{"id":3270,"date":"2010-05-17T13:40:01","date_gmt":"2010-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/17\/kenya-mafanikio-ya-utabii-wa-hali-ya-hewa-kwa-kutumia-mbinu-za-zamani-na-kisasa\/"},"modified":"2010-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2010-05-17T13:40:01","slug":"kenya-mafanikio-ya-utabii-wa-hali-ya-hewa-kwa-kutumia-mbinu-za-zamani-na-kisasa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/17\/kenya-mafanikio-ya-utabii-wa-hali-ya-hewa-kwa-kutumia-mbinu-za-zamani-na-kisasa\/","title":{"rendered":"KENYA: Mafanikio ya Utabi&#341;i wa Hali ya Hewa kwa Kutumia Mbinu za Zamani na Kisasa"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341; 29 (IPS) &ndash; Katika hali ya hali ya hewa inayobadilika, utafiti magha&#341;ibi mwa Kenya umegundua kuwa kwa kuchanganya mbinu za kijadi na kisasa za utabi&#341;i wa hali ya hewa ni njia bo&#341;a zaidi ya kupata takwimu sahihi za utabi&#341;i.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hii ilikuwa moja ya mambo yaliyowasilishwa katika &#341;ipoti ya Kituo cha Kimataifa cha Utafiti wa Maendeleo (IDRC) Ap&#341;. 23 baada ya miaka miwili ya utafiti.<\/p>\n<p>M&#341;adi huo unaojulikana kama &#8216;Kuunganisha Maa&#341;ifa ya Jadi katika Kusimamia Majanga ya Hali ya Hewa Kusaidia Hatua za Jamii za Kukabiliana na Mabadiliko &#8216; unaongozwa na Kituo cha Utabi&#341;i wa Hali ya Hewa cha IGAD, kwa msaada wa IDRC na Ida&#341;a ya Maendeleo ya Kimataifa katika mpango wake wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa na jinsi ya Kukabiliana nayo ba&#341;ani Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Utafiti unahusu wanasayansi wa utafiti kutoka Ida&#341;a ya Hali ya Hewa ya Kenya, Chuo Kikuu cha Nai&#341;obi, Chuo Kikuu cha Maseno na watabi&#341;i wa hali ya hewa wa jadi.<\/p>\n<p>Utabi&#341;i ulibainisha kuwa wakati sayansi ya sasa inatoa utabi&#341;i sahihi wa kimsimu, wanajumuiya wengi bado wanategemea maa&#341;ifa ya jadi kutoa mwogozo wa maji&#341;a yao ya kupanda, kuvuna na shughuli za kilimo, kupunguza atha&#341;i za hali ya hewa.<\/p>\n<p>&#8220;Hata hivyo, bado wanajumuiya wanaathi&#341;ika, pamoja na kuwepo kwa maa&#341;ifa ya jadi na kisayansi katika utabi&#341;i. Ili kushughulikia suala hili, m&#341;adi unachunguza kuunganisha mambo hayo mawili ya maa&#341;ifa kwa kiwango bo&#341;a zaidi duniani,&#8221; alisema Dk Gilbe&#341;t Ouma, meneja m&#341;adi.<\/p>\n<p>Kulingana na utafiti, mabadiliko ya hali ya hewa yataathi&#341;i kwa kiasi kikubwa viashi&#341;ia vya maa&#341;ifa ya jadi &ndash; hali ambayo taya&#341;i inajitokeza. &#8220;Baadhi ya mimea muhimu iliyotumika katika utabi&#341;i wa kijadi taya&#341;i inatoweka kutokana na hali isiyokuwa bo&#341;a ya hewa,&#8221; alisema Ouma, ambaye pia ni mhadhi&#341;i katika Ida&#341;a ya Hali ya Hewa ya Chuo Kikuu cha Nai&#341;obi.<\/p>\n<p>Kwa miaka miwili, watabi&#341;i wa kisayansi kutoka Ida&#341;a ya Utabi&#341;i wa Hali ya Hewa ya Kenya wamefanya utabi&#341;i wao, pamoja na watabi&#341;i wa mvua wa jadi. <\/p>\n<p>Ripoti kutoka pande mbili zilikusanywa pamoja kwa ajili ya ulinganifu, kabla ya kuchanganywa na kutolewa kama &#341;ipoti moja ya hali ya hewa. Halafu inatafsi&#341;iwa kwa lugha ya Kinyo&#341;e, kabla haijasambazwa kupitia &#341;edio za jamii, mikutano ya machifu na kwa njia ya maneno ya mdomoni.<\/p>\n<p>Hapo awali utabi&#341;i uliotolewa na wataalam wa utabi&#341;i wa hali ya hewa ulikuwa mgumu na ma&#341;a nyingi vigumu kutumiwa na wakulima. Na utabi&#341;i uliototokana na watabi&#341;i wa jadi, pamoja na kutumiwa kwa kiasi kikubwa, haujawahi kuwa sahihi kwani hawajaweza kutabi&#341;i utofauti wa hali ya hewa kutokana na mabadiiko ya hali ya hewa.<\/p>\n<p>Hata hivyo, mchanganyiko mpya umekwenda vizu&#341;i kulingana na Lameck Okubo, mkulima wa bustani za mboga wa Ebuhando, kijiji kidogo ka&#341;ibu na vilima vya Maseno.<\/p>\n<p>&#8220;Taa&#341;ifa za &#341;edioni ambazo zinakuja baada ya taa&#341;ifa ya haba&#341;i zinasaidia mno. Tuna mazao kama nyanya ambayo lazima yaangalie hali ya hewa kabla ya kupanda. Ma&#341;a nyingi mazao hayo yameshindwa kumea ma&#341;a tu kunapokuwa na mvua kubwa,,&#8221; alisema Okubo.