{"id":3285,"date":"2010-05-21T13:40:01","date_gmt":"2010-05-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/21\/afrika-sauti-kali-na-ya-wazi-ya-kupinga-unyanyasaji-dhidi-ya-wanawake\/"},"modified":"2010-05-21T13:40:01","modified_gmt":"2010-05-21T13:40:01","slug":"afrika-sauti-kali-na-ya-wazi-ya-kupinga-unyanyasaji-dhidi-ya-wanawake","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/21\/afrika-sauti-kali-na-ya-wazi-ya-kupinga-unyanyasaji-dhidi-ya-wanawake\/","title":{"rendered":"AFRIKA: Sauti Kali na ya Wazi ya Kupinga Unyanyasaji Dhidi ya Wanawake"},"content":{"rendered":"<p>KEMPTON PARK, Af&#341;ika Kusini, Mei 12 (IPS) &ndash; Sauti ya mwanaha&#341;akati mwanamashai&#341;i Myesha Jenkins iliakisi ukutani: &#8220;Wanawake wako nje usiku; tunakata miti, baadhi wanatembea mitaani&#8230;&#8221;\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mashai&#341;i ya Jenkins yali&#341;ejewa na wenzake wanamashai&#341;i Zanele Faith Mavuso na Au&#341;a Zawanza&#341;uwa ambao walizungumzia maumivu ya unyanyasaji na nguvu ya wanaume.<\/p>\n<p>Ni mazingi&#341;a ambayo hayakuwa ya kawaida kwa wanamashai&#341;i wanawake wanaofanya kazi zao: mkutano wa se&#341;ikali wa Mei 11&ndash;12, mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na mashi&#341;ika ya Umoja wa Mataifa katika mkutano wa ushau&#341;iano wa kikanda wa mkakati wa Kusini mwa Af&#341;ika wa kusaidia kampeni ya &#8220;Af&#341;ica UNiTE Campaign to End Violence Against Women and Gi&#341;ls&#8221;.<\/p>\n<p>Kampeni ya kuungana ya UNiTE dhidi ya unyanyasaji wa wanawake, jitihada za miaka mingi za kuzuia na kutokomeza unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana, ilizinduliwa mwaka 2008 na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki&ndash;moon. Hadi sasa, wakuu wa nchi na mawazi&#341;i wa se&#341;ikali kutoka se&#341;ikali 69 wameongeza majina yao katika kampeni ya &#8220;Sema Hapana&#8221;.<\/p>\n<p>Kujitolea upya kutekeleza ahadi <\/p>\n<p>Ni kampeni ambayo waandaaji wanatumaini kuwa itapenyeza katika ko&#341;ido za se&#341;ikali na kusababisha kuchukua hatua na utekelezaji wa she&#341;ia nyingi, makubaliano na mikataba ambayo taya&#341;i inapatikana katika ba&#341;a zima kukomesha unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana.<\/p>\n<p>Makubaliano haya ni pamoja na makubaliano ya kimataifa kama vile CEDAW (Mkataba wa Kutokomeza Aina Zote za Unyanyaji Dhidi ya Wanawake, ulio&#341;idhiwa na nchi 51 za Af&#341;ika), Mkataba wa Roma, Itifaki ya Mkataba wa Af&#341;ika wa Haki za Wanawake na Itifaki za Haki za Binadamu; na Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika kuhusu Jinsia na Maendeleo.<\/p>\n<p>Itifaki ya SADC, pamoja na kampeni, ina lengo la &#8220;kupunguza nusu ya unyanyasaji wa kijinsia ifikapo mwaka 2015&#8221;. Na bado haijasainiwa na nchi za Mau&#341;itius na Botswana.<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi Mtendaji wa shi&#341;ika la kutetea haki ya wanawake la Gende&#341; Links Colleen Lowe Mo&#341;na, ambaye ni mwanachama wa Kamati ya Muda ya kanda ya kampeni ya UNiTE, alibainisha kuwa nchi zote za SADC zina &#341;asimu au mpango wa utekeleza (NAP) kukomesha unyanyasaji wa wanawake; nchi tisa za SADC zina she&#341;ia za unyanyasaji wa majumbani, saba katika makosa ya kujamiiana na tano katika biasha&#341;a ya binadamu.<\/p>\n<p>&#8220;Kampeni ya UNiTE inatupatia fu&#341;sa ya kipekee kufufua NAPs za sekta mbalimbali&#8230; inatupatia fu&#341;sa ya kuvutia wimbi jipya la utashi wa kisiasa na dhami&#341;a,&#8221; alisema Lowe Mo&#341;na.<\/p>\n<p>Mo&#341;na alitaka mkakati wa kikanda ufanye kazi na kuweka msisitizo katika kuzuia kwanza. &#8220;Semeni Hapana na kuweka kipaumbele katika kuzuia,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Unyanyasaji wa kijinsia umeenea <\/p>\n<p>Wakati kampeni ya UNiTE Af&#341;ika ilizinduliwa katika Umoja wa Af&#341;ika mjini Addis Ababa Janua&#341;i 17 nchi za Af&#341;ika ziliahidi kuziba pengo katika utekelezaji wa mikataba kadhaa na kujitolea kwa nchi za Af&#341;ika kuchukua hatua kutokomeza unyanyasaji dhidi ya wanawake.