{"id":3286,"date":"2010-05-21T13:40:01","date_gmt":"2010-05-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/21\/dunia-kaskazini-inapaswa-kulipa-fidia-kusini-kutokana-na-mabadiliko-ya-tabia-nchi\/"},"modified":"2010-05-21T13:40:01","modified_gmt":"2010-05-21T13:40:01","slug":"dunia-kaskazini-inapaswa-kulipa-fidia-kusini-kutokana-na-mabadiliko-ya-tabia-nchi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/21\/dunia-kaskazini-inapaswa-kulipa-fidia-kusini-kutokana-na-mabadiliko-ya-tabia-nchi\/","title":{"rendered":"DUNIA: Kaskazini Inapaswa Kulipa Fidia Kusini Kutokana na Mabadiliko ya Tabia Nchi"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Mei 14 (IPS) &ndash; Kaskazini inapaswa kuilipa Kusini fidia kutokana na madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Huu ni msimamo wa P&#341;ofesa Pat&#341;ick Bond akitaka kuwepo kwa fidia ya kimazingi&#341;a ambayo ana imani Kaskazini inapaswa kufanya hivyo kutokana na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi. <\/p>\n<p>Aliiambia IPS kuwa, &#8220;ma&#341;a tu deni la mabadiliko ya tabia nchi linapojulikana, ni suala &#341;ahisi la jinsi gani ya kutoa fedha&#8221;. Bond ni mku&#341;ugenzi wa Kituo cha Jamii katika Chuo Kikuu cha Kwazulu Natal (CCS) mjini Du&#341;ban, Af&#341;ika Kusini. <\/p>\n<p>CCS inafanya kazi na wasomi, watafiti, mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na mashi&#341;ika ya chini katika jamii kutafuta ufumbuzi wa matatizo katika jamii.<\/p>\n<p>Akitoa mfano wa m&#341;adi wa maja&#341;ibio ambapo Uje&#341;umani inalipa fidia kwa jamii ya Namibia, Bond alisema kuwa fidia inapaswa kulipwa moja kwa moja kwa wanawake kwasababu wanateseka zaidi na mzigo wa kutunza familia na hivyo mzigo wa mabadiliko ya tabia nchi. Ma&#341;a nyingi wanaume wanachagua kuponda kiasi chochote cha fedha kilichosalia au kilichopo katika familia.<\/p>\n<p>Chini ya m&#341;adi wa maja&#341;ibio, se&#341;ikali ya Uje&#341;umani inalipa watu wanaoishi katika jumuiya kaskazini mwa Namibia mafao ya kila mwezi kutokana na kunyimwa haki wakati wa ukoloni wakati Uje&#341;umani inatawala nchi hiyo.<\/p>\n<p>Mawazo ya Bond yaliungwa mkono na mkutano wa haki ya hali ya hewa ambapo alikuwa akizungumza. Uliandaliwa na shi&#341;ika la Economic Justice Netwo&#341;k (EJN) katika Maba&#341;aza ya Kik&#341;isto Kusini mwa Af&#341;ika (FOCCISA) Mei 5&ndash;6 mjini Johannesbu&#341;g. Maba&#341;aza ya Kik&#341;isto ni mashi&#341;ika ya kanisa ambayo yanafanya kazi katika kanda ya Kusini mwa Af&#341;ika kutatua matatizo ya kijamii kama vile mabadiliko ya tabia nchi. <\/p>\n<p>EJN inafanya kazi ya kukuza haki ya kiuchumi katika nchi za Jumuiya ya Maendele Kusini mwa Af&#341;ika (SADC.<\/p>\n<p>&#8220;Tunakabiliwa na kupungua kwa mazao kusikokuwa kwa kawaida katika nchi nyingi za LDCs katika SADC ambako hakuwezi kuhusishwa na jambo lolote lile ila mabadiliko ya tabia nchi,&#8221; Mithika Mwenda, m&#341;atibu wa shi&#341;ika lenye makao yake mjini Nai&#341;obi la Pan Af&#341;ican Climate Justice Alliance (PACJA), aliiambia IPS. PACJA inafanya kazi ya kukuza maendeleo endelevu na haki ya kimazingi&#341;a.<\/p>\n<p>Mfano mwingine ni Msumbiji ambayo imeteseka na aidha mafu&#341;iko au ukame wa ma&#341;a kwa ma&#341;a uliotokana na mvua haba tangu mwaka 2001. Matokeo yake se&#341;ikali imelazimika kutumia fedha kusaidia wananchi wenye matatizo na kufadhili mipango ya kuishi na mabadiliko badala ya kutekeleza mipango ya maendeleo.<\/p>\n<p>&#8220;Hatuwezi kulaumu se&#341;ikali kwasababu kuondoka katika, kwa mfano, kilimo kinachotegemea mvua, kunagha&#341;imu fedha nyingi. Hapa ndipo tunapotoa wito kwa jumuiya ya kimataifa ambayo imesababisha mabadiliko ya tabia nchi kuja kwetu,&#8221; alisema Mwenda.<\/p>\n<p>Kuhusu mafu&#341;iko nchini Msumbiji, Bond alisema, &#8220;tunata&#341;ajia kuona zaidi ya hapa. Kuendelea kupungua kwa ukanda wa pwani kunasababisha kuondolewa kwa watu, hasa maskini na wenye maisha duni. Katika eneo hili ni wanawake na wakulima (ma&#341;a nyingine watu hao hao) ambao wako msta&#341;i wa mbele kutokana na kwamba wanakosa uwezo wa kukabiliana na hali hiyo.