{"id":3274,"date":"2010-05-17T13:40:01","date_gmt":"2010-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/17\/angola-kuimaisha-vita-dhidi-ya-malaia-nchini-angola\/"},"modified":"2010-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2010-05-17T13:40:01","slug":"angola-kuimaisha-vita-dhidi-ya-malaia-nchini-angola","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/17\/angola-kuimaisha-vita-dhidi-ya-malaia-nchini-angola\/","title":{"rendered":"ANGOLA: Kuima&#341;isha Vita dhidi ya Mala&#341;ia Nchini Angola"},"content":{"rendered":"<p>LUANDA, Ap&#341; 30 (IPS) &ndash; Akiwa amejifunika boksi la plastiki, Eva Angelino anamtishia Odelina mwenye um&#341;i wa miezi 11, akija&#341;ibu kumnyamazisha asilie. Mama na binti wanasubi&#341;i katika foleni nje ya kituo cha afya ambacho hakiko mbali na katikati mwa jiji la Angola la Luanda.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Unatakiwa kuwa mvumilivu mno hapa,&#8221; alivuta pumzi Eva mwenye um&#341;i wa miaka 24. &#8220;Nilikuwa hapa jana tangu saa mbili asubuhi hadi saa nane mchana nikisubi&#341;i kupima mala&#341;ia kwa ajili yetu sote halafu tukaambiwa tu&#341;ejee tena leo.<\/p>\n<p>&#8220;Wana kipimo kimoja tu cha kupimia na hii ndiyo sababu inachukua muda m&#341;efu.&#8221;<\/p>\n<p>Kama kipimo cha Odelina kitaonyesha ana ugonjwa, itakuwa ma&#341;a ya tatu anapata mala&#341;ia katika maisha yake mafupi, mama yake anaelezea.<\/p>\n<p>&#8220;Jambo muhimu ni kwamba unapata dawa kwa muda unaotakiwa,&#8221; alisema, &#8220;Halafu itakuwa sawa, lakini kama hupati dawa ha&#341;aka, una matatizo.&#8221;<\/p>\n<p>Inakadi&#341;iwa kuwa watu milioni tatu hupata ugonjwa wa mala&#341;ia kila mwaka nchini Angola ambayo ina jumla ya wakazi milioni 17.<\/p>\n<p>Hata hivyo, hiki ni kiwango cha chini ikilinganishwa na nchi nyingine za Af&#341;ika kama vile Msumbiji, ambako kuna wastani wa wagonjwa milioni 7.4 kwa mwaka au zaidi ya wagonjwa milioni 11 kwa mwaka nchini Tanzania.<\/p>\n<p>Lakini hakuna ambaye ana uhakika juu ya idadi ya wagonjwa wa mala&#341;ia nchini Angola kutokana na udhaifu wa mifumo ya kutoa taa&#341;ifa.<\/p>\n<p>Anayesubi&#341;i ng&#8217;ambo ya ba&#341;aba&#341;a kutoka kituo cha afya wakati mke wake akijipanga katika folenini Rica&#341;do Ba&#341;&#341;os, ambaye aliiambia IPS kuwa mala&#341;ia yalikuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa watu wa nchi hiyo.<\/p>\n<p>&#8220;Nimekua na mala&#341;ia, yalikuwa sehemu ya utoto wangu. Siwezi kukumbuka ni ma&#341;a ngapi nimepata ugonjwa huo,&#8221; alisema mwanaume wa miaka 30. &#8220;Unaua watu wengi mno na tunahitaji kutafuta njia ya kupunguza ugonjwa huo.&#8221;<\/p>\n<p>Akielekeza kidole katika mlima wa taka katika eneo la ka&#341;ibu, Ba&#341;&#341;os asiyekuwa na aji&#341;a alisema: &#8220;Se&#341;ikali inahitaji kuweka nguvu zaidi katika kuwekeza kwenye maeneo kama hili, kubo&#341;esha mazingi&#341;a ili kuondokana na taka na kuachana na maji haya machafu katika mazingi&#341;a, halafu nadhani sitaona mala&#341;ia ikiongezeka.&#8221;<\/p>\n<p>Kiasi kikubwa cha fedha hata hivyo taya&#341;i kinatumiwa katika kupambana na mala&#341;ia nchini Angola.<\/p>\n<p>Nchi hiyo inayozungumza lugha ya Ki&#341;eno, ambayo iliibuka kutoka kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2002, ni moja ya mataifa 15 yanayofaidika na Mpango wa Rais wa Kupambana na Mala&#341;ia (PMI), mpango wa miaka mitano wa dola bilioni 1.2 unaoongozwa na Shi&#341;ika la Maendeleo ya Kimataifa la Ma&#341;ekani (USAID) na kutekelezwa na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC).<\/p>\n<p>Fedha zinatumika katika kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa afya katika kutumia vizu&#341;i madawa mseto aina ya a&#341;temisinin (ACT ambayo ma&#341;a nyingi yanajulikana kama Coa&#341;tem) na kuchukua vipimo vya maaba&#341;a, ikiwa ni pamoja na kunyunyiza dawa ndani ya nyumba na usambazaji bu&#341;e wa vyanda&#341;ua.