<\/p>\n<p>Azimio la Umoja wa Mataifa dhidi ya Unyanyasaji wa Wanawake linatafsi&#341;i unyanyasaji dhidi ya wanawake kama &#8220;kitendo chochote cha unyanyasaji wa kijinsia ambacho husababisha madha&#341;a ya kimwili, kingono au kisaikolojia au maumivu ya wanawake, ikiwa ni pamoja na vitendo vya vitisho, matumizi ya nguvu ya kunyimwa kwa makusudi uhu&#341;u wa kujitokeza mbele ya umma au katika maisha binafsi&#8221;.<\/p>\n<p>Hakuna takwimu zilizopo juu ya kiwango cha unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana ba&#341;ani Af&#341;ika lakini, kwa maneno ya Simone Ellis Oluoch&ndash;Olunya, naibu mku&#341;ugenzi wa mipango wa kanda wa UNIFEM, &#8220;umeenea&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Ba&#341;ani Af&#341;ika, kama ilivyo kwa kanda zote, mmoja kati ya wanawake watatu wanapigwa au kulazimishwa kufanya ngono au kudhalilishwa katika maisha yao,&#8221; alibainisha Oluoch&ndash;Olunya.<\/p>\n<p>Gha&#341;ama za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja za unyanyasaji zinaweza kugha&#341;amiwa k na nchi chache. <\/p>\n<p>Hii inazidishwa wakati wa vita.<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi wa UNIFEM Kusini mwa Af&#341;ika wa Nomcebo Manzini aliuliza: &#8220;Tumefanya nini kwa pamoja kwa ajili ya dada zetu huko DRC; kwa dada zetu wa Somalia. Ni jinsi gani tunaweza kuongeza ha&#341;akati na kufikia ngazi ya juu &#8220;<\/p>\n<p>Manzini pia alizungumzia suala la unyanyasaji na utamaduni.<\/p>\n<p>&#8220;Tamaduni ambazo zinakiuka haki za binadamu lazima zibadilishwe. Hili ni suala la msingi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Tofauti kati ya utamaduni na mila na destu&#341;i ya utamaduni, Manzini alisema: &#8220;Tusiwe na lengo la kubadili tamaduni za watu lakini tunataka kubadili miula na destu&#341;i mbaya ya za utamaduni. Ni mila na destu&#341;i ambazo zinatokana na tabia za kila siku ambazo hukiuka haki za binadamu. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna utamaduni hata mmoja ambao unathamini unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana.&#8221;<\/p>\n<p>Gab&#341;iella Rakotomanga, mkuu wa mipango wa shi&#341;ika la &#8220;Catholic Relief Se&#341;vices&#8221; nchini Madagasca&#341;, alionya kuwa kubadili mila na destu&#341;i za utamaduni kutachukua muda.<\/p>\n<p>Washi&#341;iki katika mkutano wa ushau&#341;iano &ndash; waliotoka katika wiza&#341;a za she&#341;ia, kitaifa na vitengo vya jinsia ikiwa ni pamoja na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kutoka nchi 14 za kusini mwa Af&#341;ika &ndash; wanatafuta njia za kuhamasisha na kutetea dhami&#341;a na mipango ya kitaifa. <\/p>\n<p>Kampeni ina lengo la kuleta mabadiliko chanya katika maeneo sita: unyanyasaji ndani ya familia dhidi ya wasichana na wavulana (unyanyasaji wa majumbani, unyanyasaji wa ma&#341;afiki, mapenzi kati ya ndugu, n.k.); ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji kingono kwa mapana yake; mila mbaya ni pamoja na ndoa za utotoni; unyanyasaji dhidi ya wanawake katika nchi zenye vita; uhusiano kati ya unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana na VVU na UKIMWI; na, usalama wa wanawake katika nafasi ya umma.<\/p>\n<p>Na kama sauti za wale wanaosema &#8220;Hapana&#8221; zitasikika na kuchukuliwa hatua, ni matumaini wanawake siku moja watatembea mitaani bila hofu ya unyanyasaji. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KEMPTON PARK, Af&#341;ika Kusini, Mei 12 (IPS) &ndash; Sauti ya mwanaha&#341;akati mwanamashai&#341;i Myesha Jenkins iliakisi ukutani: &#8220;Wanawake wako nje usiku; tunakata miti, baadhi wanatembea mitaani&#8230;&#8221; Mashai&#341;i ya Jenkins yali&#341;ejewa na wenzake wanamashai&#341;i Zanele Faith Mavuso na Au&#341;a Zawanza&#341;uwa ambao walizungumzia maumivu ya unyanyasaji na nguvu ya wanaume. Ni mazingi&#341;a ambayo hayakuwa ya kawaida kwa wanamashai&#341;i&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":773,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3285","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3285","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/773"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3285"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3285\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3285"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3285"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3285"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}