&#8221;<\/p>\n<p>Nchini Zambia watu maskini wanakabiliwa zaidi na madaha&#341;a ya mabadiliko ya tabiua nchi lakini pia inabidi kushughulikia kunyimwa haki. &#8220;Tunakabiliwa na mafu&#341;iko hata (katika mji mkuu) wa Lusaka lakini se&#341;ikali ina masikio kziwi. Wanadai kuwa mafu&#341;iko yanasabbaishwa na mifumo duni ya mife&#341;eji ya maji,&#8221; Geo&#341;ge Chibwana, afisa utetezi wa Ba&#341;a&#341;a la Makanisa la Zambia (ZCC), aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Katika yote haya, wanawake wanateseka zaidi kutokana na kwam,ba kijadi ni wao ambao wanatunza watoto, kuhakikisha kuwa chakula kinapatikana na kuandaa fmailia, kulima a&#341;dhi na ndiyo wao wanaokusanya kuni,&#8221; alisema Chibwana.<\/p>\n<p>&#8220;Mbali ya hilo, kipindupindu kinaongezeka na pia kuna ongezeko la mala&#341;ia ambao ma&#341;a nyingi umekuwa muuja namba moja nchini Zambia,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Ch&#341;istian Aid linakadi&#341;ia kuwa watu milioni 182 katika mataifa ya Kusini mwa Saha&#341;a, ambapo &#341;obo tatu ya nchi za LDCs yanapatikana, wanaweza kufa&#341;iki na ugonjwa huo kutokana na mabadiliko ya tabia nchi ifikapo mwishoni mwa ka&#341;ne.<\/p>\n<p>Nchini Zimbabwe, nchi ambayo imekuwa na ukuaji hasi wa kiuchumi kwa miaka 10 iliyopita, inaathi&#341;i mabadiliko ya tabia nchi ni tishio jipya kwa wakazi ambao wamezidiwa na ugumu wa maisha. Kwa miaka mitano iliyopita, maeneo ya tamba&#341;a&#341;e nchini humo, kama vile Lowveld, Bonde la Zambezi, Muza&#341;abani na maeneo ambayo yako ka&#341;ibu na Msumbiji, yameshuhudia kutokea kwa mafu&#341;iko.<\/p>\n<p>Hii imesababisha jumuiya nyingi kuhamia katika maeneo ya mwinuko halafu yanapoteza a&#341;dhi ya ufugaji na mali kwa njia ya mifugo na mazao.<\/p>\n<p>Hivi ka&#341;ibuni katika nchi za SADC, kama vile mvua duni, zimesbabisha mavuno duni nchini kama vile Malawi, Swaziland, Zambia, Msumbiji na Zimbabwe.<\/p>\n<p>Michelle P&#341;essend, m&#341;atibu wa shi&#341;ika lenye makao yake mjini Cape Town T&#341;ade St&#341;ategy G&#341;oup (TSG), alielezea kwa IPS kuwa &#8220;umaskini unakuja sambamba na kuegemea katika &#341;asilimali za asili, ambazo ma&#341;a nyingi zinaondolewa na madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi.&#8221; TSG ni mtandao usiokuwa &#341;asmi wa wanaha&#341;akati wa biasha&#341;a wenye lengo la kuendeleza mikakati kwa kuelekeza biasha&#341;a katika mazingi&#341;a endelevu.<\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti ya mabadilio ya tabia nchi ya PACJA ya mwaka 2009, yenye jina la &#8220;Gha&#341;ama za Kiuchumi za Mabadiliko ya tabia Nchi katika Af&#341;ika&#8221;, mabadiliko ya tabia nchi yatachangamana na sababu za kiuchumi, kijamii na kimazingi&#341;a kuongeza udhaifu wa Af&#341;ika katika siku za zamani, ikiwa ni pamoja na maji, usalama wa chakula, magonjwa, vita na kuangamiza kwa mali asili. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Mei 14 (IPS) &ndash; Kaskazini inapaswa kuilipa Kusini fidia kutokana na madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi. Huu ni msimamo wa P&#341;ofesa Pat&#341;ick Bond akitaka kuwepo kwa fidia ya kimazingi&#341;a ambayo ana imani Kaskazini inapaswa kufanya hivyo kutokana na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi. Aliiambia IPS kuwa, &#8220;ma&#341;a tu deni la mabadiliko ya tabia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":303,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3286","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3286","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/303"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3286"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3286\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3286"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3286"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3286"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}