{"id":3265,"date":"2010-05-04T13:40:01","date_gmt":"2010-05-04T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/04\/afya-drc-kuungana-kupambana-na-malaia\/"},"modified":"2010-05-04T13:40:01","modified_gmt":"2010-05-04T13:40:01","slug":"afya-drc-kuungana-kupambana-na-malaia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/05\/04\/afya-drc-kuungana-kupambana-na-malaia\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;DRC: Kuungana Kupambana na Mala&#341;ia"},"content":{"rendered":"<p>LUBUMBASHI, Ap&#341; 26 (IPS) &ndash; Mashi&#341;ika nane ya kidini yameanzisha m&#341;adi wa maja&#341;ibio katika Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo kuunga mkono mapambano dhidi ya mala&#341;ia.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mpango huo, uliopewa jina la Umoja wa Mashi&#341;ika ya Kidini katika Afya (CORESA, baada ya kifupisho chake kwa lugha ya Kifa&#341;ansa) utapata baadhi ya fedha kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na VVU\/UKIMWI,Mala&#341;ia na Kifua Kikuu (Global Fund), ikiwa ni pamoja na kutafuta fedha wenyewe kwa ajili ya kuzuia mala&#341;ia.<\/p>\n<p>CORESA inakusanya madhehebu ya Katoliki, Methodists, na Anglikana; Wasabato, Kanisa la Mitume na wafuasi wa kanisa la DRC la Kimbanguiste, ikiwa ni pamoja na Waislam nchini humo wanashi&#341;iki katika kukusanya dola milioni 75 duniani kote kununua na kusambaza vyanda&#341;ua milioni 2.5.<\/p>\n<p>Tafiti zimeonyesha kuwa kama watu katika maeneo yenye mala&#341;ia watalala kwenye vyanda&#341;ua vyenye dawa, matukio ya ugonjwa huo yanaweza kupungua kwa kiasi kikubwa.<\/p>\n<p>&#8220;Hiyo ndiyo sababu tunafiki&#341;ia kusambaza kwa uchache vyanda&#341;ua vitatu kwa kila familia nchini DRC kama kipaumbele chetu cha kwanza,&#8221; alisema Dk Assumani N&#8217;simbo, kiongozi wa dini ya Kiislam na makamu wa &#341;ais wa CORESA.<\/p>\n<p>M&#341;adi unaongozwa na Makanisa ya Methodist na Anglikana ya DRC na Ma&#341;ekani. Utafikia Wakongo wote, bila kujali imani za dini zao.<\/p>\n<p>Kanisa la Methodist taya&#341;i limeshajenga hospitali 215 na kliniki nchini kote. &#8220;Kwa kuanzisha CORESA, kanisa sasa linahama kutoka ujenzi wa majengo na kutoa huduma,&#8221; alisema Shannon T&#341;illi, mku&#341;ugenzi mtendaji wa Kamati ya Misaada ya Mala&#341;ia ya kanisa la Methodist.<\/p>\n<p>&#8220;Zaidi ya asililimia 70 ya watu ba&#341;ani Af&#341;ika wana dini. Kwa hiyo ni &#341;ahisi kwa wao kupata huduma zinazotolewa katika ngazi ya dini zao kuliko ngazi ya se&#341;ikali.&#8221;<\/p>\n<p>Makanisa na misikiti nchini Ma&#341;ekani na Asia yamekubali kukusanya fedha kununua vyanda&#341;ua, wakati wenzao nchini DRC wamepewa jukumu la kuhamasisha wanajumuiya, kuwaelimisha juu ya kutumia vyanda&#341;ua, na kusambaza vyanda&#341;ua hivyo.<\/p>\n<p>Hadi sasa, wafanyakazi wa kujitolea 150 kutoka jumuiya mbalimbali za kidini wamepewa mafunzo kuelimisha umma juu ya matumizi sahihi ya vyanda&#341;ua kupitia m&#341;adi ujulikanao kama &#8220;Nu&#341;se fo&#341; Life&#8221;, unaoendeshwa na Kanisa la Anglikana nchini DRC.<\/p>\n<p>&#8220;Kanisa la Methodist nchini DRC pia limeteuliwa kama mpokeaji wa fedha kutoka Global Fund,&#8221; alisema T&#341;illi.<\/p>\n<p>Kama m&#341;adi utafanikiwa, utapelekwa katika nchi kadhaa za Af&#341;ika, kulingana na maafisa wa CORESA.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa afya wa DRC, Dk Augustine Ilunga, alithibitisha kuwa mzigo wa mala&#341;ia nchini Kongo ni mkubwa mno.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na kiasi kikubwa cha maambukizo ya mala&#341;ia nchini mwetu, tunaka&#341;ibisha kundi lenye nia ya kusaidia kupunguza mzigo huu. Mi&#341;adi ya mashi&#341;ika ya kidini inaka&#341;ibishwa zaidi kwasababu mbali ya kuifanya se&#341;ikali kuwajibika, huduma zao zitafikia watu wengi zaidi kupitia mashi&#341;ika yao ya kidini,&#8221; alisema wazi&#341;i.