{"id":3276,"date":"2010-05-17T13:40:01","date_gmt":"2010-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/17\/afrika-kusini-afya-ya-vijana-katika-hatai-kubwa\/"},"modified":"2010-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2010-05-17T13:40:01","slug":"afrika-kusini-afya-ya-vijana-katika-hatai-kubwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/17\/afrika-kusini-afya-ya-vijana-katika-hatai-kubwa\/","title":{"rendered":"AFRIKA KUSINI: Afya ya Vijana Katika hata&#341;i Kubwa"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Mei 5 (IPS) &ndash; &#8220;Ma&#341;a nyingine nakunywa pombe kwasababu inafanya mambo kuwa mazu&#341;i,&#8221; alisema Senelo* mwenye um&#341;i wa miaka 15 huku akionyesha aibu. &#8220;Nakwenda kwenye maeneo yasiyokuwa &#341;asmi. Wanauza pombe bila kuuliza maswali.&#8221;\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kijana mzu&#341;i kutoka kitongoji cha Mfuleni kama kilomita 35 nje ya mji wa Cape Town yupo mbali mno kuwa mfano mzu&#341;i wa kuigwa. Asilimia thelathini na tano ya vijana nchini Af&#341;ika Kusini wanasema wanakunyw apombe, na asilimia 29 ni walevi wa kupindukia.<\/p>\n<p>Hii ni kulingana na Utafiti wa Tabia Hata&#341;ishi kwa Vijana wa mwaka 2008 uliofanywa na Ba&#341;aza la Utafiti wa Madawa la Taifa (MRC), na kutolewa Ap&#341;ili. Watafiti wa MRC waliwahoji zaidi ya vijana 10,000 wa da&#341;asa la 8 hadi 11 katika zaidi ya shule za sekonda&#341;i za umma 200 nchini kote. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa kiasi kikubwa nakunywa bia na vinywaji mchanganyiko, lakini ninapokuwa nimekunywa lazima natapika,&#8221; Senelo alielezea wakati akipitisha mkono wake kwenye nywele zake kwa hofu, akitambua wazi kuwa tabia yake haiendani na um&#341;i wake. &#8220;Ninapo&#341;ejea nyumbani, nahakikisha mama hanioni na kunishtukia.&#8221;<\/p>\n<p>Watafiti wana imani kuwa kiwango cha matumizi ya pombe kwa vijana nchini Af&#341;ika Kusini ni kikubwa mno.<\/p>\n<p>&#8220;Pombe inapatikana kwa u&#341;ahisi, kutokana na kuwa sehemu ya mwingiliano wa kijamii,&#8221; alibainisha Aadielah Make&#341;, kiongozi mwandamizi wa uhamasishaji wa kijamii katika Taasisi ya Afya na Mawasiliano ya Maendeleo ya Soul City. <\/p>\n<p>Mbali ya matumizi ya pombe, matumizi ya madawa mengine ya kulevya ni makubwa pia. Ka&#341;ibu theluthi ya wanafunzi wanavuta tumbaku. Kwa kuongeza, asilimia 13 ya waliolazwa walikubali kuwahi kuvuta bangi, asilimia 12 wameja&#341;ibu kuvuta unga na asilimia saba wametumia madawa ya kulevya aina ya cocaine, methamphetamine au Mand&#341;ax.<\/p>\n<p>&#8220;Katika jmumuiya yangu, kuna vijana wengi mno wanaovuta dagga [bangi], tik [methamphetamine] au kunusa gundi,&#8221; alithibitisha Jabulani*, kijana mwenye um&#341;i wa miaka 17 ambaye anasema hutumia muda wake mwingi wa mapumziko katika uwanja wa mpi&#341;a. &#8220;Naja&#341;ibu kutojishi&#341;ikisha nao. Wengi wao wana mahusiano na magenge ya wahuni, na wengi wanashi&#341;iki katika uhalifu.&#8221;<\/p>\n<p>Asilimia ipatayo 15 ya vijana wali&#341;ipoti kuwa na silaha, asilimia 19 walisema wana uhusiano na magenge ya wahuni, utafiti wa MRC uligundua. &#8220;Hii inatisha mno. Naamini hii inahusiana na mahitaji ya vijana ya kutambuliwa na inaonyesha kukosekana kwa msaada wa kifamilia,&#8221; alisema meneja mwandamizi wa kliniki wa MRC anayehusika na Utafiti wa Ukuzaji wa Afya na Kitengo cha Maendeleo Dk. Shegs James.&#8221;<\/p>\n<p>Katika kipindi cha miezi sita iliyopita, &#341;obo ya wanafunzi wali&#341;ipoti kuhisi huzuni na kukata tamaa. Asilimia ishi&#341;ini na moja wamefiki&#341;ia kujinyonga, wakati asilimia nyingine 21 walija&#341;ibu kutoa uhai wao. &#8220;Idadi hiyo ni kubwa. Inakatisha tamaa kuona kuwa hali ya kimawazo ya vijana ni tete mno,&#8221; alibainisha James.<\/p>\n<p>Thabo* mwenye um&#341;i wa miaka kumi na nne anasema vijana wenzake wengi wanahisi namna hii: &#8220;Ma&#341;afiki zangu wengi wana huzuni na kukata tamaa. Hawana matumaini kuhusu mustakabali wa maisha yao. Mmoja wa ma&#341;afiki zangu ana VVU. Anakaa tu nyumbani na kulia na alishawahi kuja&#341;ibu kujiua.&#8221;<\/p>\n<p>G&#341;ace Mathlape, afisa mtendaji mkuu wa shi&#341;ika la kuzuia VVU la LoveLife, anasema utafiti huo unachapa picha ya vijana ambao wanakosa msaada kwa ujumla: &#8220;Kunaonekana kuwepo kwa kiwango kikubwa cha kutokuwa na matumaini ambacho kinasababisha kuongezeka kwa hata&#341;i. Kinachofanya mambo kuwa mabaya zaidi ni kwamba tabia zote hizi zinahusiana.