{"id":3281,"date":"2010-05-18T13:40:01","date_gmt":"2010-05-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/18\/maswali-na-majibu-kampeni-ya-kuzusha-hofu-ya-bidhaa-za-kupambana-na-bidhaa-bandia-inashangaza\/"},"modified":"2010-05-18T13:40:01","modified_gmt":"2010-05-18T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-kampeni-ya-kuzusha-hofu-ya-bidhaa-za-kupambana-na-bidhaa-bandia-inashangaza","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/18\/maswali-na-majibu-kampeni-ya-kuzusha-hofu-ya-bidhaa-za-kupambana-na-bidhaa-bandia-inashangaza\/","title":{"rendered":"Maswali na Majibu: &#8221; Kampeni ya Kuzusha Hofu ya Bidhaa za Kupambana na Bidhaa Bandia Inashangaza"},"content":{"rendered":"<p>KAMPALA, Mei 10 (IPS) &ndash; Upinzani wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kuwa se&#341;a ya kupambana na bidhaa bandia katika Af&#341;ika Masha&#341;iki inaweza kusababisha kuzuia madawa ya bei nafuu na halali yanayotengenezwa kwa leseni yana lengo la kuzusha hofu miongoni mwa watu &#8220;wasiokuwa na utashi mpana&#8221; katika kanda.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Haya ni maoni ya Juma Mwapachu, katibu mkuu wa Jumuiya ya Af&#341;ika Masha&#341;iki (EAC), kama alivyoyaeleza katika mahojiano na Wambi Michael wa IPS. <\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wameonyesha wasiwasi wao kuwa se&#341;a za kitaifa na kikanda za ka&#341;ibuni na miswada ya she&#341;ia itanyima Waganda, Wakenya na wananchi wengine wa Af&#341;ika Masha&#341;iki kupata madawa ya bei nafuu, salama, yanayofanya kazi,na bo&#341;a ambayo hutengenezwa kwa leseni na ni mengi kati ya madawa yanayotumiwa katika kanda.<\/p>\n<p>Wakati akishindwa kuthibitisha ni kwa jinsi gani wasiwasi wa madawa yanayotengenezwa kwa leseni utakuja kudhibitiwa katika se&#341;a ya EAC na she&#341;ia za bidhaa bandia, alisisitiza kuwa se&#341;ikali za Af&#341;ika Masha&#341;iki hazitakiuka Maeneo ya Haki Miliki yanayohusiana na biasha&#341;a ambayo yana&#341;uhsu nchi zenye maendeleo duni (LDCs) kuweza kubadilika kiu&#341;ahisi kuhusu haki miliki na madawa.  <\/p>\n<p>Sehemu ya 2 ya mahojiano inafuata hapa chini.<\/p>\n<p>Q: Wasiwasi wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia ni kwamba se&#341;a inayopendekezwa inaonekana kuja kuingiliana na uwezekano wa mabadiliko kama ulivyotolewa na mkataba wa Shi&#341;ika la Biasha&#341;a Ulimwenguni wa TRIPS. <\/p>\n<p>A: Ninakuambia kuwa hatupo mahali popote pale ka&#341;ibu ya kupeleka muswada katika bunge la Af&#341;ika Masha&#341;iki. Kwa sasa upo kwa washau&#341;i wataalam. Kwa bahati mbaya, sijaona &#341;asimu ya muswada.<\/p>\n<p>Q: Nimeiona na tatizo ni kwamba se&#341;a na muswada unaonekana kupendekeza mambo mengine badala ya afya ya umma. <\/p>\n<p>A: Mimi kama katibu mkuu naweza kukuambia kuwa sijaona &#341;asimu ya muswada. Kwa hakika, ilikuwa tu (mwezi Ap&#341;ili 26) uliletwa kwangu. Hii ni kutokana na nilikuwa nashi&#341;iki katika mkutano wa kilele wa Mfuko wa Mazingi&#341;a ya Uwekezaji (ICF) jijini Da&#341; es Salaam Mei 3 na 4 (ambapo suala la bidhaa bandia lilikuwa katika ajenda). <\/p>\n<p>Nilitaka kuanza pale tulipofikia. Lakini hata sijaupitia. Hata mwanashe&#341;ia wangu wa Jumuiya ya Af&#341;ika Masha&#341;iki hajaona muswada. Hivyo, tunazungumzia nini hapa <\/p>\n<p>Q: Ni jukumu gani ICF imekuwa nalo katika mchakato huo  ICF inadaiwa kuwakilisha maslahi