitaji kuongeza uzalishaji wao.<\/p>\n<p>Lakini alisema kufanya uzalishaji mdogo kuwa wa kibiasha&#341;a zaidi ni changamoto kubwa zaidi.<\/p>\n<p>&#8220;Siyo &#341;ahisi kwa watu wengi kusafi&#341;isha bidhaa kwenda kwenye soko wakati huu kwasabbau ya ba&#341;aba&#341;a mbovu au kukosekana kwa mahali pa kuuzia,&#8221; alielezea.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini hili ni jambo ambalo se&#341;ikali inalifanyia kazi na tunaona mabadiliko, kwa mfano sasa kuna mipango ya kusindika nyanya huko Namibe na Huila na ba&#341;aba&#341;a zinazidi kuwa nzu&#341;i wakati wote.&#8221;<\/p>\n<p>Jambo la msingi katika kuendesha kilimo kibiasha&#341;a kulitakiwa kuwa Mpango wa Ku&#341;ekebisha Vifaa na Usambazaji wa Bidhaa Muhimu kwa Wananchi, unaojulikana kwa kifupi cha Ki&#341;eno kama PRESILD.<\/p>\n<p>Kumekuwa na dhana ya kujenga mfumo wa usambazaji kwa kutumia soko la se&#341;ikali la Nosso Supe&#341;, lakini kutokana na kukosekana kwa mwendelezo na gha&#341;ama kubwa za uzalishaji wa ndani, kiasi kikubwa cha chakula kilichopo katika makabati ya ofisi za Nosso Supe&#341; kinatoka Af&#341;ika Kusini na B&#341;azil.<\/p>\n<p>Masoko ya ndani yanayoendeshwa na PRESILD pia katika macho ya baadhi ya watu yameshindwa kuanza kufanya kazi kutokana na bei ya mboga na matunda kutokubadilika na kusababisha soko lisilokuwa &#341;asmi kupunguza mauzo.<\/p>\n<p>Calundungo anahitimisha: &#8220;Inatupasa kufiki&#341;i upya mpango huu kwasababu haufanyi kazi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUANDA, Mei 15 (IPS) &ndash; Fiki&#341;ia madogo kuondokana na matatizo makubwa &ndash; huo ulikuwa ujumbe kwa se&#341;ikali za Af&#341;ika zinazotakiwa kufanya kazi zaidi kuongeza usalama wa chakula na kupunguza njaa katika ba&#341;a hilo. Jacques Diouf, Mku&#341;ugenzi Mkuu wa Shi&#341;ika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), aliwaambia wajumbe katika mkutano wa kanda ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":507,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3287","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3287","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/507"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3287"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3287\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3287"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3287"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3287"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}