{"id":3278,"date":"2010-05-17T13:40:01","date_gmt":"2010-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/17\/mauritius-siasa-kupigia-kua-mustakabali-wa-baadae\/"},"modified":"2010-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2010-05-17T13:40:01","slug":"mauritius-siasa-kupigia-kua-mustakabali-wa-baadae","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/17\/mauritius-siasa-kupigia-kua-mustakabali-wa-baadae\/","title":{"rendered":"MAURITIUS&ndash;SIASA: Kupigia Ku&#341;a Mustakabali wa Baadae"},"content":{"rendered":"<p>PORT&ndash;LOUIS, Mei 6 (IPS) &ndash; Wazi&#341;i Mkuu aliyemaliza muda wake Navin Ramgoolam ameshinda tena uchaguzi wa Mau&#341;itius, na ku&#341;ejea katika ofisi kwa awamu ya tatu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Muungano wa Mustakabali wa Baadae wa Ramgoolam ulipata viti 41 katika bunge lijalo ikilinganishwa na viti 18 vilivyochukuliwa na upande wa upinzani ujulikanao kama Muungano wa Moyo, ukiongozwa na Paul B&eacute;&#341;enge&#341;. <\/p>\n<p>Kiti kimoja kilichukuliwa na chama cha F&#341;ont Solida&#341;it&eacute; Mau&#341;icien, chama cha siasa cha Kiislam. Wagombea kumi wanawake kati ya 21 walioteuliwa na muungano wa pande mbili walichaguliwa. Miaka mitano iliyopita wanawake 13 walichaguliwa.<\/p>\n<p>Wakati Mau&#341;itius ikienda katika uchaguzi kuchagua se&#341;ikali mpya katika uchaguzi uliokuwa na upinzani mkali, katika kisiwa hicho wanawake walikuwa wakipiga ku&#341;a kwa ajili ya maisha bo&#341;a.<\/p>\n<p>Katika kufunga vituo vya ku&#341;a jioni ya Mei 5, asilimia 77.8 ya wapiga ku&#341;a 879 897 waliojiandikisha walipiga ku&#341;a zao ikilinganishwa na asilimia 81.5 ya waliopiga ku&#341;a mwaka 2005. <\/p>\n<p>Pande mbili zilikuwa zikivutana &ndash; pamoja na idadi kubwa ya vyama vidogo vya siasa na wagombea hu&#341;u 549 walishi&#341;iki katika uchaguzi.<\/p>\n<p>Wito wa wapigania haki za binadamu wa kutaka kuingizwa wagombe wengi wanawake haukusikilizwa na viongozi wa kisiasa kwani ni wagombea 21 tu kati ya 120 katika vyama viwili vikubwa walikuwa wanawake na wanawake 58 kati ya wagombea binafsi 549 walishindia uchaguzi huo.<\/p>\n<p>Siyo wapiga ku&#341;a wote wanawake waliohojiwa na IPS walisema walitaka wagombea wanawake zaidi kuingia bungeni, lakini wote walikubali &ndash; walikuwa wakipigia ku&#341;a maisha yao ya baadae. Kujitokeza kwa wingi kwa wanawake katika kupiga ku&#341;a kulionekana katika kisiwa kizima, pamoja na kwamba takwimu za se&#341;ikali hazijatolewa bado. <\/p>\n<p>Anusha Em&#341;ith (22) asiyekuwa na aji&#341;a kutoka Rivi&#038;eg&#341;ave;&#341;e du Rempa&#341;t, kaskazini mwa Mau&#341;itius, anasema alipigia ku&#341;a mabadiliko katika se&#341;ikali kwasababu&#8221; hakuna uongozi wenye sifa katika kisiwa&#8221;.<\/p>\n<p>Em&#341;ith alishaomba aji&#341;a katika utumishi wa umma ma&#341;a kadhaa wakati wa miaka miwili iliyopita na bado hajapata. Analaumu wawakilishi bungeni kutokana na kushindwa kwake kufanikiwa, akisema: &#8220;Hakuna anayeunga mkono maombi yangu&#8221;. <\/p>\n<p>Kavita Nunkoo kutoka Ba&#341;low, masha&#341;iki mwa Mau&#341;itius, anataka se&#341;ikali aliyopigia ku&#341;a kuleta neema kisiwani humo na kufanya kazi kwa ajili ya watu. Wanawake wengi wanavutiwa na siasa lakini ni wachache mno wangependa kushi&#341;iki katika uchaguzi, hata ule wa ngazi ya se&#341;ikali za mitaa, mwanamke huyo aliiambia IPS katika mahojiano. <\/p>\n<p>Lakini Nunkoo, ambaye ni mwanaha&#341;akati kutoka Labou&#341; Pa&#341;ty, alisema kama anapata nafasi atasimama kama mgombea wa kisiasa. Anasisitiza kuwa wanawake wengi hawana aji&#341;a na wanahitaji msaada kutoka se&#341;ikalini.