ya makampuni ya kimataifa yanayopinga upatikanaji wa madawa yanayotengenezwa kwa leseni. <\/p>\n<p>A: Huo ni uongo unaoenezwa na wale wanojiita vyama vya ki&#341;aia. Tuna uhusiano wa kikazi na Mfuko wa Mazingi&#341;a ya Uwekezaji ambao unakwenda zaidi ya se&#341;a na kupambana na bidhaa bandia. Katika kushi&#341;ikiana na ICF tumekuwa katika m&#341;adi mwingine kufanya she&#341;ia za biasha&#341;a za nchi wanachama zifanane wakati tunapojiandaa na soko la pamoja. <\/p>\n<p>ICF imeandaa o&#341;odha ya she&#341;ia kama hiyo. Hadi sasa she&#341;ia 45 za biasha&#341;a, usajili wa biasha&#341;a, uwekezaji, bima na benki zimeshabainishwa na washau&#341;i wataalam. Hawajavutiwa tu na she&#341;ia zinazopambana na bidhaa bandia, kama inavyoonekana kupendekeza.<\/p>\n<p>Q: Wasiwasi ni kwamba se&#341;a walizowahi kufadhili zinaweza kuondokana na hali ya kubadilika kiu&#341;ahisi ambayo LDCs zinapaswa kufaidika chini ya TRIPS wakati linapokuja suala la usajili wa majina ya biasha&#341;a na upatikanaji wa madawa.<\/p>\n<p>A: Wanachama wetu wote wamesaini mkataba wa WTO. Hakuna jinsi kwamba tunaweza kuwa na she&#341;ia ya kikanda ambazo zinaingiliana na she&#341;ia za kimataifa. Usisambaze hofu miongoni mwa Waaf&#341;ika Masha&#341;iki, hasa wale ambao wanaugua gonjwa hili (la UKIMWI). Hii inasababisha hofu zisizokuwa na msingi. Hatuna watu wanaofiki&#341;ia mambo kwa undani. <\/p>\n<p>Q: Una imani kuwa madawa yanayotengenezwa kwa leseni yanapaswa kuachwa katika fasili pana kama ilivyo katika &#341;asimu ya se&#341;a na muswada wa EAC <\/p>\n<p>A: Hatutakuja kukiuka TRIPS, ambayo iko wazi katika madawa yanayotengenezwa kwa leseni. Tutawezaje kukiuka she&#341;ia ya kimataifa ambayo nchi zetu zimesaini  Haiwezekani. <\/p>\n<p>Q: Je kuhusu madawa yanayotengenezwa kwa leseni  <\/p>\n<p>A: Naweza kukuhakikishia kuwa tutazingatia she&#341;ia za kimataifa, hasa TRIPS. Natumia madawa yanayotengenezwa kwa leseni kwasababu siwezi kununua madawa ya kampuni halisi. Hivyo nitakuwa mtu wa mwisho kuzuia uingizwaji wake. <\/p>\n<p>Naunga mkono mipango ya upatikanaji wa madawa lakini siyo yale yanayosambazwa na wafanyabiasha&#341;a wapuuzi ambao wanafanya mahusiano na wauzaji waliojificha na kuleta panadol ext&#341;a, ambayo ni chaki, au metakalfin ambayo siyo metakalfin halisi. Wanataka kuua watu wetu. Hapana, hapana, sita&#341;uhusu uingizaji nchini wa bidhaa hizi bandia na kuangamiza maisha ya watu wetu. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA, Mei 10 (IPS) &ndash; Upinzani wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kuwa se&#341;a ya kupambana na bidhaa bandia katika Af&#341;ika Masha&#341;iki inaweza kusababisha kuzuia madawa ya bei nafuu na halali yanayotengenezwa kwa leseni yana lengo la kuzusha hofu miongoni mwa watu &#8220;wasiokuwa na utashi mpana&#8221; katika kanda. Haya ni maoni ya Juma Mwapachu, katibu mkuu wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":0,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3281","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3281","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3281"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3281\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3281"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3281"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3281"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}