{"id":3273,"date":"2010-05-17T13:40:01","date_gmt":"2010-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/17\/haki-zambia-inashinikiza-kupitishwa-kwa-muswada-wa-bidhaa-bandia-pamoja-na-hatai-yake\/"},"modified":"2010-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2010-05-17T13:40:01","slug":"haki-zambia-inashinikiza-kupitishwa-kwa-muswada-wa-bidhaa-bandia-pamoja-na-hatai-yake","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/17\/haki-zambia-inashinikiza-kupitishwa-kwa-muswada-wa-bidhaa-bandia-pamoja-na-hatai-yake\/","title":{"rendered":"HAKI: Zambia Inashinikiza Kupitishwa kwa Muswada wa Bidhaa Bandia Pamoja na Hata&#341;i Yake"},"content":{"rendered":"<p>LUSAKA, Ap&#341; 30 (IPS) &ndash; Zambia inashinikiza kuanzishwa kwa muswadwa wa bidhaa bandia ambao utahusu pia madawa, pamoja na utata ambao umezunguka she&#341;ia kama gizo katika Af&#341;ika Mashai&#341;ki na pamoja na kuwepo kwa she&#341;ia ambazo kwa mafanikio zinadhibiti bidhaa bandia za madawa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kenneth Musamvu, msajili wa hati miliki katika wiza&#341;a ya haba&#341;i na huduma za utangazaji, alithibitisha katika mahojiano na IPS kuwa pendekezo la kuandaa &#341;asimu ya bidhaa bandia ambayo itahusu madawa limeshawekwa pamoja na kuwasilishwa kwa watunga se&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Tulipendekeza kuwa na she&#341;ia kama njia ya kupambana na uhalifu wa bidhaa bandia, kama vile kughushi na kutengeneza bidhaa bandia. Kama kitengo, tunatetea kupitishwa kwa she&#341;ia hii kuhakikisha kuwa uhalifu wa aina hii unapungua. Kosa la kutengeneza bidhaa bandia litahusu pia madawa na vipu&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Kuhusu kilio nchini Kenya na Uganda ambapo mapendekezo ya kupitishwa kwa she&#341;ia za kupambana na bidhaa bandia yamekosolewa kutokana na kwamba kungetishia uingizaji au utengenezaji wa madawa nafuu kwa njia ya leseni, Musamvu hakuona matatizo kama hayo kujitokeza nchini Zambia. <\/p>\n<p>&#8220;Kinachotakiwa kueleweka ni kwamba madawa ya kupunguza makali ya VVU\/UKIMWI yanayotengenezwa kwa leseni yanatokana na kununua leseni kutoka kwa mmiliki wa jina la kampuni. Hiyo haiwezi kuzuiliwa na she&#341;ia ya kupambana na bidhaa bandia ambayo lengo lake ni kulinda wananchi kutokana na madawa yasiyofaa,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Musamvu aliongeza kuwa kumekuwepo na mikutano mingi &#341;asmi na isiyokuwa &#341;asmi kati ya nchi kuhusu kuandaa &#341;asimu ya she&#341;ia ya kupambana na bidhaa bandia. Mafunzo yaliyopatikana yangetumiwa baina yao, suala kubwa zaidi ni kwamba ni lazima kuwepo kwa ushau&#341;iano kati ya watunga se&#341;a na waandaaji wa &#341;asimu ya she&#341;ia kuhakikisha hakuna nafasi ya kutafsi&#341;i vibaya. <\/p>\n<p>Lakini taya&#341;i Zambia ina she&#341;ia ambayo inazuia madawa bandia. Kwa sasa, Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa (PRA), ambayo iko chini ya se&#341;ikali, ina kazi ya kudhibiti madawa nchini Zambia. Inahakikisha kuwa bidhaa za madawa, ikiwa ni pamoja na uandaaji wa miti shamba iliyoingizwa au kutengenezwa nchini Zambia, lazima kufikia viwango vya ubo&#341;a, usalama na ufanisi.