<\/p>\n<p>DRC, pamoja na kuwa moja ya nchi zinazopata msaada wa Global Fund, bado haitoi tiba ya bu&#341;e ya mala&#341;ia kwa watoto wa chini ya um&#341;i wa miaka mitano kama ilivyo kwa nchi nyingine za Af&#341;ika zilizopo katika mpango wa Mfuko huo.<\/p>\n<p>Utoaji wa tiba ya bu&#341;e ya mala&#341;ia na usambazaji wa vyanda&#341;ua unafanyika tu katika maeneo ya vijijini nchini DRC, ambapo wanawake waja wazito na watoto wanaohudhu&#341;ia kliniki wanapaswa kupewa huduma hiyo. Watu wanaoishi katika maeneo ya mijini inabidi kulipa dola tano kwa watoto wao kutibiwa mala&#341;ia, kulingana na Ilunga.<\/p>\n<p>Hata hivyo, hii siyo sahihi kwa maskini wa mijini. &#8220;Nilipoteza mmoja wa watoto wangu kutokana na mala&#341;ia kwasababu sikuwa na uwezo wa kulipia tiba,&#8221; alisema Mukumbi Mugalu, baba wa watoto 19. &#8220;Dola tano ni fedha nyingi mno kutumia kwa tiba ya mala&#341;ia, hasa ikizingatiwa kuwa naingiza wastani wa dola mbili kwa siku.&#8221;<\/p>\n<p>Mugalu &ndash; ambaye anasema mke wake, Baya Bawili, amezaa mapacha wawili ma&#341;a saba, mapacha watatu ma&#341;a moja na watoto wengine watatu wasiokuwa mapacha &ndash; anapongeza mpango wa CORESA kutokana na kupatia familia yake vyanda&#341;ua vyenye dawa.<\/p>\n<p>&#8220;Mala&#341;ia imekuwa changamoto kubwa zaidi katika kutunza watoto hawa,&#8221; alisema Bawili baada ya kupata vyanda&#341;ua sita vilivyotiwa dawa. Mmoja wa mabinti zake, Batatu Yawa&#341;i, alikutwa na mala&#341;ia, lakini baba yake alikuwa akija&#341;ibu kutafuta fedha kununulia dawa.<\/p>\n<p>Rais wa CORESA, Pad&#341;e wa kanisa la Katoliki Be&#341;tin Subi, alisema mpango huo ulikubalika kuzuia hali kama hiyo.<\/p>\n<p>Katika uzinduzi wake kabla ya Siku ya Mala&#341;ia Duniani Ap&#341;. 25, CORESA ilisambaza vyanda&#341;ua 30,000 vilivyochangwa na Kanisa la Anglikana, kupitia mpango wa &#8220;Nets fo&#341; Life&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Usiuze vyanda&#341;ua, na usitumie kwa ajili ya uvuvi,&#8221; Yvonne Chakachaka, Balozi wa Hisani wa UNICEF wa kupambana na Mala&#341;ia aliwaambia walengwa. Matumizi mabaya ya vyand&#341;ua hivi vyenye dawa yame&#341;ipotiwa katika nchi kama vile Kenya na Malawi.<\/p>\n<p>Mpango wa Mfuko wa Dunia wa Kutokomeza Mala&#341;ia umeonyesha matokeo mazu&#341;i kutokana na mpango wake wa kutoa tiba ya bu&#341;e dhidi ya ugonjwa huo, na vyanda&#341;ua vya bu&#341;e kujikinga kuambukizwa, umeka&#341;ibia kutokomeza mala&#341;ia nchini E&#341;it&#341;ea, Rwanda, Uganda na katika Kisiwa cha Zanziba&#341; nchini Tanzania.<\/p>\n<p>Ugonjwa huo unaongoza kwa kusababisha vifo kwa watoto wa chini ya um&#341;i wa miaka mitano katika nchi zenye mala&#341;ia, ikiwa ni pamoja na DRC. Kila baada ya sekunde 30 mtu mmoja anafa&#341;iki kutokana na mala&#341;ia duniani.<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUBUMBASHI, Ap&#341; 26 (IPS) &ndash; Mashi&#341;ika nane ya kidini yameanzisha m&#341;adi wa maja&#341;ibio katika Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo kuunga mkono mapambano dhidi ya mala&#341;ia. Mpango huo, uliopewa jina la Umoja wa Mashi&#341;ika ya Kidini katika Afya (CORESA, baada ya kifupisho chake kwa lugha ya Kifa&#341;ansa) utapata baadhi ya fedha kutoka Mfuko wa Kimataifa wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":5,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3265","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3265","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/5"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3265"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3265\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3265"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3265"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3265"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}