<\/p>\n<p>&#8220;Wanafanya kazi hadi jioni katika viwanda. Hii inachosha mno. Nataka kubo&#341;eka kwa hali hii.&#8221;<\/p>\n<p>Lakini mpiga ku&#341;a mwingine, Shi&#341;een Allybaccus, anadhani kwa sasa kuna wanawake wa kutosha katika siasa.<\/p>\n<p>&#8220;Wanawake wengi zaidi hawawezi kuacha majukumu yao nyumbani kuendesha siasa ambapo mtu anahitaji watu. Wanawake hawawezi kuwa na muda huo mwingi kuutoa kwa ajili ya siasa.&#8221; Alipigia ku&#341;a wagombea wanaume.<\/p>\n<p>Mau&#341;itius haijasaini Itifaki ya SADC ya Jinsia na Maendeleo ambayo inahitaji nchi wanachama kuwa na asilimia 30 ya uwakilishi wa wanawake bungeni kwa kusema kuwa vifungu vya kuingiza hatua hiyo ni kinyume na Katiba ya nchi hiyo ya kisiwa. <\/p>\n<p>Na vyama viwili vikubwa havijaja&#341;ibu kuingiza wanawake zaidi katika o&#341;odha zao za wagombea. Muungano wa Maisha ya Baadae, ukiongozwa na Ramgoolam, una wagombea wanawake 13 tu. Chama cha Be&#341;enge&#341; kina wanawake nane tu. Hii imejitokeza pamoja na ahadi ya Be&#341;enge&#341; kuwa ata&#341;ekebisha Katiba ili moja ya tatu ya viti katika Bunge itengwe kwa ajili ya wanawake kama akiingia mada&#341;akani.<\/p>\n<p>Lakini siyo wanawake wote wana mashaka kuhusu uwakilishi wa wanawake.<\/p>\n<p>&#8220;Napenda chama cha Muungano wa Maisha ya Baadae na kiongozi wake Navin Ramgoolam,&#8221; Neelam Ramsu&#341;&#341;un aliiambia IPS alipokuwa akiondoka katika kituo cha kupigia ku&#341;a. &#8220;Ma&#341;a zote familia yangu imekuwa ikimpigia ku&#341;a vizazi na vizazi. Hatutaacha sasa. Anafanya kazi nzu&#341;i,&#8221; alidai.<\/p>\n<p>Wagombea sitini (watatu kutoka kila majimbo 20 ya kisiwa hicho na wawili kutoka kisiwa cha Rod&#341;igues) watachaguliwa katika mfumo wa anayeongoza kwa ku&#341;a anashinda. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PORT&ndash;LOUIS, Mei 6 (IPS) &ndash; Wazi&#341;i Mkuu aliyemaliza muda wake Navin Ramgoolam ameshinda tena uchaguzi wa Mau&#341;itius, na ku&#341;ejea katika ofisi kwa awamu ya tatu. Muungano wa Mustakabali wa Baadae wa Ramgoolam ulipata viti 41 katika bunge lijalo ikilinganishwa na viti 18 vilivyochukuliwa na upande wa upinzani ujulikanao kama Muungano wa Moyo, ukiongozwa na Paul&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":730,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3278","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3278","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/730"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3278"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3278\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3278"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3278"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3278"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}