<\/p>\n<p>Esnat Mwape, mku&#341;ugenzi mkuu wa uhusiano, aliiambia IPS kuwa shi&#341;ika lake linaongozwa na She&#341;ia ya Madawa ambayo yanazuia utengenezaji na uuzaji wa madawa bandia, na madawa bandia yanaelezewa vya kutosha katika she&#341;ia. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna tofauti kati ya madawa bandia na madawa yanayotengenezwa kwa leseni, ambayo ni feki, ambayo ni toleo la bei nafuu la jina la biasha&#341;a. PRA inaona uuzaji wa madawa feki au bandia kama kosa la jinai na kwa mafanikio tumefungulia mashitaka watu kutokana na hili.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa wakati huu Zambia pia ina she&#341;ia ya haki miliki ambayo kwa kiasi kikubwa inahusiana na haki ya mali za sanaa. Muswada wa bidhaa bandia unao n ta&#341;ajiwa utakwenda ndani zaidi na utakuwa na nguvu kubwa ya utekelezaji. <\/p>\n<p>Ofisi ya msajili inasubi&#341;i majibu kutoka wazi&#341;i wa haba&#341;i na huduma za utangazaji, Newstead Zimba, ambaye anashau&#341;iana na ba&#341;aza la mawazi&#341;i juu ya mapendekezo ya she&#341;ia ya bidhaa bandia. Bado iko katika awamu ya majadiliano kwani hakuna muswada umeshaandaliwa kama &#341;asimu au kuwasilishwa bungeni.<\/p>\n<p>Michael Zulu, mwanaha&#341;akati ambaye alikuwa sehemeu ya hatua ya Kenya ambapo watu wanaoishi na VVU na UKIMWI walikata &#341;ufaa kwa mahakama ya katiba kuandika upya She&#341;ia ya Kupambana na Bidhaa Bandia mwaka 2008, walisema tatizo la huko ni kwamba she&#341;ia haikuweka wazi tofauti kati ya feki na madawa yanayotengenezwa kwa leseni.<\/p>\n<p>&#8220;Ni kupeleka mawasiliano yasiyokuwa sahihi. Ni juu ya jinsi gani she&#341;ia ziliingizwa maneno ambayo yalisababisha kuchanganyikiwa na hofu kuwa madawa ya bei nafuu yanayotengenza kwa leseni yalipigwa ma&#341;ufuku. Hii ilitishia, kwa kweli, kwasababu tunategemea madawa yanayotengenezwa kwa leseni, hasa yale ya ku&#341;efusha maisha (ARVs) na madawa ya kutibu mala&#341;ia,&#8221; Zulu alielezea. <\/p>\n<p>Baadhi ya asilimia 90 ya bidhaa za madawa katika soko la Zambia yametengenezwa kwa leseni na huingizwa kutoka India.<\/p>\n<p>Sekta ya madawa nchini Zambia ni ndogo. Kuna makampuni sita tu ya kutengeneza madawa ambayo yanatengeneza aina chache za madawa, kama vile madawa ya kikohozi na kutuliza maumivu. Kuna waingizaji wa madawa na wauzaji wa jumla wapatao 100 na zaidi ya wauzaji &#341;eja&#341;eja 90. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUSAKA, Ap&#341; 30 (IPS) &ndash; Zambia inashinikiza kuanzishwa kwa muswadwa wa bidhaa bandia ambao utahusu pia madawa, pamoja na utata ambao umezunguka she&#341;ia kama gizo katika Af&#341;ika Mashai&#341;ki na pamoja na kuwepo kwa she&#341;ia ambazo kwa mafanikio zinadhibiti bidhaa bandia za madawa. Kenneth Musamvu, msajili wa hati miliki katika wiza&#341;a ya haba&#341;i na huduma za&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":769,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3273","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3273","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/769"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3273"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3273\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3273"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3273"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3273"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}