<\/p>\n<p>Maneno yake yali&#341;ejewa na Flo&#341;a Jumba, mfanyabiasha&#341;a mwanamke anayeuza matunda katika soko la Luanda. &#8220;Utabi&#341;i unatusaidia kujua nini cha kutegemea katika soko katika mustakabali wa baadaye. Hii ni muhimu mno kwasababu baadhi ya matunda na mboga mboga yanahitaji maandalizi makubwa katika kuhifadhi,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Lakini ni utabi&#341;i wa nani ambao ni sahihi zaidi  &#8220;Cha kushangaza, matokeo kutoka pande zote ma&#341;a zote yamekuwa yanafanana,&#8221; alisema Ouma.<\/p>\n<p>&#8220;Tofauti moja tu ni kwamba utabi&#341;i wa wanasayansi unahusu eneo kubwa, na unaweza kutabi&#341;i mambo kama vimbunga, el&ndash;nino miongoni mwa mengine. Watabi&#341;i wa jadi wanakuwa sahihi tu kutabi&#341;i katika eneo dogo, ambalo linaweza kuwa vijiji 10,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>M&#341;adi wa utafiti ulifanywa kwa kushi&#341;ikiana na jumuiya ya Nganyi magha&#341;ibi mwa Kenya, eneo ambalo linajulikana kutokana na kuwa na mfumo wa jadi ulioima&#341;ika zaidi wa kutabi&#341;i hali ya hewa. <\/p>\n<p>&#8220;Kikwazo kikubwa zaidi kwa watengenezaji mvua wa jadi hawataki kuweka wazi nini wanakiona katika asili, kwani wanaona jambo hilo ni si&#341;i kwa maisha yao. Lakini kwa kujenga uaminifu (kati ya wanasayansi na watengenezaji mvua wa jadi), wameanza kuwa wawazi,&#8221; alisema Ouma.<\/p>\n<p>Kulingana na Ouma, jamii ya Nganyi imetaja baadhi ya miti inayojulikana kwa jadi kama &#8216;Shibelenge&#8217; kama kiashi&#341;ia muhimu cha utabi&#341;i wa mvua ya muda m&#341;efu. &#8220;Hawajasema waziwazi ni nini wanakiona katika mti. Lakini tumechukua baadhi ya sehemu za mti mmoja ambao unajulikana kuishi kwa zaidi ya miaka 200 kwa ajili ya uchambuzi wa kisayansi,&#8221; alisema.  <\/p>\n<p>Mahojiano na &#8216;mtengenezaji mvua&#8217; kutoka magha&#341;ibi mwa Kenya pia yalionyesha jinsi gani tabia za wanyama zilionyesha dalili ya mvua. <\/p>\n<p>Kulingana na Ndululu Otenyo, mtengenezaji mvua maa&#341;ufu kutoka kijiji cha Ikhaba magha&#341;ibi mwa Kenya, baadhi ya wanyama kama vile swala hawafanyi mapenzi kama hakuna mvua.<\/p>\n<p>&#8220;Kama kuna ukame, na ghafla ukiona swala wakifanya mapenzi, hapo ndipo uta&#341;ajie mvua chini ya wiki moja ijayo. Wakati huo huo ukiona nyuki wakihama kutoka kaskazini kwenda kusini, unapaswa kujiandaa na ukame,&#8221; alisema Otenyo.<\/p>\n<p>Kwa kuelewa vema maa&#341;ifa ya hali ya hewa ya jadi, watafiti walitaka kuongezwa muda wa m&#341;adi ili waweze kuchambua kisayansi baadhi ya dalili ambazo taya&#341;i zimetajwa na watabi&#341;i wa jadi.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna mpango wa kuongeza muda wa m&#341;adi kwa ajili ya kuunganisha maa&#341;ifa ya jadi na ya kisayansi katika pande zote za nchi, halafu katika nchi nyingine katika kanda,&#8221; alisema Ouma. <\/p>\n<p>Watafiti pia wako katika mchakato wa kuandaa mtaala wa njia za jadi za kutabi&#341;i hali ya hewa, ambao utafundishwa kama kozi katika Chuo Kikuu cha Maziwa Makuu mjini Kisumu.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341; 29 (IPS) &ndash; Katika hali ya hali ya hewa inayobadilika, utafiti magha&#341;ibi mwa Kenya umegundua kuwa kwa kuchanganya mbinu za kijadi na kisasa za utabi&#341;i wa hali ya hewa ni njia bo&#341;a zaidi ya kupata takwimu sahihi za utabi&#341;i. Hii ilikuwa moja ya mambo yaliyowasilishwa katika &#341;ipoti ya Kituo cha Kimataifa cha Utafiti&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":5,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3270","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3270","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/5"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3270"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3270\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3270"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3270"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3270"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}