&#8221; <\/p>\n<p>Pombe, ambayo ma&#341;a nyingi ni kilevi cha kwanza kutumiwa, huongeza uwezekano wa tabia nyingine hata&#341;ishi kama vile kutumia madawa ya kulevya, kuweza kudhalilishwa na tabia za ngono isiyokwua salama.<\/p>\n<p>Ka&#341;ibu asilimia 40 ya vijana wenye um&#341;i kati ya miaka 13&ndash; hadi 19 walisema wamewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi, wakati asilimia 13 wakisema kwa ma&#341;a ya kwanza walifanya ngono wakiwa na um&#341;i wa chini ya miaka 14, kulingana na utafiti. Miongoni mwa wanafunzi ambao waliwahi kufanya ngono, asilimia 41 wamewahi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja, asilimia 16 walifanya ngono baada ya kunywa pombe na asilimia 14 walifanya ngono baada ya kutumia madawa. <\/p>\n<p>Chini ya theluthi moja walitumia kondomu ma&#341;a kwa ma&#341;a, wakati asilimia 10 walisema walilazimishwa kufanya ngono. &#8220;Kuna nafasi kubwa kuwa wameambukizwa VVU na magonjwa mengine ya zinaa,&#8221; alionya James.<\/p>\n<p>Matumizi ya kondomu ni madogo pamoja na ukweli kwamba asilimia 65 walisema wamepata elimu ya VVU.<\/p>\n<p>&#8220;Maa&#341;ifa hayaonekani kuwa tatizo, lakini upatikanaji wa huduma ni tatizo,&#8221; alisema Make&#341;. &#8220;Ma&#341;a nyingi vijana wanabaguliwa wanapoja&#341;ibu kutumia njia za uzazi wa mpango au kondomu katika kliniki ya maeneo yao.&#8221;<\/p>\n<p>Senelo \tanatambua hili kutokana na uzoefu alionao. &#8220;Kuna wakati nilienda kliniki kwasababu nilikuwa na matatizo sehemu za si&#341;i. Nesi alinifokea, akisema ni mdogo mno kuwa na mpenzi wa kiume. Hakuwa mzu&#341;i,&#8221; anakumbuka. &#8220;Lakini sijawahi kufanya ngono. Sasa, siwezi kujisikia vizu&#341;i kwenda tena kuomba njia za uzazi wa mpango.&#8221;<\/p>\n<p>Kukosa huduma za afya pia kunatafsi&#341;iwa kuchangia katika idadi kubwa ya mimba zisizota&#341;ajiwa. Ka&#341;ibu asilimia 20 ya vijana walisema waliwahi kuwa na mimba au walimpa mtu mimba, jambo ambalo James alilielezea kama &#8220;asilimia kubwa mno. Kimantiki, takwimu zingekuwa chini ya asilimia tano.&#8221; <\/p>\n<p>Wakati wa kugawa matokeo ya utafiti katika ngazi tatu za kuhata&#341;isha maisha kwa asilimia 17.5 na asilimia 16.6 zilikuwa ni alama za kati na ngazi ya hata&#341;i kubwa.<\/p>\n<p>&#8220;Hii ina maana kuwa kama theluthi moja ya vijana wa Af&#341;ika Kusini wako matatizoni. Hili ni jambo linalotia mashaka mno,&#8221; alionya James. Pamoja na kwamba ni vigumu kusema sababu za kiwango cha juu cha tabia hata&#341;ishi, ana imani kuwa mchanganyiko wa sababu za kijamii na kiuchumi huchangia, kukosa malezi ya wazazi na mifumo ya jadi.<\/p>\n<p>&#8220;Kama hatutachukua hatua, janga litafikia kiwango kisichozuilika,&#8221; Mathlape alionya. &#8220;Hali inatisha mno.&#8221;<\/p>\n<p>Alitoa wito kuwepo kwa p&#341;og&#341;amu kubwa za vijana ambazo zinabuniwa kulingana na um&#341;i tofauti na zina shabaha pana za kupunguza hata&#341;i zote za kiafya. Kwa sasa, mipango mingi ya afya ya vijana nchini Af&#341;ika Kusini inalenga katika tabia ya kujamiina.<\/p>\n<p>Watafiti wa MRC wana matumaini kuwa matokeo ya utafiti yatahamasisha ida&#341;a mbalimbali za se&#341;ikali, kama vile elimu na afya, kufanya bajeti iwepo kutekeleza p&#341;og&#341;amu nchini kote. <\/p>\n<p>*Majina yamefichwa kulinda watoto. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Mei 5 (IPS) &ndash; &#8220;Ma&#341;a nyingine nakunywa pombe kwasababu inafanya mambo kuwa mazu&#341;i,&#8221; alisema Senelo* mwenye um&#341;i wa miaka 15 huku akionyesha aibu. &#8220;Nakwenda kwenye maeneo yasiyokuwa &#341;asmi. Wanauza pombe bila kuuliza maswali.&#8221; Kijana mzu&#341;i kutoka kitongoji cha Mfuleni kama kilomita 35 nje ya mji wa Cape Town yupo mbali mno kuwa mfano&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":211,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3276","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3276","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/211"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3276"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3276\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3276"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3276"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3276"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}