<\/p>\n<p>Mfuko wa Dunia wa Kupambana na VVU\/UKIMWI, Kifua Kikuu, na Mala&#341;ia pia umetenga kiasi kikubwa cha mipango ya kupambana na mala&#341;ia nchini Angola, huku fedha zikigawanywa kati ya Shi&#341;ika la Fedha Ulimwenguni (WHO), Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF), Shi&#341;ika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) na shi&#341;ika la huduma za afya la ma&#341;ekani la PSI (Population Se&#341;vices Inte&#341;national).<\/p>\n<p>Dk Kone Vano&#341;melingen, mwakilishi wa UNICEF nchini Angola, ana imani kuna mabadilikio makubwa yanayopatikana katika nchi kwenye nyanja ya kupambana na ugonjwa huo, ambayo inafadhiliwa kwa kushi&#341;ikiana na se&#341;ikali ya Angola na wiza&#341;a ya afya.<\/p>\n<p>Alisema takwimu za mala&#341;ia nchini Angola hazikupatikana kiu&#341;ahisi, hasa kutokana na wakati huduma zikibo&#341;eka, na hivyo utoaji wa taa&#341;ifa. Lakini kupitia ufuatiliaji &#8220;vigezo&#8221; kama vile usambazaji wa vyanda&#341;ua na madawa, kutibu mama wenye mimba na unyunyiziaji dawa majumbani, mwelekeo chanya umeibuka.<\/p>\n<p>&#8220;Ushahidi wa kimataifa umeonyesha kuwa asilimia 80 ya watu wanapofikiwa na vyanda&#341;ua na kutibu maladhi kwa kutumia dawa mseto, kunapunguza idadi ya wagonjwa kwa asilimia 50 na vifo kwa asilimia 20,&#8221; alielezea.<\/p>\n<p>Dk Vano&#341;melingen alisema wakati wa mwaka 2008 na 2009 UNICEF ilisambaza vyanda&#341;ua milioni 2.5. Mwaka huu shi&#341;ika limetoa vyanda&#341;ua 500,000, na bado kuna vyanda&#341;ua 300,000 zaidi vya kusambaza.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa tafiti za ka&#341;ibuni zilionyesha kuwa ka&#341;ibu moja ya tano ya wanawake waja wazito na watoto wa chini ya miaka mitano wali&#341;ipotiwa kutumia vyanda&#341;ua vyenye dawa. Lakini wakati usambazaji wa vyanda&#341;ua umekuwa hatua moja mbele, siyo kila mwenye chanda&#341;ua anakitumia, kulingana na Nana F&#341;impong, mku&#341;ugenzi mkazi wa PSI Angola.<\/p>\n<p>Alisema kwa sasa tafiti zimeonyesha kuwa baadhi ya watu hawakulala kwenye vyanda&#341;ua kwasababu walidhani vingewaongezea joto. Wengine hawakujua jinsi ya kuvifunga vizu&#341;i.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa kutambua hili,&#8221; F&#341;impong alielezea, &#8220;Kwa sasa tunahakikisha kuwa tunaonyesha jinsi ya kufunga vyanda&#341;ua wakati tunapovisambaza kwasababu hakuna maana ya watu kuwa na vyanda&#341;ua majumbani mwao lakini hawavitumii.&#8221;<\/p>\n<p>Lakini F&#341;impong anahisi kuwa mambo yanabo&#341;eka kuelekea mwelekeo sahihi.<\/p>\n<p>&#8220;Tulikuwa eneo la Cunene wiki iliyopita kusini mwa Angola na walituambia kuwa katika manisipaa moja hakuna mtu amefa&#341;iki kwa mala&#341;ia katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.<\/p>\n<p>&#8220;Huu ni mwanzo na hatua katika mwelekeo sahihi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Nje ya kituo cha afya mjini Luanda, watu wanaendelea kusubi&#341;i kwa uvumilivu zamu yao. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUANDA, Ap&#341; 30 (IPS) &ndash; Akiwa amejifunika boksi la plastiki, Eva Angelino anamtishia Odelina mwenye um&#341;i wa miezi 11, akija&#341;ibu kumnyamazisha asilie. Mama na binti wanasubi&#341;i katika foleni nje ya kituo cha afya ambacho hakiko mbali na katikati mwa jiji la Angola la Luanda. &#8220;Unatakiwa kuwa mvumilivu mno hapa,&#8221; alivuta pumzi Eva mwenye um&#341;i wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":507,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3274","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3274","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/507"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3274"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3274\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3274"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3274"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3274"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}